Very nice nandi.umetisha Sana.Mungu awaongoze na awapiganie awatetee katika ndoa yenu.mtangurize Mungu kea Kira jambo.mungu ndo kira kitu bira yeye sisi atuwezi.mtangurize Mungu katka ndoa yako.bawaombea muishi kwa amani sku zote.
Waoooo congratulations amazing nimewafurahia sana mnastahili asante kwa kumchagua na kumwona bora kuliko wote Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki siri ni maombi Dua yawe in silaha kwenu stay in blessing always
Hakika ndoa nijambo kubwa na laheshima ,hii ni moja ya sheria kubwa hata vitabu vyakidini jambohili linasistizwa Sana, sisi ambao bado hatujatimiza hili tumuombe mungu atujaarie🙏🙏 tufanyehivyo
Hiki ndo kipande Walikataa kisipositiwe kwenye hii ndoa ni mambo ya aibu emu angalia mwenyewe afu unipe majibu ruclips.net/video/5Vw_KjSoGeI/видео.html
Lugha yako ni ya heshima nimeipenda sana,ukarimu mwingi what a lucky Nandi to have a such Man😊 Happy wedding Billnass
Nakwambiyaa Nandy alilijuwaa ilo kitambo sanaa naamini halimjuwa sanaaa ndo Mahana amefanikisha hilii Mungu awabariki sanaa jamani
Kweli kabisa huyu billnas ana akili sana.
@@suzanaagustinookelo4953 Ameen 🙏🙏🙏 Mpendwa Kwa Niaba Yao
@@suzanaagustinookelo4953 zZzz see dtizzy zone
Bilnenga: "roho yangu." What a true 💕
Nandy congratulations on your beautiful moment I’m soo happy for you 💕🥰🥰Love from Manchester ❤️
Very nice nandi.umetisha Sana.Mungu awaongoze na awapiganie awatetee katika ndoa yenu.mtangurize Mungu kea Kira jambo.mungu ndo kira kitu bira yeye sisi atuwezi.mtangurize Mungu katka ndoa yako.bawaombea muishi kwa amani sku zote.
Mashalaa Nenga umejitahid sana kutambulisha vizuri💯💯💯💯
Utambulisho mzuri sana Kaka.
Nawaombea ndoa yenye kuigwa na wengine kwa uzuri wake.
Humbly!!!!!!
Umeongea na heshima na nidhamu kubwa sana hongera nyingi mume wa Nandy
Waoooo congratulations amazing nimewafurahia sana mnastahili asante kwa kumchagua na kumwona bora kuliko wote Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki siri ni maombi Dua yawe in silaha kwenu stay in blessing always
Sichoki kutazama harusi hii sio siri inafurahisha🥰🥰🥰 Mungu awatangulie maombi yangu toka moyoni
Mashallah bilinas umemjibu vzr kutukuza mkeo
Hakika ndoa nijambo kubwa na laheshima ,hii ni moja ya sheria kubwa hata vitabu vyakidini jambohili linasistizwa Sana, sisi ambao bado hatujatimiza hili tumuombe mungu atujaarie🙏🙏 tufanyehivyo
Amiin
Hongereni sana nawatakia maisha mema yenye amani na upendo
Hakika Mmependeza, Binafsi Nawapenda Saana Na Nnawaombea Mema Kwa M/MUNGU 🙏🙏🙏💚💛💚
Bravo kaka billnass kwa uthuba yako 👌👌
Speech Kali mno ususani siku yako kama hiyo so mchezo hongera xn Nengaaa
Nawaombea sana vipenzi vyangu katika safar mpya ya maisha yenu hongeren sana jmn
Nandy na billnenga mmetukomesha...hakuna shughuli ya star imewahi kufanika Kama yako...mmewanyooosha
Kabisaaaa 💯
Umeongea vizur sana mafioso..Billnass..Billnenga safi sanaaaa
Kijana mzuri anaonyesha kujali,mchaga wa ukweli Mungu awabariki sana ktk ndoa yenu
Pisi ya Msela🥰🥰🥰🥰
Congrats nandi and bill nas may God bless your union 🙏 hongera baraka tele.
Nandy loves simple humble men from. Rugee to Billnass. May Allah bless your family.
It's from Billnass to Ruge then after Ruge to Billnas
G-R-A-N-D WEDDDING it is!!!
Bills umeonyesha njia kwa vijana wasikubali kushindwa
Mashallah mama zao bado vijana
Vizuri sana,hongereni wazazi nandugu wote
Namkubali sana huyu mwamba bill nenga
Nawapenda nandy and billinas 🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹
Mungu akubari Sana kijana billnass
Mapenzi🥰🥰😘😘🔥🔥
Hongera sana kwenu
Kila la kheir....May Da Almighty Allah bless ur marriage....
So lovelly ❤️
Hongera mdogo ang nandy
Happy for you.God bless your marriage !
Hongereni maana hadi wazee wa VITOCHI vya uwanjani mliwaalika...😂😂😂
Congratulations 👏 ❤
Mungu awape Aman ya maisha
Honger san bro nenga with shem nandy ishin miak mingi
Congratulations mafioso
Congratulations Nass and Nandy❤️🥰
Congratulations to you both
Am happy for u all mungu awape uvumilivu,but umesahau kumtaja mama mkwe kwanini jamani
Hongera Sana dada nandy
love you bro
Kweli hakuna gumu ukiweka mikakati let's fight Hongereni
Leo ndio nimejua wazazi wa nenga
You know to talking, For a wisdom
Bilnass mpole Ako na heshima
Kila la kher Billnass....
Congratulations Billnandy
Huyu kaka ana heshima Sana.
Waooo co cut billneng
Hongera bwana harusi
Safi sana bwana harusi
Ongera ,Mungu awe nanyi
Hongerini sana
Be blessed in your marriage
Best wishes congrats 👏
Nawapenda hawa mimi
Nawaprnfa sana mimi umeongea vizur beli
Yani wana hekima, angekua mwingine angeanza kubagua watu apo. Safi sana
Wow❤
Hongereni sana
Mungu awalinde
Nandy honger kwakupat mwenz wako wa maish,heshima kwa mume ni kitu cha muhimu
Billnass we ni jembe
What a nice wedding
Nzur hongera saana
❤❤❤❤❤❤
Waooh
❣️💞💫✨💫✨✨
Yes
Mbona mjomba hukusema je mashangazi
Waliku msalamu
Huyu jamaa ana aibu Sana na ndio maana amevaa miwani nyeusi ili kuficha aibu.
🤣🤣🤣😂😂
Kbisa hata uongeaj nauona
Yes
pisi ya msela
Akhaaaa kumbe mtu na mtani
Gongereni sana Mungu akawe kiongozi kwenu
❤️
💛🧡🧡🧡💖
Niliyeko😀😀
Pisi ya msela🤭
Jamani msaada kwaiyo nenga kwao wapo wawili tu
Km macho yeye mdg na kakaake anaitwa amani bac
Wakenya mko wapi mwenzenu siwaon. Piga kelele kelele kwa Nandi
Umemtambulisha kaka yako kienyeji mno inaonekana hazipandi 😅😅😅
Mmmmh labda clous mmmmh tufanye umechoka
Ila billnass 🤣 🤣
Hiki ndo kipande Walikataa kisipositiwe kwenye hii ndoa ni mambo ya aibu emu angalia mwenyewe afu unipe majibu
ruclips.net/video/5Vw_KjSoGeI/видео.html
ruclips.net/video/o7ip42ANpKg/видео.html
DAWA YA KUBANA UKE KUA MDOGO MTAMU NA MNATO, KWA SIKU ,CHACHE.........*#
Congratulations 🎉❤
Congratulations 🎉❤