SHANGAZI/AUNTY AMWAGA DOLLA KUFURU/ HARUSI YA NANDI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 196

  • @halimakilua7636
    @halimakilua7636 2 года назад +7

    Hongera dada mungu akuongoze katoka ndoa yako

  • @ridiaelias8042
    @ridiaelias8042 2 года назад +3

    Aunt umetisha sana hongera

  • @annastasiasebastian7967
    @annastasiasebastian7967 Год назад +4

    Nguo ya nandy sijaipenda hata kidogo.

  • @mwanaidisudi8965
    @mwanaidisudi8965 Месяц назад

    Helaaaa inaenda kwa wenyewe kumbee eeeeeeh 🤔😳❤❤❤❤❤❤❤

  • @laidayassmine319
    @laidayassmine319 2 года назад +9

    Jmn nguo ni nyingi dunia hii ngua ya biharusi🙄😀🤔🤔🤔🤔

  • @cosmasjohn5009
    @cosmasjohn5009 2 года назад +1

    Da hongela sana nandy umetish

  • @AshaHamisi-jz5mk
    @AshaHamisi-jz5mk Год назад +1

    Mchungaji gn unafngsha ndoa na muolewa ana mimba si ungsbri ajfungue

  • @Veni584
    @Veni584 2 года назад +20

    Shangazi umevaa vizuri, ukaacha mtoto akavaa kituko

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 года назад +1

      Kituko unasema wewe!kituko unakijua wewe veronica?kwn ni lazma uongee shit asee

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 года назад

      Nandy amenikwaza hapo tu. Umeharibu mwishoni jamani.

    • @khadijaamour7654
      @khadijaamour7654 2 года назад +2

      Mtoto akiwa ana hela, hagombwi anakua kila kitu Yes

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 года назад

      @@khadijaamour7654 kwakweli.

    • @arleneilunga9202
      @arleneilunga9202 2 года назад

      Mtoto ni star

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 2 года назад +13

    Nandi Hadi aibu ulichovaa cjui ni ushamba wangu🙈

    • @gradnessshitindi3694
      @gradnessshitindi3694 2 года назад

      Yaaan duuuh 😭

    • @floranceluqman2951
      @floranceluqman2951 2 года назад +7

      @@gradnessshitindi3694 Hao waliomfunda siku zote hizo haya ndio matunda mwali kuja kukaa uchi mbele za wakwe zake na wazazi wake halafu kuna wasungo humu wanasema tunamwonea wivu bibi harusi khaaa wivu kwa kukaa uchi?

    • @floranceluqman2951
      @floranceluqman2951 2 года назад +6

      Uko sahihi huu sio uzungu Bali ni uzuzu huwezi mwonyesha babaako au babamkwe wako mtumbo namna hiyo.

    • @hawahabibu3881
      @hawahabibu3881 2 года назад +4

      @@floranceluqman2951 Yan aibu naona mm had nimeshindwa kuangalia had mwisho

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 года назад +2

      @@floranceluqman2951 kweli ni UZUZU, looooo

  • @borasolange630
    @borasolange630 2 года назад +3

    Shangazi 🍺 zikiisha kwenye kichwa asubuhi utajuta izo hela wallah

  • @AnastaziaSebastian
    @AnastaziaSebastian 5 месяцев назад +1

    Nguo za hovyooo nandy

  • @shazceo6853
    @shazceo6853 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣.... Wenye hela sio wazaromo nimeamini💰💰✨

  • @GraceGasperGa
    @GraceGasperGa Месяц назад

    Kwa kilugha chetu tunasema anyweile😅

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 2 года назад +16

    🤣🤣🤣🤣🤣 uyo anaezunguka na gauni ya aunt jmn kweli kazi zina wenyewe

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 года назад +8

    Hii nguo ilikuwa kituko jamani mpaka aibu

  • @shabanimsati5368
    @shabanimsati5368 2 года назад +12

    Watu usema , mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaye kweli mama nandy umeruusu mwanao avae hivy duuu hata kama ni usanii too much

    • @floranceluqman2951
      @floranceluqman2951 2 года назад

      Ukiona hivyo mama nae ndio wale wale.

    • @gladyssimkoko3626
      @gladyssimkoko3626 2 года назад

      usifananishe maisha yako naya watu

    • @mshangaemmanuel8964
      @mshangaemmanuel8964 2 года назад +1

      We shaban hujui nandi ni 🌟 so usijifananishe nae ww hata hujulikan zaidi ya ndugu zako tu

  • @janethalbert2636
    @janethalbert2636 2 года назад

    Mmmmh ikuw amekunyw kdogo🤣🤣🤣

  • @halimakadzo5311
    @halimakadzo5311 Год назад

    Waah wanapendeza

  • @emmykibwana8994
    @emmykibwana8994 2 года назад +2

    Ila mlinzi wa gauni kazi alikua anayo khaaaah😂😂😂😂😂

  • @tumaramadhani3381
    @tumaramadhani3381 2 года назад +1

    Shangazi umetisha

  • @VancerMusic
    @VancerMusic Год назад

    Mungu awabariki

  • @vailethsteven921
    @vailethsteven921 2 года назад

    Hongeren

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 года назад +4

    Aunt heshima yako umetisha saana

  • @bettydavis590
    @bettydavis590 2 года назад +5

    hakika mungu nimwema kwakila jambo

  • @ZainaSaid-tr1he
    @ZainaSaid-tr1he 3 месяца назад

    Bilnaisi😅

  • @elizabethmarwa
    @elizabethmarwa 2 года назад

    Me nawapenda

  • @RebeccaMosses
    @RebeccaMosses Год назад

    0:03

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 2 года назад +1

    Sasa watu mko kwenye vazi sikajichagulia mwenyewe

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 года назад +3

    Huyu sio shangazi huyu ni antie

  • @omavkksndbd3068
    @omavkksndbd3068 2 года назад +5

    Sijapenda mabaunsa 😂😂😂shikamoo dollar

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 2 года назад

    Shangazi 😅🤭🤭🤭🤭😅😅😅😅😅😅😅

  • @linetgechuki718
    @linetgechuki718 2 года назад

    Nadi..hiyo nguo gani sasa

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 года назад

    Mc ana haraka etiii,Bi harus wetu na nguo yake mwenyewe

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 года назад

    Gauni la shangazi mkono balaa

  • @froidamwakabaya7901
    @froidamwakabaya7901 2 года назад

    Hakika we ni mzuri

  • @RabiyaJuma-qc4rr
    @RabiyaJuma-qc4rr Год назад

    Nandy upo uchi sana

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 2 года назад +1

    Hamsaidii maskini

  • @AMANI-iy5hr
    @AMANI-iy5hr 2 года назад

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏

  • @vailetnkonoki7196
    @vailetnkonoki7196 2 года назад +1

    Kwenye nguo umeniacha hoi nandy

  • @doriselipokea651
    @doriselipokea651 8 месяцев назад

    Uyoo ni mparee mapenee yotee ayaooo

  • @emmymatiku4111
    @emmymatiku4111 2 года назад

    Nimependa

  • @winifrdajames5349
    @winifrdajames5349 2 года назад

    Faim

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 года назад +1

    Huyo anaye linda Gauni la Shangaz kazi anayo anakula mshahara wa halali

  • @jowaness
    @jowaness 2 года назад

    Make it rain baby 😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩😩

  • @ummycheedy2809
    @ummycheedy2809 2 года назад +4

    Billnaisi😂😂😂😂

  • @edvinaselestine712
    @edvinaselestine712 2 года назад

    Shangazi hawanaga hela huyo kweli 🐜

  • @zamaradmlwilo747
    @zamaradmlwilo747 2 года назад

    Duuuuu hiiiiiii kali

  • @floranceluqman2951
    @floranceluqman2951 2 года назад +6

    Mwali aliefundwa masiku tele kaambulia kutukalia uchi mwisho wa Picha daah hivi babaako na babaamkweo wanaona jitumbo limechongoka wazi wazi makubwa haya.Sikuona sababu ya wewe kuvaa huo uharo uliovaa

    • @zalhayahya5658
      @zalhayahya5658 2 года назад +1

      SASA ANGEVAA VIZURI KAMA MWANZO TUNGELIONA HILO TUMBO LAKE JEUSI NAANATUONYESHA KUA ANAMIMBA 🤣🤣🤣 WENZIWE HUSHASAHAU HATA UCHUNGU TUNAWATOTO KESHOKUTWA TUNAITWA MAMAMKWE

    • @zalhayahya5658
      @zalhayahya5658 2 года назад +1

      Hii nguo utumbo🤣🤣

    • @beatricekadzo5215
      @beatricekadzo5215 2 года назад

      Wivu unawasumbua

    • @floranceluqman2951
      @floranceluqman2951 2 года назад

      @@beatricekadzo5215 Wale wanaojua mana ya unyago wamenielewa sijui mwenzetu msungo kama utaambua kitu hapa mana hii ni kwaliofundwa tu na tunaojua kuchambia maji na sio tissues au wipes upo.

    • @beatricekadzo5215
      @beatricekadzo5215 2 года назад

      @@floranceluqman2951 spo

  • @helenagabriel2072
    @helenagabriel2072 2 года назад

    Wametisha

  • @skayskay-9566
    @skayskay-9566 Год назад

    Aunt katixha kinyama

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 года назад +1

    Heshima pesa kweli kuna watu wamejaliwa pesa

  • @mohamedkauchote4574
    @mohamedkauchote4574 2 года назад

    Eshima pesa shikamoo makelele

  • @LovelyCamel-qr1dz
    @LovelyCamel-qr1dz Месяц назад

    Anti sifa nyingi

  • @marywanjirumburu3482
    @marywanjirumburu3482 2 года назад

    Aunty si aunty

  • @iddyraphael4985
    @iddyraphael4985 2 года назад

    Nandi

  • @anifaally4816
    @anifaally4816 2 года назад +1

    Wa llah sio kwa nguo hiyo Nandi doh🤔🤔🤔

    • @bintik2311
      @bintik2311 2 года назад +1

      Jamani mbona Nandy yupo uchi.haaaaa.hii Dunia vp jamani

    • @julianambilinyi3341
      @julianambilinyi3341 2 года назад +1

      Moyo wake uko uchi andhihirisha maisha yake ya dhambi amevaa kisepe aibu.Mungu amkumbuke alikuja kuokoa wenye dhambi

    • @winifridaedson2197
      @winifridaedson2197 2 года назад +2

      Jaman kwan nandy ndo kaanza kuvaa uchi mnashangaa nn wakat kwenye video zake anavaa na wakwe wanamuona kwan hawajui

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 года назад

      Nguo yake haina shida yoyote. Amevaa anavyopenda na anavyotaka yeye sio mnavyotaka nyie. Ni shughuli yake sio yenu. Keep judging sio shida zake.

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 года назад +1

      @@queenandchill91 kwa kikristo kuvaa vile sawa?

  • @musimwaesther6231
    @musimwaesther6231 2 года назад +7

    I just love the MC😂😂😂

  • @mwajumakombo7945
    @mwajumakombo7945 2 года назад

    Mashallah❤❤❤❤❤💋

  • @ernestdingo8307
    @ernestdingo8307 2 года назад +3

    Aunt alikua ameshashutua kinywaji Nini?🤣🤣 Kwann nilikosa

  • @sweetie8861
    @sweetie8861 2 года назад +1

    Shangaziiiiiii

  • @mkudesimbaoriginal2027
    @mkudesimbaoriginal2027 2 года назад

    Wasije wakawa wanashuti Harusi Tu.

  • @belinamartini1768
    @belinamartini1768 2 года назад

    Tena mmefanana

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад

    Huyo Nicaea mumsamehe bure Ana Depression huyo

  • @mayroseclemence99
    @mayroseclemence99 2 года назад

    Sema machawa mmetuziba

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 2 года назад

    Ndiyo ishakuwa hivyo munasosema namseme maana midomo nimali yenu nandy keshapata mme wake

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 2 года назад +2

    😁😁😁😁😁

  • @angemelyeluvinga8385
    @angemelyeluvinga8385 2 года назад

    Aunty yakee

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 года назад

    Wapi uwoya

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 2 года назад +1

    Ila anti kama alilewa hv

  • @ashasimba8752
    @ashasimba8752 2 года назад

    Hadith zakiswahili

  • @shamayzawahir2508
    @shamayzawahir2508 2 года назад

    Kwenye shangaz tumeshamtoa

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 2 года назад +2

    Kwani Nandy hapo kavaa au kavua?

  • @yohanasimion3217
    @yohanasimion3217 2 года назад

    Bilinas fala nae alidhidwaje kumzuia mkewe kuva nguo kama hiyo nand na bilinas ote hawajitambui ndomaana wameoana

    • @gladyssimkoko3626
      @gladyssimkoko3626 2 года назад

      🙌 uo wako umuadabishe wenzio washaoana oa wako umpe izo sheria zako unafikir kuvaa ad chin ndio adabu au chefu

    • @mcimotors3292
      @mcimotors3292 2 года назад

      Unajua cha mimba?

  • @neemasetta8223
    @neemasetta8223 2 года назад

    Nandy

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 года назад

    Hakuna cha ajabu haapo video na mapcha ya u2pu Kla cku munaangalia Leo povu hlo gaun unafk Co mzur

  • @maryammkono4863
    @maryammkono4863 2 года назад

    Wanamzuiaaa😜😆

  • @mariamnahodha2390
    @mariamnahodha2390 2 года назад

    Mshikia gauni jamani

  • @kingnjaro4934
    @kingnjaro4934 2 года назад +1

    nimepe nda Sana nawatakia maisha marefu🙏

  • @mosesjohn8922
    @mosesjohn8922 2 года назад +3

    Mlinzi wa gaun anamvua shangazi anampoga chabo kabisa

    • @jeskakijeka8865
      @jeskakijeka8865 2 года назад

      Kumbe naww umeona Bora angetafta wakike😂😂😂

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 2 года назад

    Walevi ni wachangiaji kuliko wasio kunywa

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 2 года назад +3

    Alifundwa alivaa nguo za heshima Sasa unaagana na uko w baba yako unaenda kw mume mbele ya baba mbele y baba mkwe unawavalia uchi uchagani ukiolewa unavaa nguo z heshima mbele yao ukiwa n mme wako vaa unavyotaka hata ukiwa uchi uko n mmeo nawajua wachaga uwezi vaa hivyo ngoja tutaona ,

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 года назад

      Binafsi nimeshindwa hata la kusema.

    • @Mimi-wf7mb
      @Mimi-wf7mb 2 года назад

      Kwani mchaga hapo ni nani mbona mwatuchanganya?

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 года назад

    Cheni noumaaa🤣🤣🤣

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 2 года назад

    Kitovu kileeee

  • @shamsayahaya3888
    @shamsayahaya3888 2 года назад

    Nenga anaweka mfukoni hataree hakipotei kitu

  • @marymtemahanji2571
    @marymtemahanji2571 2 года назад

    Jamani mtu anaweza kunambia Jina la wimbo di 3:40 tafadhali

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад

    Kwenye kumbukumbu zangu nakumbuka aliwahi kuulizwa swali msanii chid Benz kuhusu nandy juu ya swala la uvaaji nguo za utupu, na majibu ya chid Benz yalikuwa kama ifuatavyo; nikwamba nandy anapaswa awe ana vaa hivyo hivyo nguo za utupu sababu ndio sehemu ya kumuingizia kipato kwaiyo tumzoee tu maana hiyo lifestyle ndio imemfikisha pahala alipo sasa akisema a change dressing style lazima atapotea kwenye game 😃😄😄😃🙌

  • @sophialukonde9276
    @sophialukonde9276 2 года назад

    mungu wangu af hapa sna hata mia daah

  • @benjaminjimali599
    @benjaminjimali599 2 года назад

    Hahahaaa

  • @neemajoseph7296
    @neemajoseph7296 2 года назад +1

    Mc na mussa😂😂😂😂😂🤣

  • @tatumfaume544
    @tatumfaume544 2 года назад +1

    😂😂😂

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад

    Hatariiii

  • @amilianafi8021
    @amilianafi8021 2 года назад +1

    Uwo ni ushamba nandi kwani ustaa mpaka kwenye harusi Tumbo wazi mapaja umeyaanika adi kwa wakwe zako daaa ila ngoja tuone

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 2 года назад +3

    Upumbavu tafuteni masikini mutowe sadaka huo watu wamejaa dhiki

    • @magrethmsuya5542
      @magrethmsuya5542 2 года назад

      furahia ndoa yako nandy

    • @mariamsalim9311
      @mariamsalim9311 2 года назад

      @@magrethmsuya5542 hakuna alomkataza kufurahia ndoa yake madubu nyie

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 года назад +5

      Makasiriko ya nini?😂 Kwani ni harusi yako hii. Ni pesa zako wametumia?
      Tafuta pesa uache kukasirikia shughuli za watu

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 года назад

      Punguza makasiriko ktk hii dunia tuna vitu vitatu kuzaliwa ndoa na nakufa inabidi unavyopata kitu km hicho ufurahie tu kwan walikuomba mchango

    • @mariamsalim9311
      @mariamsalim9311 2 года назад +2

      @@m.mmarckus6298 nikasiirike kwani natowa pesa yangu ulokasirika ww mimi kusema pesa wangewapa maskin hizo pesa za kutunzwa sio za kufanyia harusi na sadaka inakukinga na kila balaa kama hujuwi wanatowa ma michango tele mwezi ndoa hamna tena someni dini musisikilize mijimbo tu mutakwenda kuchomwa

  • @fidelismduda5262
    @fidelismduda5262 2 года назад

    Dogo silah

  • @khamsheria7672
    @khamsheria7672 2 года назад

    Xx

  • @YunisiEngiribet-zp8nr
    @YunisiEngiribet-zp8nr Год назад

    Hongeren

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +1

    Kwenye kumbukumbu zangu nakumbuka aliwahi kuulizwa swali msanii chid Benz kuhusu nandy juu ya swala la uvaaji nguo za utupu, na majibu ya chid Benz yalikuwa kama ifuatavyo; nikwamba nandy anapaswa awe ana vaa hivyo hivyo nguo za utupu sababu ndio sehemu ya kumuingizia kipato kwaiyo tumzoee tu maana hiyo lifestyle ndio imemfikisha pahala alipo sasa akisema a change dressing style lazima atapotea kwenye game 😃😄😄😃🙌

  • @shamayzawahir2508
    @shamayzawahir2508 2 года назад +1

    Kwenye shangaz tumeshamtoa

  • @iddyraphael4985
    @iddyraphael4985 2 года назад

    Nandi