Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nyimbo nzuri,wapi likes za neema mudosa
Napenda sana unavyo imba dada Mungu akubari sana nikusimama na Mungu kwa kila hali
😲😲😲😲 wawooo nice song my dada mungu akuinue
Unanigusaa sana ,nakupenda Mungu akutunze
So wonderful Dada angu.....songa mbele my model💪💪👏👏😍
Haleluya asante Yesu kubaki faraja yangu nyakati zote
Nimependa kazi yako sana inanibless sana uko kenya
Nice one Neema...Baraka.
Mungu azid kukuinua kipenz Ney!! Mara nyingi sana unagusa moyo wangu kwa nyimbo zako nzr na huwa znanivusha sana
Mungu akubariki Sana cct Ney, nyimbo zako nzuri saaana ninajisikia kuwa mikononi mwa Mungu kila ninaposikiliza nyimbo hz 💞💞💞🔥🔥🔥
Wimbo mzur ubarikiwe dada😘😘😘
Nyimbo zako zimejaaa ujumbe unaoinua moyo sana barikiwa Dada nami imani yangu inazidi kukua sana Mungu azidi kukupandisha viwango
huyu dada ni muimbaji mzuri sana ana vocal ana contents na kizuri zaidi anapoimba anamaanisha mbele za Mungu, love you Neema😋🥰😘✍🏽
Kabisaaa ila nyimbo zake lazima utumie akili ndo utamuelewa
Kwelii kbs moyoo unakuwa na amani
Hata yote yabadirike,,,mmh nitakuabudu Mungu wangu, very nice
Saut nzuriii sanaa.. wimbo mzuri sana.. ubarikiwe dada Neema
Nyimbo zako zote ni baraka kwangu mungu azidi kukutunza nakukupa nyimbo nyingi za kutubariki.
Nakupenda sana wewe dada. Mungu wa mbinguni akuinue zaidi. Kiburi na majigambo visitajwe kwako. ❤❤❤
Nabarikiwa sn na wimbo wako dada neema Mungu akubariki sn,azidi kukuinua katika huduma yako nakupenda.
Be blessed mdosa
Ila wewe utabaki kuwa mfariji nakupenda👏👏
Moyo wangu unakutambua Yesu kama nawe Moyo wako unamtambua Yesu like yako kwaajili ya utukufu wa Mungu
Nafsi yangu itakuhimidi Bwana wangu hata yote yabadilike. Ubarikiwe wa Neema
NEEMA mudosa na marth mwaipaja ..niwatu weny vocal ya utukufu ndan mwao...unabarikiwa San na nyimbo wakat mwingn zinakufariji Sana..nampenda Sana
Nzuri sana hii video
Hujawahi kukosea,hongera sana kwa wimbo mzuri
Nimebarikiwa Sana my dear Neema Mudosa. Mungu akufikishe kimataifa zaidi
Kazi nzuri kiukweli hela si mchezo dada anang'aaa tuu siku zinavyosogea. Kweli Mungu mwema
Asante MUNGU ATUKUZWE KWA WIMBO HUU🙏🙏🙏🙏🙏🙏NITAMWABUDU MUNGU MILELE💯💯💯😘😘😘😘😘😘UBARIKIWEEE DADA NEEMA wimbo ..mzuriii...mziki mzuriii💋💋💋nice location....
Hit song kabambe saana.1million views
Nitakuabudu wewe,,milele, blessed by the song
Woow,nyimbo nzuri,barikiwa mtumishi wa Mungu Neema Mudosa😍😍
Nimecheza kwa kweli. The tune is so lovely. Keep praising God sister. Love from Kenya🇰🇪
Kazi njama, wimbo mzuri sana.
From SA listening to this beautiful song. Ubalikiwe sana Da #NeemaMudosa❤️❤️❤️
Huyu Dada anajua kuimba
Asante nimebarikiwa sana na wimbo huu kama umeniimba mm kbs🙏🙏
Yaani dada upo vizuri sanaaaa....Mungu wangu akubariki sanaaa
ata yote yabadilike nitakwabudu we nitakwabudu wewe,,,,,halelluyah!!!🙌🙌
Ngoma moja tulivu, sauti nzuri sana. Watu kama Neema Mudosa ndio watakao tuimbia mbinguni. Ubarikiwe maradufu
Hapo sasa kweli Mungu akubariki tena zaidi ma chérie
Amen. Nitakwabudu we nitakwabudu wewe🤩🔥
Amen,hakika unanibariki sana neema.
Nita kuabudu wewe Bwana Yesu......ata mambo yabadilike
Amen amen
Dada nakupendaga ww nyimbo zako zinabariki sn
hakuna kitu cha kunitenga na wewe Yesu🙏🙏🙏
Unajuwa ni bariki sana rafikiyangu. Voix Angelique
Nimeiskiza mara 100 sasa🙏🙏🙏
Dada unazidi kuwa mrembo tu kazi nzuri sana barikiwa
Hakika nitakuabudu ww neema unanibariki sana na nyimbo zako.
Nzuri sana
Nitakuabudu Mungu kwa moyo wangu wote. 🙏🙏
Kazi nzuri sana 🔥🔥🔥
Amen Amen nita mwabudu Mungu wangu kilasiku🙏🙏🙏
Nakupenda kupitiza mchana na usiku nitakwinua na kukuabudu
Hata yote yabadilike nitakwabudu ww...hata yote yakinyamaza I will still praise u lord...hata ni baki mifupa mikavu......amen
Hata yote yabadilike nitakwabudu wewe barikiwa Dada
Nyimbo nzr Sana dada,, keep it upNapendeza sauti yako ,kutoka pwanii
Like nyingi kwa wamtegemeo Mungu nyakati zote.
Waaaw mungu azidi kukuinua dada unaimba vizuri saana...
Nitakuabudu wewee nyimbo nzr dadangu
jamani tumuabuduni huyu Mungu bila kukoma haswa tukiwa kwenye wakati huu mgumu wa CORONA.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️❤️
Waaaohh Safi Sana dada neema ,, nice song and video ,
Sauti pia inapendezesha wimbo,uko vizur Neema mudosa, barikiwa sana sana😍🙏
Very song my Mum fière de toi mamangu mdogo
asante, kabisa Mungu abadiliki
Haleluya Haleluya BWANA ASANTE YESU ASANTE.UBARIKIWE SANA DADA
Good job Dada Neema.Unajua ww ni waviwango.
Kazi nzuri Ubarikiwe 😍😍🔥
Acha yote yabadilike nitakwabudu wewe hakka wimbo mzur umenibarik
Amen napenda Sana nyimbo zako
Asante
Ubarikiwe kipenzi,Mungu akuhifadhi
Ameen nitakwabudu wewe mungu wangu mchana na usiku kwa yesu
Amen amen amen. Mungu ni tumaini letu
Daaah huyu Dada basi tena 🙌ameuwashaaa🔥🔥🔥🔥
Amen barikiwa saana
@@semakubariziki3049 Tubarikiwe sote🙏
Hata yote yabadirike nitakwabudu we
Sijui nini ilinituma kuwatch hii nyimbo but ended up loving it... these are the jams... a big tune...
Be blessed. Imenibariki sana
Mwanadamu ni nani hata akibadirika??👌
Ubarikiwe Dada.. Albam please
My big sisy, there you’re! Keep going! Good music 🎶 I I love it 😍
Hujawahi kuniangusha Neema love so murch
Halleluyah nitakuabudu Mungu wangu🙏
Ni ukweli kabisa ni lazima tusimame na mungu nyakati zote maana yote yatapita ila yeye Atabaki kuwa mungu
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu
Mungu azid kukutunza mamyNmebarikiwa sana sana
Iove God with all your heart ❤️ in Jesus name good night
you've blessed my soul my sister.....much love from Kenya. More favor my dear.
Mungu akubariki sana mtumishi wake
😊
Ameen!! Ubarikiwe Sister
Ubarikiwe
Needed ya mungu ubariikiwe
Barikiwa more mwanangu nimekuita mwanangu kwa sababu mwanangu wa kwanza anaitwa Neema.... Good song, naomba namba yako ya simu tuwasiliane mama.
Nilifurahi kuonana nawe pale city harvest kwa Mtume Livingston Banjangala
Amen. Uko wa Baraka
Hongera mamy kazi yako ni njema sana
Amen Sana Mama.
Wimbo mzuri sañà
Ndio kabisa mama
MADAM AM WATCHING FROM KENYA.YOU ARE A BLESSING
Wow .such a nicest song

hakuna kitu cha kunitenga na wewe Yesu
🙏🙏🙏
Unajuwa ni bariki sana rafikiyangu. Voix Angelique
Amen amen
Nimeiskiza mara 100 sasa🙏🙏🙏
Dada unazidi kuwa mrembo tu kazi nzuri sana barikiwa
Hakika nitakuabudu ww neema unanibariki sana na nyimbo zako.
Nzuri sana
Nitakuabudu Mungu kwa moyo wangu wote. 🙏🙏
Kazi nzuri sana 🔥🔥🔥
Amen Amen nita mwabudu Mungu wangu kilasiku🙏🙏🙏
Nakupenda kupitiza mchana na usiku nitakwinua na kukuabudu
Hata yote yabadilike nitakwabudu ww...hata yote yakinyamaza I will still praise u lord...hata ni baki mifupa mikavu......amen
Hata yote yabadilike nitakwabudu wewe barikiwa Dada
Nyimbo nzr Sana dada,, keep it up
Napendeza sauti yako ,kutoka pwanii
Like nyingi kwa wamtegemeo Mungu nyakati zote.
Waaaw mungu azidi kukuinua dada unaimba vizuri saana...
Nitakuabudu wewee nyimbo nzr dadangu
jamani tumuabuduni huyu Mungu bila kukoma haswa tukiwa kwenye wakati huu mgumu wa CORONA.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️❤️
Waaaohh Safi Sana dada neema ,, nice song and video ,
Sauti pia inapendezesha wimbo,uko vizur Neema mudosa, barikiwa sana sana😍🙏
Very song my Mum fière de toi mamangu mdogo
asante, kabisa Mungu abadiliki
Haleluya Haleluya BWANA ASANTE YESU ASANTE.
UBARIKIWE SANA DADA
Good job Dada Neema.Unajua ww ni waviwango.
Kazi nzuri Ubarikiwe 😍😍🔥
Acha yote yabadilike nitakwabudu wewe hakka wimbo mzur umenibarik
Amen napenda Sana nyimbo zako
Asante
Ubarikiwe kipenzi,Mungu akuhifadhi
Ameen nitakwabudu wewe mungu wangu mchana na usiku kwa yesu
Amen amen amen. Mungu ni tumaini letu
Daaah huyu Dada basi tena 🙌ameuwashaaa🔥🔥🔥🔥
Amen barikiwa saana
@@semakubariziki3049 Tubarikiwe sote🙏
Hata yote yabadirike nitakwabudu we
Sijui nini ilinituma kuwatch hii nyimbo but ended up loving it... these are the jams... a big tune...
Be blessed. Imenibariki sana
Mwanadamu ni nani hata akibadirika??👌
Ubarikiwe Dada.. Albam please
My big sisy, there you’re! Keep going! Good music 🎶 I I love it 😍
Hujawahi kuniangusha Neema love so murch
Halleluyah nitakuabudu Mungu wangu🙏
Ni ukweli kabisa ni lazima tusimame na mungu nyakati zote maana yote yatapita ila yeye Atabaki kuwa mungu
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu
Mungu azid kukutunza mamy
Nmebarikiwa sana sana