Tupe raha mwanetu Chumvi nyingi. Haki ya mungu kazi zako ni bora ya mkojani mara million. Keep good job Mr. Chumvi. Nisalamie Tayson, official Maina, na Team nzima. Toka Oman nawapenda sanaaa.
Hahaa Noo, Tusiwe Tunafananisha Kazi Zao Kwa Kuipandisha Ya Mmojawapo Na Kuishusha Nyingine, Hao Wote Wanetu Na Kazi Zao Wanategemeana Na Kushirikiana Kila Wakati, Wakati Wowote.
Hahaa Noo, Tusiwe Tunafananisha Kazi Zao Kwa Kuipandisha Ya Mmojawapo Na Kuishusha Nyingine, Hao Wote Wanetu Na Kazi Zao Wanategemeana Na Kushirikiana Kila Wakati, Wakati Wowote. 2:52
Yani Kama Kuna Movies Napendaga Ni Zakutisha Tisha Kama Hivi 😂Yani Watu Hawatuliki Heka Heka Tupu Mi Pambe Aya Acha tushuhudie Kifo Nayo Ina Jambo Gani Umondani
Safi sana toa weka nawakubali sana vijana wa kazi❤❤❤
Chumvi nyingi kifo kitu kipya kama kawa kazi iendelee barida 🤜🤛
Nakukubali xn chumvi nyingi....Good actor tangu Nimuamini nani nimekuwa nikikufuatia hongera
😅😅😅😅😅😅😅 buludani inaendelea noma sana lov u cham lawan
Kali saana 🔥🔥🔥🔥🔥 nakubali 🙌🙌
Kazi nzuri chumvi nyingi gang...
Naona vipaji 100% nashindwa ata nimpongeze nani..nyote mko sawaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉❤
Nakupenda sana chumvi nyingi
Chumvi Nyingi We Ni creator.. Huishiwi Na Content Safi sana Hongereni Chumvinyingi Gang
Big up bro #Team chumvi nyingi kazi iendelee
Sawa,mtu wa watu Bwana chumvi nyingi,Sisi kama wana mombasa tuko pamoja aysay,Hongera
8
Tupo kwaajiliyenu tu kwakupata butdani twende kazi❤❤❤
Nawakubali sana timu chumvi gang mko vizuri kutupa raha na kwa wakati asanteni tuko pamoja mwanzo mwisho kuwasapoti leo tunaanza mwanzo
Nakubal mr chumv nyng kuisha chuma ndio kuanza kw chuma
Kitu amezing sana siri ya kifo 😢😢😢
Dr.official Nae awemo kwe hii kaka .....kaz nzuri💪
😂😂😂😂😅😅 chumvinying anaogopa kubakwa
😂😂 nimecheka kwanza ebana chunvi nyingi wew ni Bora unavitu Yani unajua 🎉🎉kaka mungu akueke uendelee kutupa mavitu 🎉😂😂😂 tupo pa1 Sana mwanetu
Kazi kazi🎉❤❤❤❤❤
Mimi nakua siombagi like lakini kwenye Siri ya kifo chumvi nyingi nasubir leo
chumvi mingi apaaaaa ❤❤❤❤ 🔥🔥🔥
chumvinyingi...... lets go.....na Siri ya kifo Hadi tamati
Yaaaani mambo oyaoya pande hizi chumvinyingi gang ❤❤
Nakubali wanangu bonge la move
Nawakubali Sana kazi zenu nzuri
Haichelewi uko vizuri mwenyekiti
Siri ya kifo tamuu xna amna kaz povu🤗
Chumvi nyingi we kiboko daaah
Mubarkiw San Kwa kutufunza,kutuelimisha na kutuburudisha nawapenda sana ❤❤❤❤
Tuko sambamba chumvi nyingi gang
🔥
🔥 🔥 🔥 chumvi nyingi gang
Dah chuvi sikuizi yanii 👍👍👍👍
Chumvi nyingi wap dr official
Ulipo tupo chumvi nyingi 😍😍😍 bandika bandua.
nakubali bro Chumvi u never dissapoint much love from Kenya
Chagama anajua kuwa mbunifu sana, alikuja na aah kisa kidogo😂😂😂mara akaja na nakazia😂😂sshv kuna cha kujifunza…chumvi una kikos kizur
Leo wa kwanz naomba like by chumvi nyingii
Halafu tukishakupa?
@@criminalminds7723😂😂😂😂anajikuta yuko shule kugombamia namba😂😂
Ww toa maon like za nn ss
Ayi ayii ayi😂😂😂wamemuua nthu... 😅😂😂😂❤
Kaz zuri san jaman
Chumvi nyingi hapaaaaaaa
Safi sana chumvi na wenzio
Chumvi nyingi 😂😂😂 you the best...kipaji unacho ndugu 🎉🎉🎉🎉❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wrdzb
Tulitoka gizani nikashindwa utatupeleka nuruni🤣🤣🤣,,,, kumbe unatuleta kwa kifoni😥😥😥
Kuna hicho kipuli zena ww wanimaliza
Chumvi nyingi ❤❤
Siri ya kifo thanks kwa elimu
Chumvi ndiyo msanii bora wa film kwa sass
Mm hii movie n gizani nimependa react y zena naipenda sna
Napenda mchuga anavyoongea
Kutoka Kenya Chunvinyingi Gang naikubali, na nawapenda guys ❤
❤nimeipenda iyoo
Mambo n faya twenzetuuu 👍
zena naomba uwe wiii wangu n iyo sauti tu umenmlza then apo kwa broo palaga umedamshi kabsa🎉🎉🎉
iiiiirrrrrrrre chumvi Mwaka huu kaptkana aahaaahaaaah
Una baya twende kaziii
Sasa dua kuomba mpk mfumbe macho mhhh
Tupe raha mwanetu Chumvi nyingi. Haki ya mungu kazi zako ni bora ya mkojani mara million. Keep good job Mr. Chumvi. Nisalamie Tayson, official Maina, na Team nzima. Toka Oman nawapenda sanaaa.
Chumvi nyingi hapa mbona hii episode hai download
Hahaa Noo, Tusiwe Tunafananisha Kazi Zao Kwa Kuipandisha Ya Mmojawapo Na Kuishusha Nyingine, Hao Wote Wanetu Na Kazi Zao Wanategemeana Na Kushirikiana Kila Wakati, Wakati Wowote.
Hahaa Noo, Tusiwe Tunafananisha Kazi Zao Kwa Kuipandisha Ya Mmojawapo Na Kuishusha Nyingine, Hao Wote Wanetu Na Kazi Zao Wanategemeana Na Kushirikiana Kila Wakati, Wakati Wowote. 2:52
Kazi nzur ila kila cku mc na kivazi kile kile pia chumvi na kile k tishet ileile ya gizan
Hi nayo kalii nasubili like zenu 🎉😂😂😂😂
kayayukaa yayuuu hahahahahah
Kwanza Leo naombeni like zangu
Tukishakupa likes na wewe utatupa jicho?
kazi iendelee
Ongeza chumvi aloooooooooooooooo
Wapi maina jameniii
Maina maina maina
Japo nime chelewa mimi ni mufatiliaji ya chaneli ya chuvi nyingi ngenge lk zaku 🎉
Mungu awasaidie sana chumvi munajuwa
Na hii hilivyo ya kutishatisha sikupatii picha chunvi a.k.a mpenda mademu sema msaidie na mwanetu mambwende nae umushilikishe
Jmn wapi mwenye kiti mstaafu nyau hahaha Mzee wa swagaz
Pamoja.wotempo.vizuri
Ama kweli kmaskn humfanya mtu kutoa utu wake
Nonoo mrudishe na Moses chumvi nying
Hii imeenda ubunifu wa hali ya juu
Jaman mimi hyo chumvi anani furahisha kweli
🔥🔥🔥🔥 kama Uzi Wa simba
Wee chumvi huo ni mzimu anakupeleka makaburini huyo
Chumvi nyingi is the best
Mimi nipo south huwa nafatiliya, lakini sasa ivi naanza kuchoka kila series ni uchawi hapana jameni
😂😂😂😂
Zena hatakama n mie nkupenda hio voice yku ndio tatizo
Iv uyu tabu anaolewaga nawaaume ambawo Awana uwezo kilasiku jamani
Kwnza haupoi Wala hauboi
Chumvi nyingi gang ndo habari ya mjini kama kibegi cha mnyama
Kumekucha jamani mukuje uku 😂😂
Unaweza dogo
Yaan hajakosea kujiita kiungo Cha chakula apewe Maua yake🎉🎉
Yani Kama Kuna Movies Napendaga Ni Zakutisha Tisha Kama Hivi 😂Yani Watu Hawatuliki Heka Heka Tupu Mi Pambe
Aya Acha tushuhudie Kifo Nayo Ina Jambo Gani Umondani
Mashallah chumvi nyingi mungu ajalie kipaji chako inshallah 🤲
From pemba hongera sana
Hupo pekeako🎉
Wayaaaaaa
🎉🎉🎉 hamujui kuharibu
😂😂😂😂 at least hapa ndugu chendu kabadisha nguo
😂😂😂😂😂😂😂😂
Goooood ❤❤❤❤❤
Ebu fanyeni poa muweke hii movie mtu anaeza weka offline akii😮
Kazi nzuri San chumvi nyingi
Mwalim mkuu yuko wapiiiiii
Chumviiiii kayeyuka yaayu😂😂
Hiii inakaa tamu Sana alafu chumv n ww n madem sas endelea hiv kbs mana imekupndz😂😂😂😂nawpnd buree 🎉❤
@faithndanukombe8706 yani utamu utamu❤❤
Nimekuona since gizani
@@clichytraveller6897 Mie team chumvi kila seriel nipo
sawa faidh shabiki wakwel nakuona
@@chumvinyingigang eeeh nipo nyum yako kila hatua unay piga honger San team kubwa hi✨🙏🙏💫
😂😂😂😂😂nimetoka TikTok mekuja uku nimeipnda hongeran sana Maashallah
🔥chumviii van boiii🙌🔥braza ni noma na unatishaaa
More 🔥
Sawa kwa kitu mupia. ila na penda nione,zungu,nono pia moise
wow they're good