Mai unapitiya maisha magumu kabisa Mungu awajalie nanyi mupate kipato ya kufanya kazi nyingine hiyo siyo kazi ya kufanya ni mateso mnayo pitiya ila itapita
Some advise nizakupotosha tu wewe bibi ati robot apige pombe apate nguvu siatauwa,mai kudos lakini hapo kwa kusukuma mkokoteni umetucheza mamah hiyo mitungi haina maji ama ni mimi naona zangu😂😂😂😂
WANGAPI WANAAMINI MAI ATAWEZA KUENDESHA FAMILY KIPINDI AMBACHO TWIZY ANAUMWA?
Here I'm 🙋🙋 from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤🎉🎉
Twizy Dady mimi Aisha kutoka Burundi 🇧🇮 n'aamini mai ataweza vizuli nimwanamuke mupampanaji
Me namwamin My anaweza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Anaweza ❤
Twizy dady mm nashauri why msiongeze vipande walau viwili basi maana sisi tunakosa raha kimoja hakitoshi twizy dady mwanetu
Walioanza na mtoto wa boss kisha wakaja kwa twizy daddy mikono juu MUNGU akuone❤❤.Nakama wa mpenda MUNGU kuliko chochote gonga like ❤❤🎉🎉
👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋
Nipo lakini sijaacha kufuatiriya mtoto wa boss
Jamani mucosho Nimwanaume kweri shida yake Anaongea sana Lakin leo amenifulahisha🎉🎉🎉
May maua Yako upewe🎉🎉🎉🥳💐💥🥀🌹💐🌹🥀 hahaha ongerasana duh
May ongera san
Papan San may mung atakusaidia
Twizy mayai ya kienyenji saa homa unakukalia Ivo qweli unamruhusu mai asukume droly?? Sijapenda lakini Kula maua 🎉🎉🎉
Nawakubali sana wangap wanao ikubali timu twizy dady waweke like zao hapa
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ kwa mai msichana ngangari
Twizy bwana munakawi wenamami kupigana pigana hata mabusu bwana sijapenda kabisa kwanyinyi kutofanya hivo ❤❤❤❤❤😅😅😅😅
Mwanamke bomba mai wetu hongera sana kipenzi 🎉🎉🎉❤❤ wewe ndio mfano wakuigwa
🎉🎉4 mai pokea ❤ ivyo ndivyo inavyotakiwa kwa life y ss ...ila chunga dhera lisikuangushe 😂bado twakuitaji
Nampa maua yake mai jaman hongera sana mai 🎉🎉🎉🎉🎉
Mai unapitiya maisha magumu kabisa Mungu awajalie nanyi mupate kipato ya kufanya kazi nyingine hiyo siyo kazi ya kufanya ni mateso mnayo pitiya ila itapita
Twizy dady baba wamatatu ❤❤❤❤utapona mai anachoka sana🎉🎉🎉
Kwa wale mnaoo muhukumu remy kwa anayo fanyaa nipewe like hap
Kazi nzuri sana hongera mai❤❤❤❤
Wakwanza leo like zanngu😮😢😢
Pole sana dada mai namini mungu atawainuwa kwenyemaisha yenu 😂😂
Tunào kuw tunavizia Kila saa kuchungulia tujuane hapa
Kazi nzuri Twizydad🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Michisho unaroho nzuri mwenyezi mungu akupe umri mrefu❤🎉🎉
Mai wee n mwanamke jasiri sna nakupa maua yko 🎉🎉🎉kma wanawake wote wako hvo ingekua wanaume wetu hawateseki sna 😂
😂😂😂wewe kuwezaa kubembelezanaa na mkokotenii??
Unaweza kutembezana na mkokotenii??
Aaa Mishosho kubali umedundwa😂😂😂 napia Mishosho nakupa sna unaroho nzuri sana hongera yako
Mayi natwizi ❤❤❤nawapenda mungumbere yenu kingine mume pata warafiki wazuri ❤❤❤
Mayi fanya basi tuone kweli kuna maji kwenye haya madumu😂😂😂😂😂
😅😅😅hap n dumu moja lenye maji😅
@Saumu254 😀😀😀😀😀😀au ukute hakuna hata moja lenye majii
Na hili dhera si ataanguka my jmn 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂me nahic Amna maji mbona auzi😂😂
Maua Kwa mayi❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila Remy utakufa vibaya wewe mai maua yako 🎉🎉🎉🎉
Twizy polesana kwamateso nayoyapitia pia nataman ukutane namudogowako usokwauso tune itakuaje
Mai msogelee mbon unamlish ukiwa mbali hahahah😢😮😅😂
Twizy dady nakupenda sana chukuwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako l love you so much 💖 ❤️ ♥️ 💗 💓 💕
mai 🎉🎉🎉nakupnd mwenzio
Wakwanza kutoka kenya nawapenda San Mng awabarik ❤❤❤
Huyu michosho na maneno yake😂😂😂😂😂
Mai utaanguka na hilo dhera mama 😂😂😂😂😂😂 hongera san my 🎉🎉🎉
Remi kawa ngaidi tena...mpeni like zake jamani ...😅😅😅😅
Awe. Tu. Gaini. Dami. Ya. Mtu. Si.mchezo.
😂😂😂😂we may nawasws Hy madumu hayana maji😂😂
😅😅😅😅
Umeona 😂😂😂😂
Maisha nikupambana😢😢🎉
Mai ❤❤❤twizy atapona 🎉🎉🎉🎉
Mai nakubari kbx saidia mume wako
First One from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️
Remy vp yule mtu wako mwenye shiti.jeupe hajakupitia leo,hpo utakutana na twizy tuu usijali😂😂😂❤kazi nzr sana
Mai mbona unamlisha mkate ukiwa mbali🤣🤣🤣🤣🤣
Leo mapema ktk Mozambique 🇲🇿
Hapo hapo twizy shetani mtu kainama 😢😢😢😢😢
Michosho😂😂 eti watoto wanazaliw kijijini wana nguvu 😂😂
Msi mwana mke Bomba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Waoooooh mi pia km wewe
mayi nakuku bali sana kabusa❤❤🎉🎉
Remmy na twizy wataonana😂
Punguzeni Saudi ya mziki,kazi nzuri sana
Nani anaona remy atakujapatana na mai
Jamani Wimbo naupataje
Mai.mwanamke jasiri lakini sasa muwe makini mana muuwaji Remy yuko karibu yenu naona kawa kama shetani😅
Michosho nabibi lemy atawanyoosha🤣🤣
Leo nimewahi😂😂😂
Wakumi nambili kuja hapa I'm from Oman I live in samaili
Twizy pona mai yuwapata shida Sana
May nakupenda Sana pambana mungu awalinde
Mi nangojea twizy dady aonane na remy
Sema mai anakishundu icho
Congratulations ❤❤❤
Hongera sana mahi ❤❤❤❤
Mayi ni mwanamke kamili kumbuka twizy alimkuta akifanya biasara so namini kuwa mayi ataendelesa family vizuri sana bila wazi wazi
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉safi 😅😅😅😅😅 michosho acha uongo
Mungu amtie nguvu
Jemeni semeni huyu Mai me nimempenda aisee kwanza mrembo afu ana mapenzi ya kwel sio kama hawa watoto wa mjini full utapeli😂😂
Maii ❤❤❤❤❤❤❤❤😂
Sio mbaya wa 6 leo
Huu mchezo mnaufanya wa kihindi sasa jmn uishe tena 😅
Alinoboa kabla huja mpata hivyo nina imani ataweza
Acha kujilaza we mtoto wa kiume
Jamani bon munatucheleweshea utam wetu mm nina shauku san nione kam kaka na ndugu yake wataonana
Ukiwa na mke kama mai na mume kama twizy uko na bahati
Niko live na mimi so wa mwisho 😂😂😂😂🎉🎉🎉
Mh mai mkate na maji tena wap na wap jamn..pole😢
Ni ushauri hayo madumu ya maji wekeni maji bac japo robo robo tu😂😂😂
Oyaaaaa twizzy dady noma kk unaweza
Kazi nzuri ❤❤❤❤
Pore sana mai mungu yupo atamjalia 😢😢😢😢
Lemmy anakoma kabisa duniya unamufundisha
Mai jamani siamini kama ni ww kweli wasukuma toroly la maji pole sana
Mtu akipata mke kama huyu igekuwaje hugera sn
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda mai hongera
😂😂 na imagine vyenye mwanzo Mai alivyo mchukia twizy
Nice❤
May pole sana kazi unayo kwauyo mukokoteni 😢
Nic san mai na twiz mko poa san
Mai❤❤❤🎉🎉
😂😂😂😂😂yan me ninae mpenda mchosho daaaah
Much love ❤❤
Nani wanamkubal afisa usalama
Some advise nizakupotosha tu wewe bibi ati robot apige pombe apate nguvu siatauwa,mai kudos lakini hapo kwa kusukuma mkokoteni umetucheza mamah hiyo mitungi haina maji ama ni mimi naona zangu😂😂😂😂
my dauta big up mai wng
Muchlovo❤❤❤❤❤
Mkirusha mbil kwa siku n vibaya kwan
Mm wakwanza leo nimewahi
Mchosho anasema sana bana anabolic buana
Polemai
May pambana utawezakuendesha family ila kua Malini mtaan wasij kukuteka kpnz chako twiz
Mayi unapamban xan $$$$$
My nahisi ktk kuburura mkokoteni ungeect umevaa suruwali lisobana mwili yani lisoonesha maumbile yako na shati pana liloshuka kukustiri ila vingekuwa vimecakaa kuonesha uhalisiya