Mungu azidi kumbariki, ni binti mdogo anaejitambua, Kuna watu wana mijumba mjini lkn kijijini wazee wananyeshewa mvua au wanalala njaa, Hongera sana binti❤
Hongera sana kwao, Kwani watanzania kuongea kiswahili moja kwa moja tunashindwa nini?? Halafu wale wenye ngeli kweli huwa wanatumia lugha moja tu wakiongea labda na vinogesho vya bahati mbaya apa na pale..ila sasa web zetu vizubgu vya kuunga tutajua hatujui,interview unaulizwa kiswahili we unajibu kingereza😂😂😂😂mbona..
Hongera saana Niffer Allah azidi kukuongoza na kukubarikia kwa cc tulio toka Bukoba tunakuombea saana Dua'a njema kwa kumtanguliza mamaako qabla yako na njia ya kufanikiwa ni kumpa furaha mzazi wako..endelea kutafuta vya halali ubarikiwe..Mkama Mungu akubere, akuwe omugisha, Wakora muno muno
Hongera sana,mama yako ni mama mwenye bahati sana ni mama ayezaa mtoto mwenye kujielewa ubarikiwe sana,wengine tulizaa watoto na wengine tulitoa uchafu tumboni.Mwanao wa kumzaa anakushikia kiuno anakutukana km yeye kakuzaa wewe eeh!!Mungu nisaidie maana unaniona 😢
Muhaya huyo bila shaka ukiwa na biashara za kuzuga mjini na kuuza kuma unafanikisha hao wahaya hawajui kukataa ukiwa na pesa zao hata wanaume 20 mtachanganywa !
Mashallah Tabaraka Allah mungu akuzidishie dadangu kwani ushatimiza lengo lilokua likikuumiza maishani mwako kuhusu mzazi akae sehemu sahii Mashallah nakupenda sana from kenya ❤❤
Hongera sn wengi wanatamani tufanye hivyo lkn malengo hawafiki.i kwa hilo hongera sn Mungu akupe miaka mingibna heri duniani akupe kila hitaji la moyo wako
Mimi huanasemaga kumpa mama furaha zawadi y nyumba nizawadi kubwa nikua umemsitiri mama jua kwamba ni yko wewe mwenyewe ila nikua umemweka mahali pa zuri
Ukiwa unauwakika wa kuingiza pesa yani unajenga fasta tu ss wengine miaka ss nyumba azijaisha lnshallhantizidi kupambana nilitamani na mm mama yangu aone kidogo changu😢😢
Mungu azidi kumbariki, ni binti mdogo anaejitambua,
Kuna watu wana mijumba mjini lkn kijijini wazee wananyeshewa mvua au wanalala njaa,
Hongera sana binti❤
😢😢😢😢😢😢kila nikiangalia nilipo toka daaah Alhamdulillh❤❤❤❤❤masha Allah Niffer ake
Huyu binti huwa namuelewa saana, hongela saana na uwe na moyo huohuo wa kutunza wazazi wako ndo kila ki2❤❤❤❤💯🙏
Kawamotivate vijana wenzie mashaalah bint hongera sana tunakupendaa sna nakupenda hufake maish mwaya utafika mbaliii muhaya wetu
Hongera saaaaaaaaaaanaaa Niffer umefanya jambo zuri kumueshimisha mzazi wako 🙏💐❤️💖
Hongera sana kwao,
Kwani watanzania kuongea kiswahili moja kwa moja tunashindwa nini??
Halafu wale wenye ngeli kweli huwa wanatumia lugha moja tu wakiongea labda na vinogesho vya bahati mbaya apa na pale..ila sasa web zetu vizubgu vya kuunga tutajua hatujui,interview unaulizwa kiswahili we unajibu kingereza😂😂😂😂mbona..
Jaman ni upendeleo wa mtu hamna restriction kwenye lugha ndomana iyoiyo English inafundishwa mashuleni na hatukatazwi kuongea popote tunapotaka.
@@nancyg8664tatizo wanao changanya ukimuambia sasa tuongee ama interview iwe kwa kingereza pekee ndio utajuwa kumbe hawajuwe kingereza
Ongera sana. Mwanangu wanaojari kudangamjini na kupanga nyumba zagarama bila kuangari mazingiraya mzazi wacha wachukuemfano kwako
Mashaallah hongera sana mdogo wangu mungu akujalie maisha malefu inshaalla akuondole hasadi
Mjengee tu maana mama alikuzaa mno mzuri mzuri sana wewe Niffer.
Mashaalah uko vizuri wataongea mengi walimwengu usijali pambana
Hongera saana Niffer Allah azidi kukuongoza na kukubarikia kwa cc tulio toka Bukoba tunakuombea saana Dua'a njema kwa kumtanguliza mamaako qabla yako na njia ya kufanikiwa ni kumpa furaha mzazi wako..endelea kutafuta vya halali ubarikiwe..Mkama Mungu akubere, akuwe omugisha, Wakora muno muno
Hongera sana,mama yako ni mama mwenye bahati sana ni mama ayezaa mtoto mwenye kujielewa ubarikiwe sana,wengine tulizaa watoto na wengine tulitoa uchafu tumboni.Mwanao wa kumzaa anakushikia kiuno anakutukana km yeye kakuzaa wewe eeh!!Mungu nisaidie maana unaniona 😢
Hongera sn! Miji2 mingine inadanga tena inachuna waxaxi badala liwasaidie.Malaya ni mslaya tu.Hongera kubwa mnoo.
Hongera sana niffer ww ni mdada ambae unajitambua sana 🥰
Congratulations niffer your shero always ,never give up for any situation
Hongera sana Nifa. Kuna wasanii wengine kujiproud mjini hata kwao hawafiki. Waige mfano kwako
MashaAllah MashaAllah Mwenyeez Mungu akuzidishie pale ulipotoa kwa ajili ya familia yako umefanya jambo kubwa kwa mzazi na ndugu
MashAllah Allah akujaze kila la kheri ongera kwa kumjali Mama
Safi Sanaa watoto wakike nijembe nawapa ga asilimia mia
Maa Shaa Allahu Tabaaraka Allahu
Mtoto mdg akili nyingi hongera zako
Hongera sana binti.
Mashaallah hongera sanaa kipenzi Niffer❤❤
Hongera sana Mungu azidi kukuinua ktk kila hatua upigayo.
Hongera Niffer Utafika mbali.Nakupenda❤❤
Huyu bint ana Akili Sana tena atafika mbali Sana
Muhaya huyo bila shaka ukiwa na biashara za kuzuga mjini na kuuza kuma unafanikisha hao wahaya hawajui kukataa ukiwa na pesa zao hata wanaume 20 mtachanganywa !
@@kabwelasutiviraka4765😂😂😂
@@kabwelasutiviraka4765 nawewe kauze yako kama utajenga ata jiko, kama rahisi
Heeee wew😢
@@kabwelasutiviraka4765😂😂kwani kabwela hunaga jema what's wrong with you
MashaAllah
Aka bachuchu Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu atakufikisha mbali
Akili nyingi niffer❤
We dada Ubarikiwe,, acha wengine wadangee , again Ubarikiwe. .
Hakika
Hongera sana kwake na bi mkubwa wake kwa kumsapoti mwanae
Hongera mamy MUNGU azid kukujaalia roho ya kumfanyia mama makubwa zaid na mm napenda sik moja aje afurah kama hiv
Mashallah Tabaraka Allah mungu akuzidishie dadangu kwani ushatimiza lengo lilokua likikuumiza maishani mwako kuhusu mzazi akae sehemu sahii Mashallah nakupenda sana from kenya ❤❤
Hongera sn wengi wanatamani tufanye hivyo lkn malengo hawafiki.i kwa hilo hongera sn Mungu akupe miaka mingibna heri duniani akupe kila hitaji la moyo wako
Imenitoa machoz san but one day yes
Aamiin yaa rabbi
Nampenda huyu dada
Hongera bint yetu mungu awe nawe daima
Niffer anajitambua wanaume mnakwama wapi??
Natamani na mm siku mmoja niwe hivyo na mm
Mashaallah ❤️ ❤️ hongera sana my Allah akujalie kz ya mikono yako
Hongera sanaaaana dad's niffer mung akuzidisshie
I love this girl❤
Wana wake bongo ya wasani ni watatu lady je dee , shilole,niffah wengine ucwara tumaisha ya kuigiza😂😂😂😂😂
Is bigger house,Iiii 6. Hongera
Umefanya vizuli san dd yang uko saw🎉
Ameen Yaarab 🤲🤲🤲 Maashallah Allah amjalie zaidi.
Amenenepa mashaa ALLAH
Hongera sana binti umeweza
Mimi huanasemaga kumpa mama furaha zawadi y nyumba nizawadi kubwa nikua umemsitiri mama jua kwamba ni yko wewe mwenyewe ila nikua umemweka mahali pa zuri
Hongera zako dada umeweza
Mungu akuzidishie
Hongera sana
MASHALLAH.Umeweza.
Hongeraa bint
Ukiwa unauwakika wa kuingiza pesa yani unajenga fasta tu ss wengine miaka ss nyumba azijaisha lnshallhantizidi kupambana nilitamani na mm mama yangu aone kidogo changu😢😢
Allahumma bareek inshaallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Waoo Niffa ongera sana kwa kumpenda mama yako
Hongera mm pia nataman kuwa hapo uliko
Una akili sana.Hongera
Huyu dada ni mdogo ila ana akil
Unahakiri sana Mungu azindi kukuongoza
Daah hongera sana dada
ELIMU ,UCHAPA KAZI NA NEEMA YA MUNGU VIMEMFIKISHA ALIPO.
Mungu akubarik jamn
Ongera Sana nifeer
Pambana na Mungu atakuzidishia😊
I proud of you ❤
In shaa Allah atujaalie🤗🤗🤗🤝🤝🤝
Ajengewe sanamu yake ❤
Ameen All best ❤
Hongera Niffer
Hujajiunga wew😮
😂 freemasons
Hongera sanaaaaa
From 🇧🇮mashaallah ❤️
Bite
Ongera niffer❤
Ongera sana
😊 inshallah mom
Nifa umefanana na mama ake
Ma Shaa Allah 🤲
Hongeraa Sana Sana
Wow safiiiiiiiiiii
MashaAllah...
Kama kweli anaolewa siamini kama mume wake angekubali kununuliy mama yake hiyo majengo hiii njo inaitwa nguvu ya mwanamuke
Mashalllah naic❤
MashaaAllah
Alleef mabroukh
Aonyeshe source of money watu wanahaso yeye anatuletea mambo ya chief godlove
Ongera dada
wahaya wako ju! mpaka wake wanawinda.
Masha Allah
Mashallah 🥰
Maa shaa Allah
Manshaallah
MAINSHAALAH
maa shaa Allah😍😍😍😍😍😍😍
Ongera yake
Hadi raha
Umeganya lamaana san nifer
MashaAllah ❤❤❤
Maishallah