Wimbo mzuri sana Nimeupenda. Na nimefurahi kuwaona wanakwaya wa nyumbani ningali mbali huku nilipo nawatakieni utume mwema daima. Mungu Mwenyezi ayabariki majitoleo yenu na abariki kazi za mikono yenu. Tumwimbie Bwana.....
Mkuu hehehehehe wapi Tena.... Au unataman turudi Seminarini ukawe Padre nawe tukutungie wimbo huo.... Au ulitaman mtunzi uwe wewe Isdory Kitunda... Baada ya kuhitimu mafunzo ya Muziki Mtakatifu
Wimbo mzuri sana Nimeupenda.
Na nimefurahi kuwaona wanakwaya wa nyumbani ningali mbali huku nilipo nawatakieni utume mwema daima.
Mungu Mwenyezi ayabariki majitoleo yenu na abariki kazi za mikono yenu.
Tumwimbie Bwana.....
Asante Sana kijana pendwa na Mwanakwaya mwenzetu mstaafu Mzee Mhagamaaaaaaa..... Barikiwa sana
❤❤❤
Barikiwa mjukuu wangu @Giuseppe-tz unaitwa mwananchi
Safii❤
Asante ndugu.... Barikiwa
Nabonyeza wapi wimbo huu uwe wangu? Ni mzuri mno. Padre kanogesha video.😂😂😂
Mkuu hehehehehe wapi Tena.... Au unataman turudi Seminarini ukawe Padre nawe tukutungie wimbo huo.... Au ulitaman mtunzi uwe wewe Isdory Kitunda... Baada ya kuhitimu mafunzo ya Muziki Mtakatifu
@@NkomokomoMedia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmefanya kitu kizuri sana. Kitaalam hapo MMECHOCHEA WITO wake.
Asante mkuu
Asante sanaa