- Видео 867
- Просмотров 321 923
Nkomokomo Media
Танзания
Добавлен 26 авг 2014
Ni Channel itakayokuburudisha...kuhabarisha....kukuwekea historia mbalimbali kikanisa...kijamii....na habari zingine zinazofaa kitaifa na kimataifa.
Pia
Tutatoa huduma za Music and Video Production .... Graphics and Design
Matangazo ya Moja Kwa Moja ya Misa Takatifu...Tamasha...Washa...Mikutano na Semina mbalimbali.
"Burudika na Habarika kiundani zaidi"
Slogan "Nkomokomo Media Creating Memories for a Lifetime"
Karibuni sana.

Roho wa Bwana yu juu yangu amenituma kuwahubiri maskini habari njema Furahini katika Bwana siku...
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE NASEMA TENA FURAHINI BWANA YU KARIBU,,,,,,,,,,, TAFAKARI NZURI KABISA DOMINIKA YA TATU MAJILIO MWAKA C TUKIONGOZWA NA FR. WILLIAM SIMON KIPELELO CSSp Paroko Msaidizi Parokia ya Mtakatifu Elizabeth Jimbo Kuu Katoliki Lubumbashi kutoka Nchini DR CONGO. KARIBUNI SANA
Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi.
ruclips.net/user/NkomokomoMedia

Просмотров: 49
Видео
Nyimbo anuai za Majilio By Kwaya ya Mtakatifu Monika Mazizini Ukonga Mpiga kinanda Jonas Mutalemwa
Просмотров 13814 дней назад
Mpenzi mtazamaji wa @NkomokomoMedia Ni Nyimbo za Dominika ya Pili ya Majilio karibu tutafakari nyimbo hizo huku tukimngojea Mfalme wa Amani tukiyaandaa mazingira ya Mioyo yetu ili akute tukiwa wasafi na mabonde yote tutayasazisha kabla hajafika......... ZIMEIMBWA NA KWAYA YA MTAKATIFU MONIKA MAIZIZNI PAROKIA YA MTAKATIFU AUGUSTINO UKONGA JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM NA KINANDA KIMECHEZWA NA...
Itengenezeni njia ya Bwana yanyosheni mapito yake /Tusimkaribishe Mfalme pachafu Fr.W. Kipelelo CSSp
Просмотров 3614 дней назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia TUNAALIKWA KUMKARIBISHA BWANA NA MFALME WA AMANI KATIKA MAZINGIRA SAFI YAANI MIOYO YETU ILIYO HEKALU LA ROHO MTAKATIFU IWE SAFI.............TUNAONGOZWA NAYE PADRE WETU WILLIAM KIPELELO CSSp Paroko Msaidizi Parokia ya Mtakatifu Elizabeth Jimbo Kuu Katoliki Lubumbashi nchini DR Congo..............KARIBUNI SANA. Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and shar...
Ee Bwana utuonyeshe rehema zako utupe na wokovu wako Tafakari Dominika kwanza Majilio Fr.Kipelelo
Просмотров 2421 день назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Ni Dominika ya kwanza ya Majilio tunapoalikwa kusali na kuomba daima ili Mfalme wa Amani apate kuzaliwa katika mioyo yetu................ Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi. ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/Nk...
ASKOFU MKUU JUDE THADDEUS RUWA'CHI AFANYA MABADILIKO NA MAJUKUM KWA MAPADRE JIMBO KUU DAR ES SALAAM
Просмотров 43Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Askofu Mkuu Jude Thaddeus Ruwai'chi amefanya mabadiliko hayo katika Misa ya shukuruani ya Mavuno Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam iliyoadhimishwa katika viwanja vya Parokia ya Kristo Mfalme Tabata..... Karibu ufuatilie kwa kina Taarifa hiyo kwa kuitazama video hiyo na utahabarika zaidi............. Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel y...
PAROKIA TEULE MBILI ZATANGAZWA HUKU JUMUIYA TANO ZAHAMISHWA KUTOKA PAROKIA YA MADALE
Просмотров 19Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Mhashamu Askofu Mkuu Jude Thaddeus Ruwai'chi avipandisha hadhi Vigango viwili kuwa Parokia Teule................ Pia amezihamisha Jumuiya ndogondogo tano kutoka Parokia ya Madale kwenda Parokia ya Muungano na hivyo kuzifanya zitambulike rasmi kama Jumuiya ndogondogo za Parokia ya Muungano.... Yote hayo yamefanyika katika Sherehe za shukurani ya Mavuno Kijimbo ...
Yesu Kristo ni Mfalme wa Amani Tafakari nasi na Fr. William Kipelelo CSSp/Abarikiwe yeye ajaye
Просмотров 47Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima. Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele AMINA Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi. ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/u...
EKARISTI TAKATIFU CHEMCHEMI NA KILELE KATIKA MAISHA YETU NA.PADRE JOANES KAMADU
Просмотров 14Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Ekaristi Takatifu ndicho kilele na Chemchemi katika maisha yetu......................................... ameyasema katika adhimisho la MISA TAKATIFU KOMUNYO YA KWANZA PAROKO MSAIDIZI PAROKIA MTAKATIFU AUGUSTINO UKONGA PADRE JOANES KAMBADU Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha k...
KWAYA MT DON BOSCO MKURANGA TAMASHA MT ANTHONY PAD
Просмотров 18Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa ruclips.net/user/NkomokomoMedia karibu sana katika Channel yetu Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi. ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia
TAFAKARI NASI DOMINIKA 33 MWAKA B KUTOKA JIMBO KUU LUBUMBASHI DR CONGO Na. Fr. William Kipelelo CSSp
Просмотров 9Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Kamwe tusisahau wema wa Mungu kutokana na changamoto tunazokumbana nazo katika maisha yetu ya kila siku..................... Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi. ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia
KWAYA MT FRANCISCO WA ASIZI PUGU TAMASHA ANTHONY W
Просмотров 11Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa ruclips.net/user/NkomokomoMedia karibu sana katika Channel yetu Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi. ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia
KWAYA MAXMILLIAN KOLBE BUYUNI CHANIKA TAMASHA MT A
Просмотров 29Месяц назад
Mpenzi mtazamaji wa ruclips.net/user/NkomokomoMedia karibu sana katika Channel yetu Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and share channel yetu kwa watu wote ili nao wapate yale yote tunayoyapandisha kwa wakati sahihi. ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia ruclips.net/user/NkomokomoMedia
KWAYA MT JOSEPHINE BAKITA PUGU TAMASHA MT ANTHONY
Просмотров 24Месяц назад
KWAYA MT JOSEPHINE BAKITA PUGU TAMASHA MT ANTHONY
UNIUMBIE MOYO SAFI KWAYA MT. FRANCISCO WA ASIZ KIPAWA KATIKA TAMASHA LA UPONYAJI
Просмотров 62Месяц назад
UNIUMBIE MOYO SAFI KWAYA MT. FRANCISCO WA ASIZ KIPAWA KATIKA TAMASHA LA UPONYAJI
TAFAKARI NASI DOMINIKA 32 MWAKA B NA FR. WILLIAM KIPELELO CSSp KUTOKA LUBUMBASHI NCHINI DR CONGO
Просмотров 28Месяц назад
TAFAKARI NASI DOMINIKA 32 MWAKA B NA FR. WILLIAM KIPELELO CSSp KUTOKA LUBUMBASHI NCHINI DR CONGO
RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA BY ERNESTUS OGEDA HD // UKONGA CATHOLIC SINGERS (UCS)
Просмотров 276Месяц назад
RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA BY ERNESTUS OGEDA HD // UKONGA CATHOLIC SINGERS (UCS)
Kwaya ya vijana Parokia ya Roho Mtakatifu Kitunda Tamasha la Vijana Dekania ya Ukonga
Просмотров 20Месяц назад
Kwaya ya vijana Parokia ya Roho Mtakatifu Kitunda Tamasha la Vijana Dekania ya Ukonga
Ninyi ni chumvi ya Ulimwengu ........ Asema Bwana
Просмотров 25Месяц назад
Ninyi ni chumvi ya Ulimwengu ........ Asema Bwana
Kwaya ya Vijana Parokia Teule Marko Mwinjili Gongolamboto-Tamasha la VIWAWA Dekania Ukonga
Просмотров 39Месяц назад
Kwaya ya Vijana Parokia Teule Marko Mwinjili Gongolamboto-Tamasha la VIWAWA Dekania Ukonga
Nami Namshukuru Kristo By David Vyaranse Kwaya Mtakatifu Monika Mazizini Ukonga
Просмотров 1322 месяца назад
Nami Namshukuru Kristo By David Vyaranse Kwaya Mtakatifu Monika Mazizini Ukonga
Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo uyatie Nuru macho ya mioyo yetu... Tafakari Nasi Fr.Kipelelo CSSp
Просмотров 232 месяца назад
Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo uyatie Nuru macho ya mioyo yetu... Tafakari Nasi Fr.Kipelelo CSSp
Fungua mioyo yetu Ee Bwana, ili tuyatunze maneno ya Mwanao na Fr. William Kipelelo CSSp kutoka Congo
Просмотров 1212 месяца назад
Fungua mioyo yetu Ee Bwana, ili tuyatunze maneno ya Mwanao na Fr. William Kipelelo CSSp kutoka Congo
Maisha siyo vitu, maisha ni watu/ Ishi na watu vizuri upate vitu Fr.Njiku akituongoza katika Homilia
Просмотров 622 месяца назад
Maisha siyo vitu, maisha ni watu/ Ishi na watu vizuri upate vitu Fr.Njiku akituongoza katika Homilia
Tafakari Dominika 27 Mwaka B Mtu akinipenda atalishika neno Lang//Fr William Kipelelo CSSp atafakari
Просмотров 882 месяца назад
Tafakari Dominika 27 Mwaka B Mtu akinipenda atalishika neno Lang//Fr William Kipelelo CSSp atafakari
UFUNGUZI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU //HOMILIA YENYE MAFUNDISHO MAZURI JUU YA FAIDA ZA KUSALI ROZARI
Просмотров 882 месяца назад
UFUNGUZI MWEZI WA ROZARI TAKATIFU //HOMILIA YENYE MAFUNDISHO MAZURI JUU YA FAIDA ZA KUSALI ROZARI
Hatuwezi kuyakwepa Mateso katika maisha yetu Fr Benedict Shemfumbwa Homilia/Ndoa ya Mr&Mrs Denis
Просмотров 892 месяца назад
Hatuwezi kuyakwepa Mateso katika maisha yetu Fr Benedict Shemfumbwa Homilia/Ndoa ya Mr&Mrs Denis
Tuvikatae vilema vinavyotuzuia kumuona Mungu Fr William Kipelelo CSSp kutokea Lubumbashi Congo
Просмотров 1122 месяца назад
Tuvikatae vilema vinavyotuzuia kumuona Mungu Fr William Kipelelo CSSp kutokea Lubumbashi Congo
Tutumie vipawa vyetu/ Taaluma zetu kutenda haki na Fr. Dickson Simon Komba C.PP.S Radio Vaticana
Просмотров 293 месяца назад
Tutumie vipawa vyetu/ Taaluma zetu kutenda haki na Fr. Dickson Simon Komba C.PP.S Radio Vaticana
Ekaristi Takatifu ni chakula cha uzima kweli maneno matamu kutoka kwa Mhashamu Ask Wolfgang Pisa
Просмотров 493 месяца назад
Ekaristi Takatifu ni chakula cha uzima kweli maneno matamu kutoka kwa Mhashamu Ask Wolfgang Pisa
Very nice
Thanks
🎉🎉🎉🎉
🌹🌹🌹
Barikiwa San padre wetu
Nyimbo naipenda ila nimeikosa kwa mtandao
Asante Kwa kutufuatilia....nasi tukipata nakala hiyo tutakupatia
@@NkomokomoMedia Amina
Poa ndugu karibu sana
Nyimbo naipenda ila nimeikosa kwa mtandao
Endelea kuwa nasi ndugu ipo siku utaipata
asante kwaujumbe mzuri unatukumbusha tusijisahau maishaya hapaduniani
Amina ndugu ...Karibu Sana na endelea kuwa nasi daima
Safi.safi.safi.safi practise makes perfect
Hakika
Aweeee💦tumekumis kanisani hujaja muda jamn😢
Camera haiendi Altareni inazungukq sehemu moja tu why
@@MonikaPaulo-jx2jm Asante Kwa maoni mpendwa tutalifanyia kazi..... Tunashukuru Sana Kwa upendo mkubwa kwetu... Barikiwa sana
Hongereni kwa kumpokea Kristo ndugu zetu wapendwa. Daima mdumu na kumpenda Mungu katika maisha yenu
@@ChristopherMhagama-ls9zd Asante sana ndugu Barikiwa pia Kwa kuendelea kuwa nasi Kila wakati
🎉🎉🎉🎉
Thanks alot
Wimbo umeimbwa Kwa hisia😢😢 Anyway wimbo mzuri hongeren waimbaj
@@jumbenkomokomo9826 Asante barikiwa mno...... Ogeda Kama mtunzi alifikiria Sana na kutunga wimbo MZURI namna hiyo
Daaaaah company hii nimeimiss snaaa
Hakika ni kampani ya ukweli mno
Amina 🙏
Barikiwa Sana ndugu
Safii❤
Asante ndugu.... Barikiwa
Namuona kisogole
@@avitusverus9543 kijna anaupiga mwingi
Nabonyeza wapi wimbo huu uwe wangu? Ni mzuri mno. Padre kanogesha video.😂😂😂
Mkuu hehehehehe wapi Tena.... Au unataman turudi Seminarini ukawe Padre nawe tukutungie wimbo huo.... Au ulitaman mtunzi uwe wewe Isdory Kitunda... Baada ya kuhitimu mafunzo ya Muziki Mtakatifu
@@NkomokomoMedia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmefanya kitu kizuri sana. Kitaalam hapo MMECHOCHEA WITO wake.
Asante mkuu
Asante sanaa
Wimbo mzuri sana Nimeupenda. Na nimefurahi kuwaona wanakwaya wa nyumbani ningali mbali huku nilipo nawatakieni utume mwema daima. Mungu Mwenyezi ayabariki majitoleo yenu na abariki kazi za mikono yenu. Tumwimbie Bwana.....
Asante Sana kijana pendwa na Mwanakwaya mwenzetu mstaafu Mzee Mhagamaaaaaaa..... Barikiwa sana
❤❤❤
Barikiwa mjukuu wangu @Giuseppe-tz unaitwa mwananchi
OK
Thanks
Kaka Naweza Kupata mawasiliano Yako samahn lkni
@@NISRICHUMA Karibu Sana ndugu.... WhatsApp 0715130606 Calls 0769656867
Father you are the best ✌️ ❤❤
Mungu ambariki zaidi
Komanya
Fundi huyo....Yuko vizuri
Awesome ❤
Thanks
Amen
@@AnnaJacob-r8j Barikiwa sana mpendwa kwa kuwa nasi
Ila baraka😅😅😅😅😅
Ni fundi huyo Kaka Hadi balaaaa.... hongeren
Ila mashibeee😂😂😂😢😢😢😢
Yuko vizuri kwakweli anapiga kinanda haswaaaaa
Sauti yake Iko fine
Amina
Asante sana Baba William kwa tafakari nzuri nimejifunza kuongeza kitu kipya siku ya leo. Ruhusu na wengine wafanye kazi pamoja nami
Asante ndugu Kwa niaba ya Padre wetu William Kipelelo CSSp
Hongera sana baba William
Amina Kwa niaba barikiwa Sana mpendwa
Wimbo wangu pendwa, Mungu awabariki waimbaji wote
@@grolia2379 Amina barikiwa Sana ndugu Katika Kristo
🙅🙅🙅🙅
Najivunia kuwa mkatoliki,, Bas baba kwa mafundisho haya yaloshiba,naomba muwaelekeze wana Karismatiki kwauzuri ili waelewe wanapaswa kuwa namna gani kwani siku hizi wamekuwa kinyume kabisa na misimamo na uhalisia wa Kanisa Katoliki...Mungu akutunze Fr Maliva..
Asante ndugu naamin UJUMBE umefika
Aminaa ubarikiwe sana
Amina na pia tuzidi kumuombea Apumzike Kwa Amani Marehem Padre Raymond Saba
Wow🎉🎉🎉 God bless your servant❤❤
Amen
Ubarikiwe baba padri....umeimba vyema🙏🙏🙏🙏🙏
I love you father, May God bless you, and strengthen your vocation
Wow thanks to God ❤❤
Sawa kak
Hehehehehe Dr. Vipi Tena..... Asante Kwa kuwa nasi
Mungu akubariki sana kwa kaz yako ya kueneza neno lake padri
Amina
❤❤❤
Safi sana
Asante Sana mkuu
Wewee padre, i like that.song and how you dance it God bless you 🙏.
Mungu akubrki father iliuendlee kuhubur neno
Waooo Mungu akubariki
My favourite father
🙏
Oh God we thankyou for the gift of all priests and religious. Bless them, comfort them. Our Blessed virgin Mary our Mum, pray for them together with st. Joseph, all Angels, Archangels and saints. Amen.
Amen
Toa andiko Maria anawaombea,hakuna ,Maria ni maiti hadi WA Leo,funguka macho soma biblia