ALIKIBA ASHINDWA KUJIZUIA TENA, AMJIBU MBOSSO KWAMARA YA PILI /SIWEZI KUSHINDANA NA MUIMBA TAARABU..

Поделиться
HTML-код

Комментарии •

  • @ZaZa-ck9sf
    @ZaZa-ck9sf 20 дней назад +2

    Mboso mshamba achana nae shoga huyo penda sana kiba ❤❤❤❤

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 23 дня назад +4

    Wivu hauna mpaka, Mboso anatafuta kiki😂😂😂

  • @nassirali4388
    @nassirali4388 24 дня назад +3

    Ali kiba powa uko sawa❤

  • @chrismopia
    @chrismopia 19 дней назад +2

    From watamu kenya..kiba the best one there's..achana na hao vibaka tu..sasa mboso kidude gani ya kushindana na kiba🤔ata huyo boss wake bado sana kw kiba😒

  • @EmmanuelNakeor
    @EmmanuelNakeor 21 день назад +3

    King we endelea kutupea burudani achana wifu ya wcb tunajua boss waoh ndo amewatuma cuz Muzik inaenda kuwalemea

  • @YassinKihamu-q7m
    @YassinKihamu-q7m 22 дня назад +4

    alikiba mwanaume ata mkiungana kumchafuwa bado hamtoweza

  • @SolomonAdams-t8j
    @SolomonAdams-t8j 21 день назад +3

    CHUKI INA ASILI YA KUTOCHAGUA MANENO YA KUONGEA.
    ACHA CHUKI MSHAMBA WEWE
    Chagali1kagame

  • @SolomonAdams-t8j
    @SolomonAdams-t8j 21 день назад +2

    Duu huyu Dogo Nilikuwa Namuona full miakili kumbe Chizi
    Unajifunza Ngumi Ukapambane na Tayson (Maluku)

  • @abdulkarimharsheems3187
    @abdulkarimharsheems3187 21 день назад +3

    Lakini ukimuangali Alikiba na Mbosso mbona kama Mbosso ndo anaonekana mzee

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 20 дней назад

      Kamboso kajinga sana kamepakatwa na mondy Leo kama leta dharau bwege ww Tena Kwa mtazomo tu mboso na Ali ww ndo unaonekana umechoka na Mzee sura yako mbayaaa kama chura

  • @FeruzLisinge
    @FeruzLisinge 24 дня назад +4

    Mboso hakuwa na chakuongea mziki hauna uzee. mziki hauna umri. hili jamaa jinga sana. ndomana hana Furaha. we imba taarabu zako wanaume wanaimba bongo frevaaaa

    • @JUMAMALEMBI
      @JUMAMALEMBI 23 дня назад

      Kweli buana aambiwe ukweli huyu kijakazi🤣🤣🤣

    • @SolomonAdams-t8j
      @SolomonAdams-t8j 21 день назад

      Level yake ya kufikiria ni ndogo lakini kumbuka CHUKI INA ASILI YA KUONGEA BILA MAKADIRIO. Allahu amuongoze

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo 17 дней назад

      Mboso yuatumiwa na mkubwa wake atajajutia baadae .......hekima sio utumwa

  • @SolomonAdams-t8j
    @SolomonAdams-t8j 18 дней назад +1

    ACHA TABIA ZA KIHINDI TZ

  • @SaidiMwero
    @SaidiMwero 23 дня назад +2

    Kwani umri unahusiana wapi na mziki ama unastaafu ukiwa na miaka ngapi, kweli kama hujaenda shuleni laaa ni balaa

  • @AlexNiyonzima-y2m
    @AlexNiyonzima-y2m 24 дня назад +4

    I have question koffe Olomide na King Kiba nani Mzee jamani Alikiba ni kijana tupe mziki mzuri king Kiba

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo 17 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂obviously koffi ni babu

  • @OmariNjia-i8q
    @OmariNjia-i8q 23 дня назад +2

    Ali k akiacha mziki pia yeye aache kuvaa kike

  • @MRUTAMASUD
    @MRUTAMASUD 23 дня назад +2

    Mziki unamzee au kijana uyo anae mfuga AP wcb mbona kazeeka kwanza t kiwasitani akuna wakumtow kba kunimziku nawew mbosso unatafuta kiki tu akuna kingine au kwakuwa alikataa kolobo yak kiba anakawaid ukiona amekata kolabo yKo ujuw niyamatusi ndoman kaka ta

  • @AsiaRamadhan-i5o
    @AsiaRamadhan-i5o 22 дня назад +1

    Huyo ni motot bd haj kuwa 😂

  • @DadeCajanja
    @DadeCajanja 23 дня назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 23 дня назад

    Mzee baba ake Haile Silase maana alikufa akiwa na miaka 120. Au Kiba kamzaa Kofie Olomide au Babu wa Kitambaa cheupe. Hekima na busara umetumia kumjibu. Sio taarabu anaimba tokomile ngoma ya mkoleni.

  • @DavidMarash-su6eu
    @DavidMarash-su6eu 24 дня назад +1

    Sasa kama sii ukosefu wa adabu Alikiba anafaa kujibizana na mbossa kweli? Aache tu maana amezeeka