jamani Silass tv niwatie moyo tuko pamoja sana.nafatilia na napenda sana mafundisho haya ya dr.kulola.naombeni muendelee kurusha bila kuchoka kuna watu tunapona mwili na Roho.hii ni injili pekee haipatikan popote tena.ilihubiriwa ikaokoa na mpaka leo inaendelea kuokoa kwa sauti hii.Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa kutujali.mmewekewa taji mbinguni.
Tafuta namna wewe ndio uwe mhubiri wa aina hiyo, wewe uwe sababu ya baraka ya wengine. Yaani umtafute Mungu kiwango cha kuwa kama kulola, INAWEZEKANA mimi ni mmoja kati ya watu wanaotafuta sura hiyo.
Ndugu yaani kwa maisha ya sasa unatakiwa wewe ndio uinuke kuanza kuyaishi haya kwa nguvu zote hasa kwa njia ya MAOMBI MENGI kila siku (uombe angalau masaa mawili) na hapo ndipo utaweza kubadilika, nje na hapo haiwezekani ndugu.
Barikiwa sana SYLAs TV kutuletea mahubiri ya baba yetu moses kulola nabarikiwa sana na ujumbe wake hakika unagusa mtendo ya kila mmoja
haya ndo maubiri tunayohitaji katika kipindi hiki,asante YESU kwa neno hili
Nabarikiwa sana
Ameni baba Moses kulola, muhubili haya yananibadirusha Sana barikiwa baba,
Pia mim nabarikiwa sana katika mahubiri yake mtumishi huyu, Mungu ni mwema.
Uyu mungu wetu afananishwi nanadamu yeye nimukusana
Nabarikiwa Sana mtumishi na mafundisho yako
jamani Silass tv niwatie moyo tuko pamoja sana.nafatilia na napenda sana mafundisho haya ya dr.kulola.naombeni muendelee kurusha bila kuchoka kuna watu tunapona mwili na Roho.hii ni injili pekee haipatikan popote tena.ilihubiriwa ikaokoa na mpaka leo inaendelea kuokoa kwa sauti hii.Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa kutujali.mmewekewa taji mbinguni.
Amoke SANGA mahubiri mzr sana nimeguswa sana
Ninataman Roho wa mungu asimame ili wahubiri wengine Kama DR kulola wainuliwe.
Ole wangu nisihihubiri injili
Mungumwema
Umetwaliwa lakini kazi ya mungu ulioifanya inatenda kazi hata sasa mana tunaponywa na kubadilishwa kupitia mahubiri haya.
Neno halis la MUNGU
Eeeeeeeh unihurumieee
Hakika neno hili limenigusa sana
Balikiwa sana baba rip
Mungu atuhurumie kwahuruma yake
Hatutasahau injili yake imenyooka
Mungu tunaomba utupe wahubiri Wa namna hii.
Ni wewe
Nsia Massawe mungu akubariki
Tafuta namna wewe ndio uwe mhubiri wa aina hiyo, wewe uwe sababu ya baraka ya wengine. Yaani umtafute Mungu kiwango cha kuwa kama kulola, INAWEZEKANA mimi ni mmoja kati ya watu wanaotafuta sura hiyo.
Mahubri ya kujiandaa na ufalme wa Mungu
Amen
Babu mahubiri yako natamani watumishi wangefuata nyayo zako
Ndugu yaani kwa maisha ya sasa unatakiwa wewe ndio uinuke kuanza kuyaishi haya kwa nguvu zote hasa kwa njia ya MAOMBI MENGI kila siku (uombe angalau masaa mawili) na hapo ndipo utaweza kubadilika, nje na hapo haiwezekani ndugu.
Eer
Amina
Naomba nitumie kwenye wasapu 0679598210
Amen
Amina