Kwer kbs yan nakuunga mkono mama na dada uwenda kulinuka ndan hakawachoma moto sas na yeye dada kuburuzwa seblen ilikuaje mama nae mapanga chumban yan sielew😢😢
Ukiwaza kwa haraka utapata jibu apo changamoto ni mapenzi mtu kafanya ivo kulipizwa kisasi...uneza kuta mke labda alikua na mtu wanje akamletea miayusho ,ukizingatia pia jama hakuepo alikua mkoani ukute mke alileta miayusho uko
Pole sana kaka jipe moyo mkuu Mungu yupo
Poleni Sana mungu atawadhibu waliofanya usability huo
Daah inauma sana watu wanavamiwa mpk watu waliolala ndani subhunnah allah 😭, innalillah wainan lillah rajoun
duuu poleni sana
Poleni ndugu zangu Mungu awatie nguvu😢😢
Pole saaaana mungu akupesubra
Poleni sana wazazi
Pole sana bro mungu akufanyie wepesi 😢
Mungu wangu ni walivamiwa ndani kwao
Pole sana mzalendo
Pole Mungu aliye HAI akutie nguvu....
Poleni jmn mungu awacmamie ktk kipindi iki kigumu 😭🙆
Mungu awape subra inshaaAllah
Eee Mungu uclalee,hayo mashetwani yakipatikana yachomwe hadharani iwe fundisho.
Poleni sana, askari walitakiwa kufika ndani ya dk 15 au inategemea umbali,lakini baada ya masaa mawili?
Sielewi niseme nini,ila mungu atusaidie tuliombee Taifa letu
Uwiii eeh Mungu Tusaidie😭😭😭😭😭😭
Poleni sana
Kuna mitihani duniani jamani
Mungu tusaidie
nimelia sanaaa jamani
Pole sana
Dodoma imepatwa na nini jamani 😢 haya matukio kwa dodoma imekuwa tishio hata Arusha kwa Sasa inaunafuu sana. Dodoma halafu ndiyo makao makuu 😢😢😢
My God Tanzania yetu kunatisha matukio ya mezidi,hii damu hii,tutapata laana kwenye taifa letu,hu ni wivu tu.labdabhicho kiwanja kina mgogolo.
Yaani tuombe Mungu, maana wapo wanaotetea hali hii hawajui madhala yake
Hat km ni mgogoro sio kuua wat wasio nahatia kwan hao ndio walijenga hap.
polen sana
Poleni
Poleni Sana.
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya 😭😭😭😭
Polen Sana Wanafamilia
Daaa😢😢😢 eeh Mungu naamini unaona na siku zote upo macho iangalie hiii familiya na waliofanya hya bas unajua hukumu ywke😢😢
Mmh usikute ni ugomvi wa mama mwenyenyumba na dada wa kazi iweje nyumba iwe imefungwa kwa ndani
Kwer kbs yan nakuunga mkono mama na dada uwenda kulinuka ndan hakawachoma moto sas na yeye dada kuburuzwa seblen ilikuaje mama nae mapanga chumban yan sielew😢😢
Naona shetani sasa kaamia Dodoma jamani
SubhanaAllah😭😭😭
Wameuliwaje?
Jaman nyie tunaelekea wapi hili genge la utekaj na mauaji mbona linazd,mola tuhurumie utulinde
Labda mke wako ana maadui au ndugu jamaa na rafiki zako
Dodoma kuna baadhi ya mijitu ina roho mbaya.
Maswali yamtangazaji
Ukiwaza kwa haraka utapata jibu apo changamoto ni mapenzi mtu kafanya ivo kulipizwa kisasi...uneza kuta mke labda alikua na mtu wanje akamletea miayusho ,ukizingatia pia jama hakuepo alikua mkoani ukute mke alileta miayusho uko
Mamiungu ya Indonesia yaliyoletwa na wakuu yanafanya kazi tangu lini shetani alete amani? Upungufu wa akili na wakawa viongozi ni hayo.
Usalama KWA SASA uko mashakani ni MUNGU PEKEE ndio atulinde na kutuokoa
Pumzika Kwa amani mdogo wangu Fatuma M. Mwafula
Dodoma sasa too much
Poleni sana wazazi
Poleni sana
Poleni sana