MZEE SAID | ILE NDIO DAWA YA BOKA UNAKULA KADI UNAENDA NJE | DUBE ANAKOSA MAGOLI YA KICHAWI KICHAWI😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 88

  • @SHARIFF-N5W
    @SHARIFF-N5W 3 месяца назад +23

    Unajua nini mzee Said ni shabiki wa simba.lakini ni mchambuzi mzuri sana wa mechi ambayo ukiwa utazungumzia na anaongea ukweli huwa hapendelei upande kwenye kuongelea mechi.sasa hapa changamba ndio anatukosesha raha wangapi wanakubali maoni yangu wanipe like za kutosha.

    • @SHARIFF-N5W
      @SHARIFF-N5W 3 месяца назад

      Nashukuru kwa like zenu .nawambia kweli kama kuna mtu producer ukimsoma Mzee Saidi unampeleka mjini unabadilisha maisha yake na yako .mimi naona akipata mzamini na mtu wa kukaa nae AZAM TV anakipindi wana familia like zenu kama mumenisikia

  • @triceyanga
    @triceyanga 3 месяца назад +10

    mzee Said chagamba anapenda kukuzingua😂Tanganyika nzulule😂😂😂

  • @MariaSigan-i6g
    @MariaSigan-i6g 3 месяца назад +7

    Ww mzee said subili zamu yako inakuja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JumanneMathiasi
    @JumanneMathiasi 2 месяца назад

    Mzee saidi unahisitoria nzurisana kwasokala TANZANIA hongelasana mi mwananchi nakuku bara sana baba Niko ushetu kahama shinyanga

  • @BiutyMaokola
    @BiutyMaokola 3 месяца назад +4

    Chagamba nampenda sana mzeee saidi japo mm yanga

  • @mamuwadomu8448
    @mamuwadomu8448 3 месяца назад +5

    Mzee said anachekesha sana kwenye radio 📻 hapo nimecheka sana 😂😂😂😂

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 3 месяца назад +1

      Radio ikikataa kusema unaipiga kofi😅

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 3 месяца назад +2

    Mzee said tulikumisi mno😂😂😂😂

  • @josephgamba8389
    @josephgamba8389 3 месяца назад +8

    Afadhar tumemuona Mzee Said mana finest online ilkuwa imepoa bila Mzee Said

  • @ChachaRhobi-x7m
    @ChachaRhobi-x7m 3 месяца назад +5

    ahhahaha ila mzeee said ulikuw una tak wa pigw s7 ila side 😂😂😂

  • @akaniwa04tv35
    @akaniwa04tv35 3 месяца назад +1

    Huyu mzee yuko vizuri

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 3 месяца назад +2

    Ukweli Mzee Said anatunza sana kumbukumbu mpira anaujua kuuchambua

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 3 месяца назад +13

    Daaaaaahhhhhhhh jamani mpira kitu Cha ajabu sana maneno yote hayo ulisifia Simba mwisho wa siku imefungwa na coasto 😂😂😂😂

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 3 месяца назад +1

    Mpira wa kwenye redio ilikuwa balaa na Swedi mwinyi 😂😂😂😂😂

  • @BS126
    @BS126 3 месяца назад +2

    Nakula nyingi Leo 😂😂😂😂 🎉

  • @DevothaNelson-w2u
    @DevothaNelson-w2u 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂mzee Said bhana anani😂😂😂😂😂

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 месяца назад +2

    Mzee mwenzangu mechi ya African sports na coast kweli mpira ulipasuka ukielekea nyavuni ukapasuka juu kabla kuvuka msitari gozi likadondoka kabla kuvuka mpira uksishia hapo na haikua goli shuti alipiga Yasini Abuu Napili wa coast sports wachawi balaa😅

  • @AshaAmiry-x6v
    @AshaAmiry-x6v 3 месяца назад

    Mzee Said Acha uongo, kwan mlivyokula tano simba mlikua wangapi uwanjan?😂😂😂😂😂😂

  • @mohamedmabruki7866
    @mohamedmabruki7866 3 месяца назад

    Hahahaaaaa😂 mzee saidi 😂

  • @MoiseMishenyimateranya
    @MoiseMishenyimateranya 3 месяца назад +2

    Sasa bwana kwa Nini hamusikilikane tangu mwende zazimba muzee saï haupatikane

  • @FaridaEzekia
    @FaridaEzekia 3 месяца назад +1

    Et duka la mafuta ❤

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 3 месяца назад

    👏👏👏 mzee said

  • @jamila-wf5oj
    @jamila-wf5oj 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂 Yani Mzee said

  • @saidkhelef4601
    @saidkhelef4601 3 месяца назад +1

    Chagamba kesho wahi kwa mzee said

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 3 месяца назад

    😅😅ulipasuka kweli

  • @AhmadiLuhata
    @AhmadiLuhata 3 месяца назад +1

    Mm namtetea mzee wangu. Alisema akianza kufunga max ila sio mwingine kisha max kufata.
    Mechi ile cpl ndio alianza kisha akafata max

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 месяца назад

    Hahah asnte mzee said

  • @nyukiperfect4671
    @nyukiperfect4671 2 месяца назад

    Naombeni namba ya mzee saidi nimtumie zawadi

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 2 месяца назад

    Mpira ulipasuka katika mpigaji nakipa Alikuwa saidi joji

  • @KalenjeMasoud-vg3om
    @KalenjeMasoud-vg3om 3 месяца назад

    Hahaha hatua nne yuko ndani

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 3 месяца назад

    Mzee saidi rekebisha kola

  • @RamadhanAshock
    @RamadhanAshock 3 месяца назад

    Huyu mzee unamuelewa kweli

  • @AhmadMninga
    @AhmadMninga 3 месяца назад

    Ilaa huyo mzee jamani ni balaaaa

  • @AshimMbeg
    @AshimMbeg 3 месяца назад

    Sawa mzee wetyu

  • @WinifridaSwai
    @WinifridaSwai 3 месяца назад

    whap whap🤣🤣🤣🤣

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 3 месяца назад +2

    Mzee Said sio John Dirani John Deer kampuni ya mashine Canada

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 3 месяца назад

      Ni kweli ni John deer na kuna trekta yapo hayo john deer. Pia

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 3 месяца назад

    Huyu Mzee said nae comedy an

  • @DaudiKanyepa
    @DaudiKanyepa 3 месяца назад

    Maiki imeoga😅😅😅

  • @IbrahimMohammed-f2t
    @IbrahimMohammed-f2t 3 месяца назад +1

    Chagamba usifanye hiyoo tena unafutann sasa hapo inamaana vua nying

  • @Selemasaid
    @Selemasaid 3 месяца назад +1

    Mzee side tarehe 19 kazi unayo

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 3 месяца назад

    Mzee saidi bwna et pwa pwa nenda rudi

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 3 месяца назад

    Kuhusu hlo la Aziz kusababisha jam hata ferry soko la samaki ilishamkuta,ilibid police waingilie kutawanya watu

  • @MedrickMgode552
    @MedrickMgode552 3 месяца назад +3

    Chagamba mbona huja muhoji mzee said kuhusu sale ya jana

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 3 месяца назад

    Nilishangaa kusikia jamaa mmoja akisimulia kuwa "BABU YAKE NDIYE ALIIYEFANYA ILE KAZI YA SPORTS NA COAST YEYE AKIWA MDOGO iligharibu GUNIA ZIMA LA MIFUPA IKATIWA BAHARINI MMOJAMMOJA KISHA KIUMBE CHA AJABU KIKATOKEA .Duh jamani mtafuteni awahasithie mm niliogopa

  • @bisekomasyenene2385
    @bisekomasyenene2385 3 месяца назад

    Chagamba lister mwingereza na pitter ni jerumani
    Ndio maana ikaitwa lister & pitter

  • @AllyAthuman-z9b
    @AllyAthuman-z9b 3 месяца назад

    Chagamba hiyo kweri na ijajirudia Tena kati ya mchunga bakari na Yasin napili mpira ulikuwa unataka kuingia wavuni kulitokea Bambi mpila ulipasuka pia

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 3 месяца назад

    Sawa ilishawahi kutokea Tanga coastal union vs tukuyu stars, said chalamanda kapiga crosi mshambuliaji wa tukuyu stars Richard Lumumba kajitwisha kichwani mpira ukawa unaelekea wavuni ukapasuka!!!

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 месяца назад

    Simba kwatimu alizo pangiwa hata shinda hata moja

  • @RemigiusRaphael-p7z
    @RemigiusRaphael-p7z 3 месяца назад

    Mzee said ni burudani

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 3 месяца назад +1

    Waoooooooo❤❤❤❤

  • @MuminMuminamduni-hx4pk
    @MuminMuminamduni-hx4pk 3 месяца назад

    Noma

  • @franciscogosbert9603
    @franciscogosbert9603 3 месяца назад

    Mzee saidi anasemaje kuhusu sare na coast au hati kuojiwa😂?

  • @LucasDeus-l8m
    @LucasDeus-l8m 3 месяца назад

    Chezea mzee Said ni mwamba kweli kweli

  • @EdwardEdson-m1x
    @EdwardEdson-m1x 3 месяца назад

    Tuliwamix jamani

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 2 месяца назад

    Mpigaji Alikuwa vikta mkanwa

  • @zuhuranasoro8923
    @zuhuranasoro8923 3 месяца назад

    Mnona sikua nawaona online fines? Leo ndio naangalia interview ya mzee saidi😢

  • @sportstartv3781
    @sportstartv3781 3 месяца назад

    Wakati huo hakuna FM ni AM tu

  • @MohamedAbdala-kl7gn
    @MohamedAbdala-kl7gn 3 месяца назад

    Nikweli alipgiga yasini abunapili

  • @GDjudah
    @GDjudah 3 месяца назад

    😅😅😅

  • @salumpili9630
    @salumpili9630 3 месяца назад +9

    Anaesemaga mzee said anaongea kwa kuchekesh hana akili 🤨maish yenywe mafup ya nn mzee wa wt awe serious mda wote jmn😂😂Kwan nan Kasem ukiongea kuhus mpir lazim iwe serious et😉😉

  • @mwarongoMwarongo-ej2jk
    @mwarongoMwarongo-ej2jk 3 месяца назад

    SIKU mpira ulipopasuka nilikuepo mkwakwani

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MrajjasIssajuma
    @MrajjasIssajuma 3 месяца назад +1

    😂😂😂

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 3 месяца назад

    Chagamba tuletee mahijiano ya Mzee Said baada ya mechi ya Simba na coast

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 3 месяца назад

    Kwani nyie bado mpo nilijua mmesha poteana

  • @lucakakuru3138
    @lucakakuru3138 3 месяца назад

    😂😂😂😂kwenye radio hapo

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 3 месяца назад +2

    Unaipiga kofii paaaa😂😂😂

    • @WengaMishkaki
      @WengaMishkaki 3 месяца назад

      Ilidinicheki kwanza paa😅😅

  • @AnuaryHusseni
    @AnuaryHusseni 3 месяца назад +5

    Sa ndo nn chagamba mitangazo km yote babu bando lenyewe langama,leo me ndo wakwanza kwenye coment,chagamba mwambie mzee saidi mke wng kanipigia cm kasema kammiss mzee said inabidi nifikishe salam

  • @MacAdamIsidore-t3f
    @MacAdamIsidore-t3f 3 месяца назад

    Moshe Fort

  • @VonPulaski-q2i
    @VonPulaski-q2i 3 месяца назад

    Dicki Drive

  • @KhamisJaffar
    @KhamisJaffar 3 месяца назад

    Mhh ulimi Hauna mfupa Mzee wangu apo kidogo umeteleza kumfananisha debora na kitabu kitukufu qur Ani dah ikumbukwe qur Ani kuigusa tu ni kharam kama huna udhu mengine stak kesema apa Ila apo Mzee wangu narudia kateleza

  • @nderendere.
    @nderendere. 3 месяца назад

    😅😅😅😅😅

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 3 месяца назад

    chagamb tangu mechi ya AL Ahl na mechi ya azam ndo unaonekan leo kisa yang kashinda nne

  • @MudiBabu-b4y
    @MudiBabu-b4y 3 месяца назад

    Mzee said wt wanatuchanganya wanatumia jina lako twatia mb kwa ww twaona jina lako tukifungua twaona mtuu mwengne

  • @moseskmbusi2149
    @moseskmbusi2149 3 месяца назад +3

    Ina maana maiki ya chagamba inatoa jasho hadi anaifuta na kitambaa?

    • @WengaMishkaki
      @WengaMishkaki 3 месяца назад +1

      Yaani sio poua😅😅

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂jmn

  • @SofretyMaingu
    @SofretyMaingu 3 месяца назад

    Wewe dogo wanakuita mzee swedy nimtoto mwenzio k ulikuwa na mtangazaji anaitwa Dominic Mwingine Nazri Mayoka

  • @bisekomasyenene2385
    @bisekomasyenene2385 3 месяца назад

    Lister & pitter piston tatu hiyo

  • @jeansindayigaya1257
    @jeansindayigaya1257 3 месяца назад

    Chagamba mbona hujamule machi ya Mze saidi kweny mech yawo na coster unatunyima raha