Naomba sana mungu azidi kunipa nguvu ni lea watoto wangu akii alicho niliza ASAMA NI KUTAKA KUJUA BABAKE YUKO WAPI JE MM WATOTO WANGU BABAYE AMEFIRAKI NITALIA KILA SIKU WAKATI WAKINIULIZA KM ASMA 😢😢😢😢
Sasa unamuita doido halafu unamtetea naanakumalizia mbegu zakiume asanteni sana kwaujumbe mzury mungu akupeni ujasiry asma hana mpinzani katika watoto wanaofanya vizury
Asma usnifanye ni crying 😢 nikikuona ninalia katika tanzania nikulete hela nyumbani kwenu ni wapi nije nikupe Mia 2 namia 1 nisamahe kwasaabu sikuku penda mimi nisamehe my friend Babako ni mvivu wa Lana nisamehe my love asma my heart ❤ 💙 💜 💖 💗 💘 ❤ 💙 💜 💖 mimi nakupenda zaidi ya mjommbangu yeye ni mvivu wa pili mimi ni kama wewe no miaka mi sita my frend njo mombasa office ya yumen rep hiyo Garofalo kubwa ni nyumbani kwetu use nikupe kuku na chips za masala rafiki mimi naitwa sofia nisamehe saswa rafiki yangu ok asma dear heart asma
KAZI NZURI ASMA MUNGU AZIDO KUKUBARIKI
Mungu anisaidie ni sije nikawasahau watoto wangu kwa njia yoyote na pambana kwa ajili yao Mungu ni saidie, inauma Sana 😭😭😭
Ila uyu dada ameuwa sana big up kwake
clam ni king wa comedian tanzania anaebisha ajinyongee🤫🤫🤫
Hatubishi
Hili fundisho kbs nawapa big up
Mume fanya vizuri sana kwakweli nashindwa kusema. But mungu awake kipaji chenu ila pia musijihadaike na dunia mukafanya comedy ........
Hadi nimelia jaman daaah big up
Ina niumiza sana😭😭. Wanaume tuache ivyo, sio baraka
Daaah umenitoa machoz mwajuma komwe unajua sana
Mama Asma umenikumbusha mbali sana 😭😭😭😭 pole sana 🙏🙏🙏😭😭😭😭
Mm asm
Yan mltueka sana mpk tshanza ksahau🤔🤔
Ukweli uliweza safi sana
Mungu tusaidie ss singo mama jman tunapitia magumu
Sele kutoka zanzibar hongeren
Daah hii inaweza kukuliza😢😢
😢😢😢😢😢 inaniuma sana mamazetu wanaoitia shida san 😢😢😢😢
Adiii nimeliaaa bint anajuaa sanaaaaa huyuu
kadada kazima mapengo 🤓 iloooo
Nmecheka marehemu mjombaang alikua aniitaga mapengo alf ananzomea
Uyu kaka anajua kuigiza comedian I like you 😂😂😂😂 Eti miaka mitatu unampa mbegu zako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
👍
I love you Jane
Mungu anisaindie sana ili niwalee watoto wangi amina
❤❤Kwel hiyo kali
Kuna mda huruma ila ukiwa unaishi naye huna kitu hayo matusi Sasa hadi unakimbia
Nakupenda sana asma jmn
Ama mapengo.....lakini mama Baba yetu Yuko wapi
Napamban kwajili ya mwanangu 😥😥👏MUNGU nisaidie
Na wengine tutakupa
Mungu anip mtoto Kam asma
Naomba sana mungu azidi kunipa nguvu ni lea watoto wangu akii alicho niliza ASAMA NI KUTAKA KUJUA BABAKE YUKO WAPI JE MM WATOTO WANGU BABAYE AMEFIRAKI NITALIA KILA SIKU WAKATI WAKINIULIZA KM ASMA 😢😢😢😢
Aise nzur san
Asma kaz nzur mama cctzah ady umjue baba yako❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hati alichanganywa na weupe wao
Katoto kamelala mumefanya mpka mekiamsha na makelele yenu
Huyu mtt ana hatari😂😂
Mbona hamtupi mwendelezo.
Sasa unamuita doido halafu unamtetea naanakumalizia mbegu zakiume asanteni sana kwaujumbe mzury mungu akupeni ujasiry asma hana mpinzani katika watoto wanaofanya vizury
Lkn mzuri kweli eti🤣🤣🤣🤣
Mtume Muhammad asema tueasaidie wajane one of the biggest reward to win jannah
Eee mola nijae nguvu na uvumilivu na uilinde familia yangu ❤❤
Sigle mama pambaneni sana nawa penda sana❤❤❤
Nakupenda sana asmaa❤❤❤💯💯
waooo dada nakupend sn unaigiza vizir
Yan memwenzenu had natoa machoz inanigus mnoo
Inauma kwa mm kabis🤣🤣🇧🇮🇧🇮🙏
Maisha nikupambana
Ngumi ya ndoige team mandonga
Nakupenda Asma❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🩷🩷🩷🩷🩷🩷💞💞💕💖
Wallah nmelia sana 😭😭😭 mwisho nmemaliza na kicheko
Clam aca ujinga bro 🙏🙏🤣🤣🇧🇮🇧🇮🤣
Kazi nzuri
Daaah huko mwishoni pana huzunisha
Waaaaa hio kali pole sana darling
Jamani mpaka mnanipa uchungu ila kila laheri kwenu
❤❤❤❤❤😢😢😢àq
❤❤❤❤❤❤❤
😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤
pole asma❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤
Uyu dada anajua
Kibingwa 🔥🔥🔥
Dada yenu kutoka Kenya awapenda Sana ......part 8. Please
,Dada uko sawa💖💖💖
Huyu Dada yukoje
Alikunywa sumu utotoni inahuzunisha na inachekesha pia🤣🤣
Nimecheka hadi machozi❤🇰🇪🇸🇦
Hii ni Zaid shule good to you Asma
Asma usnifanye ni crying 😢 nikikuona ninalia katika tanzania nikulete hela nyumbani kwenu ni wapi nije nikupe Mia 2 namia 1 nisamahe kwasaabu sikuku penda mimi nisamehe my friend Babako ni mvivu wa Lana nisamehe my love asma my heart ❤ 💙 💜 💖 💗 💘 ❤ 💙 💜 💖 mimi nakupenda zaidi ya mjommbangu yeye ni mvivu wa pili mimi ni kama wewe no miaka mi sita my frend njo mombasa office ya yumen rep hiyo Garofalo kubwa ni nyumbani kwetu use nikupe kuku na chips za masala rafiki mimi naitwa sofia nisamehe saswa rafiki yangu ok asma dear heart asma
Mungo aware subra😢😢
😂😂😂😂jmn huyu kaka bhn ety hanenepi sijui alikunywa sumu utotoni😂😂😂
Asmah nakupenda mamaa Mungu azidishe kipaji chako InshaAllah
Mnanifanya nikumbuke maisha yangu 😢😢😢😢
Unaeza hate mama watoto juu ya tabia zake bt mtoto haifai hata chembe.
Singo mama hongera san ❤❤❤❤❤
Story nzur
jamani simufanye tena nyengine
Mama Asma ach kulia 😭😭😭😭
Daaah mumeuwaaa sana
🤣🤣🤣🤣eti miaka mitatu nampa mbeng zang anazichezea tu🤣fidodido🤣baba waovyo asma bwana 🤣🤣sing math umeuwo👌
😂😂😂 inside 😂😂😂ndani😂😂😂
Eti alikunywa sumu utotoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Its painful jameni ghai
Nimelia 😭😭😭😭 mwisho nikacheka 😂😂😂😂
Asmaa nakupenda sana ❤❤❤❤❤
Fidodido hahaha 🤣😂😂 haya bhana
Nmeliaa ukuu nikicheka😂😂
Asma wewe èti mkeo mbaya.😁😁😁😁😁😁😁
asma hongera mdogo wangu duh unafanya kazi nzur
Relies
Mko vizurii❤
Mwenyezimunguakuongozeasma
Mkeo mbaya mamayko mzuri?🤣🤣🤣
😂😂😂😂 clam wewe eti mitoto mishavu mikubwa kama inapuliza moto😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda asmh
Jaman asma ana kipaji kikubwa Mashaallah
mchana mweusi
Asma unaulimi aaaaaah ataumenishinda mimi somu yako
Mama umefanya nilie
Nakuombeamungu akusaidie
Umenipampa hapo Kwa mwanamke hanenebi cjui alikunywa sumu utotoni🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nawapenda sana wajilani zetu
😅😅😅😅😅bengu zako wanazitem
Mpaka sas hamjatoa meendelezoooo
Good work
❤
Mna tuchanganya saiv asma alikua kwa baba yake
Wa kwanzaaa🤣🤣
Mwajuma 😂nimefurahi sana unakipaji sikufahamu❤️❣️🥰
Inahuzunisha sana ila Asma yuko vzur
Safi sana
Hati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alikunywa sumu utotoni
Asma anajuwa kuigiza kwer
Hongera