UTATA WA MAFUTA YA UPAKO KWENYE UISLAMU! SHEIK DIWANI AJIBU YA SHEIK SHARIF FIRDAUS NA SHEIK KISHIK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 33

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku День назад +6

    Leo diwani kaongea kamuunga mkono sheikh nurdeen kishki alhamdulillah inaonekana kua sheikh kishki kwa kweli Allah subhannahu wa taala amhifadhi azidi kusafisha uchafu na upuzi wa Hawa wachafuzi wa dini ikiwemo ahlul bidaa

  • @SwahibuAthuman-yv2mn
    @SwahibuAthuman-yv2mn День назад +9

    Nawapenda sana waislam .uwezi kutoka ukachezea dini yao wakakuangalia2

    • @godfreydavid6847
      @godfreydavid6847 День назад

      Waislamu ni machoko

    • @leilamohamed950
      @leilamohamed950 День назад

      @@godfreydavid6847 Chunga unachoongea

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 День назад +1

      @@godfreydavid6847 MATUSI YA NINI NANI KAKUFUNZA NA WE NI MTAKATIFU

    • @subralugege7019
      @subralugege7019 20 часов назад

      Nafsi mbay ama chuki inmtawala mmmmmh

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 17 часов назад

      Usishangae ndo Mafunzo ya lmaan/Dini yao. Kama wanathubutu Kumuweka (Kumdharirisha Mungu wao) Kwa Kumuweka Uchi Watashindwa Kutukana Watu/Imaan nyengine?!​@@thekingdragon8358

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi День назад +1

    Shekh kwa hili umesimama vizuri sana. Baadhi ya mashekh wa Tanzania wanataka watengeneze watakatifu. Wanapigana vjjembe na mipasho wanawagawa waislam.

  • @NassorKhamis-l6r
    @NassorKhamis-l6r День назад +1

    Mashallah Sheh Diwani upo sahihi

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 День назад +1

    Sheikh shukran umefundisha vzr

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni День назад +2

    Katika hali yeyote ile Uislam ni neema na kila muislam ana wajibu wa kumshukuru Allah kwa neema hii,hayo mengine yanakuja nakuisha ila uislamu upo pale pale

  • @AbbMotors-pc4rx
    @AbbMotors-pc4rx День назад +2

    Kaka hongora kwa kuliweka sw mana uislam hauna ujanja ujanja umenyooka vzr tz ni kuna watu rahisi sn kudanganyika

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l День назад +1

    Simulizi umemuelewa sana shehe wetu mana anakupa views zakutosha

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 День назад

    Asant sheh diwani

  • @sokastreet
    @sokastreet День назад +1

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu День назад

    Mashehe wengi sikuizi wauza dawa kwaiyo awatoponga ila sisitunajua maji mwenzake dua na wala si mafuta

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 День назад

    Acheni Husda mashekh, Allah peke ndio anaye mjua mtu kiundani wewe huna ujuzi wa kujua au kugundua nini mtu anacho kiwaza kwa wakati huwo Allah ana yajua mlio yafucha kwenye vifua nyenu na mavazi yenu na mnapo ishi,
    Kumuomba Allah akusaidie ahitaji uwe na elimu kubwa kinacho takiwa uwe na imani ya kweli ujipwekeshe kwa Allah na ukimwomba basi anakusaidia
    Na ndio mana Allah ana mpa amtakaye na kukosesha amtakaye, anaye mkosesha kampa mtihani na yule aliye pewa katika elimu utajiri naye kapewa mtihani, elimu na miujiza iko kwa Allah
    Acheni majungu kijana ana pata lizki kuna mashek roho zina wauma utadhani wao hawauzi madawa ya kisuna, msemeni kijana ikiwa anauza sumu au anacho kiuza kina madhara au ana tapeli watu haposemeni, kinacho waumiza kijana ana tumia jina la Shalifua na mnauliza ushalifu wake ni nini ? Na mnatolea kasoro kuwa sio sharifu kwa kuwa ana wafuasi wanao mfata kwenye tiba, acheni hizo mashekh...
    Ni Allah peke ndio aliye kadilia liziki za mtu iwe huyo mtu ana pata kwa dhurma au kwa halali.

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah День назад

    Mimi nawashangaa baadhi ya waislam hata baadhi ya masheikh kutokujitambua, hivi mtu akiwa anafanya tiba anafanya Ruqya kisomo sahihi, halafu anachukua maji anayafanyia kisomo, baadae anachukuwa mafuta pia anayafanyia kisomo shida inatoka wapi, hilo jina la upako ni jina lililokuja kiuadui tu husda choyo bas, lakini sheikh Sharifu yuko vizur anatibia kisharia tumemsikia tumemuona tumemfikia, wacheni chuki, mbona hao wanaomsema vibaya wanatengeneza dawa maji yaliosomewa tunawajua wacheni chuki kwa sheikh sharif Alkadiria

  • @iddswalehomar1323
    @iddswalehomar1323 День назад

    Ww nimmoja ulikujja Kenya ukatuuzia mafuta likoni ukiyasemea mafuta jini latoka Leo wakosoa mwenzako

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 День назад

    Ushirrikini umo ndani bora mtu asitumie kuepuka ushirikina

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 День назад

    Katika hali za namna hiyo

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 День назад +1

    Kila mtu na maarifa yake hata hiyo mnauluza alitoa wapi hiyo ujuzu atakwshizo vitabu zakale ni mtu tu pia alutunga yake vile itatumika kwa ujuzi , hata wewe mwenyewe unujuzi kama yako , ubishani mingi mwaache, mnamuingilia yule maana bado ni kijana mdogo kuwa shinda nyie wazee mungeni mkono na chamuhimu ni mafuta yake anayaamini inafanya kazi.

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY День назад

      UISLAMU hauruhusu kujitungia mifumo ya IBADA.
      DUA, IBADA, zote ni lazima ziwe zimefundishwa na mwenyewe mtume Muhammad.
      UISLAMU umejitosheleza, na hauhitaji ubunifu wa watu.

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 День назад

    Bwana kishk kwan ww hujuwi kuelezea kama hivi!! Kaz yko unapiga kelele tu ktk membar, ebu jifunze hekma bwana kishki usilete vurugu

    • @saidisaidi4502
      @saidisaidi4502 День назад

      Ungekuwa na Akiri ungejeuliza huyu alikuwa wapi kabla kishki kukemea? Huyu ni mganga kama waganga wengine wa kisufi na watakemewa wote hakuna kubembeleza ktk kuleta shirki

    • @kazinaimwishehe-ec3xu
      @kazinaimwishehe-ec3xu День назад

      Kwenye diniyetu kunamaji na si mafuta

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 День назад

      Nenda kasome mafuta ya zaitun mafuta ya hardal mafuta ya habat soda uo uislam wako niupi usio yahua haya au wewe unaislam mwingine acha ujinga

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu День назад

    Shehe unayumba kwetu atuna mafuta duwa lake maji bana apo machawa mmejaa

    • @sahabatwalbu9586
      @sahabatwalbu9586 День назад

      Zaitun nini!? Habat soda nini kama hujui usijitie kusema kaa kimya ujifunze

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 День назад

    Katka hali za mamna hiyo

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 День назад

    Wacha girini ya kutafuta pesa

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 День назад

      Kichwa ngumu ww, bas zungumza ww unaejua