Mwl Sekondari Loleza Awalaza wanafunzi Darasani kwenye Baridi kali,RC Homera aagiza ashughulikiwe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 14

  • @jofreyntanila
    @jofreyntanila Год назад

    Daaaah Haule bna anakeraaa tuliosoma apo tunamjua, asulubiweeeeeeee

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Год назад +2

    Du huyo mwalimu aliwaza nn jamani hata kama walimkera poleni wanafunzi

  • @nasradickson387
    @nasradickson387 Год назад +1

    Mimi nimesoma hii shule kwakweli kuna changamoto nyingne watu wananitia lkn hamn pa kusema This is karma jmn bora awajibishwe , maan kuna adhab nyingne kwann awalaze darasan

  • @TheopistaAloyce-ht8kr
    @TheopistaAloyce-ht8kr Год назад

    Tusilaumu upended mmoja,Watoto pia wawe na nidhamu kwa walezi wao...

  • @atukuzwedzombe-rj8mq
    @atukuzwedzombe-rj8mq Год назад

    Na Ile baridi ya pale mlimani duuuh it's not fair 🙌

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 Год назад

    Haya masister yanajifanyaga makatili sana,sijui sababu hawajazaaa,viongozi tembeleeni mashule ongeeni na wanafunzi

  • @LeahMwangoka-nu2uk
    @LeahMwangoka-nu2uk Год назад +1

    Loleza wamezidi huyo haule stress za ndoa zinamsumbua aliituita mbwa assemble na huyo mjwanga ananajifabya mtoto WA mjin Bado mwagosi na mwafinga, bweha hao

  • @kamilaluambano1709
    @kamilaluambano1709 Год назад +1

    Usituabishe wangoni hatuna roho mbaya hivyo,Kama unastrees na ndoa yako malizana hukohuko

  • @EdinaRaphael
    @EdinaRaphael Год назад +1

    Akawalaze wanae nje kule nyumbani

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад +1

    Waulizwe vizul matukio yote wanayo fanyiwa nabaazi yawalim

  • @MARGRETHMOLLA-qn6wg
    @MARGRETHMOLLA-qn6wg Год назад

    Hasa malezi wanatesa sana wanafunzi ,

  • @EdinaRaphael
    @EdinaRaphael Год назад

    Ndio Tatizo la walimu wa kike , roho mbaya , umbeya , fitna na chuki hawana hekima hata kidogo

  • @neywilly9817
    @neywilly9817 Год назад

    Imeniudhi maana mwl. Mwenyewe wa kike 😬anaelewa adha zetu wanawake. Ni kweli watoto wanamaudhi sana ila usiadhibu kwa mihemko.
    Adhabu zinazoumiza km hizi haistahili, na serikali zitusaidie kukomesha hizi tabia.