Majengo ni mazuri sana! Tuombe Mungu na walimu bora wawepo na maabara iwe ziwe na vifaa! Maana yanaweza kuwa majengo yanavutia ila maabara hakuna hata bunsen burner
#RaymondLaurent .....Ni kweli hata wazazi wetu wengine wamesoma hapo’ ...!....ila hiyo ni Shule ya Serikali na Shule za Serikali Ndio zinaitwa KAYUMBA na Sio Kwa ajili ya majengo mazuri...! Kwa hivyo hiyo Mh Rais anatubadilishia Shule zetu za kayumba...!..SAFI MUHESHIMIWA RAIS..!
Ndoto za Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Zinaanza Kutimia , Matumaini yangu miaka mitano mingene ya JPM (Uncle of the national) tutaona maajabu tummunge mkono na tupige kazi, eko Tanzania , Safi Waziri wa Tamisemi Mh Jafo.. Kazi nzuri...
Earthquake was very sad! For those who were present at Ihungo boys high school as form six and was very difficult time to us! Let our young brother's enjoy the good condition for study! I think Academic master Deka! Would continue to do better as now we congraduate for his! Attention and was taking care for us to enter in the class and night preparation time!.....I remember Omumwani and our fellow Nyakato form six 2016/17 graduate! Let us praise for God!!!
TBA wanatupiwaga sana lawama bila kuangalia sababu za wao kushindwa kutekeleza baadhi ya miradi lakini ki ujumla TBA wako vizuri na wanaweza wakiondolewa changamoto zilizo nje ya uwezo wao.
@@sportnews2640 huwa wanakuw wangapi kitaifa hasa kwa shule za serikali usiseme tu eti wanafanya vizuri,wakt shule za serikali zinazofanya vizur zinafahamika kitakwimu, nenda necta utaziona .
I agree, Kuna vipaji vya Architecture engineers na Tanzania tunajivunia hili. Wangekuwa wana toa tenda kwa makampuni kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa ramani zao. sometimes ku design na kujenga huwa ni changamoto sana
Kuwa slow inatengemea na pesa zinavyotolewa na serikali pia na wasimamizi wa mradi, kwa hii shule imetumia miaka kama minne mpaka sasa. TBA wamefanya kazi nzuri licha ya changamoto mbali mbali hasa mvua ukizingatia ukanda huo unamvua sana.
@millard ayo wakati tunapenda kazi zako ukumbuke ubora wa kazi ni muhimu kuliko wingi wa kazi. Rekebisha hicho kichwa cha habari. Pili niwapongeze kwa angalau kuanza kujaribu kuandika maelezo ya video kwenye description box.
Robert Evarist utaona kuwa hii habari imetoka siku sita zilizopita na kichwa cha habari kilikua kimekosewa ndo kimerekebisha. Kwakua unaiona leo unaweza kudhani hamna kilichokosewa.
Kama ulisoma IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL..... gonga like hapa......
Sasa hii shule ndo mfano bora wa shule yenye mazingira rafiki ya mwanafunzi kusoma na kufaulu. Hongera raisi wangu 👏
Majengo ni mazuri sana! Tuombe Mungu na walimu bora wawepo na maabara iwe ziwe na vifaa! Maana yanaweza kuwa majengo yanavutia ila maabara hakuna hata bunsen burner
I am proud to be an alumnus of IHUNGO HIGH SCHOOL..(PCB)July 1982-May 1984 .. It was Originally known as St. Thomas More College. 💪🇹🇿👍
Ipo mkoa gani hii
@@alfajonas6413 Bukoba mjini mkoa wa KAGERA.
Kitambo hasa
IHUNGO marafiki zetu wakati tupo Rugambwa secondary. Hizi shule zina majengo mazuri kweli kweli.
Rugambwa moja
Hollo nicheck 0755501581
Siyo marafik tu, malizia kabisa
Rugambwa mlikuwa vipenz vyetu sana tumedans sana muziki pamoja kiukwel mlikuwa mnatupenda sana
lugabwa kama upo Rugabwa kweli tukutane mto promice wa rugabwa high school wanaujua
Kitu ndani ya Kagera hicho wala halipo dar km ilivozoeleka, Ahsante Rais wetu Dr Magufuli
Na matokeo yafanane na majengo...
Majengo hayatakua na maana kama mtatoka 0...!!
Mungu awatangulie...
It incredibly wonderful school. It's environment are conducive for learning. Love ihungo boys high school my A'level school.
Hii St. Kayumba kweli magu ni Rais wa wanyonge
Hii siyo Kayumba ndugu.. Shule imeanza 1928 mpk Leo.. So kujengwa hivi siyo tatizo
#RaymondLaurent .....Ni kweli hata wazazi wetu wengine wamesoma hapo’ ...!....ila hiyo ni Shule ya Serikali na Shule za Serikali Ndio zinaitwa KAYUMBA na Sio Kwa ajili ya majengo mazuri...!
Kwa hivyo hiyo Mh Rais anatubadilishia Shule zetu za kayumba...!..SAFI MUHESHIMIWA RAIS..!
@@ismailyusuph740 nilitaka kujibu,ila umejibu vzuri sana
Hiv. We unaijua huyo shule au unaongea tu hiyo. Shule imeAnza 1928 unaasema st kayumba. Shameonyou
@@raylaurent4389 we unajua maana ya st kayumba! ?? Au unajib tu!!
Ndoto za Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Zinaanza Kutimia , Matumaini yangu miaka mitano mingene ya JPM (Uncle of the national) tutaona maajabu tummunge mkono na tupige kazi, eko Tanzania , Safi Waziri wa Tamisemi Mh Jafo.. Kazi nzuri...
Earthquake was very sad! For those who were present at Ihungo boys high school as form six and was very difficult time to us! Let our young brother's enjoy the good condition for study! I think Academic master Deka! Would continue to do better as now we congraduate for his! Attention and was taking care for us to enter in the class and night preparation time!.....I remember Omumwani and our fellow Nyakato form six 2016/17 graduate! Let us praise for God!!!
Exactly
Bonge moja la school dadekii duuuhh kama nirudi class tena sema boys tuu
Kwahiyo ingekuwa na girls ungeenda
@@faidamisalaba5759
😂😂😂😂😂😂
Achaa tu mwanangu, sio wewe tu hata mie sijui nirudi tu!
😂
Kweli serikali ya awamu ya tano mnafanya kazi hongera jpm
Jamani Shule nzuri, Kazi Nzuri sana Serikali imefanya
Bonge Moja la shule sijawah ona. Hongera kwao. Shule zote zingelikuwa hvyo kusngekuwa na shda
Hongereni Tamisemi,Tba,BT kiongozi wa nchi hapo duuu mmefanya kazi hongereni sana
Hongera Jafo..kazi yako ni nzuri...vijana mnaweza...
Noma sana alafu ni ya serikali, hongera sana rais wangu na serikali kwa ujumla.
Ni hela pia za wananchi kupitia kodi, jishukuru na wewe pia
@@slayingtee6044 kwel kabisa na niwapongeze kwa kutumia kodi zetu vizuri
@@slayingtee6044 sawa ni kodi zetu lakini ,huko nyuma walikuwq hawasimamii ,ndio maana tunampongeza rais wetu jpm,a.k.a chuma,
@@brysonnicholaus5369 you said it well.. MAGUFULI OYEEEE
Jamani shule kama chuo kikuu . Wow! Serikari ya awamu tano inafanya kazi nzuri. Jpm mungu akulinde forever.
Comment yako imeniumiza nimemkumbuka magu wetu jembe letu
The best school in the republic of Tanzania
Bila shaka ww ni mkenya
Hahaaa huyo mkenya tena mkisiii hahaaaaa,sijui wa Kisii au nyachenge,au Uyugisii hahaaaa
@@idrisasalum8013 😂😂😂 haijui Tz bila shaka
There are multiple types of schools best than that, public schools
A school is real better than #INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT..DSM..😅🔥🔥
Nimeona pia shule yangu Rugambwa! Imependeza pia!
I miss the old ihungo high school
TBA wanatupiwaga sana lawama bila kuangalia sababu za wao kushindwa kutekeleza baadhi ya miradi lakini ki ujumla TBA wako vizuri na wanaweza wakiondolewa changamoto zilizo nje ya uwezo wao.
Ihungo boys 2016 gonga like apa
shule ya serikali hii ni noma sana kaah yani ni balaaa
Hii shule ya Serikali duuh haijazoeleka shule za serikali kufanana hivi
Bro, respect. camera zako zina ubora sana kushinda hata shirika letu la Taifa la utangazaji
School nzuri sana.rais apewe hongera zake
Naamini elimu inayotolewa itaendana na uzuri wa majengo pia. HEKO KWAO
Hahah
Awap
ihungo ni nzuri hata kwenye ufaurishaji wako vizuri natokea huko
@@sportnews2640 huwa wanakuw wangapi kitaifa hasa kwa shule za serikali usiseme tu eti wanafanya vizuri,wakt shule za serikali zinazofanya vizur zinafahamika kitakwimu, nenda necta utaziona .
TBA sometimes wapo slow ila kwa ku design wapo vizuri sana.
I agree, Kuna vipaji vya Architecture engineers na Tanzania tunajivunia hili. Wangekuwa wana toa tenda kwa makampuni kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa ramani zao. sometimes ku design na kujenga huwa ni changamoto sana
Kuwa slow inatengemea na pesa zinavyotolewa na serikali pia na wasimamizi wa mradi, kwa hii shule imetumia miaka kama minne mpaka sasa. TBA wamefanya kazi nzuri licha ya changamoto mbali mbali hasa mvua ukizingatia ukanda huo unamvua sana.
Hongera ila awamu ya 2 zikumbukeni Sana shule za Kata, nyingi hazina madawati, majengo mabovu hayana hata sakafu.
Ccm juuu magufuliiii noumaaa
@millard ayo wakati tunapenda kazi zako ukumbuke ubora wa kazi ni muhimu kuliko wingi wa kazi. Rekebisha hicho kichwa cha habari. Pili niwapongeze kwa angalau kuanza kujaribu kuandika maelezo ya video kwenye description box.
kbsa
Kichwa cha habari kinaendana na alichokisema Waziri, Millard Ayo hajakosea jmn asilaumiwe
Robert Evarist utaona kuwa hii habari imetoka siku sita zilizopita na kichwa cha habari kilikua kimekosewa ndo kimerekebisha. Kwakua unaiona leo unaweza kudhani hamna kilichokosewa.
Mastery of Service
Am aproud to be aluminous of Ihungo high sc ( preuniversity) 2012-2014 ..hiii to all school mate PCB,CBG,PCM,EGM and HGE
Ihungo, Nyakato na Kahororo zote zipo mkoa Kagera kwa ufupi zimetufikisha mbali sana Leo....
Shule nzuri
Kwel wenyewe kwa wenyewe tunaweza so nice school watanzania tuendeleeni
Shule nzuri sanaaaa
Ihungo our proud
Shule yangu ihungo boys high school kwa pembeni namuona headmaster wangu Boniventure
Safi sana nilikuwa Advance 2009-2011 from Banyenza tu Bonaventura
Head master wangu Bonaventure namuona
Shule nzur sana kwakweli, hongera nyingi ziende kwa babayetu Magufuli
Naipenda shule yangu, karibu tusome physics
Duu Hii Shule Kiboko... Nice School
Mashaa Allah shule nzuri
Wanapiga picha bila simu,,au umeruhusu waje na simu shuleni?
It's so nice
Waoooo good
Safi saaaaaana, miaka mitano ijayo tz ulaya ulaya
Mm sisemi bonge la shule Bali nasema ni bonge la Rais haijawahi tokea tangu iumbwe Tanzania
🔥🔥🔥🔥
Jaman na shule yangu ya umbwe Boyz Kibosho Kule Moshi ikumbukeni Basi Daaah Maaana nakumbuka vyoooona Bafu ilikua ni Tatizo kubwaaaaaa
Our I boys. Wazee wa Ihungo mpo?
Hongera.
woow superb, i love tanzania... stay connected
Waja hamjawahi iona shule yetu ya galanos high school tanga .. na vyakula tunavo kula alaf bado ya serikali.. magu ni hatari
Inabodini je inapokea kuanzia kidato cha ngapi vipi juu ya ufaulu naufundishaji pia
@@aishakibeda5537 ni form v na form vi tu.. wanafaulu ndio sema kama ujuavyo msafara wa mamba
Nashidwa nikuombee sala gan kwa Mungu huko uliko endelea kupumzika kwa Aman Baba
Duh! Zinga la high school, noma sana
Proud to be Tanzanian
Viva JPM!!
Viva my school... Viva Ihungo
Safi sana
Du! Ngoja nirudi tena shule👍
2013-2015
Proud of my school IHUNGO SECONDARY.,😋🇹🇿
Shule yenyewe ni nzuri hadi nahisi wivu
Namwona mkuu wangu wa shule hapo Mr. Bonephace
RIP Magufuli. We are proud of you
Hata kama ni mtoro mzoefu hapa utaacha utoto na kusoma sana kisha kupasua
utoro utoro tu
Yaeh hiko vizuri ayo tv
Maa shaa allah 💕💕
Ndiomaana Mr Rwakatare kahama chama ....anajua kitachomtokea 2020 election
This shule is on fire duuh
Wale wa ihungo 2014-2016 mjongee hapa.. 😊
Sawa
Uzuri wa shule sio tij tija walimu bora na wenye uwelevu 🥰🥰🥰🥰
Kweli kabisa
Maneno huwa hayakosekani! Endelea kuchonga! Wenzio wanapiga kazi@Rashid Yahya
Je wamekwambia kwamba shule haina walimu wazur??
saaafi saana
Nshomile state
Jambo hili ni jema ila itapendeza wakati huu hii miradi ya kimaendeleo ikafanyika pia ktk Kanda zingine za jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kusema kweli, Mh Rais Magufuli anafanya kazi.
Safi sana Jafo
Njema
Tatizo form six wakikarbia kuondoka apo kuta zote zitapigwa machata Mara mafuvu, sjui akumbukwe mbishi, na matusi🚶
MashaAllah
Leo kijitu fulani eti kinahutubia Taifa online Dadeki kinatafuna eti kanajiita Mpango wa Mungu dadeki kipite chooni huko
Moto JPM Moto!
Eric Juma what is Kenya at this moment
Bukoba oyeee
Shule nzri aisee
Duh hii kayumba kwelii
Hapa Kazi Tu
Kura yangu aijapotea inshaallah nitakuja kupiga kura tena magufuli oyeee
Oyeeeeee !!!!!
Hapa ni kazi tuu
Ni nzuri kweli lakini vipi kuhusu ufaulu?
Ihungo my high school.
PCB class 2006- 2008.
hehehehehehehehehehe haka ni kashule.inafanan na primary ken
Dennis Mungai no one talking about Kenya
magufuli hajaibia serikali jmn duh najivunia kuwa na raisi Kama huyo magufuli oyeeeeeeeee
Muwape chakula cha kutosha ili wafanye vizuri !!
hapana chakula kingi mtu hasomi nime expirience hio
Kwa hili naipongeza serikali
TBA oyee
Dah inapendeza shule yangu