Usiseme kilichokuponza wala usjilaumu Allah amekadiria mtihani huo ukukute kama ungekufa pengine ungekufa katika wema tofauti namtu anaekufa huku akimuaswi Allah
Tukio la Kariakoo linasikitisha,linaumiza,linatisha na linatuweka pagumu sana watanzania kwa kupoteza ndugu zetu na wengi kujeruhiwa.Ni ukweli usiopingika kuwa kila nafsi itaonja umauti.Hivyo kama watanzania hatuna budi kulipokea hili.Tuwaombee wenzetu ambao bado hawajaokolewa wakookolewe,majeruhi wapate kupona haraka na waliopoteza maisha mwenyezi Mungu awajalie pumziko la milele.Amina.
Mshukuru allah. Inawezekana uaminifu ndo ulokuponya. Jeshi la mwenyezi (malaika) wamekukinga. Ungeondoka na hiyo pesa pengine ungepata madhara mengine na kwa hakika jahanam ingekuhusu. Usilie shukuru mungu.
Sio Wa Tanzania Tu Ata Congo 🇨🇩 Pia Tuna Waombeya Toka Asubuhii Adi Sasa Nipo RUclips Nikifatiliya Yanayo Jiri Sina Msaada Wote Ila Natumaini Maombi Yangu Yatamufikiya Mwenyezi Mungu Na Ataya Tendeya Kazi
Sio kilichokuponza. Ni dalili ya utakuja kuwa na pesa, Mungu atakupa zako. Hela ya mtu haina utajiri hata kidogo, ni umasikini. Mambo ya Mungu ni mafumbo, mshukuru Mungu. Mungu anataka kukufundisha kitu.
Wema haujakuponza,bali wema wako ndo umekuokoa. Jiulize ni wangapi wamekufa? Lakini wewe umetoka hai.Mpe Mungu utukufu.Maana pia huenda alitaka uone ukuu wake.
anakosea maneno kilicho mponza nini ilikua imepangwa na Mungu na kilicho pangwa na Mungu hakiepukiki nikumshukuru Mungu ametoka salama sasa sio wema ndio ulio sababisha no
Eti kilichomponza ni wema wako, ana akili huyu,..... Huo wema ndio umemuokoa, ajafa sasa hapo siashukuru Mungu, ajafa hapo wema umemponzaje na amepona.... Sisi wanadamu banaaa.... Kapona anasema kaponzwa.
Usiachekutenda wema huu kwako ni muujiza mungu alitaka ushuhudea matendo yake maku pengine ungepuuzia kuingia tamaa usingifika Leo kwani alikuepushia ajali nyingine kubwa
Wema wako utaukuta kwa MOLA wako, na kama ungeichukuwa pia dhambi zako ungezikuta vilevile. Mishen kurudisha ela haiusiani na ajali, we shukuru imekukuta first floor na umepona, vp ingekukuta ground? Na hao waliokuokoa ni kwa wema pia, vp na wao wangeuacha wema
Wema haujakuponza,bali wema wako ndo umekuokoa. Jiulize ni wangapi wamekufa? Lakini wewe umetoka hai.Mpe Mungu utukufu.Maana pia huenda alitaka uone ukuu wake.
Uwaminifu wako jo umekuhokowa lazima umshukuru Mungu ❤
Mshukuru Mungu, ungeweza hata kugongwa na gari ukafa. Mungu amekuweka hai kwa wema wako. Mushukuru tu Mungu.
Usiseme kilichokuponza wala usjilaumu Allah amekadiria mtihani huo ukukute kama ungekufa pengine ungekufa katika wema tofauti namtu anaekufa huku akimuaswi Allah
umeokolewa na Allah kwa uaminifu
Sana
Kabisa
Tukio la Kariakoo linasikitisha,linaumiza,linatisha na linatuweka pagumu sana watanzania kwa kupoteza ndugu zetu na wengi kujeruhiwa.Ni ukweli usiopingika kuwa kila nafsi itaonja umauti.Hivyo kama watanzania hatuna budi kulipokea hili.Tuwaombee wenzetu ambao bado hawajaokolewa wakookolewe,majeruhi wapate kupona haraka na waliopoteza maisha mwenyezi Mungu awajalie pumziko la milele.Amina.
Pole sana kaka mungu atakulipa kaa huo wema pia kuwa hai jua mungu anakusudi na wewe
Mshukuru Mungu, ameona uaminifu wako.
Pole Sana kijana mshukuru sana Mungu umetoka salama
Na kwa wema wako , umetoka salama, usijilaumu bali mshukuru Mungu, jiulize je, wote wametoka? Je, ni wa dhambi? Hapana, kutoka ni kwa Neema na Rehema.
Mshukuru allah. Inawezekana uaminifu ndo ulokuponya. Jeshi la mwenyezi (malaika) wamekukinga. Ungeondoka na hiyo pesa pengine ungepata madhara mengine na kwa hakika jahanam ingekuhusu. Usilie shukuru mungu.
Mungu anakufundisha kitu mdogo wangu uaminifu wako ndio uliofanya Mungu akutoe hai uje ushuhudie ukuu wake
hajui kilichomsaodia ni uaminifu
Pole kaka angu na ndo maan mungu kakuokoa maan umefanya jambo la heli
Sio Wa Tanzania Tu Ata Congo 🇨🇩 Pia Tuna Waombeya Toka Asubuhii Adi Sasa Nipo RUclips Nikifatiliya Yanayo Jiri
Sina Msaada Wote Ila Natumaini Maombi Yangu Yatamufikiya Mwenyezi Mungu Na Ataya Tendeya Kazi
Amen na Mungu akabariki pia kwa maombi yko dhidi ya wengne
Amina kaka
Hata sisi WATANZANIA tunawaombea wa CONGO 🇨🇩 muishi kwa AMANI na mumalize VITA
Amen 🙏🙏
Mshukuru Mungu kaka wema wako ndio uliokuokoa
Sio kilichokuponza. Ni dalili ya utakuja kuwa na pesa, Mungu atakupa zako. Hela ya mtu haina utajiri hata kidogo, ni umasikini. Mambo ya Mungu ni mafumbo, mshukuru Mungu. Mungu anataka kukufundisha kitu.
Usilamika n8 vibaya mshukuru sana murudisha na pia umepona
Mshukuru Mungu umetoka salama
Uaminifu wako Allah amekuokowa..Allah akuongoze hivo hivo
Mungu amekusimamia
SIO KILIC😅HOMPONZA BALI NDICHO KILICHOMUOKOA😢😢
NI HUO UAMINIFU NDIO UMEMNUSURU
MUNGU AMZIDISHIE MOYO WA IMANI NA UONGOFU.
Wema haujakuponza,bali wema wako ndo umekuokoa.
Jiulize ni wangapi wamekufa? Lakini wewe umetoka hai.Mpe Mungu utukufu.Maana pia huenda alitaka uone ukuu wake.
Mshukuru mungu kaka uko salama
anakosea maneno kilicho mponza nini ilikua imepangwa na Mungu na kilicho pangwa na Mungu hakiepukiki nikumshukuru Mungu ametoka salama sasa sio wema ndio ulio sababisha no
Mungu kuna kitu alikuwa anakufundisha angeamua uondoke ungeondoka kwa namna yeyote ile wala hiyo isikuwanye uache kutenda wema
Kaka angu mshukuru MUNGU alikuwa anakupima kitu ambayo nimejifunza nikusame nakushukuru sana MUNGU kwa Kila jambo
Mshukuru mungu
Allah amekuokoa
Akija kuponza wema wako ndo umefanya upo hai mpka sasa
Mungu awanusulu ndugu zetu
Mshukuru Mungu..
Ni maneno ya kuchanganyikiwa ,mungu amrudishe katika hali ya uhalisia,wema haumponzi mtu ,pengine huo wema ndio uliomfanya akanusurika na kufa .
Hamna huyo hiyo kuirudisha haki ya mtu ndio sadaka yke hiyo mwenyezi mungu amensadidia
Pole sana kaka mungu awatie nguvu
Sio kama kimekuponza jua kuwa mungu yupo nimtihani uriopitia
Pole Eli
😅😅😅 nacheka kama mazuri pole sana
UAMINIFU WAKO NDO UMEKUOKOA.USIACHE KUTENDA MEMA DAIMA. MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO
wabongo mna lawama sana badala yakushukuru umepona et una laumu😂😂😂😂
Huo wema wako ndio umekusaidia umepona pengine ungefika mlangoni lingekusumbua
Dah Ila nimeumia kiukwel polen wote
Mungu mwema sana
Wema wako ndio umekuokoa
Allah awatie nguvu akika ni janga la watanzania wote
Allaah akulipa maana ulifanya wema
Huyo ni fala sana wema haujamponza angeiba angekufa ama baya ningempata
MILLARD AYO.
MILLARD AYO.
MILLARD AYO.
NIMEKUITA MARA TATU.
Ni mtihani tu!
Mshukuru Mungu wema haujakuponza ndio Mungu kakuokoa kupitia wema wako
Sana ajui kama engeondoka nayo alafu mbele akakutana na sakalalmauti engekufa na deni
Usiseme hivo mshukuru MUNGU umetoka salama kuna wenzio wamefariki na wengine adi sasa awaelewi watatokaje
😭😭😭
Maskini huyu sio tulikua tunaona video yako fb
Eti kilichomponza ni wema wako, ana akili huyu,..... Huo wema ndio umemuokoa, ajafa sasa hapo siashukuru Mungu, ajafa hapo wema umemponzaje na amepona.... Sisi wanadamu banaaa.... Kapona anasema kaponzwa.
Wema ndo umekufanya umetoka
Hapana haijakuponza bali niallah amekupafunzo unge idhulum hiyo elf 1o ungepatamadhara zaydiyahayo
Uaminifu umekusaidia kaka
Bora kapona sasa
kaka polesana
Kwako Hilo no somo, usiache kuwa mwaminifu
Uaminifu wake ndo umemuokoa pole kk
Hisi stry zauma sana wallah mtiani wallah 😢😢😢😢😢😢
Usiachekutenda wema huu kwako ni muujiza mungu alitaka ushuhudea matendo yake maku pengine ungepuuzia kuingia tamaa usingifika Leo kwani alikuepushia ajali nyingine kubwa
Sana
Uaminifu wako ndio umekuokoa ungeweza kufa pia maana ulirudi
Uyu hana akili kabisa yani anatk kusema tusitende wema
Wema wako utaukuta kwa MOLA wako, na kama ungeichukuwa pia dhambi zako ungezikuta vilevile. Mishen kurudisha ela haiusiani na ajali, we shukuru imekukuta first floor na umepona, vp ingekukuta ground? Na hao waliokuokoa ni kwa wema pia, vp na wao wangeuacha wema
Dàaaah mungu mwema wema haxina baadae
Usimdharau mtu kwakweli, asubuhi tu kashaingiza laki
Hofu ya mungu na uaminifu ndio kitu kinacho takiwa
Ujinga sana.huu wakat umeokoka ww
Wema haujakuponza,bali wema wako ndo umekuokoa.
Jiulize ni wangapi wamekufa? Lakini wewe umetoka hai.Mpe Mungu utukufu.Maana pia huenda alitaka uone ukuu wake.