Hakika ninabarikiwa sana na wimbo huu japo nimara yangu yakwanza kuusikiliza lakn watumishi wabwana hakika tujiandae kwa kila jambo kwani dunia hii imejaa majonzi hivyo tumtegemee mungu kwakila jambo pia wimbo huu unanitoa machoz
Mmetoka mbali ndugu zangu wimbo wenu umenibariki sana Mungu azidi kuwainua zaidi japokuwa kaka yetu kutangulia mbele za haki lakini mlobaki mtayafanya makubwa zaidi tunazidi kuwaombea🌹🌹❤️🧡💛
Zabron singers mlianzia mbali kweli mpaka mlipo leo ni jina la Bwana lihimidiwe mpaka namshangaa mtoto wa dada vic alokuwa mdg saiv ni mdada wa kuheshimiwa🙏
Poleni sana kumpoteza mpendwa wenu Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi😢 but this song give me hope for living on earth .God remember the wondow windower and orphanage
Nani mwingine Ako hapa huu mwaka wa 24 mwezi wa 9 analia kuhusu kifo cha ndugu yetu Marco 😭😭😭...
@@smilenancie8712 tupo wengi we acha yani
@@Teaching356 😭
Hakika ninabarikiwa sana na wimbo huu japo nimara yangu yakwanza kuusikiliza lakn watumishi wabwana hakika tujiandae kwa kila jambo kwani dunia hii imejaa majonzi hivyo tumtegemee mungu kwakila jambo pia wimbo huu unanitoa machoz
Mumetoka mbali kweli, love from Kenya
Very true ... God really lifted them it's Saad Marco had to leave earlier 😢😢
Hakika mmetoka mbali Wimbo mzuri BT tunamkumbuka ndugu yetu marco
Ktk kusikiliza kwangu nyimbo zote sijawai ona wimbo mzuri kama huu na hautawai kuja kutokea kamwe
Hakika mmetoka mbali Mungu akawe mfariji tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu
Hongereni mkaka amepatia sana
Walianza zamani sana Mungu awalinde nabarikiwa
Mungu awabariki Kwa wimbo mzuri ,Marco tumekumiss endelea kupumzika Kwa amani kaka Mungu akupunguzie adhabu ya kabur
Wimbo mzuri kweli, mara ya kwanza kuuskia wimbo huu.
Sawa
Barikiweni sana
For sure mmetoka mbali na mtaenda mbali.
Acha Mungu aitwe Mungu amewatoa mbaali
Zabron nawapenda sana hakuna wimbo wenu unanipita. I wish nigekuwa Kwa iyo family
Umenikumbusha mbali sana weken na nyimbo zote za kwenye hii album
Mungu awe mfariji ktk kipindi hichi kigumu.
Wimbo huu mzuri sana.
Hongereni San wimbo ni mzuri San nimeupenda
Kaka naomba utupie na nyimbo zingine kwenye hii albam km wimbo wa ndoa
Wimbo huu utabaki kuwa bora katika maisha yetu yote namuona Yesu kila ninopousikiliza huu wimbo.
wimbo huu ñi mzuri mno, mbarikiwe sana; ikiwapendeza mziweke pia nyimbo zenu za zamani mtandaoni, tunazihitaji (mfano: Talanta, Omba bila kukoma, n.k)
Nawapendasana
Mbarikiwe San nimeupenda wimbo
Mungu mmwtoka bali
Mungu ni mkuu sana.
Kutoka hapo mlipokuwa, mpaka mkono wa Bwana na sasa Sweet Sweet.🔥🔥🔥😥🔥
Amen mbarikiewe Sana
❤❤❤❤ jamani mungu amewatoa mbali
Mungu u mwema🎉🎉
Mmetoka mbali ndugu zangu wimbo wenu umenibariki sana Mungu azidi kuwainua zaidi japokuwa kaka yetu kutangulia mbele za haki lakini mlobaki mtayafanya makubwa zaidi tunazidi kuwaombea🌹🌹❤️🧡💛
Mmetoka mbali
Da kumbe ii nyimbo ndio ilikua kwa mfumo uu jaman mungu kawatoa watu mbali ashukuriwe kwa ilo
Nyimbo nzuri sana ❤❤❤❤ nawapenda watumishi wa MUNGU
Zabron singers mlianzia mbali kweli mpaka mlipo leo ni jina la Bwana lihimidiwe mpaka namshangaa mtoto wa dada vic alokuwa mdg saiv ni mdada wa kuheshimiwa🙏
God is always good to those who worship them ,his grace is enough I envy their compatibility, wametoka mbali
Amen
Kwa kweli tutafute hela
Wimbo hi ninzuri sana kuzidiya zingine yachukuwa nafasi yakwanza.
Amazing 😍
I think Japheth zabron re-emphasized on this ❤
Mungu utoa wapi mbali
Amén amén
Mbarikiwe sanaaaaa
Poleni ndugu zetu wa zabron singers mungu atutie nguvu sisi wote kufuatia kifo cha ndugu yetu Marco
Kazi nzuri sana watu wamungu nawependa sana
Poleni sana kumpoteza mpendwa wenu Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi😢 but this song give me hope for living on earth .God remember the wondow windower and orphanage
Wimbo mzuri barikiweni san na mkawe na nguvu mpya ktk Yesu❤
Nimemuona Marco nikahisi kulia tu.
Jamani alienda mapema
RIP
M barikiwe Mimi binafc imenikonga moyo
Kwa hakika watu Mungu hututoa mbali Sana sifa na utukufu ziwe kwake Mungu wetu,hakika mmetoka mbali Sana,Mungu azidi kuwainua viwango na viwango
Zabron nawapenda..rip marco😢😢😢
Duuuu wametoma mbali sana Zabron singers! Mungu azidi kuwapa nguvu
Since I come across this song inachezwa every hour.i love it.
God bless you zabrons
Amenr
Amene
Jameni mumetoka mbali
Nice song
Napensa
Indeed mungu amewatoa mbali mpaka yesu amefanya sura zenu zingae tena.may the Lord keep you strong at this moment one of you left you.
@wangui
Hey. MMetoka mbali kweli
Hapo mlikuwa wadogo sana. Hongera.
Mungu amubariki siku zote.
Nyimbo yangu Bora kabisa toka kwenu
Ama kweli mmetoka mbali hapo nimewajua wa tatu tu mweeee
Mm wawili
Tumetokq mbali tumemfata dijei mungu awabarik san
Mungu awabariki na kuwatia nguvu kwa kazi yenu njema ya uimbaji
Dah pumzika kwa Amani ndgu Marco😢
Mumetoka mbali Sana mungu azidi kuwalinda milele na milele
Be blessed the Zabron family 💕 💕 I love your unity
Yesi
Be blessed mungu azidi kuwatia nguvu...Marco forever in our heart😢
Kweli mmetoka mbali Rip marco
mbarikiwe ndugu zetu tupo pamoja kwa kipindi hiki kigumu😢😢
Wimbo huu ni mzuri sana mbarikiwe kapisa ❤
Team Irene na rk weka likes zenu
Mbalikiwe jamani
Hongeren Sana nmetoka mbali
Wametoka mbali sana aiseee mpaka hapo walipofika ni mungu tu
Amen and amen nice song
Aise na huu ni wenu nawapenda sana❤
Mungu awazidishie baraka
Mbarikiwe watumishi wa MUNGU
Mungu awabariki munanibariki kupitia wimbo huu
Wimbo bomba san
Asnte kwa wimbo mzuri.
Mungu akawe mfarij wenu
Kweli mmetoka mbali
Mungu awabariki sana,mmetoka mbali.
Wow God is really great 👍
Vilio vyenu wana family ya zabron mungu anajua polen sana wapendwa?
Rip Marco
Mmetoka mbali kweli
Mubalikiwesama nabalikiwa kwawimbo namungu tayali kashawabakiki mulipotoka nimbali
Hapa marehemu alikuwa bado hajaoa vile pumzika Marco 😢
Maisha mafupi 😢😢😢
Amen amen inabariki sana
Jamani katoto kanamiaka mingapi hakoo
ASANTE BWANA YESU KWA KUWAPA UWEZO WA KUIMBA UTUKUFU UKULUDIE WEWE BWANA YESU
Hallelujah!!!!🎁🎁🎁🎁🎁👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🎂🎂🎂✔️
Sister Grace was expectant😊
Hakika watu hutoka mbali
Rip marko
God is able and faithful
God bless you
Ndio walivyokuwa
God bless you abundantly 🙏🙏
Amna wa nimeupenda Sana uowimbo mubarikiwe
Ndo kwanza nawatch hii nyimbo leo, kwakweli imenibarikk mno🙏
Mr Marco kumbe alinza uwimbaji wake kitambo😢
Enyewe watu hutoka mbali, thanks for your persistent.
Ameen
Nawapendasana
Watu utoka mbali
Hakika mmetoka mbali
Zablo mumetoka mbali
Amen