NIMEFIWA NA WATOTO WANGU WAWILI AJALI YA GARI KUSOMBWA NA MAFURIKO ARUSHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Комментарии • 294

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 Месяц назад +24

    😭😭😭😭😭😭😭Mungu naomba uwape hizi familia faraja na mioyo ya subra

    • @christinendemasi1796
      @christinendemasi1796 Месяц назад

      Poleni wafiwa wote, Mungu awape faraja kwani kwa akili zetu hatuwezi kitu

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Месяц назад +9

    Pole sana Kaka ! Ni maumivu makubwa sana sana! Poleni Wazazi wote mliopoteza wapendwa wenu! Innalilah wainnalilah rajiuun!

  • @neemambasha4641
    @neemambasha4641 Месяц назад +14

    Poleni Sana mwenyezi mungu akawe faraja kwenu

  • @ConfusedDarts-yv4pr
    @ConfusedDarts-yv4pr Месяц назад +8

    Pole sana mr mushi kwa msiba huu mkubwa, upokeeni msiba huu kwa imani tukijua kuwa sote tutapitia njia hiyo, Mungu awape pumziko la milele marehemu wote Amina

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 Месяц назад

      Amina!

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 Месяц назад +1

      Hakika ni KWA IMANI tu , ndio tunaweza kuzishinda nyakati ngumu zenye kuumiza... Ee Mungu wafariji hawa wazazi😭

    • @lilylema5292
      @lilylema5292 Месяц назад

      Habar jaman tuna tafuta namba za mushi tuende kwake. Au kama unapajua kwakwe tuelekeze sisi ni classmates wake wa o-level😢😢😢

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 Месяц назад +10

    Pole sana mwenyezi mungu akupe nguvu wewe na familia yako

  • @SashaOscar
    @SashaOscar Месяц назад +6

    😭😭😭😭😭 nimejaribu kuvaa viatu vya wazazi havinitoshi, Mungu awape faraja iliyo ya kwl

  • @user-et4ny5gj3p
    @user-et4ny5gj3p Месяц назад +14

    Pole baba inauma sana watt wawili wote

  • @user-se1qc5mx4o
    @user-se1qc5mx4o Месяц назад +2

    Poleni sana ndugu zangu. Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi amen

  • @CarismaCarismamushi-fb4se
    @CarismaCarismamushi-fb4se Месяц назад +9

    Pole sana kaka

  • @IreneGogo-hp5gd
    @IreneGogo-hp5gd Месяц назад

    Duuuh inauma Sana inaniuma Sana Mimi uwiiiiii😂😂😂😂 polen wazizi wenzangu kwa kuondokewa na watoto mungu awatie nguvu jaman poleeen.

  • @ElizabethMgaya-gk1fu
    @ElizabethMgaya-gk1fu Месяц назад +1

    Poleni jamani kwa kupoteza wanafunzi wetu wa taifa la kesho, mungu haziweke roho mahali pema peponi

  • @user-zw5sd3pg2e
    @user-zw5sd3pg2e Месяц назад +4

    Pole kaka yang naumia sana Watt wawil

  • @user-pj1op9je4b
    @user-pj1op9je4b Месяц назад +3

    Poleni sana wanafamilia mliopoteza watoto kwa ajali MUNGU awapokee watoto hao Mbinguni.

  • @annamosha968
    @annamosha968 Месяц назад +1

    Poleni saana ndugu zetu, tunalia pamoja. Mungu awapokee malaika Hawa😭😭😭

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 Месяц назад +2

    Daaaah Mungu mwenye enzi wafarijii wote waliopatwa na majonzi makubwaa haya

  • @pastorsamsonoyango7464
    @pastorsamsonoyango7464 Месяц назад +3

    Poleni sana mungu awape nguvu wakati hu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 Месяц назад +3

    😭😭😭 bwana mm ninani hata umenifanya niwe hivi 😭 poleni sana wapendwa Mungu mkombozi wetu awe nanyi daima

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад +1

    Huyu baba amejieleza vizuri sana, pamoja na dereva kufanya uzembe, kumbe kuna wengine walishakufa mahali hapo! Baba asante sana kwa ushauri wako..

  • @user-qp2lc1ri2n
    @user-qp2lc1ri2n Месяц назад

    Jamani polen sana

  • @thomassenga2526
    @thomassenga2526 Месяц назад +6

    Vijana na madereva wengi Arusha ni wavuta bangi na mirungi ni vizuri sana wenye shule waajili wazee wenye wanafamilia

    • @GloryMsopa
      @GloryMsopa Месяц назад

      Unaongea tu wew huelewe hata angekuwa mzeee pia kama ni bangi ni bangi na sio Arusha tu mwombe mungu yasikukute

    • @thomassenga2526
      @thomassenga2526 Месяц назад

      @@GloryMsopa chuga wako mkoa Gani Arusha bangi sana mnavuta nani asie wajua?

  • @rehemaakyoo
    @rehemaakyoo Месяц назад +1

    Daaah!!!! jaman polen sana pole tena pole kwamara nyingne Mungu wambinguni awatie nguvu sana hiki kipnd nikigum sana mtavuka samala katka hili naamini

  • @SophiaMadatula
    @SophiaMadatula Месяц назад

    Poleni sana ndugu zangu

  • @SamsungA03core-tz7sz
    @SamsungA03core-tz7sz Месяц назад +1

    Poleni sana ndug zetu MUNGUawape subira na amani katk mioyo yenu

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk Месяц назад +1

    Mungu akawe faraja ya pekee kwenu ndugu zetu😭😭😭😭🤲🙏🙏🙏🙏

  • @naomiwise9714
    @naomiwise9714 Месяц назад

    Poleni sana ndugu zangu,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mno. Pole kaka yang kwa kuondokewa na watt wawili kwa wkt mmoja,inaumiza mno mnoo.

  • @manumbubujiba8610
    @manumbubujiba8610 Месяц назад +1

    Pole Sana mwenyezi Mungu akutie nguvu

  • @billykamango4244
    @billykamango4244 Месяц назад +2

    May the lord give you peace in these trying times to the parents and affected.

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 Месяц назад +2

    Tumuombe Mungu sana maana mwovu shetani anatumia mbinu nyingi kuumiza watu wa Mungu,hawa "manabii" nao ni miongoni mwa mawakala wa shetani

  • @DennisMkumbala
    @DennisMkumbala Месяц назад +1

    Poleni San wazazi Mungu akawape faraja katika kipindi hiki kigumu,,

  • @momylaviel
    @momylaviel Месяц назад +4

    Pole sana kaka😢😢

  • @moshinassoro7372
    @moshinassoro7372 Месяц назад +1

    Pole sana, Mungu Ndio tegemeo lako ndugu

  • @MariamuChengula
    @MariamuChengula Месяц назад +1

    Poleni

  • @norahprotas1769
    @norahprotas1769 Месяц назад

    Mungu awatie nguvu hizi familia hakika wana wakati mgumu sana!! Mungu wapokee salama watoto wako!!

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x Месяц назад

    E mungu wape faraja ndugu wote wazazi

  • @justokweka5561
    @justokweka5561 Месяц назад +2

    Wape uvumilivu Mungu wangu wape daraja Baba Watoto wanauma Sana jaman Ee Mungu tulindie watoto wetu Baba .pole Sana Ndugu zangu Mungu awape faraja .

    • @wemapanga1547
      @wemapanga1547 Месяц назад

      Mungu pekee ndo faraja ya hawa wazazi , awape nguvu, Mungu wasaidie hawa wazazi jamani nashindwa kuongea

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 Месяц назад +3

    Poleni sana

  • @user-bw2ev5si8y
    @user-bw2ev5si8y Месяц назад +1

    Poleni sana wafiwa,
    Poleni sana wazazi.
    Poleni sana.
    Tunaomba serikali iweke mazingira sahihi kwenye maeneo yote ya kuvuka kama haya. Kuwekwe vizuizi vya pembeni kwenye vivuko vitakavyosaidia kuzuia likitokea tukio lolote.
    Wapumzike kwa Amani 🙏🏻

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Месяц назад +1

    Mwenyezi Mungu awapitishe wenye maumivu haya, yasiyooezeka. Poleni sana, viatu vyenu hatuviwezi kwa sasa.😭😭💔💔

  • @ZainabSadiki-op1fz
    @ZainabSadiki-op1fz Месяц назад +2

    Mungu awatie nguvu wapendwa wetu,inauma mnoo ,na Mungu awapokee huko mbinguni

  • @syliviasimon8415
    @syliviasimon8415 Месяц назад

    Poleni sana mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 Месяц назад +1

    Pole sana Mungu awatie nguvu

  • @emanuelmichael5295
    @emanuelmichael5295 Месяц назад

    Pole san bro na wote walipmumbwa na dharma hiyo...Mungu pekoe awafariji

  • @MarrySamwel-lc4zh
    @MarrySamwel-lc4zh Месяц назад

    polen sana kwa msiba mzito😂

  • @marymwakasala2765
    @marymwakasala2765 Месяц назад

    Poleni sana mweee

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 Месяц назад

    Pole sana ndugu yetu, jikaze sana, poleni wafiwa wote.

  • @user-pj4hs3yo1q
    @user-pj4hs3yo1q Месяц назад +1

    RIP,Poleni Sana wazazi wenzangu mungu wa amani awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu,inauma sana mungu hatawaacha kamwe .

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k Месяц назад

    Mungu wape familia mioyo ya subra

  • @EstermsuyaMsuya
    @EstermsuyaMsuya Месяц назад +1

    Pole sana familia Mungu awafariji

  • @NeemaMichael-pc9jj
    @NeemaMichael-pc9jj Месяц назад +1

    Mwenyenzi mungu awape faraja wapendwa

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 Месяц назад +1

    Pole kwa familia Mungu awatie nguvu

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k Месяц назад +1

    Poleni sana ndugu zangu dah!

  • @user-ge6gu4fh7x
    @user-ge6gu4fh7x Месяц назад +1

    Pole bro daaa

  • @aminasalehe6997
    @aminasalehe6997 Месяц назад +1

    Poleni sanaaa familia zotee inauma sana

  • @user-dl1ju4ge3x
    @user-dl1ju4ge3x Месяц назад

    Poleni mlioondokewa na wapendwa wenu, Mwenyezi Mungu akawe faraja kwenu

  • @AminaSinde
    @AminaSinde Месяц назад

    Mwenyez mungu akufanyie wepes uwe na subra na ustahamilivu kwenye moyo wako najua inauma sna lakn kaz ya mungu aina makosa pole baba Mwenyez atakufanyia wepes inshaalah utapat wengine pole sna in short polen kw ujumla 😭😭

  • @emanueltluway7960
    @emanueltluway7960 Месяц назад

    Poleni xna wanaarusha mungu awapunzishe kwa amani watoto waliotangulia mbele ya haki Amen

  • @allenmacha4131
    @allenmacha4131 Месяц назад +1

    Poleni sana Wana Arusha

  • @GladdyMwanga
    @GladdyMwanga Месяц назад

    Poleni sana wapendwa Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki Cha majonzi

  • @selemkwizu7049
    @selemkwizu7049 Месяц назад +1

    pole sana

  • @user-is1cw9ce3q
    @user-is1cw9ce3q Месяц назад

    Polen sana tena sana

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 Месяц назад

    poleni sana mungu awatie nguvu tumeumia wote. hao ni wtt wetu wote

  • @user-mo2or8pq8t
    @user-mo2or8pq8t Месяц назад

    Poleni sana ndugu zetu mungu awe falaja kwenu

  • @user-im9wf2tb2r
    @user-im9wf2tb2r Месяц назад +1

    Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu 😭😭 poleni sana

  • @estabauna3604
    @estabauna3604 Месяц назад

    Kusaga TV mko vizuri Sana

  • @RayaaKivuyo
    @RayaaKivuyo Месяц назад

    Pole sana kaka mungu awatie nguvu wote katika kipindi hiki kigumu.

  • @ElizabethMathayo-bs1vt
    @ElizabethMathayo-bs1vt Месяц назад +1

    Poleni sana Mungu awatie nguvu 😭😭

  • @veronicamajaliwa7523
    @veronicamajaliwa7523 Месяц назад +1

    Poleni sanaaa

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 Месяц назад +1

    Eeeeh mungu watie nguvu wafiwa wote

  • @JamesPoul-zq8yz
    @JamesPoul-zq8yz Месяц назад

    Mungu awatie nguvu

  • @SamsonGabriel-pp7uf
    @SamsonGabriel-pp7uf Месяц назад

    Poleni wote mliopatwa na janga hilo Mungu azilaze roho peponi amee

  • @SimonMaso
    @SimonMaso Месяц назад

    Mungu azilaze roho za watoto hao mahali pema wazazi wa watoto hao mungu awatie nguvu na baraka Tele daaaaaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 Месяц назад +1

    Poleni sanaaaa families. Almighty Allah give you all families strength inshallah

  • @QueenemmanulChande
    @QueenemmanulChande Месяц назад

    Mungu awatie nguvu wapendwa

  • @FarijiUbamba-jb1ih
    @FarijiUbamba-jb1ih Месяц назад +1

    Mungu awape faraja wafiwa wote 😭😭

  • @user-ow6yt3ou9n
    @user-ow6yt3ou9n Месяц назад +2

    Polen xn jamn ndug jamaa na marafik kwakwer inaum xn 😭😭😭

  • @mariamissa4486
    @mariamissa4486 Месяц назад

    Pole sana kaka angu mungu awape pumzikk

  • @user-jh6pd1jh5j
    @user-jh6pd1jh5j Месяц назад

    Poleni sana ndugu zetu Mungu awatie nguvu

  • @carenchepkurui126
    @carenchepkurui126 Месяц назад +2

    Poleni xana Kwa familia 😢😢

  • @omegalema379
    @omegalema379 Месяц назад

    Pole sana kaka Mungu awatie nguvu

  • @GraceMalisa-bl2wf
    @GraceMalisa-bl2wf Месяц назад

    Mungu awatie nguvu wote

  • @khadija5761
    @khadija5761 Месяц назад +1

    Pole kaka 😢😢😢

  • @furahamgaya1026
    @furahamgaya1026 Месяц назад

    Poleni sana mungu akawe faraja yenu, katika kipindi kigumu.

  • @VERONICALAIZER-vt3ui
    @VERONICALAIZER-vt3ui Месяц назад

    Tunamshukuru tu Mungu kwa yote,,,Ee Mungu wape wazazi hawa faraja yako pekee,, safari yetu ni moja Ee Mungu tusaidie

  • @sandramsengi4894
    @sandramsengi4894 Месяц назад +2

    Mungu akupe Nguvu jamani kwenye kipindi hiki kigumu 😢😢

  • @WinnyDamian
    @WinnyDamian Месяц назад

    Daah inauma sana mungu azilaze roho zao mahari pema pepon

  • @Magefanuel85
    @Magefanuel85 Месяц назад +1

    Poleni sana ndugu zetu watoto wetu wapumzike kwa Amani😭😭

  • @fattymusa4857
    @fattymusa4857 Месяц назад +1

    R..I. P. Inauma.....! Poleni wazazi wenzangu. Inauma mno mno. Wasingeagia shuleni, itaweza kuathiri watoto kisaikolojia. Lingechaguliwa eneo tofauti na shulemi.

    • @saummusa4961
      @saummusa4961 Месяц назад +1

      Syo shulen n uwanjan kupo nje na shule

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 Месяц назад

    It hurts! it real hurts.. Poleni sana jamani

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u Месяц назад +1

    Poleni ndugu zetu mtoto anauma jamani Mungu awatie nguvu

  • @nerryabel7512
    @nerryabel7512 Месяц назад

    Poleni sanaa wazazi wenzangu, Mungu awe mfariji wenu mkuu,😭😭🙏🙏

  • @user-qz5zp3mq7p
    @user-qz5zp3mq7p Месяц назад

    Mungu tu awape nguvu na kuwashika mkono kibinadamu maneno hayapo ya kuwaeleza wapendwa, Mungu awakumbatie,bila Mungu hatuwezi

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 Месяц назад

    Poleni sana wapendwa M/Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu kwenu 😭😭😭😭

  • @usersnk
    @usersnk Месяц назад

    Poleni sana ndugu zetu mliopoteza wapendwa wenu

  • @user-qp2lc1ri2n
    @user-qp2lc1ri2n Месяц назад

    Mungu awarejeshee wengine pia azidi kuwa bariki😂 Mungu awape nguvu

  • @user-id9iv4ih1f
    @user-id9iv4ih1f Месяц назад

    Poleni Sana wanafamilia kwa ajili!!

  • @user-pe6pl1ie3l
    @user-pe6pl1ie3l Месяц назад

    Inalillah wainailayrajun Allah akawe faraja yenu

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 Месяц назад

    Poleni sana jmn

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Месяц назад +1

    Poleni wazazi na family RIP watoto wetu jamani

  • @user-nb5vb3qf3w
    @user-nb5vb3qf3w Месяц назад

    polen sana hakika ni maumivu yasiyoelezeka mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu mungu awe mfariji wenu😭😭

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 Месяц назад +1

    Poleni Sana WAPENDWA hakika inauma Sana😭😭😭