Good job violet and benard AKA kijana mali safi am happy for you guys i personally i have been living with HIV over 24yrs and am happy about my hiv status be strong guys
This girl Violet is so beautiful wewewewe.❤ Well done for looking after yourselves. HIV is not a death sentence. Mungu awaweke maisha marefu sana Violet na Bernard.
9 years kuishi kivyako ni uongo, mara aliishi Kwa misitu mara boma, mara alisoma highschool pekeyake, mara alimaliza form 4 akiwa 19, mara alichumbiwa akiwa 18, this lady is a LIAR
Am always happy when i see people coming out to share their hiv status.....hiv is just any other disease and very manageable so you live a normal life just like any other normal person.
Its true anadanganya, kwa channel yake alisema after babake kumfukuza alienda kwa uncle yake ambaye alimsomesha adi form 4 , after hapo ndio alienda nai kutafuta job...kwa uncle yake ndio anaita street....life ya uyu dem ni lie
Ukitaka kujua huyu dem anadanganya enda youtube channel yake na uwatch video akiexplain story yake, , ni different kabisa...alisema after babake kumfukuza alienda kwa uncle yake mwenye alimsomesha adi form 4 na after hapo akaenda nai kutafuta job, , mbona adanganye sasa
Ms mkabana is a super lier her stories are so different hapa new story ,her RUclips channel yake different, TikTok different.why not just stick to one story lol .
@@francymutua7022 imgn hadi anasema ety aliishi kwa bush how na akamaliza shule 9yrs kwa bush aliservive aje Alf izo persary anasema nani alikuwa anamujazia na alikuwa mdogo🤣🤣
Good job violet and benard AKA kijana mali safi am happy for you guys i personally i have been living with HIV over 24yrs and am happy about my hiv status be strong guys
Hi Kevo can I talk to you
Waaaah n neema ya mungu tu aki am sorry aki dear
This girl Violet is so beautiful wewewewe.❤ Well done for looking after yourselves. HIV is not a death sentence. Mungu awaweke maisha marefu sana Violet na Bernard.
Vio na bena thanks for creating awareness on your status,hope Diva girl is fine too wherever she is
Violet knows how to take his medication well....good job on creating awareness
Congratulations for standing up, you are an inspiration to many
This lady is so beautiful and looks super healthy🥺😍😍
Violet is glowing each day❤
Waaaah 😊Bena in citizen.Waah God add you more years 😊
They'll go far. May God bless your relationship
Lulu is so professional...
Lulu want to know exactly how Bernard spoke to violet😅
🤭🤭aky
Wish you all the best in your marriage
Wishing you two all the best.
Woiyeeee . Beautiful lady kupatana n mwanaume anakuabukiza virusiii ...pole sis 💓 i like your courage ❤
🎉🎉🎉🎉you inspire many❤may God protect you
Watu huishi kwa neema ya mungu aki ujue ata sisi tu aishi n watu wa HIV but tunawachukulia poa aki juu hujui kesho yako aki
9 years kuishi kivyako ni uongo, mara aliishi Kwa misitu mara boma, mara alisoma highschool pekeyake, mara alimaliza form 4 akiwa 19, mara alichumbiwa akiwa 18, this lady is a LIAR
😂😂😂
By the way hapo kuna kauongo😂
Ukweli ni muongo 😂😂
There are people who hardly keep date records but just understand and support her to live normal life.
Amechanganyikiwa to
This lady nmempenda tu sana may God give you more years on earth
Am always happy when i see people coming out to share their hiv status.....hiv is just any other disease and very manageable so you live a normal life just like any other normal person.
So you are a victim?
@@thisandthat4932 😅😅😅
@@thisandthat4932 so how is it your business....Madam Judge...you are the people all over victimizing these guys
@@thisandthat4932 why would you want to know about that?
It gives hope to the hopeless
This is an amazing woman 👏👏👏👏 I can see that
The story ya Violet is not adding up...u cant stay msituni for almost 8years hadi ulipe fee...
Can't make sense
Is she supposed to tell you everything😁😁
Is she supposed to yell everything 😂😂 enda uelezee story yako pia
Banaaaaa😂😂😂
May God bless you more than you could ever imagine 🎉🎉🎉🎉🎉
Inapendeza all the best🙏
Pia Mimi natamani wa kunipenda,long story to tell
Tupendane na wewe
kila la heri
Omondi bii ankaa, tupendane
kama uko positive violet ako na watsap group ya kumingle Jaribu huko
ATA mm natamani WA kunipeda
Wameona wpi simtu anajikaisha 😅😅jameni muoane kwaza alafu vao mtoto naalinyonya pia yye ako hvio ama
Wish you Happy Stay Ben & Vio
Very painful
Waliachana love in Nairobi is a SCAM😂😂
Violet is lying ... alisomeshwa na nani
Its true anadanganya, kwa channel yake alisema after babake kumfukuza alienda kwa uncle yake ambaye alimsomesha adi form 4 , after hapo ndio alienda nai kutafuta job...kwa uncle yake ndio anaita street....life ya uyu dem ni lie
She's lying 😅
Ni mkora
Kweli
Vile alikuwa anaongea niliona mwongo,,kumbe aliwambia ivyo😮
Awesome my pple keep going sky is the limit
I wish you all the best 🎉
follow our account here guys and see us in action
Wameachana tena🙌🙌🙌
Kamalisa shule 19yrs katafuta KAZI 18🤔
😂😂😂😂😂
Alipanick kwani uoni anasema ukweli
God bless you all
Dada mzuri sana alfu hizi ARVs zinawapendezesha hadi raha
The lady is not honest .Her story is not adding up.Anaishi kwa msitu
Kabisa..Kuna vitu anadanganya... Anaishi kwa msitu then akasoma high school..how?
😂😂😂😂
😂😂😂mukora tu si maajabu upate pia. Yeye alikua kwa mausiano zingine
Awesome barikiweni sana
Tunawatakia maisha mema❤️
Mumenitia moyo xna mubarikiwe
We violet mbona wamrushia Banna macho hivi ahh😅
There is God power so violet and Bernard u have a nice life but is very painful for us
UKISEMA UWONGO UWE NA KUMBKUMBU PIA ninachoskia hapa ni tofauti na Kwa chanel yake ona SASA ati kakulia Kwa msitu na akasoma high school 🤣🤣🤣🙌
Ata mimi nimechanganyikiwa pia msitu na high school
Mungu awatie nguvu
Pole usijali
Lovely couple❤
violet nenda uka create story vzr maana hueleweki mara uliolewa 19 mara ulipata bal 18 yrs
Vio nmetoka TikTok mbio nione hii ,,🥰
Me too😅😅
😂😂😂😂mbona unaniongelelea
Be strong God is everything
Very contradicted haieleweki
Sisi tumeelewa
Aki pole kwa ya liokupata,
Am here after i watched yiur videos on tiktok hugs ❤ 🫂 🤗
Mungu awaonekanie🎉
Wish you all the best ❤
So sad story...but encouraging
Mim nataka kupenda MTU kam huyo. Bado sio mbaya bado negative aneza ishi na positive
My favourite titocker
apa kuna story ya jaba kwa violet juu how comes
How comes what?
Wow so cute
All the best
Wish u two well
My favorite Bena💕💕💕
Vio ananibambanga hapo tiktok mbaya😂😂😂
Hii ishu ya kusoma KUNA kauongo flani hapa
Nawaonanga tiktok aki🥺🥺
Hugs young gal
Wish you all the best
Uyu mrembo n mkora anaeleza stori haileweki
😊😊😊😊😊😊 uliona pia
Sasa atakuaje yatima na ako na baba
Mama kafa. Baba kamfukuza kamwambia si mwanawe. Vipi amuite Baba??
Ati walioana linii😂😂 aki benaa wewe
My favorite tiktokers ♥️♥️♥️
Feel for Bernard
Uwongo wake
I know this girl lulu
The girl is 25 yrs😮😮wow🎉she looks younger
uongo. In fact anakaa 35. 25 ni wadogo sana
25 years is younger to anyone, 35 yrs is not younger
Uyu hajielewi hii story sio straight 🚮lakini koz sio yangu 😂 acha niskize 😂
🤣
Aky si same na ile alisema tiktok live alikuwa na first boyfriend b4 mkisii baby daddy sasa
Kabisa😂😂😂😊
Kweli ni msoftie
So she has a body count of two. Hard to believe.
I trust Bena Ila violet NI uongo tupu
Kabisa uongo mingi
Oh my god protection
Uongo
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😢
Nani ame notice huyu dem amejichanganya life yake ya utotoni, anyway mko poa
She is lying everything, uyu ndo alitafta ukimwi! I don't like her!
@@coletamusau1136 kabisa, mara alioleka na 19yrs mara alizaa 18 sijui alimaza form 4 19yrs, ni muongo kabisa yeye ndo aliletea mzee wake ukimwi
Wacha kukaa mbali na wao lulu,
This girl is full of lies her story is not adding
We nenda uko ukalete yako ya ukwel
Your right she told people live her dad alimfunza Hadi form 4 and again akiwa 9 budake alimfukuza akajisomesha lol lier sugu
😂😂😂nani ameona apo Kwa highschool kumeandikwa assume😂
😂😂😂😂😂
Hapo she lied
Iyo kitu inakuuma xana na unacheka🤔
Wewe damu maisi
I don't trust her story their is something created
Ww sasa ni nani ndio uamini wakenya mnapenda kuamini uongo uyu msichana ameshinda akijielesa kila siku TikTok
Jamani kama unaona ni uongo njoo utupee ukweli
Ukitaka kujua huyu dem anadanganya enda youtube channel yake na uwatch video akiexplain story yake, , ni different kabisa...alisema after babake kumfukuza alienda kwa uncle yake mwenye alimsomesha adi form 4 na after hapo akaenda nai kutafuta job, , mbona adanganye sasa
Ms mkabana is a super lier her stories are so different hapa new story ,her RUclips channel yake different, TikTok different.why not just stick to one story lol .
Kwanini haukuabia huyu bibi yako o my God
Na wamewachana
Hii ni uongo tupu
Watafute pesa uongo waache
Najipata nalia t
Hapo kwa shule amedanganya😅😅aliishi kwa relative aki this gul😊😊
😅😅😅😅😅😅
She has her own reasons for saying that respect it
Yaani kuishi na yatima n ngumu maana hataki kusema relative alimuelimisha Hana shukurani
People can't appreciate the little help they get from others.
@@francymutua7022 imgn hadi anasema ety aliishi kwa bush how na akamaliza shule 9yrs kwa bush aliservive aje Alf izo persary anasema nani alikuwa anamujazia na alikuwa mdogo🤣🤣
The story of this gal is not adding up
I thought I was the only one who realized this.
Njoo Tanzania kwa maombi kwa Kuhani Mussa kimara temboni
Kaa Tanzania na maombi yako...
@@apparently2972 uchaguzi Ni wake, ama aendelee kukaa na wadudu
Huo ni uongoooo baaana😂
@@joseO12326 wenzio tumethibitisha
Huko ndio roriondo kwa Babu mpya😂😂
Mbona nikama hawadate
Sasa hii ni kitu ya kushangaza kwani adi inakua news..people are out here married to pos+neg,pos+pos so I don't see how this is news
No wonder for eleven months nobody has liked your comment