MPIGA DEBE ANAYEMILIKI SHULE YA SEKONDARI MBEYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 430

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 5 лет назад +1

    Watu wako Baba tunaangamia Kwa kukosa maarifa .tupe uelewa baba tusizidi kuangamia amen

  • @miriam5735
    @miriam5735 5 лет назад +13

    Huyu ndo alinunua mtt akamuua ili aendeleze biashara yake kama unaamini pesa za mbeya ni uchawi tu gonga like tujuane humu

    • @pendopendo3008
      @pendopendo3008 5 лет назад

      Miriam hamed anatuzungu tu muwaji yani ukiona mtu amefanikiwa amefany mambo meng san haiza mabya au mzur usitaman chamtu huyu c ndo alimnunua mtot milioni5 afu wakamkat kisingino mmmmh

    • @miriam5735
      @miriam5735 5 лет назад

      Pendo Pendo ndiyo

  • @lushilemmanuel768
    @lushilemmanuel768 5 лет назад +2

    Kama na ww unamalizia maneno kama namali..... Namaliza, nilikuwa mzito shule.... Shuleni na nikaomba nafa.... Nafasi gonga like

  • @henrybill5509
    @henrybill5509 11 месяцев назад +1

    Uyu. Jamaa alifungwaa kwa kesi ya mauwaji ya mtoto.

  • @ahmedhajji1210
    @ahmedhajji1210 5 лет назад +27

    kwa aliemuelewa mzee wa kuungaunga km vile nimemaliiii ...nimemaliza...kuomba nafaaaa nafasi.....gonga like

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 5 лет назад +125

    Kama wenimpambanaji gonga like

  • @maligisadotto8631
    @maligisadotto8631 5 лет назад

    Safi sana kumbe hata mimi ninaweza kujenga shule. Nilikuwa na mawazo hayo lakini nilikuwa nimekata tamaa kidogo sasa nimepata nguvu mpya namwomba Mungu anisaidie nijenge sio shule ya sekondari tu bali kuanzia shule ya chekechea hadi chuo kikuu.

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 лет назад

    Dah yaaaani nachekaaaa mpaka machozii...
    Kabla sijaoa mdogo waaaa...
    Nikapambanaaaa we nikapaaaaa...
    Yqmungu ni meeeee....
    Nikaaminii kama naweza kujeeeee...
    Niliomba kwa mama mmoja akaniuziiiiii.....
    Zashidaaaa saaaaaaa.....
    Dah...
    Gonga like

  • @happymushi8197
    @happymushi8197 5 лет назад

    Huu ushuhuda unahamasisha watu lkn mmepoteza muda mwanzoni kwa kutuonesha mambo yasiyotujenga. Asante ayo.

  • @jamesmwakijale3366
    @jamesmwakijale3366 5 лет назад +6

    Mazingira sio mazu.... sio mazuri.nikaona sio shi... sio shida .watoto watatu wakoa ila... wako ilasi.ya mungu ni me... ni mengi.nikaamini kua naweza kujee... naweza kujenga.haitos.... haitoshi. Sana brooo nimekuelewa

  • @abubakarijuma971
    @abubakarijuma971 5 лет назад +25

    Yeah,,,kuwa mvumilivu,kujituma,hekima , nidhamu pamoja na maarifa ndo misingi halisi ya kufanikiwa , hakuna sababu ya kukata tamaa kwani hujui mungu amekupangia kitu gan chakukufanya ufanikiwe🙏🙏🙏

    • @beatricekamengekamenge5543
      @beatricekamengekamenge5543 5 лет назад

      Amen kubwa sanaa kaka yangu

    • @fofomohammed6253
      @fofomohammed6253 5 лет назад

      Kabisa

    • @خلودالناعبي-خ7ق
      @خلودالناعبي-خ7ق 5 лет назад

      jaman nina shida namillad ayo ninashida anisaidie kwamwenye namba anisaidiekikubwa nihabari kutoka katika shule zamsingi nasec singida nikilenga moja yashule hizo kibaon primary nakindai secondary wanawatuma watoto pesa uchumi hauruhusu nakero yangu kubwa niwatoto kuwa shule kutoka 12 asubuh paka 12 jion nimuda gani watajisomea hawapewi break yakwenda nyumban kula changamoto kubwa nipesa familia nyingi maskin jina langu mwanaisha juma mande +968 71154190 napatikana WhatsApp naimo

    • @honorykwahhay4364
      @honorykwahhay4364 5 лет назад

      Amina

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 5 лет назад +1

    Hom sweet hom mbaliz mbeyaaaa....
    Soon nakujaaaaa...
    Pamojaaa millard

  • @hamdanal-habsy745
    @hamdanal-habsy745 5 лет назад +2

    wew fara wew unaanzaje kumfananixha mwenyez mungu na Athuman laana tullah

  • @irenezephania5438
    @irenezephania5438 5 лет назад +10

    Huhuhu kabla cja o...cjaoa,nilikuwa cjaza.. .cjazaaa lkn ya Mungu ni me ni mengiii huhuu yechuyechuu

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 5 лет назад +4

    Hii story ni taa ni tamu tunaomba mwende mwendelezo😊😊 hongera sana kaka nimejifunza kitu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 месяца назад

      Liuaji Hilo,linatoa kafara watoto, hivo unaambiwa utajiri wa mtu ni Siri yake na usitamani Mali ya mtu ,hujui kaipata vp

  • @John-q8w2i
    @John-q8w2i 11 месяцев назад +1

    Mchawi uyo

    • @lizzynkifu4179
      @lizzynkifu4179 4 месяца назад

      Muuajia pia yan wanaua mtoto sabb ya utajiri

  • @mligombuma2287
    @mligombuma2287 5 лет назад

    Mungu anakuona hataaaa ajifukie kwenye shimo...... Tuwe na hofu ya mungu

  • @richardshirima2373
    @richardshirima2373 5 лет назад

    Huyu anafanana sana na jamaa mmoja wa Rombo huku Tarakea naye ana shule mbili now anaitwa Kipochi... Historia ya maisha bhana ni ngumu jamaa zangu, kukata tamaa ni dhambi mbaya kabisa Mungu Mwenyezi mwenyewe ashasema.. Tupambane mwanzo mwisho..

  • @rehemajumamlinde9418
    @rehemajumamlinde9418 5 лет назад +7

    Stori nimeiele nimeielewa. Jamaa anawe anawezaaa 😀😀😀😀

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 лет назад

    Hongera kaka mwenyezi Mungu azidi kukupa zaidi na zaidi wewe songa mbele hakuna kuangalia nyuma.

  • @ChrissGameTZ
    @ChrissGameTZ 5 лет назад +6

    Pesa za masharti aziwezi kukuweka smart bwaanah😁

  • @maidafrancis45
    @maidafrancis45 5 лет назад +2

    Hongera Sana mpambanaji mwenzangu

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +5

    Mwendelezo tafadhali Millard Ayo🙏

  • @mamahance9049
    @mamahance9049 5 лет назад +25

    Njia ya muongo ni fupi ,Na Mungu hajawahi kumuacha salama mtu mnafiki, Malipo ni hapa hapa duniani Hukum kwa Baba yetu Mbinguni

    • @jacksonchimomo554
      @jacksonchimomo554 5 лет назад

      Mama Hance Atabakia hivyo hivyo watu wanatumia Akili sio michambo

    • @eliaminimramba6358
      @eliaminimramba6358 2 года назад

      Jackson umeelewa Mama Hence alimaanisha Nini kwa Mmiliki wa shule?

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 месяца назад

      Kabisa yaaani ,hata mtiririko wa story yake hauvutii kabisa, kufanikiwa siyo kulala na kuamka, mtoa roho huyu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 месяца назад

      ​@@eliaminimramba6358huyo ni mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto rose

  • @mkiryastanslaus4992
    @mkiryastanslaus4992 5 месяцев назад

    Basi sawa,ye si mkurugenzi wangekaa ofisini sasa sio nje

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 5 лет назад +21

    Huyu kamaa ndio anashikiliwa na polisi kwa kumnunua mtoto kwa sh.mil5 na kumtoa kafara.

  • @rodgersletema1758
    @rodgersletema1758 5 лет назад +22

    Jamaaa anashindwa kuelezea anachanganya mafile aseme tyu ametumia njia mbadala kupata pesa

  • @hindumfaume4457
    @hindumfaume4457 5 лет назад +9

    hata haya haoni kamnunua mtoto kwa milion 5 ili mganga amtengenezee awe tajir mwenyez mungu anakuona wew hebu katubu kwanza kwanin kila kitu mpaka muue jaman

    • @zawadymwazy338
      @zawadymwazy338 5 лет назад

      Mbalizi xixhangai watumia xana hela za midawa

    • @catherineshirima3906
      @catherineshirima3906 5 лет назад

      Leo umejulikana muuwaji mkubwa mtoto Rozi hakwachi ngo shetan

    • @barakanyambele4673
      @barakanyambele4673 5 лет назад

      Akatubu wakati ananyea debe, acha akapambane na mkono wa sheria

  • @brayani6834
    @brayani6834 5 лет назад +2

    Blessing

  • @henrykishiwa6755
    @henrykishiwa6755 5 лет назад +13

    Nimependa sana mikato yake ya maneno mfano SINA MTO!!!, SINA MTOTO, NILINUNUA GA!!!!!!, NILINUNUA GALI, WATOTO WANGU WAKO ILA!!!!, ILASI, MUDA ULIKUWA HAUJAFIKA YAAANI WAKA, WAKATI!!!.

    • @maligisadotto8631
      @maligisadotto8631 5 лет назад

      Ilikuwa imefifi.... imefifia, mazingira sio mazu... sio mazuri. Lakini ya Mungu ni me..... ya Mungu ni Mengi. Nikaamua kuje... kujenga. Nikaona kama vile haito... haitoshi. Jamaa mmoja akaniuzi.... akaniuzia. 😂😂😂😂

    • @majaliwamsigwa1570
      @majaliwamsigwa1570 5 лет назад

      Henry Kishiwa Akanyakuwa poo!!!,pochi.ikani bidi nirudi kijiwe!! Kijiweni

    • @awenanassor3169
      @awenanassor3169 5 лет назад

      Duh nzuri nmeipenda

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 лет назад

      😂😂

    • @ummyakezuwena654
      @ummyakezuwena654 5 лет назад

      Henry Kishiwa haaahaaahaa ndo ukamuone lumande sasa siri zimefichuka

  • @daimavlog
    @daimavlog 5 лет назад

    Mashart ya mganga. Ee Mungu ikumbuke Tanzania

  • @myambaallan4523
    @myambaallan4523 5 лет назад +1

    umenibusuti lazma nitimize doto yangu ya kumiliki hospital kubwa itakayo hudumia wa Tanzania mungu tusaidie wenye malengo yetu kutimiza

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 5 лет назад

    Mashalobalo acheni kufolow madem,, pigeni kazi umli unakikomo iposiku unao wategemea wata potea utapa shida sana..,,

  • @greatmangii
    @greatmangii 5 лет назад +8

    Kweli huyu NI mpiga Dee! Debe na amemiliki shuu! Shule na kamuiga chauu chaula Basi saa sawa
    Hongera saa Sana
    Ni marufuku kukata taa tamaa

  • @ahmedhajji1210
    @ahmedhajji1210 5 лет назад +1

    duuuu kumbe muuaji huyu kwa mtoto mdogo kwa ushirikina dahh mali jamani

  • @queenshomba8412
    @queenshomba8412 5 лет назад +1

    Hongera ssna Mungu akupe maisha marefu

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 лет назад +6

    nimempenda huyu kaka watt watatu kasomesha shule ya kulipia na anapiga debe unakuta mwengine mtt mmoja anashindwa kumsomesha mtt akapata elimu bora pia ongera sana kwa wazo la kujenga shule na kutokata tamaa

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 месяца назад

      Utajiri wa mtu ni Siri yake ,jifunze kutokumwamini mtu mapema haijalishi kafanikiwa kiasi gani, huyu ni mshirikina ,Hadi anaua, pia angalia story yake hata haina mpangilio mzuri

  • @mohamediyusuph4290
    @mohamediyusuph4290 5 лет назад

    Daaah yaani ukimtazama huwezi kuamini kabisa!!!!kumbe ni muuaji.

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 лет назад +2

    Mmmmmhu nawewe mtangazaji ni boya kweli sasa unatuonyesha stendi kwa muda mrefu unafikiri sie tunasafiri ama? We tuletee taarifa .Kiukweli mimi nikimuona mtu amefanikiwa hapi na mimi inanitia hamasa ya kupambana zaidi ni kwanini mwenzangu afanikiwe mimi nishindwe? Kikubwa usikate tamaa , kikubwa ni kupambana hadi kieleweke ipo ck namimi nitakuwa tajiri maadamu nina mikono yangu na miguu yangu.Hongera kaka kwa juhudi zako .

  • @joycemartine651
    @joycemartine651 5 лет назад +5

    Mungu sio asumani umekamatwa🤣🤣

  • @wecnotz4263
    @wecnotz4263 5 лет назад +21

    Ufungaji unalipa na kingne kwenye maisha iliuweze kufanikiwa usiwe mtu wa kukata tamaa pambana bila kujali mtaxamo wa watu wanakuchukuliaje

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 лет назад +1

    Hongera kwake Mwenywz Mungu ambarik sana

  • @AK-ho2lb
    @AK-ho2lb 5 лет назад

    Ukiona mbongo anafanya kazi za ajabu halafu ana Hela zakutosha tu kama huyu jamaa ujue ni hela za msukule .maisha gani haya badala ya kumtanguliza mungu unafuata nyayo za shetani

  • @barakajpilly6900
    @barakajpilly6900 5 лет назад +1

    Uyu c ndo alie husika na mauaji ya mtoto alikatwa kiganja kwa mambo ya kishirikina

  • @babaanisha2104
    @babaanisha2104 5 лет назад +1

    nimeanza na nguruwe kama watano Mara mtaji ukakua nikawa na nguruwe sabini niongeza na mbuz kumbe vigaja vya binadamu

  • @breackychangwe8781
    @breackychangwe8781 5 лет назад +4

    Ile Hiace nilinunua ya Zamaa...nikaiuza kama vyuma chakaa ..Hatariii sana brooo

    • @thevein2596
      @thevein2596 5 лет назад

      Breacky Changwe 😂😀😂😂

  • @rajabmlau1668
    @rajabmlau1668 5 лет назад +1

    We msenge sana.unauwa wtt wa watu kwa ajil ya utajiri

  • @fridamwantandi8921
    @fridamwantandi8921 5 лет назад +1

    Kumbe ulimuua mwanao tayari ushabambwa ndugu hata mafile unajichanganya mwenyewe upatikanaji wako wa hela huelezei vizurii nenda katumikie tu kifungo cha maisha fyuuuuuu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 4 месяца назад

      Yaaan hatari sana ,pesa haramu huwezi kutoboa ni suala lamuda tu

  • @oleiei434
    @oleiei434 5 лет назад

    Una bahati sana mzee. Uliponea chupuchupu kuvalishwa tairi na kuchomwa moto.

  • @kibundapesamadimba6352
    @kibundapesamadimba6352 5 лет назад

    safi sana inawezekana ukitia nia tu

  • @claudyngonyani1521
    @claudyngonyani1521 5 лет назад

    Bg up mpambanaji sana

  • @angelntandu4648
    @angelntandu4648 5 лет назад +2

    Safi sana mpabanaji dah!kwa hiyo mmeamua mfaidi kwanza kumfuatilia bila kujua?

  • @kimrudiger5084
    @kimrudiger5084 5 лет назад +4

    Nime download kueka kama kumbukumbu na motisha kwangu na wenzangu

    • @annaracheldaniel8793
      @annaracheldaniel8793 5 лет назад

      Nimeshindwa kudownload, naomba unitumie whatsapp number +968 95676002

    • @kimrudiger5084
      @kimrudiger5084 5 лет назад

      @@annaracheldaniel8793 I saved your number however I can't find you in watsap

    • @annaracheldaniel8793
      @annaracheldaniel8793 5 лет назад

      @@kimrudiger5084 nipe number yako nikutafute

    • @Ambwenefilm
      @Ambwenefilm 5 лет назад

      Ifute hyo video

  • @neemarichard1256
    @neemarichard1256 4 года назад +1

    Huyu anashikiliwa na polisi kwatuhuma za kumlagai mtu na kumuuzia mtoto kwa million 5 shetan huyo

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 6 месяцев назад

    Hiyo shule cjaona hata mwanafunzi akipita. Hafu nnatuonyesha sehemu moja tu ya shule ucheni usenge

  • @hdband3181
    @hdband3181 5 лет назад

    Anamaliiii....ana maliza... Nilipaaa nilipata😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chancemtitu1852
    @chancemtitu1852 5 лет назад

    sana ngane Master

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 лет назад +15

    Hongera kaka shujaa mpambanaji vijana tujitume huu ni mfano kwa vijana wenye malengo

  • @badyadnan2487
    @badyadnan2487 5 лет назад +2

    jela inamsubiri huyooo ataenda kuwaelezea wafungwa historia yake

  • @husnatawete7071
    @husnatawete7071 5 лет назад

    Hongera sana sana kwa kweli ni karamaa izooo

  • @mamahustru
    @mamahustru 5 лет назад +30

    Huyu mzee baba anatakiwa ajumuike na Clouds kwenye darasa la fursa 2019. Ili awatie moyo watu wengine hata wasiojua kusoma na kuandika.

    • @erodiasmallya406
      @erodiasmallya406 5 лет назад +1

      Moyosafi Hilo darasa la fursa wakati anashikiliwa na polisi kwa mauaji ya mtt. Anakazana kujenga shule wakati watoto wa wenzake anawafanya makafara.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 5 лет назад

      Amekamatwa sasa kwa kumnunua mtoto kwa ml 5 na kumtoa kafara na ushahidi upo polisi ameua mtoto na kumtoa kiganja cha mkono na mguu.

    • @hassanmugire1497
      @hassanmugire1497 5 лет назад

      anandagu

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 2 года назад

      @@davidcurtis8556 au ndio ile habari nilisikia ya mtoto wa kike aliuliwa jamani! Hana maana kunne kama muuaji

  • @levinabyamungu8453
    @levinabyamungu8453 5 лет назад

    Hongera Sana.

  • @robertebambo4202
    @robertebambo4202 5 лет назад +8

    Mshenzi ww sifa za bure kumbe muuaji kwa kweli unastahili kunyongwa si ajabu damu za watu sasa zinakuumbua mafia ww

  • @hamdanal-habsy745
    @hamdanal-habsy745 5 лет назад +1

    😁😂😂😂😂😂 huyo jamaa konk konk konk maxter

  • @lelo0246
    @lelo0246 5 лет назад +2

    Ujambazi tu,anaficha.
    Ndio maana hivi karibuni amekamatwa kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa umri wa miaka 6 sababu za kishirikina kutaka shule yake ifanye vizuri na kupata wanafunzi wengi, inasikitisha sana.

  • @robertebambo4202
    @robertebambo4202 5 лет назад +1

    Iyo shule ifungwe kabisa Mali za kishirikina ikibidi eneo liuzwe apewa mama rose aliyemuua

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 лет назад +3

    Amemuua mwanae kwa kuamini imani za kishirikina tayari amekamatwa na jeshi la police

    • @daimavlog
      @daimavlog 5 лет назад

      Charles Emmanuel kaua mtoto wa mtu mwingine. Basi hizo debe itakuwa masharti ya mganga

  • @nizahnyembe7866
    @nizahnyembe7866 5 лет назад +1

    Nakuona David

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 лет назад +1

    Yaan kwa mapamban ulopitia naiman mungu asingekuach angekupa tu...lkn ulipokosea kujifelish mwenywe na kuingia kwenye ushilikina...ss leo hii mali zote unaachia watu

  • @anitaabdiely1609
    @anitaabdiely1609 5 лет назад

    Yaan nilijua ulifanikiwa kwa nguvu na juhudi zako ukimtegemea mungu, kumbe sivyo na mungu amekuumbua baba usie na uchungu yaan umemuuwa mtoto wako wa kumzaa kisa utajiri dunia hii tunaenda wapi jmn mungu atusaidie yaan kmwe ndo maana siamini utajir wa mtu

  • @saidyusuph4129
    @saidyusuph4129 5 лет назад

    Pamoja ngane, big up

  • @helenamwaipopo967
    @helenamwaipopo967 5 лет назад

    Mmmmh hela za kishetani izo oooh malipo ni apaapa duniani aendelee ivoivo

  • @robillioncomedian9916
    @robillioncomedian9916 5 лет назад

    Mwanangu we ninooò naomba millardayo umalizie

  • @breackychangwe8781
    @breackychangwe8781 5 лет назад +2

    Mwaka Wa mwisho anamalii..

  • @ARUSHA_NAILS
    @ARUSHA_NAILS 5 лет назад +1

    Mzeee ana swa.... Ana swagr sanaaaa

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 5 лет назад +4

    Anakesi yama uwaji kwa ushilikina angalia Mbeya yetu utajionea kila kitu kusu uyo mtu mpiga debe awezi miliki shule

    • @sweetngailoubuyu6611
      @sweetngailoubuyu6611 5 лет назад

      Usiukumu usije ukahukumiwa ndugu ajuaye ukweli ni Mungu pekee funga tu mdomo chini ya jua kuna mengi usiyo yajua mpenda pia ukweli na uongo avijawahi kukaa pamoja kaa angalia serikali inachunguza na ukweli utaupata tu kwa serikali hii khaki hipo tu hakuna kitakschopinda ndugu usuda sio nzuri

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 лет назад +7

    Kamanda wa polisi kasema walionana na aliyemuuzia mtoto miaka 20 iliyopita tena walikutana kwa mganga ebu fikiria miaka yote hyo kaua wangapi?!?!

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад

    Yaani ya MUNGU ni mengi hata anavyojieleza husomeki umefika mwisho uongo wako yaani kweli unatoa watu ROHO

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 5 лет назад +11

    Huyu jamaa si ndiyo anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto kishirikina

  • @chakupewaonlinetv7045
    @chakupewaonlinetv7045 5 лет назад

    Nakubar

  • @barick
    @barick 5 лет назад +9

    Mpiga debe mwenzangu.
    Ipo siku millard ayo nitakuita

  • @breackychangwe8781
    @breackychangwe8781 5 лет назад

    Ya mungu ni mee..

  • @miriamifuja4041
    @miriamifuja4041 5 лет назад

    Kweli we ni mpambanaji.

  • @edinamsukwa8993
    @edinamsukwa8993 5 лет назад

    Habari ya kweli hapa Mby mblz

  • @nasrathyusuph3964
    @nasrathyusuph3964 2 года назад

    @millardayo huyu jamaa n insperation najua watu wanamuongelea vbaya kuhusu scandle alopa ila wengi hawajui ukweli uliopo nyuma ya issue ya jamaa ipo cku watajua alaf mtajua hii dunia kuna watu hawapo kam mnavowasikia wanaomjua wanajua naongea nn watu achen kumjugde coz hamfaham ila kwa wenye ndoto kubwa mfuatilieni jamaa hamtokata tamaa🙏

  • @rutakihama7599
    @rutakihama7599 5 лет назад +1

    Daaaaah Safi sana

  • @manumaelectricalworks1850
    @manumaelectricalworks1850 5 лет назад

    Nimependa sana historia yake,halafu ni mtu wa kufanya vitu vingi bila kukata tamaa.

  • @hassansamli2671
    @hassansamli2671 5 лет назад

    Brother unimefu umenifunza
    Me mengi sanaaa

  • @kenethkisoma4636
    @kenethkisoma4636 4 года назад

    Ametisha

  • @nelsonkyauke1481
    @nelsonkyauke1481 5 лет назад

    Ela za shetani hizo

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 5 лет назад +12

    Hizo ndo habari za kutuletea kwani hatujutii mb zetu😂

    • @rarirover44
      @rarirover44 5 лет назад

      Radhia Salum kweli kabisa yani

    • @awenanassor3169
      @awenanassor3169 5 лет назад +1

      Hadi ni imependa hauwezi MB zako

    • @daimavlog
      @daimavlog 5 лет назад

      Radhia Salum umesikia kuwa kaua mtoto kwa ajili ya kafara

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 5 лет назад

    Kwenye maisha kuna kitu subra.hongera sana

  • @HASASON
    @HASASON 5 лет назад +35

    Yaani we ulietengeneza video huna akili, zaidi ya dakika 6 inaonesha irrelevant things sasa ulishindwa nini kuonesha hicho kipande cha stand kwa seconds 30? Unaonesha sehemu ya kipumbavu kwa muda mrefu unaacha kuonesha vitu vya maana, hujui hata kuedit video pumbavu

    • @simsotv2261
      @simsotv2261 5 лет назад

      Stand ya mbalizi hiyo mzeya

    • @kebo2155
      @kebo2155 5 лет назад

      Wako wengi hao.. wanakimbilia kazi za watu..

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 5 лет назад

    na kuua vip

  • @akelymsigwa6431
    @akelymsigwa6431 5 лет назад

    vizur sana mjombo kwa kupambana mfano mzr kwa jamii

  • @huldaholiud5428
    @huldaholiud5428 5 лет назад +1

    huku na huku na kuua na uchawi heeeee hela hizi

  • @neyshao2492
    @neyshao2492 5 лет назад

    Well done bro

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 4 месяца назад

    Nimetoka kusikiliza mahal huyu baba alimuua mtoto na mwenzake sabb ya utajiri saiz atakuwa gerezani

  • @makwetaevelyn3896
    @makwetaevelyn3896 5 лет назад

    ya Mungume.....Nimengi

  • @jameshaule5460
    @jameshaule5460 5 лет назад +1

    Nilijua ni mpambanaji kumbe mshirikina