One thing I love with pastor Solomon's songs.They contain deep messages.Nyimbo ambazo ukizisikiliza taratibu zitakuacha na tabasamu,furaha na baraka tele.Mungu akuzidishie neema na baraka sufufu popote ulipo mchungaji.
I wish to See you somedays here in Germany. . Mungu ni Mwema i no longer care ata wakiendelea kuniaabisha"🙏 God is on my side,sitakufa nitaaishi in Jesus Name Amen
waaaa mimi nimesukumwa sana,uongo wamenena,nimebebeswa mizigo lakini kwa yote Mungu yuu upande wangu mtetezi wa haki,barikiwa bro,nitaishi nishuhudie ukuu wa mungu
Salomon Mungu akuchunge naakuongrzee maisha ajiliniko na mutoto wangu Wa myaka tatu awezilala bilakusikia nyimbo zako kwakweli zina tujenga saana nazina tufunza saana,ubarikiwe
OH my God. brother Solomon you are too much God bless you. this song really touched my heart and soul my spirit is is in deep worship hey. you will never go down in life my brother continue preaching the gospel in your songs, God bless you!
God is so Awesome...He will protect you from your enemies..your time is not up until He said So..blessed you my brother!!thank you for your wonderful music
Mimi sitalipakisasa kisasi ni cha Mungu, kwa walionikosia mimi tena malipo ni hapahapa tu😅
solomoni mkubwa mungu akubariki sana nyimbo zako zimefungua mambo yangu mengi nikiwa na gumu lolote nikisikiliza nyimbo zako kila kitu ufanikiwa.
One thing I love with pastor Solomon's songs.They contain deep messages.Nyimbo ambazo ukizisikiliza taratibu zitakuacha na tabasamu,furaha na baraka tele.Mungu akuzidishie neema na baraka sufufu popote ulipo mchungaji.
Amen true.
Ahsante,hata mimi huwasipendi kufanyiana vita na watumishi wa Kristo maana najua iko hatari kubwa
I wish to See you somedays here in Germany. .
Mungu ni Mwema
i no longer care ata wakiendelea kuniaabisha"🙏
God is on my side,sitakufa nitaaishi in Jesus Name Amen
Is no one going to talk about how awesome the instruments just keep us dancing along 😊🥰🥰🥰🙌🏻🙏🙏🙏
HAKIKA KISASI NI CHA MUNGU, ee MUNGU TUSAIDIE inahitaji moyo wa MUNGU,,,,,,,,BE BLESSED SOLOMONI
Nitasimulia matendo ya bwana...Amen
waaaa mimi nimesukumwa sana,uongo wamenena,nimebebeswa mizigo lakini kwa yote Mungu yuu upande wangu mtetezi wa haki,barikiwa bro,nitaishi nishuhudie ukuu wa mungu
Salomon Mungu akuchunge naakuongrzee maisha ajiliniko na mutoto wangu Wa myaka tatu awezilala bilakusikia nyimbo zako kwakweli zina tujenga saana nazina tufunza saana,ubarikiwe
Am on repeat mode everyday....Has a powerful message
2023.....NAKIRI KUWA SITAKUFA NITAISHI NITASIMULIA MATENDO MAKUU YA MUNGU
Nice stuff .mafundisho mazuri
Ndugu yangu Solomon mungu akubariki kwa kazi ya mungu unayoendelea kutenda na bado endelea kabisa hata huku marekani tunakuitaji kabisa
Zaburi 118:17 …sitakufa nitaishi kuyasimulia matendo makuu ya Mungu..
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Solomon,Mungu azidi kukufunulia!Amen
Nimebarikiwa nkafunguliwa ss nko huru
Nice song Solomon,keep up
Umenibariki sana ndugu yangu kwa nyimbo zako.thank you
Amina!! Sita kufa nitaishi...ndasumulia matendo Makuu ya Mungu... Halleluiah!!!!! Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana.
very good song , produce others like this
ujumbe mwema.mungu akuzidishie kibali Solomon
Mungu akubariki Mtumishi Nyimbo Zako Huniinua Kiwango Cha Juu
Uliza Mungu, ni yeye ameniinua! Deep, very deep.
God bless you Mtumishi.
wewe ni vocalist mkubwa sana kwa mapenzi ya Mungu
Hiyi song inani Bless sana Bf and Jose jay
Very Nice Music godblesd
Kwa kweli wimbo umenigusa🙏🙏
MUNGU azidi kukubariki kka Solomun kwa kipaji jako,,,akuzidishiye milele,,,,
Shaloom ubarik san kwa uduma
This song is such a blessing. Inanifunza mengi sana. Can't stop listening to your songs. God bless u Solomon! Umekuwa baraka kwa wengi.
Amen Mungu akubariki kaka yangu Mungu ndiye ametufanya gisi tulivio.
Kizazi ni cha mungu, aka ‘vengeance belongs to God’
Barikiwa mtumishi wa Mungu nice song
Nice ujumbe Kwa wale wenye wivu.God bless you
pliz upload latest version ya sijaona rafiki kama Yesu.inanibariki sana.
mungu akubariki Solomon kwa Huduma yako nzuri
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. ni sherti tushuhudiye matendo makubwa ya Mungu.
Wooh wimbo ujumbe muzuri sana solomoni
I really love the song usinisukume by Solomon mukubwa
Hallelluyah... what a blessing song. Be blessed brother Solomon.
Powerful message displayed in the song beautiful rumba beats
"Usilipeze kisasi, kisasi ni cha Mungu"
Mungu akubariki mtumishi
thanx
umenisukuma sana ili nianguke
lkn mungu kanisaidiya
mungu aendeleye ku kubariki nduku zangu mpenzi
Polydor Sangwa
OH my God. brother Solomon you are too much God bless you. this song really touched my heart and soul my spirit is is in deep worship hey. you will never go down in life my brother continue preaching the gospel in your songs, God bless you!
Waaa!! Solomon Mukubwa, this song is powerful! God bless and use you more. Very encouraging
A real Evangelist may God uphold you.
wow what a wonderful song! glory and honour be to God, stay blessed mkubwa
ubarikiwe sana baba wimbo mzuri sana
Praise God for his work. what a blessing. God bless you my brother in Christ it's a very meaningful song.
Mungu akubarika sna kz unayofanya cbure kk
mungu akubarik nabarikiwa na hudum yako mungu aibarik hudum aliyowek ndan ya moy wak
God is so Awesome...He will protect you from your enemies..your time is not up until He said So..blessed you my brother!!thank you for your wonderful music
God Blessed you Phenny for the translation and May Lord blessed our Solomon M more for all the good he is doing to save us from ruining.
Aki am blessed with this song God bless you brother solomon
Yan nyimbo zako nzuri mungu akubariki sana
wow; what a song, God bless you Solomon mukubwa.
whah.dunia! dunia!.Mungu turehemu.
wivu n baraka kwa mtu,Big up uncle.
God bless you brother Solomon, may He continue blessing you abundantly, i love your songs very much as they do encourage me alot
Ubarikiwe Kwa kutubariki
ubarikiwe Kaka yangu Solomoni
That's exceptional brother!!! Wivu ni aduyi ya maendeleo, God continue bless you abundantly!
I love this song. God bless you brother
upo juu solomon mukubwa!!!!!
Kwa kweli huu mwimbo unanibariki sana.Usinisukume Mimi jamani huu mwimbo maneno Yake mwaaa
Assante, Mungu akubariki. Mozambique
Nice song.. God bless you Solomon.. God fights for His people.. The battle is His..
I will live and tell good things God hath done!! Solomon your message is enriching ndugu, Ubarikiwe ukitubariki pia.
Barikiwa Solomon
God bless you Solomon I love your songs keep on faith
it's true l like the song god bless you Solomon amen amen
Christ in me the hope of glory
Kweli kabisa mtumishi, Mungu akutie nguvu ya kusonga mbele kwa huduma yako njema!
Kama unavyoona MR salomoni tunachinjana kama kuku
I WANT SONGS FROM ISRAEL
wonderful job brother God bless you.
vry blessing songs Solomon
My Favourite song forever ...May God bless us ..Amen
Very powerful music massage.
nice brother done well god bless you
bumped on this song in 2017,and am gonna listen to it up to 2040...its a nice song..
wwoww big up man I always feel deep when I hear this song.stay blessed
Nice songs Mkubwa
Our God is aweresome. May u live long to continue blessing mi with ur songs.
Hakika moyo wa mtu ni kichaka
l love these song.it's so touching.
ubarikiwe katka utumishi wako
its true brother....i like it
solo ur songs blesses my soul everyday my the almighty lift the more.
I love this song so much .....be blessed my brother .
God bless u brother Solomon Mukubwa. I'm sooooo touched with ur song messages.
Love this song very much.
waaaaaaaah u r blessed bro......sweet n true word.....wish my enermies could listen to this.
God bless you brother your songs they real touch me.......
God bless you so nice
God bless you nice song
shangilien (tumain) nawakubal saaaana
big up Solomon like this number
waaaaoh may our almighty bless u my dear bro
nimesukumwa sana lakini sita anguka
You're awesome that talent is God sent please take care of it spiritually and use it to bless God's Children