Siri ya Mandhi ya kuku best recipe 🔥 Jinsi ya kupika mandi ya kuku na wali wa mandhi wa kuchambuka
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Recipe ya leo ni mandhi ya kuku 😋
Ingredients / Mahitaji
2 chicken
⅓ cup oil
½ tsp black pepper
1 tsp Cumin powder
1 tsp onion powder
1 tsp garlic powder
1 & ½ tsp salt
1 chicken cube
Orange or red food colour
For rice
2 onions
4 tbsp oil
1 tbsp ghee
½ tsp yellow food colour
4 cups basmati rice
Hot water
2 tbsp vinegar
Soak
In a sufuria put
Water
1 tsp Cumin seed
6 cardamom
4 cloves
1 tsp black pepper
1 cinammon stick
2 lime slices
Salt to taste
For Garnishing
Oil
Almonds
Cashewnuts
Raisins
MashaAllah yummy😋
Masha Allah nice receipe ya wali wa mandhi
Thank you 💖
❤Assalamu Alaikum I like your mehndi recipe very much I also learned I am with you and you will be with me❤
Mash allah nakupa mauwa yoote❤❤❤
Love it..thanks ☺
Mola akupe.uwezi ufungue restaurant yako...
MashAllah ❤ tupostie juice receips maana wali kama.huu mpaka ushukishie na juice za uhakika kabisa
In sha Allah dear, wataka recipe ya juice kama gani? Niandikie ili niweze kuwapostia 😊
I would love kujua juice ya karkadee na ya hibiscus pia naskia kuna juice ya custard mix na ukwaji but sjiawahi jaribu if you could post for us ❤
Mashaallah tabarak rrahmam.
❤❤
From 🇧🇮 mashaallah
Ashaallh
MashaaAllah
MashaAllah shukran jazakaaAllah kwa nice and easy recipe, i just wanted to ask you about the Vinegar which you had put on the rice for soaking, shukran ❤
Thanks dear, I used white vinegar. It make the rice less sticky kwa hivyo inakuwa fluffy na pia inakuwa ndefu mdefu
Shukran jazakaaAllah
Mansxallah
New sub from Tiktok❤❤❤
Thanks for the sub ❤❤
Yummy MashaAllah, cushewnuts ni korosho kw kiswahili
Thank you 💖 ilikuwa nimesahau 😂
@@Mapishirahisi afuan ndio kibinadamu habibty
مشاءالله حلو
شكراً ♡♡
A alykum Habbty....Navp kama hauna vitunguu thaum Vya unga je ambavo umesaga vinafaa
Waeza kutumia but ni vizuri zaidi ukiwa na powder
Waaleikum Salam dear
@@Mapishirahisi ahaa hy saw shukran
MashaﹰAllah ❤❤❤❤❤❤
Thanks ❤
huo moshi uloweka unasaidia nn
Taste inakuwa nzuri zaidi
MAshallah Habibty ❤ huo moshi ni kinauzw au
Utufanyiage na juice 🥤 jaman mana kuna juice na maji😂😂
Hahaha in sha Allah dear. Wataka recipe ya juice gani?