Pole sana Jonia. Hatuna uhakika kama unaweza kupata sufuria itakayofanana na iliyokuwepo awali. Unaweza ukacheck na duka la jirani linauza pressure cooker au subiri waandishi watafute ukweli. Jiunge na group letu la WhatsApp kwa kuandika "Habari" kwenda +255 750 881888, subscribe channel yetu ya RUclips na fuatilia tovuti ya Jiko Point kupitia www.jikopoint.co.tz. Karibu sana.
Habari Khaulath, pole sana. Kama una aina nyingine unaweza kupiga picha na kututumia WhatsApp kupitia 0677 088 088 waandishi wetu na wataalamu wanaweza kukusaidia ushauri. Usisahau kusubscribe kufahamu video zijazo huenda ukapata pia suluhu ya mambo mengi ya jikoni. Share pia na wengine itawasaidia.
Pole sana Presenter Mmari kwa changamoto. Hiyo ni Error E4. Kama ni mpya irejeshe kwa aliyekuuzia na iwapo ni ya muda umeshatumia ipeleke kwa fundi wa karibu nawe mwenye ujuzi hapana shaka ni tatizo la mfumo wa sakiti.
Jamani nisaidie presha cooker yng inaniandikia E4 maanake nin
Bei gan
Kwa hio hicho kifuniko cha kutoa mvuke utakifungua tu ukitaka kufungua mfuniko??
Nawashinda kupika nyote 🎉🎉
😂❤
Naomba unielekeze namna ya kupika keki kwenye presure cooker
Yangu ni mpya na inaniandikia e4
hii haina kelele zile za mvuke kama zile za zamani?
Hapana, kelele za mvuke zipo kidogo sana wakati wa kufungua
Hii unaeza kupikia ugali?
Ndiyo. Unaweza kupika chakula chochote kwenye pressure cooker zikiwemo chips. Video ijayo tutakuja kuonyesha namna ya kupika ugali.
Sufuria yangu imepata kutu,hivi kuna.spare?
Pole sana Jonia. Hatuna uhakika kama unaweza kupata sufuria itakayofanana na iliyokuwepo awali. Unaweza ukacheck na duka la jirani linauza pressure cooker au subiri waandishi watafute ukweli. Jiunge na group letu la WhatsApp kwa kuandika "Habari" kwenda +255 750 881888, subscribe channel yetu ya RUclips na fuatilia tovuti ya Jiko Point kupitia www.jikopoint.co.tz. Karibu sana.
Haukuongeza tena maji mengine tofauti na yale ya mwanzo?
Hapana, pressure cooker inapika kwa kutumia mvuke hivyo ukiweka maji mengi chakula chako kinaweza kurojeka.
Good🎉
Thanks
Jaman yangu mbona haina hio sehem ya program? Nafanyaje
Habari Khaulath, pole sana. Kama una aina nyingine unaweza kupiga picha na kututumia WhatsApp kupitia 0677 088 088 waandishi wetu na wataalamu wanaweza kukusaidia ushauri. Usisahau kusubscribe kufahamu video zijazo huenda ukapata pia suluhu ya mambo mengi ya jikoni. Share pia na wengine itawasaidia.
Nimewatumia pc wasap hata hamjafungua
Langu linatoa mvuke jaman likitoa mvuke chakula hakiivi 😭
Yanguu ni mpya na inaniandikia E4 inamaanisha nn
Pole sana Presenter Mmari kwa changamoto. Hiyo ni Error E4. Kama ni mpya irejeshe kwa aliyekuuzia na iwapo ni ya muda umeshatumia ipeleke kwa fundi wa karibu nawe mwenye ujuzi hapana shaka ni tatizo la mfumo wa sakiti.
kama langu jaman linaandika error4
Cheki thamostart switch