MIRAJI: AMCHOMOLEA BETRI KIBU DENIS"UONGOZI USIMBEMBELEZE" | WACHAMBUZI WASIWAPOTEZE SIMBA NI MOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 142

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 3 месяца назад +6

    Miraji anajua kuchambua mpila 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @kilimanistudio
    @kilimanistudio 3 месяца назад +4

    Upo sawa kabisaaa adhabu kali itumike ilifundisho

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 3 месяца назад +10

    Mwenye kujua mpira na kuelewa ndiye anayeweza kumwelewa MIRAJI.. Ila ukiwa mtu mnafiki / chawa / kiroboto / kunguni / mpenda sifa huwezi kumwelewa MIRAJI hata siku moja...
    THIS TIME UBAYA UBWELA TUU...

  • @idrissamohd
    @idrissamohd 3 месяца назад +2

    Big up bro miraji

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 месяца назад +19

    Kama kasaini na kapewa vyote hivyo ashitakiwe mwizi kama mwizi mwingine

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 месяца назад +1

      perfect

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 месяца назад +3

      Kibu anadai madeni ya nyuma,semeni ukweli😂😂😂yeye sio fala

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 месяца назад +2

      Kolo wametangaza ubaya ubwela... kibu akaanza na wao wenyewe..

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 3 месяца назад

      ​@@errydeo8865 mwiko umekaa vibaya eeh

    • @omarkipotwile9052
      @omarkipotwile9052 3 месяца назад

      ​@@errydeo8865 kama kweli mbona hajayaweka wazi?

  • @AhmedMsellem-v3e
    @AhmedMsellem-v3e 3 месяца назад

    Bravo bro miraj

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад +7

    Kunawatu wanawadanganya wachezaji wetu kibu Denis nae nmeshamwona anakili zakitoto Apewe azabu mpaka ajutie .naamini tumezungukwa namaadui wengi sana Miraji unaongea kwauchungu hata Mimi inaniuma sana kwakitendo anacho tufanyia kibu

  • @salomethomas6469
    @salomethomas6469 3 месяца назад +1

    Hili li miraji linajua ball sanaa

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 3 месяца назад +3

    Denis angefuata taratibu hangezuiwa Simba ni timu kubwa inajielewa .Hamtaamini Simba itachikua UBINGWA Mungu ameliona Hilo.

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 месяца назад

    SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 3 месяца назад +2

    Kibu Denis akifeli alikokwenda kama kweli basi amepoteza alichokitegemea na hata akipokelewa na timu kana Yanga na Azam atakuwa anatokea bench

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 3 месяца назад

    Kweli 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 3 месяца назад +2

    Mpira wa Kibu Denise umeishia Simba hata fanikiwa tena kwa namna alivyoondoka Simba kihuni kabisa.

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 3 месяца назад +2

    Akili za kikongo/msaliti mkimbizi😂😂😂

  • @PeterJustin-ke5mk
    @PeterJustin-ke5mk 3 месяца назад +3

    Huyu ni mwizi ashtakiwe na ikibidi afungiwe asicheze tena na alipe garama zote mjinga huyu

  • @MchaJuma-l5u
    @MchaJuma-l5u 3 месяца назад

  • @ellymwinuka9827
    @ellymwinuka9827 3 месяца назад +2

    Mkome Anavyo tuvunjia nidham feitoto Mlikua mnacheka Mnalo ilo😂😂

  • @AbuuBakari-g9i
    @AbuuBakari-g9i 3 месяца назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HgguHhij
    @HgguHhij 3 месяца назад +4

    Malamoja nimekuelewa kibu kayakanyaga

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 3 месяца назад +2

    Hawa wachezaji wengi wa kitz ni washamba

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 3 месяца назад +1

    Acheni kibu Denis akafanye trials huko Norway nyie simnamsimanga mara e hafungi anagoli moja kama hana maana kelele za nini sasa vipi angekuwa duchu kelele tusingesikia tulieni wachezaji ni wengi sajirini mwingine namba ya kibu Denis

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 3 месяца назад +2

    Kibu aludishe pesa Fata mpanzu biashara iishe

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 3 месяца назад +1

    Haruna Moshi.Bobani alishaenda huko Norway Simba hawakumzuia.Offer ikija ya kiulayaulaya. Uongozi chukueni,wachezaji wapo wengi.

    • @NathanLukambinga
      @NathanLukambinga 3 месяца назад

      Boban alifuat utaratb ndo maan aliruhusiw. Kibu hajafuat utartb

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 3 месяца назад

    Problem ya Tz ni wapole mno kupitiliza huyu Kibu asilikua mkimbizi. Hata passport kapewa na nchi ya Tanzania. Tanzania wanaweza withdraw citizenship yake.

    • @israelnibigira4990
      @israelnibigira4990 3 месяца назад

      Kwani kibu katoka nchi gani?ila nauliza tu

    • @saidmasoud9004
      @saidmasoud9004 3 месяца назад

      Mkimbizi kutoka Congo​@@israelnibigira4990

  • @NassorSalekhe
    @NassorSalekhe 3 месяца назад +1

    Huyo aekwe juu hyo miakayakemiwili aliosaini

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 3 месяца назад

    Angekuwa mtanzania Tungemsamehe, ila kwakuwa mkimbizi huyu anyooshweee. Mbaka ajue. Hii ndo Tz.

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 3 месяца назад +1

    Hapo umeongea ila tatizo yawezekana aliondoka kwa sababu ya viongozi wa Simba Mimi Kama Mimi try again simwaamini

  • @AbbasyMdabwa
    @AbbasyMdabwa 3 месяца назад

    Maramoja, nakupa asilimia 98 ukosahihi sana kwenye mpera

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 3 месяца назад +1

    Mrundi yule mmeshampa uraia sasa anaanza kuwadengulia

    • @idiidi-rq5gk
      @idiidi-rq5gk 3 месяца назад

      Mlundi mwenyewe paka ww

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 3 месяца назад

      @@idiidi-rq5gk Kolo wahedi matusi yanatoka wapi kwani mimi nimetukana hapo, dunduka walkutupwa ww

  • @VictorBatista-k1u
    @VictorBatista-k1u 3 месяца назад

    Kweli kabisa au kibu apigwe lisasi kabisa

    • @LindaMbilinyi
      @LindaMbilinyi 3 месяца назад +1

      😅😅😅😅😅umenihlchekesha shabik mwenzio wa Simba hapa

  • @HassanDonyoa
    @HassanDonyoa 3 месяца назад

    Kwa hakika kibu mtovu wa nidhamu na anatumiwa na watu

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 3 месяца назад

    Kibu Dennis kaja na ushamba hapa, sasa ngoja afungiwe miaka 3 bila mshahara then ataona maana na mikataba ni nini

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 3 месяца назад

    Viongozi wangemuacha tu aondoke! Kibu hana jipya..ni mchezaji wa kawaida sana! Hana maajabu yoyote!!

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 3 месяца назад

    Kweli milaji apewe adhabu kali

  • @JumaJux-fn3ff
    @JumaJux-fn3ff 3 месяца назад

    Kibu asirudi tena asante mungu kibu hanaga akili

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 3 месяца назад

    Miraji umenena vyema kabisa

  • @PhillRenard
    @PhillRenard 3 месяца назад

    Au alongwe uyoo tapeli

  • @ezekielmwakajila3790
    @ezekielmwakajila3790 3 месяца назад

    Walikwepo kina Morison wapo wapi😂

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 3 месяца назад +1

    Kibu ubwela magoma rastaman vibration @ na el buga is back

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 3 месяца назад

    Msifananishe suala la Kibu na Feitoto,Kibu kaiibia Simba Fei alikuwa analalamiki masilahi ambayo hakuyapata,Kibu amepewa Kila kitu.

  • @jamessakaya1890
    @jamessakaya1890 3 месяца назад +1

    Sisi kama wana simba tumeumia snaaa..simba tuna vita kubwa snaaaa....ndani na inje...ila siku zote mti unaopigwa mawe ndio wenye matunda..

  • @EdwinAmbakisye-li4zq
    @EdwinAmbakisye-li4zq 3 месяца назад

    Kibu aliambiwa mkimbikizi Simba ikafanya juu chini.mpaka akaitwa mtanzania kumbe ni tapeli naomba uongozi umpe adhabu.kali

  • @noelmushi9912
    @noelmushi9912 3 месяца назад

    Awesu awesu mmemchukua bila kuwahusisha KMC Leo kibu kaenda Norway bila kuwaambia mnapiga keleeeeleeeee.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 3 месяца назад

    Waandishi fanyeni Tafiti ili muulize maswali mazuri kuliko kuuliza maswali mepesi hadi unaonekana hujasoma na huna taaluma ya uandishi bora

  • @MartinWekesa-c2x
    @MartinWekesa-c2x 3 месяца назад

    Mkuki kwa nguruwe ni mtamu,kwa mwanadamu ni mchungu😂😂😂😂

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 3 месяца назад

      Costal geita kmc imewarudia 😂😂😂hii kweli ni siji ya zuchu na mpunga wa mo kala walikua bize na magoma imewatokea puani

  • @JumaJux-fn3ff
    @JumaJux-fn3ff 3 месяца назад

    Kibu kwanza mkimbizi jmn chama atutese na kibu pia fukuza mbwaaa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 месяца назад

    Kibu asishitakiwe, fesal alikuwa alilipwa fedha, mkataba ulifungwa lakini nyie mlimshabikia kuwa Yangs wamwachie akatafute maisha. Sasa na nyie mwambieni kibu arudishe fedha halafu aendelee na maisha yake. Halafu nyie pia mna mapungufu na migogoro na wachezaji, mna hayo kwa aweso, lawi, Yule wa geita, kagoma, shidaaaaa. Mlipomtetea fesal mlifikiri mazuri sana, ya kibu mnaona uchungu, huo ndiyo ubaya ubwela, lakini msisahau kuna udugu umala.

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 3 месяца назад

    Kibu Denis .masikini. sio utoto ni masikini

  • @mlungumasaba1786
    @mlungumasaba1786 3 месяца назад

    Hata B DORTMUND ilifugwa na katimu ka Tailand

  • @IddyMrisho-g8x
    @IddyMrisho-g8x 3 месяца назад

    Kwani wakati hakuwepo tulipungukiwann aondoke2 ndokosi ra chama hyo atoke

  • @izackwiliblod1472
    @izackwiliblod1472 3 месяца назад

    Mm nigekua idiamini kibu ningepg risasi

  • @joelsaganya4077
    @joelsaganya4077 3 месяца назад

    Mimi simdai Kibu arudishe pesa ya watu akatafute malisho bora, ni haki yake, mbona fresh tu.

  • @didierilombe5572
    @didierilombe5572 3 месяца назад

    Alijilipa pesa zake ambazo ka wadai

  • @doreenkambanga9510
    @doreenkambanga9510 3 месяца назад

    Mmmmh miraji hujaachakupiga makofi😂is

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 3 месяца назад

    Imefika wakati wa ubaya ubwela hizi tvonline zinazoanzisha uzushi Simba izishitaki mahkamani

  • @saidkasonta3174
    @saidkasonta3174 3 месяца назад

    Yule hatuwezi kumsamehe kamwe!? Amefanya dharau iliyopitiliza!! Kwanini alisaini mkataba? Kwanini alipokea pesa!? Amepoteza Kila kitu Kwa Simba! Hatumtaki!! Tunataka pesa zetu! Na apewe adhabu itakayomfanya awe na adabu siku nyingine!!!

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 3 месяца назад +1

    Miraji magoma Nina kuita mala mbili pia Nina taka nikuereze ivi"!? UBAYA UNYOKOOOOOOOOO😢 Uyo kibu anawadai pesa zake zanyuma ko kajilipa

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 месяца назад

    Mwizi huyo ashitakiwe.

  • @DrNdii
    @DrNdii 3 месяца назад

    Wakati hersi akisema mikataba iheshimiwe,sio mambo na huruma wakati wa fei toto mlisemaje, Acha uzalendo ufanye kazi

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 3 месяца назад

    Uyo kibu actuchanganye wanasimba .cmba yetu IPO sawa kibu ni tapeli Cha mcng arudshe mafao au kwa vile cc hatuna shida .tumpe azabu ya kukaa nje au tumfungie ndani na nje kwa muda wa miaka miwili aliosaini .cc tupo imara Sana

  • @IddyMrisho-g8x
    @IddyMrisho-g8x 3 месяца назад

    Asipewenafasi yakuharibu tim yetu amechoka atoke2 kwanza hatumtaki

  • @JosephAnangisye
    @JosephAnangisye 3 месяца назад

    Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu wamuulize yaya toure yaliomtokea pale man city

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 3 месяца назад

    kibu siyo mtanzaniaaaa....!

  • @SalmaHasuman
    @SalmaHasuman 3 месяца назад

    Ubaya ubwela mlikuwa mnafurahiya nyie issue ya fei na yanga Leo kikowapi

  • @monicaalex7714
    @monicaalex7714 3 месяца назад

    sio nidhamu tu pia kafanya utapeli huitaki Simba ila unaitaka pesa yake.Huyo ni wa kupelekwa mahakamani kabisa sio tu adhabu ya kiutawala.

  • @EliaTish
    @EliaTish 3 месяца назад

    miraji tunakubali unaga baya

  • @JumaJux-fn3ff
    @JumaJux-fn3ff 3 месяца назад

    Kibu simpendag

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 3 месяца назад +3

    Tunaanza kuona kwanini kibu alikuwa anakosa magoli ya wazi,hawa ndiyo walikuwa maluki Kibu asirudi Simba

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 месяца назад +1

    Kibu mkimbizi yule kutokea kongo ana tabia za kikongo achaneni nae

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 месяца назад

    MIMI NASEMA AENDEZAKE

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 3 месяца назад

    Kwa fei hamkusema iwe fundishio malipo ni hapa hapa

    • @feisalmohamed2848
      @feisalmohamed2848 3 месяца назад

      Waliongea sana ya fei ,sasa imerudi kwao ,walisemaga tunamwonea mtoto 😂😂

    • @MartinWekesa-c2x
      @MartinWekesa-c2x 3 месяца назад

      Ubaya ubwela 😂😂😂😂😂

  • @Saidaabdu
    @Saidaabdu 3 месяца назад

    Kibu ni mwizi astakiwe, sheria ifate mkondo wake

  • @idrisahamimuhasani5717
    @idrisahamimuhasani5717 3 месяца назад

    Maramoja kibu denis kamchafua

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 3 месяца назад

    Ubaya ubwela umewarudia teali na bado utarudi ubaya ungine mkubwa tu

  • @AhmedMsellem-v3e
    @AhmedMsellem-v3e 3 месяца назад

    Nguvu moja

  • @feisalmohamed2848
    @feisalmohamed2848 3 месяца назад

    Ahaa ile ya fei toto mlisema tunamwonea...imehamia kwenu sasa kudadadeki 😂😂😂😂😂 usimtukane mamba......acheni kumwonea mwacheni aende

    • @masudymnonge4983
      @masudymnonge4983 3 месяца назад

      Kuna popote alipsema kama kibu hataku kucheza simba au taarifa yoyte Ile?? Unapoongea angalia mchzaj mwenyewe KASEMA nini🧠🧠🤯🤯

  • @AyubuJuma-df4pn
    @AyubuJuma-df4pn 3 месяца назад

    Kwa jirani kumeanza kuchangamka.

  • @PeterMbinga-v7t
    @PeterMbinga-v7t 3 месяца назад

    Miraji mzee wa kupiga mabega 😅

  • @harrymasetta9659
    @harrymasetta9659 3 месяца назад

    Miraji wewe ni Mwalimu BORA sana wa mpira wengi ni wachambuzi KANJANJA.!!!!!!!

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 3 месяца назад

    Bado amjasema mpaka mseme

  • @SalumSevingi
    @SalumSevingi 3 месяца назад

    Kibu ni mwizi mkubwa .

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 3 месяца назад

    ubaya ubwela 😅😅😅😅😂

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et 3 месяца назад

    Kibu achukuliwe hatua kali arudishe mali zote za simba kisha mfukuzeni hatumtaki hana nidhamu hafai kabisa adhabu kali achukuliwe na afukuzwe hatuna shida nae

  • @BilaliRamadhani-iq1mb
    @BilaliRamadhani-iq1mb 3 месяца назад

    Uyo kibu ninani waaachane nae tu simba ni clabu bana sio ya mtu ila tu wamnyoshe iwe fundisho kwawengine

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 3 месяца назад

    Mlimsapoti Fei Leo zamu yenu nyooo na bado wewe sikuizi umeamua kujivua heshima mpaka unajiita magoma

  • @eliudmwangoka6036
    @eliudmwangoka6036 3 месяца назад

    Kibu ni limbukeni TU muache aondoke

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa 3 месяца назад

    Kutoka marekani familia yake himekutaniwa marekani bwana 😅😅

  • @hashimbakari4670
    @hashimbakari4670 3 месяца назад

    Mkimbizi ni mkimbizi tu.

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 3 месяца назад

    Acha uongo

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 3 месяца назад

    Wamnyooshee wanini

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 3 месяца назад

    Huyu jamaa afanywe mbuz wa kafara

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 3 месяца назад

    Kibu ni Jambazi

  • @BahatiGodfrey-u2j
    @BahatiGodfrey-u2j 3 месяца назад

    Mjiraj wambie hao wasengewange wasio jua mpira

  • @farajasospeter9668
    @farajasospeter9668 3 месяца назад

    Makolo bhana fei wakat anaigomea yanga yalikua yanachekelea saiv yanalia sijui yanalia nn

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 3 месяца назад

    Kibu kayatimba Yan kwaujumla atapata matatzo makubwa sana

  • @DavidMessi-h9c
    @DavidMessi-h9c 3 месяца назад

    Anyaganywe ulai atakuja kusaliti hata timu yataifa.

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 3 месяца назад

    Nyie makoro achan kubwabwa midomo yakwenu yamewafikia mnatoa macho mmesahau ya yanga na fei toto mbwa nyinyi

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 3 месяца назад

    Mira Mungu akupe nini maana nakuombea dua njema kijana kumbe wewe ni CPU umehifadhi data umesema hata mwili wangu umechizika hadi nimetamani ningekuwa karibu nikakupa mkono na furaha yangu kwako
    Waambie wasio Juan Akina Kitenge na yule binti wa wasafi waliokuwa wanamshushua Ahmed Ally kuwa Kibu yuko Ulaya nafikiri wamekusikia na off course wamejiona wajinga.

  • @STKMwihomeke
    @STKMwihomeke 3 месяца назад

    Kibu mhuni

  • @yunussaleh4872
    @yunussaleh4872 3 месяца назад

    Miraji ana madini ya shule kabisa....