Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Bwana akubariki mama pia akufikishe mbinguni
Amen nashukuru sana. Namwomba Mungu ayakubali maombi yako. Amen
Amina dada kweli mungu atuongezee imana ulimwengu huu mgum sana
Amina hakika Atuongezee Imani
Wimbo mzuri Sana Kuna wakati nausikiliza Mara mbilimbili Bwana akubariki mama
Amen nashukuru sana
Thanx for this message be blessed
Thank you
Mungu akubariki sana kwa kulitangaza neno lake kwa njia ya nyimbo
Hongera sana mama...! its a nice gospel song.. i like the line baba yetu Ibrahim alikua na imani pamoja na manabii wengine waliotajwa! Mungu akubariki kwa kufikisha neno lake kupitia muziki
Asante mama
Amen Joyce nashukuru
Mbuyu nao ulianza kukua kama Mchicha.Ubarikiwe kwa kipawa hiki ulichopewa
Abednego Mwakila Amen ubarikiwe
Amina Bwana awatangulie katika yote
Amen mpendwa tunaomba uendelee kutuombea kazi ya Bwana iendelee
mbarikiwe sana kwa kumtukuza bwana Mungu awabariki awape Nguvu mzidi kumtumikia kwa Imani. nyimbo ni nzuri na zinatubariki Familia yangu.
Amina tunashukuru tunaomba mzidi kutuombea
Goodlck.f Makupa Bwana awabirik
NICE SONG GRANNY..KEEP THE GOOD WORK..AN MAY GOD BLESS YOU ALWAYS...FREDY.
Amen Fredy
Be blessed mumy
Amen thank you
santé MAMA nimekubari kazi yako MUNGU akubariki
Amen Daniel Nashukuru tuzidi kuombeana
Amen Amen barikiwa sana mama . yesu niongezee imani
Nashukuru Mpendwa tuzidi kuombeana
barikiwa mama kwa kazi njema
Asante sana dada zidi kutuombea
Mama Bwana awabariki sana.
Regina Msechu amina mpendwa
Bwana akubariki sana mpendwa, akuzidishe katika kazi zake. Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
Amen nashukuru Huruma tuzidi kuombeana
Amen mama yangu.
Hongera my aunt mungu atuongeze imani kwenye familia ya rymondy macha pia Na wote wanao support mungu awaongezeee imaniiii teleeeee
@@hellenmacha5097 waooooo shangaziii natamani na mimi nijiunge na wew shangazi yangu
Nakishukuru sana kunitia moyo. Ubarikiwe
BARIKIWA SANA, ila ushauri Mda mwingine Tafuta Director mzuri ili video iwe vizur idala zote ,Imepwaya sanaaaaa
Sam mtambo Asante sana kwa ushauri kaka nitafanya hivyo
Sam mtambo Kaka naomba kama unamjua director mzuri nitumie namba yake
nakupenda bure mombe blessed ufike mwisho mwema
Amen nashukuru kwa maombi yake Bwana ayasikie na kunitendea Amen.
Safi sana nimeipenda sana hii video.baba akutetee.
Ubarikiwe mpendwa naomba uendelee kutuombea
amen nashukuru
Nzur sana mama.barkiwa sana
ubarikwe sana dada Mary. zidi kutuombea
nice song Mom be bless
nice song! turudi kwenye kuomba
Nashukuru Naomba maombi
ubarikiwe Mamaangu miss u
Miriam Sulle Amen mpendwa wangu
GOO SONG GRANNY...MAY GOD BLESS YOU ALWAYS
"BWANA NAKUOMBA NIONGEZEE IMANI"
Nice song
Thank you.
nyimbo nzuri mamkubwa
asante Wini zidi kutuombea
Aamen bwana niongezee Imani
Thanks. Keep praying for me.
yes mom I will
Hongera Mama Mungu awezeshe zaidi
Joseph Mwanadyogo Amen Jose wewe unaendeleaje?
My aunt hongera sana shangazi yangu kipenzi ngoja nikutangazie sifa yako shangazi yangu
@@nancymacha488 Tutangaze sifa ya Yesu mpendwa wangu sisi no watumwa wasio na faida. Amen. Nashukuru kunitia moyo
tangazeni injili watu wabwana
Ndayizeye Jhon Samsoniko Amen mtukumbuke kwa maombi
+hellen macha hasa niny wengine tuko pagum wimbo wenu umenikumbusha mbali ninge tamani nirudi tanzania mungu awajalie
Ndayizeye Jhon Samsoniko pole sana
Be blessed my mom
Amen dear
Nice
Thank you so much keep prying for us

nakupenda bure mom
be blessed ufike mwisho mwema