🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 окт 2024

Комментарии • 21

  • @conniemukami127
    @conniemukami127 3 года назад +1

    Amina, Mungu ni mkuu kuliko vitu vyote, Mungu nisaidie kukutegemea wewe pekee yako, asante pastor kwa somo lenye nguvu, Mungu akulinde

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 10 месяцев назад +1

    Ameeeeeen nimebarikiwa🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪ninaimani kabra ya mwaka huu kuisha my uncle atakua inje ya jela Ameeeeeen💪🙏🙏🙏

  • @kananabazare255
    @kananabazare255 3 года назад +1

    Najiungamanisha na maombi aya Yesu ukutane na Shida ya Moyo wangu Amen.

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 3 года назад +1

    Ameeeeni mungu atukuzwe milele na milele msutiwe na shaka na janjo aliye na uwezi ako juu.

  • @christinefuraha8884
    @christinefuraha8884 3 года назад +3

    Asanteni sana kwawimbo muzuri umenitia moyo na nguvu. Mungu awabariki sana.
    Eti. Mwandame yesu maisha yako hata kwenye majaribu yako matatizo yanapo kusongaa ufalume na uje. Amen Amen 🙏🏽🙌🏾 mubalikiwe

  • @mussadismass9306
    @mussadismass9306 3 года назад +1

    Asantee yesu kwasomo zuri past mungu azidi kukulinda nakukutumia siku zote nimebarikiea

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 3 года назад +2

    Aliye upande wetu ni mkuu kuliko wao, tunapokea nguvu na uwezo kwa jina la Yesu Kristo Amen, utukufu kwa Mungu juu🙏🙏🙏

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 года назад +2

    Aminaaaaaaa

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 3 года назад +1

    Amen and Amen 🙏🙏 pastor we have been blessed watch from saudi Arabia

  • @priscalwangili4278
    @priscalwangili4278 3 года назад +1

    Baraka za Mungu Mkuu, ziendelee kukufuata popote uendako.

  • @daudisobera9367
    @daudisobera9367 Год назад

    Omhea mtoto eangu mgonjwa. Na mzee . Mtoto wangu apate kazi . Mtoto wangu mwingine apadilishe course kwa uraisi. Mungu akubariki

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 3 года назад +1

    Yesu ndio jibu letu Ameni pastor

  • @kingjosse4781
    @kingjosse4781 3 года назад +2

    Asantee MUNGU wangu wa Mbinguni maana nina rahaa sanaa, hasa kilaa ninaposikiaa mahubiri matakatifu najiona nina kila kitu ....

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 3 года назад

    Pastor you are saying the truth, Mimi nilipewa chapati ni kiwa kazi but nilisikia imekwama kooni waaaaaa

  • @YohanaJames-e2j
    @YohanaJames-e2j 16 дней назад

    Yesu ni yote katika yote

  • @danielmacharia1349
    @danielmacharia1349 3 года назад

    Namkumbuka Evangelist Magoti,alishawai kutuhudumia katika kanisa ya Ngong SDA Nairobi

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 3 года назад +1

    Yesu asante,kwa neno lako

  • @zirhumanafiston6719
    @zirhumanafiston6719 3 года назад +1

    Amina

  • @uniquefactsmediaufm6735
    @uniquefactsmediaufm6735 3 года назад +1

    Amen

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 3 года назад +1

    Plz mkipata nafasi ya wimbo naomba nyarigusu choir wimbo mji mtakatifu