Ninashida na we ndio naona kama utanisaidia kujua kile kinachonisumbua maana nimeelekezwa kwako tafadhali mchungaji niliisha tafuta jinsi ya kuwasiliana na we imeshindikana
Ujumbe huu ufikie choir,wakati wanaimba waimbe kama kundi Moja,sio wakati wa watu wawili kujionyesha,kazi hii wafanye kwa umoja na watumie microphone kama kundi Moja Ili Kila mtu asikike
Unamfanya Mungu kuwa WA Kwanza? Katika biashara yako, unamheshimu Bwana kwa kuitunza sabato? Mchawi mkubwa WA biashara ni kutotii sheria na amri zake. Anza sasa kila unapouza toa, utakuja kushuhudia makuu hapa.
Amen 🙏nimepokea ujasiri wa kiroho na kiuchumi
Sifa na utukufu ni kwa Mungu niombee pastor nipate mtoto mwingine 🙏
Jamani na mimi naomba namba najisikia kumtolea Mungu
Pastor nanyenyekezwa mtu wa Mungu dumu kubarikiwa
Amen asante sana kwa mafundisho haya naomba pastor uniombee mm niondokewe na woga Tena ubarikiwe sana mchungaji Kwa mafundisho haya
Watu wa media, kuna muda mnatunyima raha sauti inaenda tofauti sana.
Amen 🙏 Amen 🙏
Mungu atukuzwe kwa siku hizi kumi za maombi 🙏🙏
Barikiwa sana baba. Mahubiri mazuri sana, ila leo sikuwa nanyi live. Ila nimebarikiwa sana kisha kukusikiya❤😊
MUNGU awabariki saana ila leo sauti na mnenaji viko tofauti
Nimetiwa moyo sana mchungaji... Mungu akubariki mno...
Ameni.
amen
Mchungaji naomba uniombee maana kwanzia cku 10zamaombi zianze cjashtuka ucku kwaajili yamaombi cjui Nini kinanikuta ninalala Hadi kunakucha MUNGU azidi kukutumia uzidi kuwaombea wengine pia aimen🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Mungu akafungue milango yamafanukio
Amen ❤❤❤
Ninashida na we ndio naona kama utanisaidia kujua kile kinachonisumbua maana nimeelekezwa kwako tafadhali mchungaji niliisha tafuta jinsi ya kuwasiliana na we imeshindikana
Nitumie ujumbe kwa WhatsApp +255755932283
Natamani sana kupata namba ya kuchangia vitabu. Kama mtasaidia kuiweka hapa , nitashukuru
Ujumbe huu ufikie choir,wakati wanaimba waimbe kama kundi Moja,sio wakati wa watu wawili kujionyesha,kazi hii wafanye kwa umoja na watumie microphone kama kundi Moja Ili Kila mtu asikike
Naomba niombee pastor biashara yangu haikui. Hakuna kitu kinaenda. Ni miaka mitatu sasa sion nilichofanya cha maana hata kimoja