Amina Sana mchungaji. Ahsante maana unaongea nami. Shetani amekuwa akiniwekea mkono hata nikisoma biblia, nilikuwa sielewi, na kupata meaning tofauti. Ila tangu nipate SoMo Holi. Shetani ameshindwa kwa mamlaka ya jina la yesu.
Dakika ya 27 umeuliza swali muhimu sana la kiteologia, kikristologia na kisoteria, je! Mwokozi wangekuwa na akili gani akimsaidia muovu aache dhambi kisha akafa? Hili hufanya matendo mema kuwa haikidhi hitaji la kupatana na Mungu. Hiyo bila kifo cha Yesu ambacho ni kwa niaba ya kila mwenye dhambi atubuye muumini anaabudu Bure.
Mchungaji mbaga wewe hapo kwa kuweka chumvi shambani ili nivune mbna kama unaleta usanii tena una tofauti gani na mganga wa kienyeji ...niache kumuamini yesu niamni vitu...jipange tena
Amina Barikiwa Pastor
Asante sana pastor,nitamkea neno mmoja pastor
Amina Sana mchungaji. Ahsante maana unaongea nami. Shetani amekuwa akiniwekea mkono hata nikisoma biblia, nilikuwa sielewi, na kupata meaning tofauti. Ila tangu nipate SoMo Holi. Shetani ameshindwa kwa mamlaka ya jina la yesu.
Amen mungu atukuzwe. Mungu akubariki sana pastor mahubiri yako yanitinga moyo
Pastor nmesoma history hadi chuo kikuu yaan hayo yote ni kweli kabisa
AMEN🙏hili somo limenibariki sana kabla nilale,na nikajifunza mambo mengi sana ili kushinda katika cristu.barikiwa sana mchungaji🙏💞🙏
Amina
Mungu akubariki Sana.
Baba shikamoo
Amen
Amen pastor barikiwa
God bless you.man of God
Huyo pepo wa kusizia mwenye ameshika huyo mama, kwa mafundisho haya matamu na ya maana, ashindwe katika jina la Yesu
AMEN AND AMEN 💘
Amen be blessed
Dakika ya 27 umeuliza swali muhimu sana la kiteologia, kikristologia na kisoteria, je! Mwokozi wangekuwa na akili gani akimsaidia muovu aache dhambi kisha akafa? Hili hufanya matendo mema kuwa haikidhi hitaji la kupatana na Mungu. Hiyo bila kifo cha Yesu ambacho ni kwa niaba ya kila mwenye dhambi atubuye muumini anaabudu Bure.
Hiyo number iko diverted

Towa maelezo
Amina
Amen
Amen
Amen