Barikiwa sana Pastor masomo yako yamekua mbaraka mkubwa sana kwangu, kiukweli nikisoma maandiko na nikikusikiliza wewe najikuta nayaelewa maandiko kiurahisi zaidi
Mwenyezi MUNGU akuzidishie Wema Wake Pastor ninabarikiwa na nimebarikiwa sana Katika Siku hizi 10 Jina la BWANA litukuzwe Ninakuombea Pastor Wangu Neema ya BWANA izidi kuwa Juu Yako
Ubakiwe 🙏🙏
Barikiwa sana Pastor masomo yako yamekua mbaraka mkubwa sana kwangu, kiukweli nikisoma maandiko na nikikusikiliza wewe najikuta nayaelewa maandiko kiurahisi zaidi
We need pastors like you
Paster Mungu akubariki sana nabarikiwa sana ,Mungu azidi kukujaria katika kazi hii
AMINA
Barikiwa pr
ubarikiwe pastor kwa somo zuri. tunabarikiwa sana kutoka dar es salaam
AMINA
Amen ....Pr.
More blessings upon you my pastor
AMEN
Aleluyaa
Amina ninabarikiwa kutoka hapa mbeya
AMINA
Mwenyezi MUNGU akuzidishie Wema Wake Pastor ninabarikiwa na nimebarikiwa sana Katika Siku hizi 10 Jina la BWANA litukuzwe Ninakuombea Pastor Wangu Neema ya BWANA izidi kuwa Juu Yako
AMINA
Wewe ni model wangu always I appreciate
GOD bless you
Mungu awabariki
Ninaendelea kufuatilia kwa umakini
ubarikiwe
Asante sana pastor kwa ujumbe Mungu aendelee kutukuza na kukubariki
mchungji naomba unisaidie kunielewesh warumi 7:14 hadi 20 na pia ili niweze kuelewa ninapojisomea binafsi
Asante pastor,,hapo nikanisa gani??
IDETE, WILAYA YA MUFINDI