Dada ubarikiwe sana pia endelea kuwa na roho nzur wengi wanaficha vitu vingi nimeangalia video nyingi sijazielewa ila hii yakwako umeleza vizur sana hongera Sana....
Ubarikiwe sana....Hyo alka 2 Ina ujazo gani mana kwa huku hawauzi kwenye pakiti kama hzo bali imefungwa kwa pamoja sasa msaada hyo yako ni gram ngapi labda
@@asiliyako189 Asante sana dear. Namba yangu 0687786576 mafunzo mengi zaidi yapo kwenye Kitabu cha Utengenezaji wa bidhaa za Viwandani za usafi na urembo.
@@MaryThobiasy wewe endelea kusema mtu hawezi kuelewa wenzako wanajifunza hapa hapa na wanaanzisha biashara, ukiwa huna cha maana cha kusema jifunze kukaa kimya.
Wasiliana nami kwa namba 0687786576.
Kitabu shingap
@@malentito3101 30,000
Ahsantee sana kipenzi kwa darasa kwa Leo nimekuelewa vizuri dada naomba utufundiehe na dawa ya choo 🙏
@@MamaBless-w4s Nashukuru dear, kwa mafunzo zaidi karibu ununue kitabu 0687786576.
Asantee dada mefurahi sana kujifunza , natamani niweze kutengeneza sabaunii, naomba zako nikutafute private.
@@naomiobeld-hq1eu karibu dear 0687786576.
Asante snaa Dada ,Mungu Akubariki snaa Maana nilitamani kujua kweli jinsi ya kutemgeneza ,Sabuni
@@SyliviaSalumondo amina dear, karibu ujipatie kitabu ujifunze vizuri zaidi na bidhaa nyingine nyingi 0687786576.
Hongera kwa kazi nzuri
@@flavianangabala4640 Asante dear.
Asante dada mimi naomba uniorodheshee hayo maitaji
Mungu akubariki 🙏
Mtayapata kwenye Kitabu soon dear.
Asante sana dada kwamafunzo Yako nimetengeneza sabuni nimepata mzuri sana wateja wangu wanaisifia barikiwa sana
Amina dear. Tuma shukurani yako kwa namba 0687786576. Asante.
Sawa
Dada ubarikiwe sana pia endelea kuwa na roho nzur wengi wanaficha vitu vingi nimeangalia video nyingi sijazielewa ila hii yakwako umeleza vizur sana hongera Sana....
Asante sana, nashukuru 🙏🏾🙏🏾
Asantee ubarikiwe kwa kutupa ujuzi Mungu akuzidishie zaid my
Amina dear ❤️
❤, ahsantee sana ubarikiwe sana,nahitaji kujifunza zaid
Amen dear ❤️
Jamaniii ni nzurii sana madamu sasa me nahitaji nijaribu kutengeneza kwaajili ya biasharaa madamu
@@IreneMseya Karibu ujipatie kitabu dear 0687786576.
@@annaclaireshija inafaa kuoshea vyombo madam
Asante dada amina
@@renathamgeni3869 ❤️❤️
Ubarikiwe sana....Hyo alka 2 Ina ujazo gani mana kwa huku hawauzi kwenye pakiti kama hzo bali imefungwa kwa pamoja sasa msaada hyo yako ni gram ngapi labda
Ahsante madam nimependa kazi Yako ila Nina shida ya kujua vipimo kwa Kila kiwango ninachohitaji kutengeneza sabuni
Nakushauri ununue kitabu
MashaAllah madam me naomna no yako nikutumie ya soda
Then tunaomba formular ya scrub na shower gel
@@asiliyako189 Asante sana dear. Namba yangu 0687786576 mafunzo mengi zaidi yapo kwenye Kitabu cha Utengenezaji wa bidhaa za Viwandani za usafi na urembo.
Hongera mpenz,umefundisha vizuri sana Mungu akubariki Hellen kutoka Arusha
Amina dear. Ubarikiwe.
Asante sn.
Kazi nzuri sana dada,, ila samahani naomba kujua kiasi Cha malighafi kwa sabuni liter 30,, hongera sana,,
Asante dear, karibu ujipatie kitabu utajifunza vingi na utapata vipimo pia. 0687786576.
Ahsante sana dada Allah akubaliki nahitajikujuazaidi vipimo kwa kila hatua
@@HamisJuma-rn6de Amina 🙏🏾 Karibu ujipatie Kitabu kina mafunzo mengi zaidi na vipimo.
Ahsante sana, somo nzuri. Allah akubariki. Alkatu ni kilo ngapi?
@@sichanafoum3287 Asante dear, karibu ujipatie kitabu kwa mafunzo mengi zaidi na vipimo 0687786576.
Dada hope you are doing well, naomba kuuliza kwamba sabuni unapoiacha kwa muda wa saa 12, inafunikwa au inaachwa wazi?
I am fine dear. Unaweza kuacha wazi au kufunika. Vyote sawa.
Ukifunika itapendeza kwaajir ya kuzuia uchafu kwenye sabuni yako
@@monproducts2705 sawa kabisa.
Habari samahani...nikitaka kutengeneza lita kumi natumia vipimo gani kipenzi??
Nawaandikia kitabu mpendwa mtaona vipimo vyote
Tunakisubiria ubarikiwe zaidi ya sana mpendwa
@@zubedashomari5429 asante sana dear, Amina 🙏🏾
Madarasa kiasi Gani kujiunga??
@@rahmamsonde Kitabu ni elfu 30. 0687786576.
Jinsi ya kutengeneza shower jell na scrub mom
Sawa.
Mama mungu akubarki sana
Amina dear ❤️
Ubarikiwe sana
Amina, Ubarikiwe pia.
Dada kwa dodoma hzo malighaf ntazipataje pls msaada 🙏
@@DeboraJaphet-c1r karibu tuwasiliane 0687786576.
Nahitaji namba zako madam
Asante my
Karibu dear ❤️
@@annaclaireshija naomba tuandikie vipimo😢
@@Precious438 Mbona nimevitaja vipimo vyote dear?
Kuna siku nilitengenza Sabuni Ila povu lilikiw Ling kumbe nliweka nyng capd iyo ya kuongeza povu
Alkatuu ndo nini au ni cmc hii
@@latwintz ni tofauti na CMC dear.
naomba kuuliza alkatu gramu ngapi maana huku kwetu wanachakachua sana
@@akramsamil9238 maelezo zaidi utayapata kwenye Kitabu, 0687786576.
200g itakuwa
Madam mi nikiyeyusha alka tu, inatoa mabonge nakosea wap
@@marthapolladdy472 nimeelekeza hapa jinsi ya kukoroga dear.
Chumvi kiasi gani umetumia
Ahsante unafundisha vizur je hauna group la WhatsApp madam
Asante dear. Sina group.
Namba za cmu pls
0687786576.
Naomba kujiunga dada
Sina group dear ila kuna kitabu kitaanza kupatikana hivi karibuni.
Mm nimetengeza lkn nyepesi
Vip kitabu kipo tayar Cha utengenezaji wa sabuni za maji
@@HawaDua kuna mahali utakuwa umekosea dear. Hiyo sabuni kwa vipimo hivi ni nzito sana.
Maligafi zinapatikana wapi kwa watu wa mbeya
@@agnesssperatus7199 majibu yote yapo kwenye kitabu dear 0687786576.
Taja ingredients na kiingereza
Is it by force?
Don't worry i got them
Chumvi ya mawe hii tunayo tumia yakula
Ya mawe huwa inauzwa sokoni au kwenye maduka ya malighafi dear.
Tuache unafiki mtu awez elewa labda awe anazijua au amewah kujarbu lakini kama mgeni mh
@@MaryThobiasy wewe endelea kusema mtu hawezi kuelewa wenzako wanajifunza hapa hapa na wanaanzisha biashara, ukiwa huna cha maana cha kusema jifunze kukaa kimya.
Vipimo hujatutajia
Ungeshukuru kwanza kwa kupata mafunzo bure badala ya kulaumu hujatajiwa vipimo. Ukihitaji vipimo karibu ununue kitabu.
Nahitaji kitabu
@@marydenis-jh3hy wasiliana nami kwa namba 0687786576. Karibu.
@@marydenis-jh3hykitabu sh ngapi my dear
Mbn iyo namba aipo ewani dear nam naitaji kitabu
Nahitaji kujua
Kujua nini dear?
Habari nashida nakitabu nakipataj
Nzuri dear. Bado hakijatoka, nitatangaza hapa.
Nakipataje kitabu dd
@@NeemaGrace-q1l nitumie ujumbe WhatsApp 0687786576.
Samahan @anaclaireshija Kwa Mwanza ntapata wapi hizi chemicals?Kama una idea please.
Nenda ofisi za SIDO
Uko wapi nikuelekeze duka la la wakala
Dada ahsanteh kwa somo. Ningependa kujua malighaf hizo kwa upande wa mkoa wa mbeya zinapatikana WAP?
@@DianaMwamatepela Nenda Ofisi za SIDO Mbeya huwa kuna maduka au duka la malighafi.
@@DianaMwamatepela hello dear, nenda kwenye ofisi za SIDO Mkoa wa Mbeya utazipata. Utaulizia duka la malighafi.
Nahitaji namba zako madam
Nahitaji namba zako madam
@@KusekwaBukelebe 0687786576.
@@annaclaireshija 8