Assalamu Alaykum Warahmatulah Wabarakatuh.Naulizia tiba ya jini anayeingia mwilini na kutoka mfumo kama wa jinamizi ana haribu mimba na mzunguko wa hedhi.Visomo hakuna kinachotokea,akimaliza dozi anarud. anapenda kumvaa mwanamke baada ya swala fajir au mchana lakin si usiku.Naomba msaada Sheikh.
Masha Allah Sheikh 🙏🙏
Ma shaa Allah Sheikh Allah akuhifadhi
Walakum salaam warahmatullahi wabarakatuh
Mansh Allah shukran shiekh
Waaleykum salaam
Assalamu Alaykum Warahmatulah Wabarakatuh.Naulizia tiba ya jini anayeingia mwilini na kutoka mfumo kama wa jinamizi ana haribu mimba na mzunguko wa hedhi.Visomo hakuna kinachotokea,akimaliza dozi anarud. anapenda kumvaa mwanamke baada ya swala fajir au mchana lakin si usiku.Naomba msaada Sheikh.
Walaikum salam angalia videos zake utaona no yake umpigie in sha allah
hapokei nimempigia sana miezi iliopita
@@cosmasjoshua1973 ooo pole mwaya jaribu kutuma sms au mpigie kakake sheikh mardhiya Salim