#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 35

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Месяц назад

    Mungu kutana nhaja ya moyo wangu ww wajua haja yngu usimpita katika madhabahu hii usiniache Mungu

  • @nicholauskalumwana4448
    @nicholauskalumwana4448 Месяц назад +1

    Ni haja ya moyo wangu kila iitwapo leo mungu aikumbuke familia yangu TUMECHOKA kuishi na ROHO ya UMASIKINI na naomba mungu nifanyike kuwa ESTER wa familia yangu kuiokoà. kutoka kwenye hali ya umasikini kama alivyofanyuka Ester kuwaokowa wayahudi kutoka kwa watesi wao (haman ) naamini hii itakuwa ni september ya kukumbukwa kwa familia yangu

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo Месяц назад

    Natamuka Damu ya Yesu kwenye maisha yangu mambo ya urthi yote nayakataa amen 🙏

  • @zainabudotto
    @zainabudotto Месяц назад

    Nimebalikiwa kwa jina LA yesu asant mungu pamoja na mtumishi wako uliempa kibali

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani Месяц назад

    nitiye nguvu Mungu tuinuwe bwana wewe ni yule usiye shindwa kwetu . asante bwana asante bwana ndiyo bwana

  • @AshuraNdayisaba
    @AshuraNdayisaba Месяц назад

    Asante Bwana Yesu kwa uwezo wako

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo Месяц назад

    Nibadilishie jina langu Mungu wangu 😭

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma Месяц назад

    Asante bwana wewe ni mfalumewewe nimekuuzi Asante bwana

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 Месяц назад

    Brighton & Brightness Godluck Lewis tunasumvuliwa na Roho ya ulevi na kutooleka

  • @AdrianoFabian-l8y
    @AdrianoFabian-l8y Месяц назад

    Mungu wangu naomba msaada kwako maana shetani ananifata kwenye ndoto sanaaa roho mtakatifu njoo uniokoe

  • @RoseImani
    @RoseImani Месяц назад

    Asante Sana pasita mungu atusaideya tujuwe kuhesabu Siku zakuishi utakaso

  • @راماراما-ش5س
    @راماراما-ش5س Месяц назад

    Amen 🙏

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo Месяц назад +1

    Asante mtumishi wa Mungu,leo umenigusa saaaaanaaa,siwezi niseme je kweli!!!yani namwomba Mungu wangu anisaidie kuvuka rahana za ndoto mbaya Mbaya za kunichereweshwa,Mungu nakuomba unitowe kwenye urithi wa ki family unibadirishie jina Baba yangu,unipe nguvu nizidi kuongezeka kiroho,amen amen

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Месяц назад

    Thank you Jesus for the time,

  • @bithwangi1008
    @bithwangi1008 Месяц назад

    Asante yesu

  • @WardaDullah
    @WardaDullah Месяц назад

    Asante yesu🙏

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq Месяц назад

    Amen pastor 🙏🏿

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo Месяц назад

    Remember me LORD 😭😭😭

  • @FadhilahbonyBoniphancemgogosi
    @FadhilahbonyBoniphancemgogosi Месяц назад +1

    Yesu endelea kutawala kwetu😢

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma Месяц назад

    Asante 🙏🙏🙏 mungu aniondolee machozi

  • @FadhilahbonyBoniphancemgogosi
    @FadhilahbonyBoniphancemgogosi Месяц назад

    Maombi Aya nimeota napasua mayai yakiwa kwenye bakuri ghafla.. pastor innocent akanitokea kisha akatabasamu 😢.. na kujitambulisha sijaelewa maana yakee🤲👏 mungu naomba uongozi kwenye hili 😢🙏🙏

  • @CarolineOside-s5q
    @CarolineOside-s5q Месяц назад

    Asande yesu

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa Месяц назад

    Mungu nahomba neema yako baba unihone nime teseka sana mungu wangu ni funguwe

  • @luciageorge292
    @luciageorge292 Месяц назад

    Mungu wangu ni maombi kwako kwamba nilianza mwaka vibaya naomba kwa miezi hii iliyobakia kumaliza mwaka nimalize kwa furaha, nijazwe na nguvu za Roho wako, kazi na fursa za buashara Amen

  • @MarieChantalGahimbare
    @MarieChantalGahimbare Месяц назад

    Asante sana mtumishi wa Mungu mimi kwakweli nimeguswa hapa kwenye biashara nilianza kuwa nikipanga nifanye nini roho inavimba nashindwa kuamini kire nilicho kipangilia nilijikuta nimefungua mahari duka ikaja ushahuli mwingi nikiambiwa kuwa vinywaji ndo vinaenda mahali apo sasa nikaelekea sokoni nikanunuwa makileti nikaanza biashara nilianza kuwa nandoto yakuona mutu mwenye hageuki nyuma nikawa nami niko nyumaake kaachia mtoto mdogo nikaona mutoro ameangukiya kwenye Muto wamaji nami nikawahi Huwo mutoto nikarukiya kati yamaji nikamuokowa mutoto ila sikumujuwa nahuyo Mutu sikumujuwa sasa nimerudi kutoka kwenye maji namutoto nikaikuta simuangu niripo yitupia nikiwahi mutoto imevunjika nikawa nimeumiyasana nikawa ndonimeanza hiyo biashara nilipata ndoto simu inazima niliona simu ikiporomoka kutoka juu mpaka ikafika moja ikazima ndoto hii haikunipa amani

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 Месяц назад

    Mimi nahisi niliridhi roho za kukosa kibali na kukatawaliwa

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 Месяц назад

    Nilipiti maumivu.sana nilibeba mimba nikiwa shuleni baada ya hapo nikaishia kudharauliwa na familia yote pamoja na mwanaume.aliyehusika kunibebesha mimba niliteseka miaka 20 bila hata kujua mm niliishi kama mateka

  • @PaulAgwata
    @PaulAgwata Месяц назад

    Mungu 😢😢😢😢 mbona mm nikumbuke na Mimi bwana

  • @IsayaNgwilizi
    @IsayaNgwilizi Месяц назад

    Nimerithi mambo mengi kwa mababu zangu jamn mpaka nachoka

  • @MarieChantalGahimbare
    @MarieChantalGahimbare Месяц назад +2

    Sasa nilipata ndoto wazazi waliokufa nilimuona umoja akizika pesa nyingi nikawa namuomba anipe kidogo nifanye biashara ila niliamuka akiwa amemaliza kuzika hio pesa tena ilikuwa nidola kabisa badae nilijikuta niko nanda mbegu kijijini hapo nikashitukia nikitaka kujuwa nimbegu gani nikasikia sauti ikiniambia kuwa inapanda bangi kwanziya hapo nilianza kuofiya biashara yakuuza pombe sasa nimesimamisha nikauza kileti bado yakuacha sasa nimeshindwa kujielewa natafuta kibanda sokoni ila nifanye sokoni nanimehomba kiasi cha pesa inabaki nacho nimeenda chini sana nandio kitu ninacho kitegemeea ili niweze kukaa ingalawu nazambi mbalimbali nimeziacha kabisa nanguvu nilikuta zinatokea kwakile kinacho nifanya niweze kujilisha bila kumtegemea Mutu yoyote nanimesha muahidi Mungu sasa nayumbayumba kiwanja sipati nilipo weka pesa zinaenda hadi nakosa pesa imeenda wapi nikichukuwa pesa kidogo bado yalisaa nikiludi naesabu nakuta pesa imepunguwa mpaka mimi ninasikia uogaa sana usiku nimeomba sana usiku wajana ila nikafanyiwa uzinifu kwandoto kwakweli kitendo limenifanya niumie sana moyoni mwangu 😭😭😭😭😭sielewi chochote nilirara tena nikaota nikiwa chooni nikawa nimesimama nikawaona watu wakikojowa mukojo wote unanilukia sasa sijierewi hadi nimechoka nakuomba mtumishi wa Mungu uniombee sana niko kwenye shida !

    • @laurentndowa2304
      @laurentndowa2304 Месяц назад

      Muombe MUNGU Kabla Ya Kulala , Pia Unapo pata pesa kuwa unatoa Sadaka ya mbegu , adui hato Gusa Pesa Yako , Pia Kuwa unatoa zaka kwa uaminifu, Pia Hakikisha unaijuwa BIBLIA Na katika maombi yako Unganisha Maneno ya MUNGU katika BIBLIA na Imani Yako. Mshambulie Adui kutumia mistari ya BIBLIA. Pia usiwe muoga Wewe ni Mtoto wa MUNGU Uotapo Ndoto mbaya ikatae na uikemee kwa ujasiri na Imani. MUNGU Yu pamoja nawe Atakulinda Siku zote za maisha yako na kila Jambo lako litafanikiwa kwa Jina la YESU.

    • @FloraJosephat-l3t
      @FloraJosephat-l3t Месяц назад +1

      Aise pole saana ndugu omba bila kuchoka kubali kuachilia kila kitu tafuta kanisa la karibu ukabatizwe uwanze upya na Mungu penda kuhuzuria mafundisho ya dini na kusoma biblia usikate tamaa

    • @devothahaule6665
      @devothahaule6665 Месяц назад +1

      Mungu akusaidie hapo unaonyeshwa uko na vifungo vingi vya aina tofauti na wako wanaokuchafua sasainitaji maombi na ibada sana bila kuchoka yote hayo yataisha

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo Месяц назад

    Natamuka Damu ya Yesu kwenye maisha yangu mambo ya urthi yote nayakataa amen 🙏

  • @jacklinegatwiri635
    @jacklinegatwiri635 Месяц назад

    Amen 🙏🙌