Amen Sijui nilikuwa wapi Kwa huu muda wote bila kusikia huu wimbo Mzuri mungu wangu Eeehhh mungu wangu na Barikiwa sana umegusa moyo wangu pamoja na shida zangu Ipo siku mungu ata tenda Nazidi kumuomba Kwa roho na kweli
Hongera kwa kazi nzuri Mungu na azidi kukutumia kama apendavyo nawe ndivyo utakapo pata raha nafsini mwako, Bwana na aenende nawe kama alivyokwenda na Musa.
Sifa kwa Mungu
mungu aku bariki Sana kwa mafundisho kama ivyo biblia inatuonesha Ku Lukanda ya yohana4:23-24.
Mungu awe nawe
Ameen ameeen Moyo wa ibada ndio MUNGU anautazama
mungu akubariki sana kaka akuzidishiye maisha mema 😍😍😍
VRAIMENT C'EST PROFOND
Amen grory of jesus 🙏
Mungu akuongezee zaidi na zaidi kaka katika Christo. Huu vimbo ni faraja kwa moyo wangu sana
Ameeen
Faraja kubwa,zaidi,na hasa,kwangu binafsi
Amen ubarikiwe 🙏👏🙏👏
Great worship.Asante Utv .
Seriously very greater and spiritually stronger
Yesu nataka nikuabudu ....ehh bwana nisaidie nisichoke. Amina .. I'm blessed ..
Kwa kweli tumuabudu kwa Roho na kweli atasikia,asante Sana mass barikiwa
Merci pour votre balance mass Massilia 🙏🙏🙏♥️♥️🤭
Amina.mtubishi.barikiwa.san.sana.mungu.akuinuwe.tena.na.tena🔥
Siya kwa Mungu, barikiwa mutumishi
Mungu akubariki sana baba 🙏
Napenda hii wimbo saaana
Kwa sifaa n'a maabudu mungu anatukaribia n'a kutufariji🙏🙏🎤🎤
Mungu akubariki sana mtumishi! Yani huu wimbo huwa hauniishi hamu ya kusikiliza. Umeyagusa sana maisha yangu.
Hakika,Ndugu,na mimi,piya
My fave song 😍
J'aime bien ça 3:01
This song on another level
So amazing! Asante sana ndugu kwa huu wimbo. We worship the Lord of Heaven! God bless your ministry 🙏
Ubarikiw saaan kbs
kwakweli iyinyimbo unanifurahicha sana na nikiwa kwenye mahombi nikihitiya na sikiya nguvu ya jabu sana Mungu akubariki sana
Amen 🙏 jina la Bwana wetu YESU KRISTO na litukuzwe milele na milele
Merci pour ces musiques qui ne cessent de nous affermir et nous restaurer.
Eeeh my Darling Baba uwepo wako ukae nasi.I belong to You🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌Mtumishi Mungu akuinue ktk Huduma yako.
umenibariki sana kaka kwa huu wimbo ubarikiwe mtumishi
Amen ubarikiwe sana
Wimbo wako wa NDOA umepoteya RUclips, vipi uliutowa?
Ubarikiwe baba
Uparikewe Papa
Amen Sijui nilikuwa wapi Kwa huu muda wote bila kusikia huu wimbo Mzuri mungu wangu
Eeehhh mungu wangu na Barikiwa sana umegusa moyo wangu pamoja na shida zangu
Ipo siku mungu ata tenda
Nazidi kumuomba Kwa roho na kweli
nimegunduwa siri moja nikikuabudu kwa Roho na kweli atasikiya
Amina mtumishi
Ooh,Merci ndugu,wimbo huu unatosha kwa kumwomba Mungu,Maisha Marefu
Ubarikiwe kaka
Ubarikiwe
2021...Nimekumbushwa hii nyimbo.... Utukufu kwa Bwana!! 🙌🙌
Amen amen ❤❤❤
The best song of the universe.God bless u all
Wah, have bn searching this song, not knowing artist name
Amen amen
My tune
Hata kama hatuja pata majibu ya maombi yetu tujifunze kusubiri .
AMEN
"nimegundua Siri moja ukimwabudu kwa Rono na kweli shida zote maishani ndiposa....." Amen
barikiwa mtumishi
ubarikiwe kaka.yangu nyimbo zako zina nibariki saaaaaana🙏🙏🙏
I’ve listened to this song for more than 20 time.... may God bless you brother 👍🏾
Hongera kwa kazi nzuri Mungu na azidi kukutumia kama apendavyo nawe ndivyo utakapo pata raha nafsini mwako,
Bwana na aenende nawe kama alivyokwenda na Musa.
Amen. Mungu awazidishiye mara dufu.
Naipenda sana hii nyimbo maana inanipanguvu ya kusonga mbele mungu ashindwi na kituuu
Good job
amena ubarikiwe baba kwa nyimbo nzuri
Svaka cast brate veoma dobra pesma
YESU Christo akuinuwe mara dufu
Nilifurahi sana kutazama album yako kwa Mara kwanza 2016,lakini nyimbo zako zinavutia sana hats zile za mda mrefu.
nikweli wacha mungu aabudiwe keep up mass masilyam
🙏🙏
Barikiwa sana sana
I'm blessed,,,,, Lord Jesus take more of me and give me more of you,
ubarikiwa, tukimuomba mungu kwa roho na kweli atasikiya
nice song .God bless you
Abudu kwa Roho na kweli................! yeye anastahili
Wimbo zako Zina upako ubarikiwe sana
My favorite singer.. Mass Masilya
Kiukwel naipenda hii nyimbo
Mungu akutie nguvu saan kwanza umenisaidia sana katk shida yangu
asante kwa siri hiii yakuabudu Baba yetu
blessed mtumishi Wa mungu
Vraiment cette chanson me rend souvent heureux
Ubarikiwe mtumishi Mass Masiya
Mungu abariki kazi yako
Amina hii mwimbo unanibariki kwa sana
Amen brother , Am so blessed by listening this song... Glory be to God everyday Hallelujah 🙌
Worshipping 🌷🌷🌷🌷
Ok
Mungu akubari
Abudu eeeh abudu Yesu, ubarikiwe sana mpendwa
Nice song
nice song indeed. God bless u.
Mungu akubariki sana
Be blessed Man of God Mass
Amen🙌🙌😢🙌😢🙌
Amen
there is power in worshiping God
munguakubariki
ubarikiwe
Masi na itaji numbers zako
Zangu ni 0997093900
Barikiwa mtumishi
Napenda hii wimbo saaana
Amen
Amina Good 👍 congo 🇨🇩