MashaAllah Sheikh Ramadhan munafanya kazi kubwa sana ila leo ninaushauri ni vyema ukamaliza na mtu mmoja then uende kwa wengine inapendeza na inaleta feeling ya kumjali yule uliyeanza nae Ila everything kiko perfect
Kua mu Islam Raha jamani sisi tunajivunia sana sana waguslim juu tunaona ukweri wamambo juu kitambo turikua turidanganywa Masha Allah karibu kwa Muhammad Mtu wawatu
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. Tuongoe njia iliyo nyooka, Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea
Walaikum Salam ww. Mimi ni munyarwanda nataka nikwambiye kwamba sisi sote tunatumiya lugha moja kinyarwanda . Na ivo ivo warundi nawo wanatumiya kirundi. Lakini izo zote zinakaribiana kusemwa kama sawa
UYO TAHIRA MWENZENU, WALA HAISUMBUI. Uko kwenu mwanaume 1 wake 4, ili uyo mwanaume bao 1 kajitahidi dk 5. La pili mpaka alale masaa 2 aamke akaoge ndo arudie. Ndoa mabinti chini ya miaka 18. Mzee miaka 60 binti miaka 18. TAMAA mbele
Masha Allah Tabaraka Allah vijana wa kusilimu MUNGU awaongoze katika maisha yao na Mashekhe wote MUNGU awabariki katika duniani na akhera
Ameen Ameen yarabi
Alhamdulilah kwa kusilimu mgeni mpya, Jazaka Allah Kheir sheikh Ramadhan
ALLAH awajaze wote Ustadh ramadhan kaguo, na Hao vijana ,waliosilimu ALLAH strengthen their Imaan, and make them stronger
Aamiin yaa rabb al alamiin
Leo nafurahi sana kumuona munyarwanda mwenzangu kasilimu kupiyiya nyiye . Allah awazidishiye mema ma sheikh
Lailaha Ila Allah 😭😭😭😭hatamiekaniliza Allahu Akbaru MashaAllah
Shekh wetu Mwenyezi mungu awape umri mrefu ,Amiin ❤❤
Ameen yaa Rabb
😢😢❤❤❤Allah amuongoze huyo kijana yetu. Tazama furaha ya kuwa Muislamu.
😭😭😭😭😭 Ningepata.Quruan. ty ningesikua raha😭Allhamdulillah yaraby kwakua muislam nindini ya haki
Allah akupe subra sheikh Ramadhani kazi ipo ya kufahamisha hata akaelewa
Allah atuongoze inshaallah akuzidishie shekhe wetu Ramadhani
Mashallah Ramadan Kuria may God grant you jannatul fradous inshallah
MaashaAllah mfike hadi kawangware stage 2 na 56 mwisho tafadhali in shaa Allah
Allah aqbar☝️
Huyu jamaa anafurahisha sana Allah amjaza imani
Allah awazidi kuwapa nuru na subra Amin
Tak bir Allah huakbar. Masha Allah
Mashallah... Allah akuhifadhi sheikh wetu...
Mashallah mashallah Allah awape afya na umri mrefu muzidi kutuelimisha navwanaopata haki Allah awazidishie Iman ❤❤❤
MashaAllah Sheikh Ramadhan munafanya kazi kubwa sana ila leo ninaushauri ni vyema ukamaliza na mtu mmoja then uende kwa wengine inapendeza na inaleta feeling ya kumjali yule uliyeanza nae
Ila everything kiko perfect
Mashalla alhabulilai ustaz ramazane kuria
Allah awalipekher kazinzur
Allah akutieni nguvu muzidi kuelimisha wasiokua waislam
Aamiin
Mimi pia chozi limenitoka wallah 😭mungu amuongeze mpeni Quraan asome
Mashaa Allah
Kua mu Islam Raha jamani sisi tunajivunia sana sana waguslim juu tunaona ukweri wamambo juu kitambo turikua turidanganywa Masha Allah karibu kwa Muhammad Mtu wawatu
Ulidanganywa Kwa uvivu wako wa kutosoma ukaelewa
Mashalla mwenyezi Mungu awape nguvu ❤❤
😢😢😢😢😢mashaaallah
Bilidabagayoo Fredrik 🤣🤣🤣🤣Ostadh Raadhan nimecheka🤣🤣🤣
The true deen before Allah s.w.t is Islam.
Sura 19:71 is waiting for all Muslims while John 14:6 is the right choice
Mnapambana sana mashekhe wetu kwa jili ya Allah Allah awalipe malipo makubwa Duniani na Akhera
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
MashaAllah ♥️
Allah akbar walilah lihamdu
Mashaallah 🙏🏿❤️
Mashaalah My brother Ramdhan, may we Meet in Jannah inshallah
Ameen
@@StraightPathDawahmm naitwa hassan juma nipo Zanzibar nafuatilia sana chanal yako lkni ninaushauri juu yako
Masha Allah i love you all, Brother Ramadan kuria Mungu akujazie kheri❤❤
Subhannal-llah Allah Akbar MashaAllah tabaraqallahu jazakum'Allahu'khayran kweli Ramadhani upo vizuri sn❤❤❤
Masha Allah so emotional wallahi. ALLAHU AKBAR
MashaAllah Mashekhe wetu wanafanya kazi kubwa sana
Manshallah Allah akulipe
Mash Allah
Mashaallah Allah akbar lailahilahllah 🎉❤❤❤❤
Masha allah
Kazi safi mashalla ❤️
Masha Allah Mungu akujalie Ramazani
Ustadh siku zote mtu akisilimu, watu wamu 🫂 wamkumbatie please, hapo ndo unamkaribisha vizuri hata Hatoyama hio warmth
Takbyr
Allahu Akbar
Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉
ALLAHU AKBAR ♥️
Allah aware umri mashelk na awazidishie kila la heri inshaAllah
Allahu Akbar, Allah akuongozeni nyote na awalipe jannah Amiin
Allahu Akbar
Sisi wengine ni wagumu kutoka machozi ila macho yangu yameleta hisia ya kuleta machozi na moyo kumpenda huyu kijana
Eei nimetoa machozi huyu kijana aliyesilimu, akawa nafurahi kukuona
Sheh abdallah unakaribishw san katika uislamu
MashaAllah Allahu Akbar
Mmepata asiejua kitu ni maamuma tuaskini daah!!! Pole
Mashaallah Allha 💖💖💖
Masha Allah ❤
Ni neema kubwa Kwa Allah
Allahu akbar ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah
ALLAHU AKBAR
Mtu anahitaji kujifunza jambo mpk tunapata faida na wengine
TAKBIIIRO
Allah Akbar
Shehk karibu san tunkukaribisha burundi mim hua nakufwatilia san
Walim wetu
😂😂😂😂😂😂😂huyu jamaa wapili kanichekesha eti kwasas sina upande wa kusimama hakiamungu
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. Tuongoe njia iliyo nyooka,
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea
Surat fatih
mwambiye birinda bagabo itaendeleya ilenyingine yawa zungu ndo itatoka
Namuhurumia kwa kumezwa na giza.Lakini akiwa mwenye kusoma Quran na Hadith kwa umakini,atatoroka Uislam mbio🏃kama mshale
Uislam raha jameni😅
Ile siku utajipata Kwa moto sura 19:71 ndio utajua hukua Kwa raha
@@NathanielNathan-m4opoleee kwa kuungua nafs
@@JamilaJumanne-u7q Beware
uyo tayari kashajibeba motoni mwenyewe!
Soma usifate mkumbo
Analinda wanaume no maana yqhilo jina
Huyo hajielewi uyo tishat ya yelo
Wajina bwana😅😅 msamehe ataka kujua
Asalam alaykum shekhe wetu. Mimi nauliza swali : warundi nawanyirwanda wanatumia lugangapi??? Watusi nawahutu lugani moja ama???
Walaikum Salam ww. Mimi ni munyarwanda nataka nikwambiye kwamba sisi sote tunatumiya lugha moja kinyarwanda . Na ivo ivo warundi nawo wanatumiya kirundi. Lakini izo zote zinakaribiana kusemwa kama sawa
UYO TAHIRA MWENZENU, WALA HAISUMBUI. Uko kwenu mwanaume 1 wake 4, ili uyo mwanaume bao 1 kajitahidi dk 5. La pili mpaka alale masaa 2 aamke akaoge ndo arudie. Ndoa mabinti chini ya miaka 18. Mzee miaka 60 binti miaka 18. TAMAA mbele
Mbona malalamiko mengi ndugu? Shida nini?
We unamaanisha nn?
Umeamini mtume alie banwa mbavu na kiumbe akijulikani wala hakijajitambulisha ujinga mkubwa duniani
Soma usifate mkumbo
@@RonjoAlly-b4x kawaida ya waislam kujifanya wasomi huku ndio mbumbu duniani
@@charlesmakuri792 nafikir maarifa madogo ulokua nayo baado yasikufanye kujiona unajua kila kitu kaachini soma
Ma sha Allah
Maa Shaa Allah
Masha ALLAH ❤ ♥ ❤
Masha ALLAH.
Mashallah Allah
Allahu Akbar
Masha Allah