MCHUNGAJI ACHANGANYIKIWA AKITETEA UUNGU WA YESU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 80

  • @Saidalow-b8p
    @Saidalow-b8p 3 дня назад +8

    Nabii isa ni mtume wa mwenyenzi mungu kwa Wana waisraili

  • @MathewChesire-m3z
    @MathewChesire-m3z 3 дня назад +4

    Masha Allah shekh ramadan ulinifanya nikaslim kupitia mafundisho sasa hivi mimi ni mwislamu na zidi kufuatilia kabisa mtandaoni ❤❤ nawapenda sana .

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 дня назад +1

      Karibu sana ndugu, Allah akupe nguvu

    • @brightzone.
      @brightzone. 2 дня назад

      Ulidanganywa ndugu.
      Ukiwa muelewa hakuana sababu ya wewe kuwa muislamu.

    • @mwanaidiissa10
      @mwanaidiissa10 2 дня назад

      Mashallah ❤❤

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 3 дня назад +6

    Allah akupe subira kwa kazi yako ya daawa

  • @rajababdalla9868
    @rajababdalla9868 3 дня назад +5

    Maasha Allah
    Allah awazidishie neema zake na awadumishe ktk kutangaza uislam.

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 3 дня назад +3

    Masha Allah MUNGU awajaze kheri na baraka Mashekhe kwa kuwafundisha ndugu zetu, wakijua na kuelewa kuwa biblia ilitiwa maneno ambayo ni ya kuwachanga na kuwapotosha basi wataifuata haki, tunawaombea Kwa MUNGU awaongoze Insha Allah.

  • @isaa_ogutu
    @isaa_ogutu 3 дня назад +20

    Mimi naomba siku moja mfike homa bay county, suba south sub county,magunga...ningependa mfike huko siku moja angalau tupate na sisi mskiti kwa sababu nilisilimu na mskiti haiko karibu nami sa inakuwa ngumu kuswali kwangu...inabidi ni kae tu hivo hadi ni rudi shuleni ndo nipate kuswali tena.

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 3 дня назад +4

      Swali nyumbani inshaallah mtapata msikiti

    • @isaa_ogutu
      @isaa_ogutu 3 дня назад +1

      @Nora-v1m3p mi bado mchanga kwa kuswali kwa sababu bado na soma dini na sijaijua sana....nilisilimu 2 months ago na tumekuwa breaks mingi shule so sijapata kuisoma sana dini

    • @Dullahz
      @Dullahz 3 дня назад +2

      ​@@isaa_ogutuMashaAllah ndugi yetu cha muhimu ujifunze kutawadha na kuswali hio ndo muhimu kisha mengine utajifunza pole pole

    • @ibrahimetale9999
      @ibrahimetale9999 3 дня назад

      Asalaam alleikum, kuswali,Allah amefanya arthi yote kuwa msikiti. Unaweza swalia mahali popote, isipo kuwa,Barabarani,chooni,karibu na takataka,Karibu na slaughterhouse. Swalin Chumbani mwako,au nje, bali hakikisha unaangalka Kibla

    • @AbdirahmanAbdullah-yb1mm
      @AbdirahmanAbdullah-yb1mm 2 дня назад

      Kama umejifunza kusali,, unaeza sali ata Kwa nyumba

  • @KennedyMutinda-g1s
    @KennedyMutinda-g1s 3 дня назад +3

    Gaind new mamber ❤ from kiambu

  • @raniahmamu2586
    @raniahmamu2586 3 дня назад +2

    Masha'Allah ❤❤❤team straight path daawah association

  • @abdallahdoka9173
    @abdallahdoka9173 День назад

    Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu sheikh Ramadhan kuria

  • @rushdiomar4591
    @rushdiomar4591 День назад

    Mashallah shekh ramadhan na shekh khalifa

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 День назад

    Masha'allah sheikh Ramadhan

  • @ElizerAdenga
    @ElizerAdenga 2 дня назад +1

    Asalamaleikum....
    mimi langu nikuwasihi kama mnaweza fika KITEGELA TOWN KAJIDO COUNTY Inshallah

  • @SmilingDreamCatcher-ui6fo
    @SmilingDreamCatcher-ui6fo 3 дня назад +2

    Maashallah

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 3 дня назад +1

    Masha Allah.

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 3 дня назад

    Inshalaah mungu atawalipa jeza Jenna fardowsa

  • @ZainabMustakima
    @ZainabMustakima 9 часов назад

    Asalamu aleykum warahmatullahi.wabarakatu.awapongeza.jazaa yako iko kwa mngu zidi kutuilimisha

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou 10 часов назад +2

    WASIOAMINI UUNGU WA YESU NDIO WANACHANGANYIKIWA X 20 NA WAUPINGE KWA SABABU HAWAJAPEWA UWEZO WA KUELEWA MAANDIKO!!..
    Luka 24:44 Yesu akawaambia, “Haya ndiyo mambo niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi; kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika sheria ya Musa, katika Maandiko ya manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.” 45 Akawapa uwezo wa kuyaelewa Maandiko",

    • @wakeshojana
      @wakeshojana 10 часов назад +1

      Ni kweli kabisa wamezibwa macho na akili na mungu wa dunia hii kama isemavyo 2 Wakorintho 4:4
      Mungu Ibrahim, Yakubu na Isaka awanusuru na mungu wa dunia hii!!

  • @SideOmy-z8j
    @SideOmy-z8j 3 дня назад +1

    Masham Allah

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 дня назад

    Wakristo hadi leo hii hawajui Mungu ni yupi nyinyi ni moto tu Mungu

  • @AzizSalumu
    @AzizSalumu 3 дня назад +2

    Alafu niwambien mlisha ambiwa kimaandiko mnaotafuta ishara no kizaz Cha zinaa ishara ni moja ya nabii Yona mpo Apo pili Muhammad ckama hajui nn kitajiri juu yake Bali yeye kila kitu alikua Ana letewa sawa so muda anauliza alikua ajaambiwa

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 дня назад

    Kaazi kweli kweli!

  • @AzizSalumu
    @AzizSalumu 3 дня назад +2

    Wamaa yantwiq anilhawa Ila wahay yuha mcwe mna karirshwa ukafir

  • @hassanalikombozanzibar1192
    @hassanalikombozanzibar1192 3 дня назад

    Mashallah

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 3 дня назад +1

    Wakrito kuweni na kauli nzuri

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 3 дня назад +1

    Kufru kubwa sana kuita mtu Mungu mwenyezi muumba wetu

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 3 дня назад

      @@Nora-v1m3p Soma Isaiah 9:6

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 3 дня назад

      @@NathanielNathan-m4oww nae mwalim aliekufundisha alipataga mswak aki tena unapinga vitu viko waz jmn

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 2 дня назад

      @@JamilaJumanne-u7q Nimekupa andiko wewe unanipa malalamiko

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 3 дня назад +1

    Mwanadamu ni Mungu? Laa haula wala quwwata illa Billah.

  • @Sal.0
    @Sal.0 3 дня назад +5

    Isaiah 9:6, SIO utabiri wowote, because huyo 'SON' during Isaiah's Time, in 1200BC, is already BORN!
    PRESENT TENSE used!
    Therefore Isaiah in 1200BC, is NOT talking about 'yesu'!
    Please point out to Kristos, that the opening statement in ISAIAH 9:6 is in Present Tense
    Isaiah 9: 6 is the NATIONAL Anthem of christians, Forgetting that, that 'SON' is ALREADY BORN in Isaiah's Time!
    TabarakAllah team.

    • @brightzone.
      @brightzone. 3 дня назад

      @@Sal.0 Thats how you are fooling yourself brother - The Context points out Jesus.
      Isaya 9:6
      Isaya 7:14
      Isaya 49:6
      Isaya 53:3-5
      The whole Isaiah talks about Jesus Brother.
      Don’t let these Muslims Deceive you.
      They are all Deceivers and Allah is one of the Best Deceivers - Quran 3:54

    • @Sal.0
      @Sal.0 3 дня назад +1

      @@brightzone.
      It looks like your Parents wasted their Money by sending you to School, because you Do NOT know what PRESENT TENSE is!
      And it also seems, that LYING comes NATURALLY to you 'christians'!

    • @brightzone.
      @brightzone. 3 дня назад

      @ How did my parents Get into this.
      I gave you some of the Bible Verses on the Book of Isaiah which speaks about Jesus - Just Refute them.
      Refute the Verses - You knowledgeable person whom your parents did not waste their money.

  • @HamdiNuh
    @HamdiNuh 2 дня назад

    M.a❤❤❤

  • @hajihabibumaguno2982
    @hajihabibumaguno2982 2 дня назад

    Allah awalipe shehe kiligi yupo wapi mbona hatumuoni

  • @njiliyawakatinw2751
    @njiliyawakatinw2751 3 дня назад +1

    Nafika hapo saii

  • @brightzone.
    @brightzone. 3 дня назад +1

    Yesu ni mwana wa Mungu - Ana Asili ua uungu ndani yake - hivyo ana haki ya kuitwa Mungu.
    Quran 43:81 - Sema: Ingeli kuwa Rahmani ana mwana, basi mimi ningeli kuwa wa kwanza kumuabudu.
    Yesu ni Mungu na kwa kuwa ni mwana wa Mungu na anahaki ya Kuabudiwa.

    • @alinnenne984
      @alinnenne984 3 дня назад +1

      Ifahamu Aya ya qur-an inasema nini kisha ndio uje ulete hoja zako. Tatizo lenu wakristo munapenda kusomewa na hamusomi wenyewe kwasbb ukisoma mwenyewe utakuwa na maswali mengi ya kumuuliza Padri wenu. Hakika quran nikitabu kilichokamilika na kutakasika si maneno ya watu kama bible, kwenye biblia kuna maneno tele ya uongo Mara huyu kasema hivi na huyu kasema hivi uongo mtupu

    • @brightzone.
      @brightzone. 3 дня назад

      @ Sasa tujadili iyo haya inasemaje - 43:81 kama Allah angekuwa na Mwana muhammad angekuwa wa kwanza kwa wenye Kumuabudu huyo mwana.
      Sasa lete huo ufafanuzi wako.
      Alafu - Quran haiko na maelezo yaliyojitosheleza kama inavyodai. Kwanini?
      Nioneshe Aya Katika Quran wapi imeelekeza mswali Swala 5 kwa siku.

    • @alinnenne984
      @alinnenne984 3 дня назад

      Kwahiyo wee kwaakili ulizo nazo hukuifahamu hiyo Aya. Yaani kweli ninaamini ukiwa nje na uislam ni kweli upo kwenye kiza. Kama unajua kusoma hiyo Aya utakuwa umeifahamu. Halafu narudi kwako kwani yesu kwako wewe ni kama nani maana mpo tofauti nyinyi wakristo nataka kujua Imani yako ili niendelee kuongea na ww

    • @brightzone.
      @brightzone. 3 дня назад

      @ usichange mada kwanza - tubaki hapi kwenye hiyo aya - Tukimaliza hapo ndio tutahama na kujua Yesu ni nani.
      Leta ufafanuzi wako wa 43:81 tuone.

    • @alinnenne984
      @alinnenne984 3 дня назад

      @brightzone. Amri ya Waislamu kuswali mara tano kwa siku haijaelezwa waziwazi katika aya moja, lakini faradhi ya Swala ya kila siku (Swalah) imetajwa katika sehemu kadhaa ndani ya Qur'an. Aya moja inayozungumzia ukawaida na umuhimu wa swala ni katika Surah Al-Baqarah (2:238):
      > "Zilindeni Sala, khasa Sala ya katikati, na simameni mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ut'iifu." (Quran 2:238)
      Ingawa aya hii inasisitiza umuhimu wa sala, idadi maalum ya sala za kila siku (tano) imethibitishwa katika Hadith (maneno ya Mtume Muhammad) na ni mazoezi ya msingi katika Uislamu. Swala tano za kila siku-Fajr, Dhuhr, Asr, Maghrib, na Isha-ni sehemu ya Hadith pana za Kiislamu kama ilivyoamrishwa na Mtume Muhammad, zikifuata amri katika Qur'an kwa ajili ya ibada ya kawaida na kujitolea kwa Mwenyezi Mungu.
      Zaidi ya hayo, Surah Al-Isra (17:78) inaashiria nyakati za sala:
      > "Simamisha Swala linapopinduka jua mpaka giza la usiku na Qur'ani alfajiri. Hakika Qur'ani inashuhudiwa alfajiri." (Quran 17:78)
      Aya hii inapendekeza nyakati za swala, ikiimarisha zaidi utendaji wa sala za kila siku, lakini muundo maalum wa mara tano kwa siku unatokana na Hadithi na Sunnah za Mtume Muhammad (SAW).

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 3 дня назад

    Asalamu aleykum . Khalifa wakati unapo soma Kiswahili na ikumbuka zamani shuleni vile mwalimu ya Swahili anapo tu funza

  • @F.j84
    @F.j84 15 часов назад

    Wakishindwa na maandiko yao wenyewe wanaanza "oooh waislam munaamini majini" 😂😂😂😂😂😂

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 3 дня назад +1

    suratul almajini tena

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 2 дня назад

    Hawa jamaa wameshikilia miujiza tu eti Yesu Mungu kwaajili alifanya miujiza kwani hawajui manabii walokuja kabla ya Yesu na wao walifanya miujiza....

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 дня назад

    Mr.Wacha biblia iseme anapotosha watu tu 😅😅

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 3 дня назад

    Yesu ni Mungu soma Isaiah 9:6

  • @molee2339
    @molee2339 3 дня назад +3

    Ustad, usi ruhusu hawa Watu ku kimbiza UWONGO wao wakati wana toa Isaiah 9:6, na kuwa RUHU kusema Isaiah 9:6 ni UTABIRI, wakati SIO utabiri!???
    Isaiah 9:6
    6 For to us a child IS born,
    to us a son IS given,
    and the government will be on his shoulders.
    PRESENT Tense used here!
    That 'SON' is already born in 1250BC.
    Ai hawa Watu Wa Western, ni Warongo.
    Ati MuIalam ni Anti Christ, wakati wao wenyewe HAWAM vitendo za huyo yesu.
    WaKristo, hawa:
    1 SUJUDU kama yesu.
    2 Hawa TAHIRIWI .
    3 Wana kula NGURUWE.
    4 Wana LEWA kama Wajinga!
    6 @ana amini MI UNGU wakati yesu ali sema MUNGU ni moja!
    Anti Christ ni wale HAWA fuati Matendo za yesu, kama ku Sujudu na ku Tahiriwa!

  • @MosesMwiti-q2r
    @MosesMwiti-q2r 2 дня назад

    Wewe kulingana vile unapoteza umma wa Yesu ningetaka kujadili na wewe labda ungepata haki na kubatizwa

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 День назад +1

      😂😂😂😂😂... Ushamliza au

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 дня назад

    Ustadh ungeinsist huyo jamaa ajibu swali zako kama kitendo gani yesu alifanya ndio aite yeye ni mungu? Hakutoa hata moja

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 3 дня назад +2

    Ai, Ustad aki towa verse katika Biblia,... naye Pastor ana towa Verse nyingine, YAKU PINGA Bible Verse alio towa Ustad !
    Yaani Pastor amei fanya hii kuwa ni GAME ya "weweUstad toa Bible Verse, na mimi Pastor, nita toa Bible Verse yaku ku PINGA!
    In ENGLISH, this is known as CONTRADICTIONS!
    Yaani, hawa WAJINGA hawa REALISE, kuna HUNDREDS of CONTRADICTIONS, katika Biblia yao!!
    Ai hawa WaKristo ni KURUTU ya aina gani?
    Wata realise lini, hii BIBLIA yao ni STORYBOOK ya WAZUNGU, ilio JAA Contradictions!
    I just don't believe these people!

    • @brightzone.
      @brightzone. 2 дня назад

      Show me one Contradiction in the Bible.
      Quran pia iko na Contradictions mingi sana.
      Sasa show me Contraditions in the Bible - Kama utapata hata moja.

    • @almuhorig1077
      @almuhorig1077 2 дня назад

      Go do your research well you have the internet ama unaogopa ukweli ​@@brightzone.

  • @SmilingDreamCatcher-ui6fo
    @SmilingDreamCatcher-ui6fo 2 дня назад

    Maashallah

  • @SaidiAbdallah-fp6yv
    @SaidiAbdallah-fp6yv День назад

    Mashaallah