Mungu Mweusi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Kwa wengi Mungu hana mfano, ni mkuu wala hatagemei yeyote kwenye uamuzi wake. Wala haonekani kwa macho maangavu ila wanadamu huwasiliana naye kupitia njia ya maombi. Akawajibu wanadamu kulingana na mapenzi yake. Lakini katika kijiji kilichoko Kaunti ya Uasin Gishu, kuna mtu ambaye amejitokeza na kujitwaza hadhi ya mungu. Waumini wake humuita Jehova Wanyonyi. Kwa sasa Wanyonyi amenyemelewa na maradhi huku akiugua. Na kama anavyotujuza mwanahabari wetu Tom Wanjala, Wanyonyi ana zaidi ya wake 15 na zaidi ya watoto 300 ila alikataa kata kata kusema umri wake.

Комментарии • 1 тыс.

  • @petronilamark5177
    @petronilamark5177 Год назад +3

    Nyie wakenya mna shida gani mnataka kutudanganya Yesu yuko kenya na Mungu yuko kenya huyo ni wenu sisi hatuwajui.Tunamfahamu Mungu mmoja tuu muumba mbingu na dunia

  • @khalidkassim3986
    @khalidkassim3986 5 лет назад +143

    Gonga like kama huyu mzee anayejiita mungu ni kenge kabisa

  • @kingbrazioanticlockwise3667
    @kingbrazioanticlockwise3667 Год назад +6

    Mungu alisema tusihukumu lakini anayeona huyu mzee anafaa kunyongwa agonge like😥😥

  • @petronilamark5177
    @petronilamark5177 Год назад +2

    Mimi ni Bwana Mungu wenu mimi sio mwanadamu na sifananishwi na kitu chochote acheni kumdhihaki Mungu

  • @aminahmcheka9701
    @aminahmcheka9701 5 лет назад +6

    Jehovah anaafya mgogoro eeee mungu tusaudie Mana maandiko yanatiaya kwamba nyakati za mwisho kutakuana dini za uongo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه Год назад +1

    Ushindwe kwa damu ya Yesu

  • @abdullahiibrahim5609
    @abdullahiibrahim5609 5 лет назад +29

    Hajui anachofanya May the almighty Lord Allah (sw) guide him.

  • @okumujoash5284
    @okumujoash5284 2 года назад +1

    Mshindwe Kwa jina la Yesu

  • @justusnyongesa4544
    @justusnyongesa4544 6 лет назад +3

    Mungu amuhukumu uyo Jehovah wanyonyi, eti aliumba wanadamu shindwe in Jesus name

  • @ummuhafswa8980
    @ummuhafswa8980 Год назад

    Alhamdulillah kwa kuzaliwa mwisilam yaa Rabbi nifishe haliyakua n mwislam. Wakristo wanasema yesu alikua n mungu kavaatu mwili w binadamu hawanao wanasema huyu n mungu kavaatu mwili w kibinadamu chaajabu anaonekan hata nguvu hana kwaukongwe, Allah asie onekana wala kufananishwa ndojibu tosha hakuna gagaziko juu y uwepo wake.

    • @pachaorg9123
      @pachaorg9123 Год назад

      Hakika uisilam hakuna upuuzi huo
      Hata kwet tz kuna mwanamk anawasumbua

    • @ummuhafswa8980
      @ummuhafswa8980 Год назад

      @@pachaorg9123 Duh.!! Yule dada anawalisha matangopoli kweli Allah atunusur

    • @pachaorg9123
      @pachaorg9123 Год назад

      @@ummuhafswa8980 kumbe hata we ushaona ile laana kubwa

    • @pachaorg9123
      @pachaorg9123 Год назад

      @@ummuhafswa8980 kwan we ni mtz

    • @ummuhafswa8980
      @ummuhafswa8980 Год назад

      @@pachaorg9123 Na'am

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 лет назад +5

    Amen Amen. Mungu adhiakiwi hata siku moja. Acha utani wewe .

  • @mushamkina2694
    @mushamkina2694 Год назад

    wakenyaaa mna mungu,mna yesu,balaa zaidi mungu anahakikishiwa kuwa kala kaoga na bado ni mgonjwa.

  • @drudeshub3188
    @drudeshub3188 5 лет назад +11

    Oooooh kumbe bangi za jamaica zimeanza kuingia kenya subhanallah

  • @amosakaliche4543
    @amosakaliche4543 Год назад +1

    Chezeni na mungu kabisa,,yesu Wala mungu hakuoa

  • @charleskiragu5272
    @charleskiragu5272 5 лет назад +7

    huyu jamaa ni genius kama anaweza convince watu yeye ni Mungu, yeye ni wazimu wale wanamfuata ni wazimu zaidi ju mpaka wanaexplanation ya venye huyu jamaa ni god

  • @Ziro-nl9cw
    @Ziro-nl9cw Год назад +1

    Jehovah wanyonyi wachakupotosha family yko. Mungu afananishwi na chochote babu

  • @collinscaren3409
    @collinscaren3409 6 лет назад +8

    Ako na mapengo😂😂😂😂. Ooh God of heaven pliz save us

  • @kinisannko1893
    @kinisannko1893 2 года назад +1

    Mungu anaumwa, na anakufa je huyo ni Mungu gani, mwanadamu anaokoaje mwanadamu mwenzake......? Mungu ni Roho na Mungu Hali. Achene kuchanganya neno.

  • @preciouspatiencefaithy1329
    @preciouspatiencefaithy1329 8 лет назад +16

    My people are perishing because they lack knowledge! !!JESUS intervene. ...

    • @Bigdonfu
      @Bigdonfu 8 лет назад

      Precious Patience Faithy jesus is not God either you have no differrence with these wafuasi because you 2 people believe in a human being ... jesus is human n is not God n will never be

    • @canteienterprises9869
      @canteienterprises9869 5 лет назад

      they really lack knowledge...ati mimi nisujudie mwanadamu anaenda choo kama mimi..wah!!!!

    • @pacifiquendayisaba6391
      @pacifiquendayisaba6391 5 лет назад

      @@Bigdonfu
      Jesus is human being 100 % and God 100%, that is spiritual , so you have only to know why He came as human being while He was with God ??
      John3 :16

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 Год назад +1

    Kwni MUNGU ni mweupe.

  • @alfanlazaro1167
    @alfanlazaro1167 8 лет назад +40

    subhana Allah.hiyo ni laana wala humujitambui.washenzi nyinyi musiokua na akili

  • @deepsavannah9723
    @deepsavannah9723 5 лет назад +2

    Uyuu na anayesema yesu nii munguu hawana tofauti...wote..

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 лет назад +5

    SUBUHANALLAH, hii dunia tutajionea mengi

  • @hunkkid7508
    @hunkkid7508 2 года назад +1

    Na citizen muliingiaje umo ndani

  • @geofreymatekwa3339
    @geofreymatekwa3339 5 лет назад +5

    Jehovah wa wanawake mpenda warembo yeye si mungu muumba mbingu na aridhi ashindwe kabisa.

  • @hawekitudzelekwendamberegi7222
    @hawekitudzelekwendamberegi7222 2 года назад

    Mimi sina maoni haki Kama unasoma comment kama mimi piga like yako hapa🤔🤣🤝

  • @ericmaina8050
    @ericmaina8050 5 лет назад +9

    Ashindwe kabisa katika jina la Yesu ,Thers only one God ,the living God in heaven, creator of heaven n earth.

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk Год назад

    Mungu wa kuzimu unamuwakilisha Baba yako Shetani

  • @hassanalmasi1062
    @hassanalmasi1062 8 лет назад +60

    mungu ako na mapengo...wah niokotwe loitoktok

  • @josephrutebeza1003
    @josephrutebeza1003 Год назад

    Eeh Mungu mwenye haki uliye juu mbinguni tu rehemu baba

  • @Burange666
    @Burange666 5 лет назад +7

    Hili Shoga lishavuta bangi mpaka linasema mungu hahahahaha kweli bangi si chakula

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад

    Uyo Mungu sasa kitimtim😂😂acha usanii mzee iyo laana

  • @davidochieng63
    @davidochieng63 Год назад +3

    Whoever knows the wrath of God cannot joke any more. Let's repent the messiah is coming.

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 лет назад

    Duuuuh ha ha ha wakenya mmetisha mna mna Munguh

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 лет назад +4

    Mbona huyu mungu ni maskin

  • @gabrielsiame5725
    @gabrielsiame5725 Год назад

    Kweli Kenya kuna vicha mara Yesu mara Mungu miyungu watu hao

  • @fatmahamad2156
    @fatmahamad2156 5 лет назад +31

    Subhana Allah,astaghafrllah ,siku yako ipo ,ww utang'oka tuu ,muulize firauni laanatuallah km ww utakavyolaaniwa

    • @helenann2796
      @helenann2796 5 лет назад

      Wewe ni mpambavu pamoja na waumin wako

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 5 лет назад +3

      @@helenann2796 Mungu akuongoze dini yako ndio inavyo kufundisha kutusi watu? Alieandika anamwandikia Jehovah wanyonyi hakuwa akikuandikia wewe sasa kwanini kujibu kwa matusi acha Jehovah amjibu sio wewe!!!!

    • @صخرهثابته
      @صخرهثابته 5 лет назад +1

      @@artisthusnatalal3099 kabisa watu midomo yao haina stara

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 5 лет назад +1

      @@helenann2796 ,wewe ni bibi ya huyo wanyonyi?Alafu huyo uliemjibu hana waumini nakuona kurupuka hata ujui unaongea nini! Unatetea wanyonyi kwani wewe pia unaabudu mtu badala ya MUNGU?

  • @seifhamis4229
    @seifhamis4229 5 лет назад

    Sobhaanaka. Yaarab niepushe nisijekukushikisha kwakujua Au kwakuto kujua. Subhana llah wabhamdih

  • @dottobussagwe5264
    @dottobussagwe5264 5 лет назад +8

    Hizi bangi

  • @abumusahassan.3665
    @abumusahassan.3665 3 года назад

    Jahillin.Oh Allah guide those igronance t.o the right path

  • @shakilajeddah7323
    @shakilajeddah7323 8 лет назад +12

    kweli wakiristo mutapewa athabu kubwa siku za mwisho Mungu ni mmoja wala sio wanyonyi

    • @Quilant749
      @Quilant749 8 лет назад +1

      eti wakristo kila mmoja na roha yake....jehovah wanyonyi aende ahare huko....eti muumba bingu na Dunia ww una njaa upewe nyama na kuku

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 6 лет назад

      Huna la kusema wewe.

  • @kipkemoiismael7098
    @kipkemoiismael7098 Год назад

    mmekuja sana ,,,,,, hati mungu mweusi

  • @fariduabbas2956
    @fariduabbas2956 9 лет назад +22

    uyo ni chizi sio mzima

  • @ariifrazakh9371
    @ariifrazakh9371 Год назад

    Ila kenya walah mungu anawaonaaa sasa huyu naee mbna 😢😢

  • @jihudumieschool
    @jihudumieschool 9 лет назад +7

    Mungu atusamehe wanadamu!

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do Год назад

    Mhhhhh mungu mwenyewe anaumw

  • @geoffreynganga2541
    @geoffreynganga2541 5 лет назад +14

    Wonders shall never end in this world

  • @favourkenya
    @favourkenya Год назад

    Theb boom 😁😁Yesu wa tongaren 😅😅

  • @jeromendetaulwa3466
    @jeromendetaulwa3466 5 лет назад +11

    Mshindwe kwa uwezo wa damu ya Yesu

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 Год назад

    YESU alisema wengi watakuja kwa jina langu lakini msiwafate

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 5 лет назад +3

    Wakenya wajeuri sana mungu wa mbinguni hamumtaki mnataka mkenya mapengo ndo mungu wenu 🤣😥

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 Год назад

    Ameshakufa Jehova wa Nyonyi

  • @abdulsamadibrahim4784
    @abdulsamadibrahim4784 5 лет назад +28

    Bangi za 1960 hizo ndo zampeleka mbio

  • @mayumatanzaniya6951
    @mayumatanzaniya6951 Год назад

    Laanatuwallah alaaniwe duniani na ahera

  • @christinedisii626
    @christinedisii626 8 лет назад +20

    Pepo mchafu ishia kuzimu kwa jina la YESU

  • @omarijawadu4047
    @omarijawadu4047 Год назад

    Mungu anakidonda yaan kapotea saan asilimu

  • @eunicenjeri4597
    @eunicenjeri4597 5 лет назад +4

    God have Mercy .😂😂😂😂😂

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Год назад

    Huyu ni mjinga atakufa vibaya mnoo,, eti mimi ni Yehova Ngoja asubili hukumu na hasira Ya MUNGU wa kweli 🙆🙆😭😭

  • @evansadongo4093
    @evansadongo4093 5 лет назад +15

    What I find crazy is not him declaring himself as God, the crazy thing is that he has followers. People who believe him as God. Jeeeez!!!!!!

    • @somahmed123
      @somahmed123 5 лет назад

      But u believe in white blue eyed god shit head.

    • @joabkava2471
      @joabkava2471 2 года назад

      This world 😊😊😊😊😊😊. Shuka Mungu wa Mbinguni ili watu wako wapone. We have to find out more about Bukusu people. They have Jesus and now God . What a world of confusion!!!

    • @ekales_
      @ekales_ 2 года назад

      That is exactly how every religion started. Even Jesus Christ declared himself as god himself/the son of god, and now he has billions of followers.

    • @abdiazizdahir4040
      @abdiazizdahir4040 2 года назад

      @ekales9926 where in the Bible dose Jesus said he is the GOD? please unlearn.

    • @ekales_
      @ekales_ 2 года назад

      @@abdiazizdahir4040 John 8:58. It doesn't come as a suprise to me that a Christian knows little about the bible.

  • @lemyjesse6494
    @lemyjesse6494 5 лет назад

    uyo mzee ni mbuzi sana

  • @mosesnjau1619
    @mosesnjau1619 5 лет назад +4

    There is a natural mystic flowing through the air. ..this could be the first trumpet might as well be the last

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 Год назад

    Pepo mchafuuuuu , MUNGU anaumwaaa ? Pole Sana MUNGU akurehemu

  • @margaritaraymond4070
    @margaritaraymond4070 2 года назад +4

    Wonder's shall never end

  • @muthonijgatia4350
    @muthonijgatia4350 Год назад

    Wewe ulipatwa na ugojwa juu ya kumusheshea Mungu ninani alikwambia Mungu ni mwanadamu hakuna yeyote anaeza ona Mungu aishi

  • @chipiratony6625
    @chipiratony6625 8 лет назад +57

    huyuu mzeee n mlevi tu wakawaidaa

  • @PAPAAKIZWII-zj1bp
    @PAPAAKIZWII-zj1bp Год назад

    Mungu anaoga maji ya moto anaogopa ya baridi.

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 лет назад +3

    Haaahaaaa jaman uwiii mbavu zangu mie mpelekeni hospital akili imeyumba hivi watu naakili zenu mnakubali ujinga huu jaman bora ukose pesa akili iwenayo😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆

  • @allankaruh9927
    @allankaruh9927 2 года назад

    Hawa Waluhya nao wanatupima, 2023 Kuna Yesu mluhya tena

  • @nicholaskafu7110
    @nicholaskafu7110 5 лет назад +31

    300 children👉Mungu Fisi👈Western Kenya Ile Bangi Inapandwa uko sijui ilitoka Wapi😂😂😂

  • @happinessjuma3804
    @happinessjuma3804 Год назад

    Kwendeni hukoooo,,,,haya ndo yalitabiriwa,,sishangai kuyaona,,,

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 5 лет назад +4

    Siku za mwisho zikifika ukisikia parapanda basi naamuru alie ndani abaki ndani na alie nje abaki nje kwa maana watakuja mitume na manabii wa uongo nao watajinasifu ni manabii wa Baba alie mbinguni kwa maana wafanya miujiza isoyompendeza Mungu, kwa upande wangu huu ni muujiza kupita yote iliyowahi kufanyika na wanao jiita manabii wa duniani, Ngoja nijiandae marehemu mimi mtarajiwa kwa maana siijui kesho yangu.

  • @ciccoann2311
    @ciccoann2311 2 года назад +1

    I'm here after another yesu from tongaren,,poor children,why mess up their destiny,may God preserve them for His own glory.

  • @aliabdallah2220
    @aliabdallah2220 5 лет назад +12

    Astaghafirullaah
    Yaa Rabby tusamehe waja wako na utuongoze katika njia iliyonyooka na kwa hakika huyo alojiita mungu adhabu yake inamsubiri

  • @filbertpima7606
    @filbertpima7606 5 лет назад

    Hebu kaa mbali na mungu wetu, mungu Ali, anywi wala kuoa wewe nani kakupa umungu watakiwa kushitakiwa kwa kumchafua mungu alie hai

  • @jumaadremane7756
    @jumaadremane7756 5 лет назад +6

    Inna lillah wa Inna ilaih laadjunn.
    Grande kafir vc!!

  • @paulsantanatzee8301
    @paulsantanatzee8301 5 лет назад

    Wakenya mna mambo kweli duu

  • @maryamsaid890
    @maryamsaid890 5 лет назад +3

    Innalillah wainnaillah rajiun

  • @V24hrs
    @V24hrs Год назад

    Haya maelezo hayana tofauti na uungu wa yesu

  • @michaelmaina5744
    @michaelmaina5744 3 года назад

    Chenzi sanaa,religion is opium of mind.ile kiboko mtagongwa mtatawanyika kaa mavi ya nyani

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 6 лет назад +57

    😂😂😂😂😂😂😂😂Pumbavuuuuuh Mshenzy Makubwa Wewee Mungu Gani Wewe Fala Mkubwa Mungu Hana Mke Wala Hakuzaliwa

    • @zainafwenah7751
      @zainafwenah7751 6 лет назад

      nusaiba Hassan bibi anamungalia masilayi yake

    • @dorrymutheu6717
      @dorrymutheu6717 5 лет назад +1

      Jameni!Mungu yuko mbinguni inakuaje?tuacheni kumchezea Mungu

    • @makatym6151
      @makatym6151 5 лет назад

      Mimi Jehovah wanyonyi...lubbish

    • @salimmohamed694
      @salimmohamed694 5 лет назад +2

      @borah tano umepotea tena kupotea kukubwa jmn kwan watu hamsomi jmn

    • @maryamabasheikh7613
      @maryamabasheikh7613 5 лет назад

      nusaiba Hassan ibilisi huyo

  • @skmwenyewe07
    @skmwenyewe07 Год назад

    Huyu anafaa kuuawa anapotosha watu wa mungu

  • @transforminggraceministries
    @transforminggraceministries Год назад +3

    Bungoma never dissapoints

  • @kenlubisia7045
    @kenlubisia7045 5 лет назад +1

    Shindwe pepo nyeusi na mapengo.

  • @alainchaka1isthetimeofchak666
    @alainchaka1isthetimeofchak666 5 лет назад +6

    Ohh Africa!!!! You still have long way to go......!!😞😞😞😞😞😞

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Год назад

    Acha utan na mungu aliyehai we mungu atakuangamiza Bure

  • @lailahaillallah3399
    @lailahaillallah3399 2 года назад +11

    All praises to the Creator,
    The Creator is one,
    The Creation family is one,
    The Mankind family is one,
    All hearts prayer & effort are also one
    "TRUTH,BEAUTY, JUSTICE & PEACE" for each life
    Of the whole creation family.....

  • @enockosoro5533
    @enockosoro5533 2 года назад

    Tangu lini mapengo hii Mungu haogi

  • @princema772
    @princema772 5 лет назад +3

    akili ni nywele uyu yake ni kamasi.....ako na shida ya akili uyu

  • @waswadenis4746
    @waswadenis4746 Год назад

    We are invaded, danger on our doors, lets turn to the true Jehovah and his only son Jesus Christ for eternal life.

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 лет назад +4

    Siyo mageni haya bali wanaiga kwa wengine ambao nao ni kama hawa ‘ wanaabudu Mtu Aliyekaa tumboni miezi 9...wapo wengine wanaabudu Vinyago wanaweka mpk nyumba zao za ibada....wengine wanaabudu ng’ombe...
    Kikubwa wasubiri tu WAKAWE CHIPS...!

  • @kakawanjenature2093
    @kakawanjenature2093 Год назад

    Tuchunge tusimfanye Mungu akasirikie hii nchi

  • @charitymwaniki1680
    @charitymwaniki1680 5 лет назад +3

    Tuko nyakati za mwisho watu wa Mungu. Walioteuliwa na Mungu let's stand n pray for God's pple n overcome the devil. Let me start by u wanyonyi u have no power over God's pple in Jesus Christ Name. Ushidwe na uende kuzimu!

  • @paulgwaydigidatu6187
    @paulgwaydigidatu6187 Год назад +1

    Hakika na alaaniwa MTu wa namna hii

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 лет назад +3

    Eti jehova wa nyunyu kenya mnafeli wapi nyie huyu Mzee mbona km mlevi hivi na hao malaika wa kiume sura chuchuu😂😂mnazingua nyie mamaee na nyie wake zake roho eti wake

  • @kusagaonlinetv3983
    @kusagaonlinetv3983 Год назад

    Mungu anahojiwa duh

  • @extrovertbernice6425
    @extrovertbernice6425 8 лет назад +6

    hahahaahhaahhaahhaahahahhahahahahahaahhahahaha

  • @ednada9033
    @ednada9033 8 лет назад +19

    waumwa nini nawewe nimungu.?wewe nishetani ibilisi mukumbwa utaathibiwa swa na matendo Yko na mungu wetu wambinguni-nawe mtangazaji ungemuliza Hata mm uliniumba..?

    • @zainafwenah7751
      @zainafwenah7751 6 лет назад

      Edna Da wanaume ni malaika

    • @alexambrose4722
      @alexambrose4722 5 лет назад

      Kweli kabisa mtangazaji naye amekosea angemuuliza juu ya uumbaji wake.....Alex from Tanzania

  • @sirmaish9950
    @sirmaish9950 Год назад

    Jehova wanyonyi ni mbinadamu ,mtu ambaye amezaliwa na mbinadamu hawezi kuwa mungu kamwe , Jehovah mungu aliyeumba mbingu na ardhi hapewi chakula Wala mavazi kama wewe huyo ndiye yule Mimi natambua lakini SI wewe ,Hata wewe utahukumia Kwa kupoteza watu .

  • @meshackelphace4089
    @meshackelphace4089 5 лет назад +7

    Kwahiyo huyo mtangazaji amefanikiwa kumhoji mungu na kurekodi video, duh! Me kama huyu ndo mungu bora niwe kuni tu, nitakaowachoma mjiandae make nina hasira hapa

    • @jumamasaka8700
      @jumamasaka8700 5 лет назад +1

      Jamani kama mchezo chezeeni vingine na sio Mungu make mnajitafutia baraa tu, na Sikh ya mwisho mtajuta.

    • @mwariwajames1121
      @mwariwajames1121 5 лет назад

      Hahaaa...funny🤣

  • @bongo39
    @bongo39 Год назад

    Subhanallah mungu kachoka kweli mgonjwa