Kabla
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Amos Mwijonge,,,,,
Katika video hii ya Spoken Word,,,anaeleza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuingia katika uhusiano. Ni muda wa kujifunza na kufanya maamuzi sahihi. Karibu uiangalie, usajili kwa kituo chetu, shiriki na tushirikiane mawazo yako kwenye sehemu ya maoni.
Video shot by Dan Magawa;
Edited by Nayo
Sound by Daizoo;
Set designed by Kuya .
Asante!
"Kazi nzuri sana kaka"..... wakwanza nawomba like zenu please*
Jishikilie😂 mtoto wa kiume
Ztakusaidia nini😅?
Ila Bongo ban umeweka bando uje uombe like u tube umetisha
Huu ndo Mwalim Amos Mjonge ninae mjuwa ☺️☺️☺️
Kila kijana angepata nasaha zako naamini changamoto nyingi za mahusiano zingepungua.
Kongole Mwalimu 👏
Mungu akutie nguvu na akili zaid uzidi kutoa maneno matam zaid ya haya, napenda sana kazi yako ❤
Naqbr familia 🔥
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutoa maarifa
Nataka mke sasa
😢
ahsante kwa elimu
Nzuri sana mwalimu nakubali maneno yako
, nzuri saana kaka mwijonge
Dhaaah😂😂
Nimekuelewa sana mwalimu
Long live my brudda🙏🙏
Umetisha maneno yako yananoga yote ukitaka kusikiliza bila kutafakar yananoga ukisikiliza na kutafakar yananoga pia Deus tá bênçoes bom trabalho
Hiyo kauli ya mvua ni moto sana🎉🎉 hahaha hata ya supu atakosa kijiko..
.binadamu si kazi..anayekuja haitaji kuitwa..
E bana hivi unajua kuwa kazi zako naikubali sana
Mungu akupe maisha.mazuri
Brother Amos,Mungu akubariki maana having vitus nimevipata leo....,Mungu abariki uwepo wako duniani.
Wa kwanza leo
Allla asanteni sana mwaalimu yani hata mimi bado napenda niwe single maana unakua na usalama wingi
Tuna haki ya kujichagulia mkonga tunao uweza. Asante sana kwa ujumbe sijawah jutia kutumia bundle langu kukutizama na kusikiliza
Seen brother God bless you
Hongera kaka
Mwalimu Bora kabisa, nakukubali sana
Dah!! Hii yamoto San mkuu
Asiye na bahati hata ikinyesha mvua ya supu bado atakosa kijiko 😃🙌🏾
Big up
Huyu jamaa ni kichwa sana
umetisha💥
Kazi nzuri
Respect
Wambie ukweli kaka
Ubarikiwe bro
Mwalimu hili ni darasa huru
Teacher wangu
Magawa was her📽
Upwiru utatuua kaka 😂😂😂
But you talk about my life today I have a girlfriend who smokes and drinks, everyone hates him but I love him today I understand a lot
Longtime,,,, nimukumis sana
Professor mwijonge
Nikijiangalia nilivyo kaakaa naishia kucheka
Umeuwa mkwe
Nzuri kazi💪
Nimeipenda hii dah ata mimi sijawai kumpenda Hadi umri huuu naogopa kujichanganya 😂😂
🔥🔥
+254for life
Uko vzr but nam msanii nifaten mnisapot kwenye acount zang natia shedy weza
Mwalimu hujawahi kukosea🫡🫡🫡
Fact
Today I got the answer kaka 🇿🇦. Kutoka mbali na nyumbani 💯
Tupo pamoja
Nachukurusana babayangu
Mwalimu Asante
🙏
Asante sana
mwijonge nakukubal
❤❤❤🔥 🔥 🔥 🔥
Hata inyeshe mvua ya SUPU, ukiwa hauna bahati utakosa ata kijiko 😂😂😂.
Like kazi yake ni nini mbona mnakuwa ombaomba
Kaka wewe nizaidi ya mwalim
Eti "Ogopa kijana anayejieleza sana" . Kw hyo tupunguze kujieleza,ina maana tutafute hela.
🎉🎉🎉🎉
👑
Mwalimu bado ni wa moto sana.
Asante tunaendelea kujifunza kwako
🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
Asante
ivi huyu hana account tiktok ?
Umeuwa mkwe