UKWELI MCHUNGU HISTORIA YA ARIDHI YA PALESTINE ILIOFICHWA TOKA ENZI ZA MANABII WATEULE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @kombogambare3574
    @kombogambare3574 9 месяцев назад +7

    Mash Allah Mola akuajalie na akuzidishie Elm Dr.Sule

  • @AbdoulRazaqIssa
    @AbdoulRazaqIssa 4 дня назад

    Mashaallah nimefaidika allah akulipe kila la kheri

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 Год назад +9

    Mungu akubaarik sheikh SULE.

  • @AliSalimRashid
    @AliSalimRashid 10 месяцев назад +1

    Allah akulinde na Kila baya hususani ktk Ramadan Kareem Asante

  • @simonuriyo7968
    @simonuriyo7968 Год назад +4

    Dr, Sulle Biblia inahitaji ufunuliwe na Roho wa Mungu sio kama Vitabu vingine vya kidini 1 You Must Be Born Again, Asante, Simon Uriyo Capetown

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 3 месяца назад

      Wakristo acheni zenu za kufunuliwa ufunuliwe wewe na mizambi tele muliyo acheni kuzuga watu Kwa hiyo unataka kuwaogopesha watu wasisome bibilia Kwa kusubiri huyo loho wenu ndio maana mutakuwa munadangaywa siku zote na uwalimu wenu wa utapeli kuwa watu wasiwsgundwe Kwa kutosoma bibilia bibilia inasomwa kama vitabu vingine acheni utapeli wa kutumia roho

    • @saidinyoni2463
      @saidinyoni2463 3 месяца назад

      Toka huko what means of born again

    • @HamissFaki
      @HamissFaki 3 месяца назад

      Mayahudi wamelaaaniwa wajuze hao wajinga

  • @KhadijaKhadijadawa
    @KhadijaKhadijadawa Год назад +7

    Mashallah dr sule Allah akulipe umefafanua vzr sanaaa

  • @ismailabuti
    @ismailabuti Год назад +3

    Asante Sana sheykh

  • @jokhasultani
    @jokhasultani 10 месяцев назад +2

    Mashaallah allah akupe umri mrefu shekh sule

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 9 месяцев назад +1

      Huyo Sheikh mambo mengi anayoongea ni mwongo usiamini kila kitu anachoongea. Mfano anaposema kwamba Koran imeelezea zaidi Historia ya Wayahudi huo ni uongo maana Uislamu umekuja miaka 600 baada ya Kristo na wakati huo tayari Dini za Kiyahudi na Kikristo zilikuwepo. Pia Koran Waislamu wote wanakubaliana kwamba Koran sio kitabu cha Kihistoria na ukisoma Koran utagundua mambo mengi Muhammad aliiba kutoka kuhadithiwa na Mapadre wa Kikatoliki hasa Padre Waraqa ibn Naufal.
      Halafu huyo Sheikh Sulle anatoa hadithi bila andiko mfano anaposema Musa aliishi Hebron hilo andiko anatoa wapi? Katika Biblia au Quran hakuna sehemu hata moja inasema Musa aliishi Gaza.
      Kwahiyo huyu jamaa ni mwongo.

  • @davidngenda924
    @davidngenda924 Год назад +10

    Hongera umejitahidi kuisoma torati ya musa hususa ni kitabu cha mwanzo katika Biblia takatifu ❤ . Hebron haiko Gaza but iko kusini mashariki mwa Jerusalem remember hili, pili wayahudi suala la kumkataa Yesu Christo liko kibiblia ktk kitabu cha injili ya Luka. Jambo la tatu hamna wa kuwa uwa wayahudi ni kizazi ambacho mungu aliwaapia Abraham, Isaac na yakobo. ❤ Rudi ktk ukristo tuitunze dini ya Mwenyezi Mungu

    • @BakariMnefi
      @BakariMnefi 5 месяцев назад +2

      Huna akili mzur ww dini ya haki ya kiislam ni hekima kwako njoo huku

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад +2

      ​@@BakariMnefihaya majangili hayana Akili kabisa kazi yesuu ,ooh yesu kuimba dombolo kanisani😂😂

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 3 месяца назад

      Du ivi mkristo anaweza kumpita muislam kwa elim ya kidini!! NEVER toka kwenye ukafiri uko acha kumsingizia yesu kafa na zambi zenu,yaani ww utende zambi alafu mtu mwingine apewe izo zambi zako !!

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb 3 месяца назад

      ​@@mangulimanguli3974Duniani inajulikana kabisa watu ambao ni maskini na hawana Shule kabisa ni waislam na wanao julikana kwa usomi na maendeleo na teknolojia ni wakristo kwahyo usijitoe ufahamu

    • @MartinDavid-d4z
      @MartinDavid-d4z 3 месяца назад

      Tangu nijua Asalei Walei Assalam inamaanisha peace be with Prophet Mohammed na kujua kuna wakati Abubakar alilia alipoulizwa akasema nalia kwa sababu sijui nikifa nitaenda wapi huoni kwa siku twasali mara tano tukimuombea Mtume apate amani

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 3 месяца назад +1

    Doktor sule inshaallah watetee wenzetu kwa kumuomba allah awasimamie wenzetu huko na pia muimbe allah apeleke masishi yake tofauti tofauti allah ana majeshi wengi sana duaa sheykh kwawingi

  • @hassanbasabose8726
    @hassanbasabose8726 Год назад +3

    MashaAllah Doctor Sule Allah akuzidishie umri🤲🤲

  • @AHMEDSALIMA-rt7ct
    @AHMEDSALIMA-rt7ct 3 месяца назад +1

    Lies Dr sule unawapotosha wenzio mungu akusamehe aki

    • @SalambaPeter
      @SalambaPeter 2 месяца назад

      Hujasoma biblia kwa kufunuliwa na roho wa mungu na ndio maana unajiinua ,ungefunuliwa na roho wa mungu ungekua unapoiongelea biblia ungekua mnyenyekevu na ili ujue kama dini si kitu kwa mungu kasome yakobo ,2:26-27 halafu utalinganisha na hayo uliyoyasema

  • @bgpin7497
    @bgpin7497 10 месяцев назад +6

    mimi ndimi njia huendi mbinguni ila kwa mafundisho ya yesu hivi mwaka huu ni mwaka wangapi wa kiislamu na ibrahimu alikuwa dini gani

    • @mwanamisidogo1985
      @mwanamisidogo1985 10 месяцев назад +1

      mwaka 1445 ramadhan ikiisha tunaingia 1446 in shaa Allah

  • @Patel1999-l6r
    @Patel1999-l6r 5 месяцев назад +1

    Masha Allah sheikh suleiman kwa ilm yako Allah akupe maarifa uweze kutufunza zaidi na zaidi Insha Allah

  • @mnyiweudzungwa
    @mnyiweudzungwa Год назад +4

    Dr Sule ni Muongo sana. Anaitumia Historia ya kwenye Bibilia bila kuijua Biblia Yenyewe. Aje tumfundishe.

    • @JosephMadeleke
      @JosephMadeleke Год назад +1

      Wameambiwa wawaulize watu wa kitabu Wakristo. Waislamu msione aibu.hii kuchanganya changanya Biblia na vitabu vingine vingine hamueleweki

    • @abuiabui8143
      @abuiabui8143 10 месяцев назад

      Naww thibitixha kwa bble yako

    • @Habibi7-dz1fk
      @Habibi7-dz1fk 9 месяцев назад

      Mna vichwa vigumu saanakulewaa

  • @zainabuzainabu7403
    @zainabuzainabu7403 9 месяцев назад +2

    Mola akulinde na hasadi.inshaalah

  • @rashidyshemkande8099
    @rashidyshemkande8099 Год назад +3

    maashaAllah

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 3 месяца назад

    Historia imetulia vizuri shukran

  • @graciousmedia8235
    @graciousmedia8235 Год назад +3

    Kwa upande wangu mimi ni mkristo na nitabaki kuwa Hivyo siku zangu zote maana nnaemuamini nimeona akinipigania hivyo watu waseme watakavyo lkn hakuna dini yoyote duniani itampeleka mtu Mbinguni ila tuu imani yako na matendo mema ndio yatakayotufanya tupate kibali mbele za Mungu . Bishaneni tuu lkn kama Imani yako haiko kwa Mungu na matendo yako hayampendezi Mungu ndug zangu tutakua ni bure

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 Год назад +2

      umepotea ndugu yangu ktk adamu utafute ukweli uiokoe nafsi yake

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад

      Usikataetu kwanza soma uislam uujue uwenda Allah akakuokoa. Hukouliko umepotea

    • @suleimani-k6f
      @suleimani-k6f 3 месяца назад

      SSA imani dini huna ina kazi gan iyo imani eti uyo mungu ana agalia imni sio dini SS dn zakazi gn

    • @suleimani-k6f
      @suleimani-k6f 3 месяца назад

      SSA imani dini huna ina kazi gan iyo imani eti uyo mungu ana agalia imni sio dini SS dn zakazi gn

    • @legendaction202
      @legendaction202 3 месяца назад +1

      Kwan wamuabudu mungu gani ambae hamumsujudii kazi n kumuimbia nyimbo

  • @ShahiraIssaSalim-zy5rc
    @ShahiraIssaSalim-zy5rc Год назад +2

    Maa shaa Allah, Doctor sule❤

  • @DicksonBonephace
    @DicksonBonephace Год назад +14

    Mjue sana Mungu ili uwe na amani. Ukisikikiza mengineyo utachanganyikiwa hakuna sheikh ama mtume atakaye kupeleka mbinguni. Mungu peke yake kupitia kwa Yesu Kristo

    • @DebalzacOmari
      @DebalzacOmari 7 месяцев назад

      Allah akusamee

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      Yesu alikuwa nabii na dini yake ya kweli ni uislamu go and do your research mjinga mmoja😂😂

    • @SalambaPeter
      @SalambaPeter 2 месяца назад

      Kwa hivyo umemtukana yesu je ? Utapata waumini kwa hatua hii ulyofika jitathimini

    • @MkenyaHalisi-k7n
      @MkenyaHalisi-k7n 2 месяца назад

      ​@@Abdishukriolat kweli upumbavu hauna dawa, taja msikiti mmoja tu ambao yesu aliswalia? 😂😂😂

  • @mwaminiabumukiza8601
    @mwaminiabumukiza8601 2 месяца назад

    Masha Allah,asante kwa mafunzo

  • @NanaNadine-o5d
    @NanaNadine-o5d Год назад +4

    Unachanganya ndo tatizo mtaulizwa mengi mbele ya Allah

  • @KabijSaib
    @KabijSaib Год назад +2

    Shukran shehe wetu kutujuza tusoyajua,,,,,munguakujaalie heri inshaalah

    • @wesnsomba
      @wesnsomba Год назад +1

      Ukijaaliwa kusoma vitabu husika (na siku hizi vinapatikana kwa urahisi tu) utakuja kugundua kuwa huyo sheikh kaongea vitu vingi tu ambavyo sio vya kweli. Wayahudi wanamuabudu Mungu Jehovah na MOSSAD ni shirika ambalo halina hata umri wa miaka 80.

    • @carolihando6271
      @carolihando6271 Год назад +1

      Punguzo kudanganya, Joshua hakuwa mwislamu maana uislamu ulianza miaka ya 560 AD, YOSHUA NI WA KABLA hata ya Yesu Kristo. Sijui alianzisha dini kabla hajazaliwa?

  • @LudovickChuwa-k3c
    @LudovickChuwa-k3c 9 месяцев назад +13

    Yesu ni tofauti na manabii wengine wote,yesu ni zaidi ya nabii Musa,.

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 8 месяцев назад +2

      Kama uwelewi utabaki kujiona wewe ni zaidi kumbe ujui chochote

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 месяцев назад

      ​@@MohamediOmari-nz4vvyuko sahihi manabii wote walifanya dhambi Yesu pekee ndiyo mtalatifu na hiyo ndiyo sifa ya Mungu

    • @Kijazi1132
      @Kijazi1132 3 месяца назад +4

      Yesu hana cha zaidi bali ni nabii kama manabii wengine

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 3 месяца назад +2

      Yesu alileta mafundisho ya mungu na pia mitume wengine walileta mafundisho ya mungu yesu Hana ukubwa wowo wote ni sawa

    • @princematumbo
      @princematumbo 3 месяца назад +2

      ​@@FridayMwassausenge mbaya sana,yaani yesu ni Mungu?Acha usenge

  • @HarithKamgasha
    @HarithKamgasha 3 месяца назад +1

    Mashalla Allah akuweke uzidi kutuelimisha tuujue undani wa vita ya waparestina na mayaudi

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 9 месяцев назад +3

    Waisalam takibri

  • @AMBAKACHOGO
    @AMBAKACHOGO Год назад +1

    Ma Sha Allah

  • @lihumbolihumbo1330
    @lihumbolihumbo1330 11 месяцев назад +22

    Huyu ni Muongo kwelikweli, Musa hakufika Kanaani wakati anatoka Misri, alifia kwenye mlima Sinai, Waisrael walifikishwa kwanaani na Yoshua, endelea kuwadanganya wasiojua😂😂

    • @akimuabdallah8039
      @akimuabdallah8039 10 месяцев назад +4

      Kwa Imani yako na maandiko yako ya biblia kama mkristo upo sahihi ila anayeongea ni muislamu anatumia quruani. Nafkili umeelewa

    • @Salum-h4x
      @Salum-h4x 10 месяцев назад +1

      Kwani ww ulikuepo karna hizo acha makasiriko

    • @NgebaSumahili
      @NgebaSumahili 6 месяцев назад +1

      Soma vieuri kijana

    • @NgebaSumahili
      @NgebaSumahili 6 месяцев назад +1

      ​@@Salum-h4xunamjua yesu kupitia vitabu vya Léo?😂😂😂

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 месяцев назад

      ​@@akimuabdallah8039Tuonyeshe kwenye koran yako palipo taja Yoshua

  • @HamiduMbaraka
    @HamiduMbaraka 5 месяцев назад +1

    Allah s.w akuzidishie

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin8014 Год назад +4

    Utawadanganya wasiojua historia

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 Год назад

      KAMA WEWE UNAJUA HISYORIA TUELEZE TUIJUWE.
      KUPINGA HAISAIDII

    • @HasaniPazia
      @HasaniPazia 9 месяцев назад

      Wewe toa ujuacho tujue kuwa unajua.vvinginevyo wacha ujulishwe.nikisema ufundishwe,wewe hufun dishiki.kaa usikilize.

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      We ni mmoja WA wajinga ambao hajawahi onekana fala wajitia wajua kumbe zuzzuuuu tu😂😂

  • @DoricasWawire-ff9os
    @DoricasWawire-ff9os Год назад +2

    Shekhe uko sawa kelele za chura haizuii tembo maji love Muslim❤❤❤

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 Год назад +3

    Msiope vta wakristo vita n lazim kwetu kwaiyo jiandaeni nailo na mda wa kuwepo kwa hii dunia n mdogo sana kwatulipofikia ALLAH anataka aabudiwe yy pekeyake na wala kusiwepo mungu baba, mungu mwana, mungu roho mtakatifu, izo zote n shilki na mda wake umeisha kwaiyo mayaudi ndo wakutimulieni yuki

    • @WILLSONTELEPHONE
      @WILLSONTELEPHONE 9 месяцев назад +1

      😁😁😁
      I won't bow to that your Allah

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 9 месяцев назад

      ​@WILLSONTELEPHOwala hupunguzi chochot kwa AllahNE

    • @WILLSONTELEPHONE
      @WILLSONTELEPHONE 9 месяцев назад

      @@nassorsharifu9837 Will attack only weak souls as you, Brighter minds won't, atiii mtume kabisa wa MUNGU naemjua Mimi mnamwombea Rahman, Hivi kumbe na yeye alikosea Siyo? 😁😁😁
      Huoni kuwa nikikataa kumwombea Rahman mtume wenu nimepunguza kitu😁😁😁

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 месяцев назад +2

      Mungu wa waarabu hatumtaki,sisi tu uzao wa Ibrahim na Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo ndiye tutakaye mwabudu

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      ​@@WILLSONTELEPHONEsahi una mdomo wacha ufe utajua adhabu ya kaburi utajua Allah ni Nani unajua shida yenye wakristo mnajifanya mnajua Sana dini lakini tatizo nikuwa hamna dini alafu mukionyeshwa njia ya ukweli mwajitia oooh, Aaah kumbe ni ukweli hamutaki mwataka mucheze dombolo kanisani 😂😂

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 3 месяца назад

    sisi km waislam .tunalijua hl km jihadi iraazia pale .na tupotayari. Kwahl ❤❤❤❤

  • @PriscaNyamnini
    @PriscaNyamnini Год назад +4

    Huyu jamaa ni Muongo hatari kweli eti waliotoka kwenye jahazi au safina walikuwa themanini khaa😢😢😢😢

    • @KalibaniSeif
      @KalibaniSeif 10 месяцев назад

      Unashangaa nini jahazi lina beba condena nne 😂😂

    • @Sabiyumva-mb3rh
      @Sabiyumva-mb3rh 9 месяцев назад +1

      Huu ni muongo kabisa anacho kizunguza hakijui kwa sababu ni moto wa shetani hajui yesu ni Nani

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 3 месяца назад

      Huyu ndio haijua kabisa historia eti anajifanya anajua😂😂😂 safina ilibeba watu nane tu elewa hii ikupe muongozo

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Год назад +3

    Mpaka warudi Poland ndio kwao.palestine for Arabs.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 месяцев назад

      Kw

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 месяцев назад

      Unamaanisha daudi, suleman na Musa kwao no Poland

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 месяцев назад

      Kwahiyo Daudi na suleman walikuwa wapoland

  • @MethodMwananjela
    @MethodMwananjela Год назад +4

    Busara siyo kulaumiana Bali kila mmoja athibitike katika Imani yake. Siku itafika kila mmoja wetu atapokea kulingana na anavyoamini. Maana hakimu wa haki na wa mwisho ni Mungu mwenyewe. Shika sana kile ulichonacho na unachokiamini.

  • @josephcharo1356
    @josephcharo1356 11 месяцев назад +1

    Asante sana kwa kutambua kuwa maombi yenu kazi bure. Haya basi nawarai mrudi kwa mungu wa Israel muache kuabudu sanafu kupitia dini gushi iitwayo uislamu

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 11 месяцев назад

      Tafuteni dini ya haki wala sio ukiristo wa paulo..tafuta dini ya yesu ilikua gani

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      We mshamba Sana 😂😂 yesu hakuwa mkristo yesu ni muislamu

    • @josephcharo1356
      @josephcharo1356 3 месяца назад

      @@Abdishukriolat
      Ushawahi skia yesu akihubiri kuhusu kupigana vita kwa ajili ya Mungu kama ilivyo kwa Mohamed wenu? Ushawahi skia yesu akihubiri kuhusu kuchukia wasio amini dini yake kama ilivyo kiongozi wenu muhuni aitwaye Mohamed?

    • @MkenyaHalisi-k7n
      @MkenyaHalisi-k7n 2 месяца назад

      ​@Abdishukriolat 😂😂😂😂 haya basi taja msikiti mmoja ambao yesu aliswalia? Sikumbuki yesu akitufunza kuhusu jihad, yesu alifunza kumpenda hata adui yako ilhali mafunzo ya kiisilamu ni chuki na vita.
      Yesu katuambia mbinguni hakuna ndoa, ni kufunga na kuomba ilhali mbingu ya kiisilamu ni usherati mtupu, kila shahid atapewa mabikra 72😂😂😂
      Hamuoni aibu kuamini a desert bandit ambae alizaliwa 600yrs baada ya kifo cha yesu, akaoa wanawake chungu nzima, akahusika kwa vita vingi sana ambavyo vilisababisha mauaji, akaoa mtoto rika ya mjukuu wake. Maandiko ya hapo awali yanasema yesu ilizaliwa katika nyumba ya yuda na dini yake ni kiyahudi. 😂😂
      Tukubalianeni kuna tofauti ya Yesu na Issa

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 Год назад +5

    Mbona anafundisha biblia na hasemi . 😂😂 ila Sure

    • @geofreymaghali183
      @geofreymaghali183 11 месяцев назад +1

      Hapo sasa😂😂. Tena sehemu zingine anapotosha

    • @DuliBrillant-mr8er
      @DuliBrillant-mr8er 7 месяцев назад

      Hivi kwan hii biblia kateremshiwa nabii gan? Achen kupngana na msiokua na elim nayo kwa kudanganywa na wakubwa wa kanisa

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 месяцев назад +2

      ​​@@DuliBrillant-mr8er Sisi hatuamini kwamba Biblia iliteremshwa . Tunaamini Biblia imeandikwa na watu kwa mafunuo ya Mungu na kuongozwa na Roho Mtakatifu.
      Ni nyie tu ndo mnaamini vitabu vimeshuswa 😅😅 usitulazimishe

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 10 месяцев назад +1

    اللهم صل وسليم عليه

  • @experiusmrefu1003
    @experiusmrefu1003 8 месяцев назад +3

    Ukimsikiliza Huyu jamaaa unaweza kufikir anayongea ni ya kweli....😮😮😮

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 8 месяцев назад

      Tupe wewe ukweli na maana wagaratia kazi kupinga tu ndiyo mnaitwa makafiri

    • @allykwaya
      @allykwaya 7 месяцев назад

      Endelea kusikiliza tu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 месяцев назад

      ​@MohameAnadanganya ndiyo maana anayoyazugumza anayayatoa kwenye kitabu asichokikubali maana kwenye koran yake hayamodiOmari-nz4vv

    • @mohamed459mselem8
      @mohamed459mselem8 6 месяцев назад

      Ni kweli , nyie kuna vitabu vyengine amvisomi

  • @BrianKimwanga-rz8hy
    @BrianKimwanga-rz8hy 22 дня назад

    Sio kweli..Kaisome vizuri BIBLIA.

  • @clementkivegalo2604
    @clementkivegalo2604 Год назад +5

    Wenye vichwa vizuri na wanaotenga muda wa kusoma vitabu vitakatifu wanajua MCHELE na PUMBA.

    • @Habibi7-dz1fk
      @Habibi7-dz1fk 9 месяцев назад

      Tatizo lenu makafiri vichwa vyenu vigumu saana kuelewa

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MkenyaHalisi-k7n
      @MkenyaHalisi-k7n 2 месяца назад

      ​@@Habibi7-dz1fk Haja taja mtu mbona kujishuku 😂😂😂😂

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 3 месяца назад

    Hebron haipo Gaza mkuu

  • @CatherineKimoso
    @CatherineKimoso Год назад +8

    Nini maana ya dini .Kwa uwezo wangu dini naona kama mchanganyiko ya mawazo yà wanadam wakamchanga na mungu ndio maana watu wanab8shana.yesu alikua akakuta dini akawambia ninyi mwafuata mapokeo ya wanadam.ina maana hamumjui mungu Bado.kilà mwanadam anataka kujiinua aonekane anamjua mungu zaidi ya mwingine hivyo inakuwa watu wanapotoka .ila yesu akawajibu Ili muweze kumjua mungu ñi kuishi ktk kweli tu kama ndiyo na owe ndio zaidi ya hayo yànatoka Kwa yule muovi.amri kuu yesu akajibu mpende bwana mungu wako Kwa akili zako zote na moyo wako wote mpende Jirani yako Kama nafsi yako .ukishi hivyo duniani utàpata amani.dini zinachanganya

    • @PiliTekelo
      @PiliTekelo Год назад +1

      Dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu ambao anatakiws aufuate katika maisha yake yote atakayoishi duniani,shida inajitokeza ni mfumo upi wa kuufuata ambao ni sahihi

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Год назад +2

      ​@@PiliTekeloukishafuata dini umeisha.
      Mfuate Yesu ukiwa na kusanyiko la waamini wenzio ambalo kundi hilo ni kanisa.
      Dini inamawazo ya watu sana

    • @allymussa7869
      @allymussa7869 Год назад

      Nyinyi wakristo yesu hajasema muwe wakristo mumekoza ushahidi kwenye biblia kuwa hiyo ni dini sahihi muna wambia watu wamfuate yesu basi yesu haja wahi kujita mungu ww unamwita mungu je ww cyo kafiri ww ninani?

    • @sarahmaro215
      @sarahmaro215 Год назад

      YESU anajitosheleza Wala hahitaji nguvu ya MTU ndo aitwe MUNGU, hivyo umtukane YESU au umsifie bado anabaki kuwa MUNGU. Ninyi tukananeni tu na bishaneni ili mjichafue mioyo yenu ila YESU Ni MUNGU siku akikutembelea utajua, ukitaka kamuulize Sauli MTU wa Tasso ( Paulo )

    • @CharlesMisungwi-f8t
      @CharlesMisungwi-f8t 11 месяцев назад

      Vitabu vitakatifu naSayansi wotewakosawatu ukitafakari wote hawa wanagota kwenye imani moja isipokuwa kundilingine linaamini 2x2=4 lingine. 2x2=8 bilakuhakiki.

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 3 месяца назад

    Dr Ombea upatanisho Vita Iishe Tumechoshwa.

  • @alanmunyi8343
    @alanmunyi8343 Год назад +4

    Eti ilimchukua mungu Allah miaka 23 kumteremshia Muhammad kitabu kidogo tu, quran ilhali ilmchukua Yesu kristo miaka mitatu pekee kuhubiri injili yote. Kwa huo mda wote Allah aliishi kuhalalisha kila takwa la Muhammad, hususan matamanio yake ya ngono ambayo yalikuwa kinyume na utu na tamaduni. Akitamani mtoto mchanga wa miaka 6, mungu anamteremshia ayah kuhalalisha, akitamani mke wa mwanawe au wanawake mateka ambao alikuwa amechija waume na familia zao, mungu anamteremshia upesi ya kuhalalisha. Allah anaelewa lugha moja tu, kiarabu, sijuwi sisi waswahili tulimkosea wapi. Kwa kweli haya ni baadhi miongoni ya maswala mengi yanayonikanganya. Wewe masifa mwanahistoria sijui kama haya uliiyasome. Neno la mungu halina siri, nihubirie mwanzo, nikisome kitabu kisha nifanye uamuzi. Hii yakuwa niingie mwanzo mahubiri baadaye.......kuna tashwishi na utata

    • @hamidamivule3809
      @hamidamivule3809 Год назад

      SAWA NDUGU NAYESU ALIKUA ANAONGEA KISWAHILI? AMBACHO NDIO MTASEMANAE KISWAHILI DUNIANZIMA ? FIKIRIA SANA KABLA HUJAJIBU.

    • @LéillaFernández
      @LéillaFernández Год назад

      Kuhusu qur an kushuka mda mrefu ni hekima ya mungu ili watu wapate kuelewa . Angalia kila utaftaji wa elimu Na elimu yenye manufaa huchukuwa mda mrefu
      Kuhusu huyo binti wa miaka 6 tafuta historia ya maisha yake utagundua kuwa hakuwa mwanamke wa kawaida ndomana mtume hajaamrisha mtu yoyote mwingine kufanya hivo
      Allah alihalalisha alichokitaka yeye Na si Muhammad , Muhammad alikua ameharamisha asali sababu ya vitimbi vya wake zake , Allah akaihalalisha hapa utaona kuwa hukumu ya kuhalalisha Na kuharamisha ipo kwa Allah peke yake
      Na kiarabu kinatufanya dunia nzima tuijuwe qur'an Na nadhani kila nchi kuna vitabu vya translation
      Hayo ni majibu kwa uchache Na ufupi ili uelewe hâta kidogo
      Ndugu yangu ni vyema ukifanya utafiti , uislam upo wazi Na unaeleweka ikiwa unataka kuelewa
      Allah akuongoze

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Год назад

      😂😂😂 ndomana yesu anarud hakumalza kaz yake

    • @fadhilihango4778
      @fadhilihango4778 Год назад

      Unahitaji elimu ila unahoja za kipumbavu, kiarabu sio shida hata angeshushwa mtume mswahili ungempinga tu..ukiwa mjinga utapata elimu ila ukiwa mpumbavu hutapata elimu

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 11 месяцев назад

      Mkristo yoyote huja na mambo yangono..na maijini..kama unaaakili timamu na ulisoma hata sayansi..msichaana vunja ungo akiwa miaka sita (kubalehe)..usidhani nikama ww umeenda chemestry kutoa mimba za wanaume tofauti ..utaenda ulizwa ujana wako uliutumiaje..na hizo sehwmu za siri za hao wqnaume uliozini nao zitamea mwilini mwako kama ushahidi..6yrs msichana kesha balehe..ww umeweka sindani uzae kwa miaka 40..ukisema unajipanga..yeyote anaoamini kuna Mungu na ndie anatoa rizki wala sio pastor basi badala yakuutumia ujqna wqke vibaya bora ufanye jqmbo lq kheri uolewe kuliko kujiuza kimwili ama kuzini ukisingizia mqisha magumu..

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 3 месяца назад

    Uko vzr sana

  • @phchouse
    @phchouse Год назад +6

    Vita itapiganwa na wajinga. Africa tugange yetu. Tulifanywa watumwa tusiendelee kuwa watumwa wa mambo ya wengine

  • @SolomonKiptoo-bu3zp
    @SolomonKiptoo-bu3zp 4 месяца назад +1

    Napenda sana mafunzo yako ❤❤

  • @thomassalyeem1331
    @thomassalyeem1331 Год назад +4

    Tafadhali usiwadanganye wenzio. Uisilamu umeanzishwa na anayeitwa Mtume Mohamedi AD. Kabla ya hapo Uisilamu haukuwepo.

    • @bakari52
      @bakari52 10 месяцев назад

      Hujui na hutaki kujua. Toeni sadaka mtajirishe mapasta

    • @hamiduhamdun1858
      @hamiduhamdun1858 3 месяца назад

      Ww hujui kitu ktk uislam

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 месяца назад

    Musa hakufika, alipotelea mlima Sinai,Yoshua alipokea,soma vzr,unajitahidi

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 Год назад +6

    Baba Muongo huyu afu hajui kama hajui

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Wewe Pinga unapoona amekosea wapi,sio useme tu mtu muongo bila kupinga hoja yake,wewe ndo utakuwa hujui chochote

    • @ednamachocho3059
      @ednamachocho3059 5 месяцев назад

      Naomba utuambie kidogo tu unachojua Sule aache kutudanganya

  • @kaingucharo-q7z
    @kaingucharo-q7z 2 месяца назад

    Hyo kichwa yake iliingia maji uyuu n bro namjua vizuri

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Год назад +4

    Nakuelewaga lakini leo mmmh uongo mwingi, zaidi kwenye hii story

  • @HasanUssi
    @HasanUssi 9 месяцев назад +2

    Mashaallh Mungu akueke na Mtume pepon

  • @nehemiaayo9527
    @nehemiaayo9527 Год назад +5

    Unacho fundisha ni Bible tu sii uwambie kuwa kasome Bible

    • @yusrahb4461
      @yusrahb4461 11 месяцев назад

      Yesu alipewa injili sio bible

    • @nehemiaayo9527
      @nehemiaayo9527 11 месяцев назад

      @@yusrahb4461 mfarisayo mkubwa acha ushabiki wa kijinga nani kakwambia YESU alipewa Bible kitabu chochote chenye neno la Mungu ni miliki ya Mungu chakwako ni Cha mtume wako pambana na hali yako mfarisayo

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 3 месяца назад

      ​@@yusrahb4461 alipewa wapi ama ulikariri,😂
      Injili imeandikwa Yesu alishaondoka duniani

  • @MoshiKaranga
    @MoshiKaranga 5 месяцев назад +1

    mungu afanye wepesi

  • @yasrimambo439
    @yasrimambo439 11 месяцев назад +4

    Shida ya wakristo wanaamini kila wanachoambiwa na wachungaji bila kukisoma na kukielewa. Na ndio maana leo kiongozi wao mtakatifu papa wameambiwa makanisani wafungishe ndoa ya jinsia moja. Mukae mukijua kuna dini ya biashara na kuna dini ya mungu. wakristo wanasherehekea krixmas eti kuzaliwa kwa yesu. Hakuna aniko lolote kwenye biblia limesema hiyo habari.
    Mm natoa permit leo, nikijibiwa maswali yangu nabatizwa, mbele ya vyombo vya habari.
    1; kanisa gani alilosali yesu.....?
    2; wapi biblia imesema ukristo ni dini.....?
    3; wapi yesu yeye mwenyewe kasema mm ni mkristo .....?
    Hapa twende kwa hoja na sio kupaniki wala matusi.
    Naomba majibu kutoka kwenye biblia. Wakristo tafadhali fanyeni haraka niwe mkristo.

    • @ombenikazimoto8326
      @ombenikazimoto8326 11 месяцев назад +1

      We ni boya angaliya mambo yanayo husu dini yako achana na dini zawatu wengine

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 9 месяцев назад +1

      Wewe ni boya kweli hata maswali yako unayouliza tayari ni ya Kimadrasa kuonesha kwamba ni mjinga wa maarifa. Unapohoji kusherehekea Krismas kwamba hakuna andiko lolote lakini leo hii wewe nikikuuliza ni wapi kwenye Koran MAULID ya Muhammad yametajwa msherehekee jibu hauna.

    • @JumaMandoza
      @JumaMandoza 9 месяцев назад

      Rudini Kwa Mungu wakristo nafasi ni chache musije kusema hatujawaambia. Ohooo shauri yenu wenyewe

    • @IbrahDeDonny-lv2lo
      @IbrahDeDonny-lv2lo 9 месяцев назад

      😅😅😅😅📌​@@JumaMandoza

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 9 месяцев назад +1

      Mwuulize huyo unaye mwamini kwanini hizo habari anazinukuu kutoka Sura gani kwenye Kuruhan yoote anayo yaongea ni Biblia ndiyo ujuwe ni kitabu sahihi kifaacho kwa mafundisho siyo kitabu chenu alichokabidhiwa mtume wenu asiye jua kusoma

  • @JumaManyama-c8j
    @JumaManyama-c8j 10 месяцев назад

    Mwanaume anatafuta jina (keep up)

  • @Alhajj-pg8zr
    @Alhajj-pg8zr Год назад +13

    Asalm aykum :Hakuna kulazimishana kwenye jambo la dini Atakaye xhindwa kumuelewa wazime data walale Ila Bakini na swali la shekh mazinge linalema hivi::Kama yesu ndiyo mungu na alikufa msalabani ili aokoe zambi zenu na alifufuka baada ya siku 3 Swali sasa Mungu ashakufa Na watu walifanya kazi zao kama kawaida Je Dunia ilikuwa na nani wakati mungu ashakufa???? Masuala ya kusema kuna mungu bwana na mungu mwana au roho mtakatifu Hilo halipo kwa maana biblia inasema kwake yeye hakuna kubadilika badilika Leo awe mtu kesho awe mungu HAKUNA HILO SWALA

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 Год назад +1

      Kuna mahali waislamu mmefungwa na ni wagumu sana kuelewa uungu wa Yesu, siwalaumu, Mungu alifanya mambo kwa makusudi yake, Mungu sio dk Suleiman kuwa utamuelewa kwa akili ya kawaida, kwa hiyo endeleeni na umaamuma wenu, lakini Yesu atabaki Mungu, unataka Yesu ni Mungu, hutaki Yesu ni Mungu, wewe baki na Mohamad ambaye kabaki historia kama itakavyokuwa mimi na wewe, Mohamed ana tofauti gani na sisi?

    • @alexraymond1623
      @alexraymond1623 Год назад

      Mpendwa bila kumwamini Roho mtakatifu bila Mungu mwana na Mungu baba huu utatu mtakatifu ni kitu kimoja hivyo usipoamini hakuna Pepo utakayoina

    • @chesimiho7347
      @chesimiho7347 Год назад +1

      Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
      2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
      3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
      4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
      5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

    • @pascasmathew424
      @pascasmathew424 Год назад +2

      Swali kama Hilo la mazinge ni ni kuto kumwelewa Mungu ktkt utendani wake . Hivi asie na ufahamu atauliza Hili je Mungu aliyoka WAPI na kabla yake Nani alikuwepo . Na aliposema tumfnye mtu kwa sura yetu alikuwa na Nani. Mazinge ni mtu kama wengine wala sio swali la maana aliuoiza . Sisi tunasema YESU ni Mungu na hakuna atakepinga Hilo.

    • @davidngenda924
      @davidngenda924 Год назад

      Utatu mtakatifu ndio jibu kuku ww😂😂😂😂

  • @tumainisimbaya4688
    @tumainisimbaya4688 3 месяца назад +1

    Dr sulee

  • @AbdonJonathan-r1w
    @AbdonJonathan-r1w Год назад +7

    Angalau umejalibu kusoma biblia, kama ulivyojjeleza ktk utambulisho wako, umejifunza ktk dini nyingine (ukristo) sema vitu vingi, hauvisemi, wape watu muendelezo wa ulidhi huo wa ishimaeli, nani alikuja baada yake, kisha mtililiko ,mpaka muhmad,kimaandiki, tunaomba, mafundisho yako usiseme sana mawazo yako, soma unapoyatoa hayo, lakini angalau, kwamaamuma unaweza kufungua ufahamu kidogo,

    • @jacobmahona187
      @jacobmahona187 Год назад

      Sio havisemi havielewi!

    • @heshimavema6099
      @heshimavema6099 11 месяцев назад

      Huna jipya zaidi yakusema uongo wasomi wa Historia tunakusikia unavyochanganya mafaili na kuvurunda.

  • @kadrovLamazani
    @kadrovLamazani 3 месяца назад +1

    Musijidanganye ndugu yangu mwenye KAZI ndiye anapanga cheo Kwa wafanyakazi wake ISSA ni nabii sawa na manabii weziwe ila Allah ni mu kuu kuliko wote,

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +17

    Kwa anayesubiri kusikia kutoka kwako, wala hasomi vitabu atakuona unajua sana, lakini ukweli hujui bali unapapasa papasa tu historia na unachanganya mambo. Sehemu kubwa umechukua kwenye biblia, lakini kwa kuchanganya mambo kwasababu huna ujuzi wa kutosha kuhusu biblia. Labda ungetumia Quran yako.

    • @MATIKO9640
      @MATIKO9640 10 месяцев назад

      Uko sahihi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 месяцев назад +4

      Unateseka ukiwa wapi?

    • @dhulhijjabilali143
      @dhulhijjabilali143 9 месяцев назад +2

      Lete yak0 acha n0ngwA

    • @ramadhanmwamleu2693
      @ramadhanmwamleu2693 9 месяцев назад

      Shida yenu mumezoea uongo hamtak kuambiwa ukwel

    • @soudSalum-s9m
      @soudSalum-s9m 9 месяцев назад +1

      Yan wewe ndio bogus kbsa nahisi wazazi wako washakukatia tamaa.. intelligence yako iko chin sn.. yan maana ya mjinga ndio ww mtu ambae hajui na hataki kujifunza ndio ww ss

  • @JumaAlawi-t1i
    @JumaAlawi-t1i Год назад +2

    Mitihan IPO unaposena ukweli lazima upate mitihan shekhe pamban mungu atakulip

  • @willymakune
    @willymakune Год назад +41

    sina haja tena ya kukusikiliza, huna historia yeyote , uwongo mtupu ndio uliokujaa. Mvua ilinyesha kwa siku 40 na Maji yalikaa katika uso wa dunia kwa siku 150. Na ukiipinga Biblia maana yake unapingana na Musa na MUNGU. Torati aliiandika Musa ( vitabu vitano). 1000% Uwongo mtupu. Waislam someni saaaana. Historia yoote unayosoma umeikokotoa katika BIBLIA na sio qurani wala Hadithi.

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 Год назад +3

      Wana shida hawa

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 Год назад

      ​@@georgemassebu2083mnashida nyinyi hamtaki ukweli usemwe wakristo mnatabu sana ttz mnajipendekeza sana kwa mazayuni cjui kwa kuwa hamna pakushika mnahisi mkiwa p1 na mazayuni ndio itaonekana mna dini!! Mazayuni sio wakristo kwaiyo acheni kujipendekeza

    • @IBRAHIMSULTANMALIK
      @IBRAHIMSULTANMALIK Год назад +14

      Kwan wakristo mnakwama wap nani alomiuwa mungu wenu na nani alimfufuwa mungu wenu nisaidie nataka kuwa mkristo please

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад

      ​@@IBRAHIMSULTANMALIKyeye mwenyew

    • @thedon8467
      @thedon8467 Год назад +17

      WEWE USIPOMSIKILIZA WAPO WATAKAOMSIKILIZA KWAN WEWE UNA FAIDA GANI

  • @FelichismiMassawe
    @FelichismiMassawe 3 месяца назад +2

    Huyu kuna vitu anadanganya maana Wafilisti ni hawa Wapalestina na ugomvi wao upo tangu enzi za Mfalme Sauli baadae Daudi na hata Nyakati za Samsoni

  • @samiukhamis2703
    @samiukhamis2703 Год назад +1

    Mashaallah

  • @DamasiMsuya
    @DamasiMsuya 20 дней назад

    Huyu ni mungo sana anaongeah uwongo aijui historian

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 8 месяцев назад +1

    Hongera kuhubiri Biblia inavyosema.

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 3 месяца назад

      Hiyo sio bibilia ni torati anayo simulia ambayo imo kwenye kuran

  • @jitihadaharuna9448
    @jitihadaharuna9448 Год назад

    Shehe upo vizuri nimeipata elimu kubwa sana

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 3 месяца назад +1

    Hatusemi Yesu ni Mungu, tunaswma Yesu ni mwana wa Mungu Dr. Sule
    Mambo haya yanao undani binafsi huwa naheshimu huduma Yako ila Kuna muda unakua extremist

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      Sio extremists that's a bad name extremist means a terrorist so you are simply abusing the sheikh wacha ushamba wewe hata kizungu hukijui😂

    • @marcelinKambale
      @marcelinKambale 3 месяца назад

      Ukweli huo, hawezi kulinganisha yesu n'a muhamabi(Mahomet) aliyeliwa kichwa na nguruwe kutaka kuiga nakupinga yesu., ndiyo maana hawale nguruwe., ila kwa soseji wanakula nguruwe.

    • @marcelinKambale
      @marcelinKambale 3 месяца назад

      Walitaka kudanganya binadamu kama Mahomet alifufuka kama yesu ila mwenyezi mungu aliwapemua., Mahomet akaliwa na nguruwe

  • @BigirimanaAhmad
    @BigirimanaAhmad 4 месяца назад +1

    Usijali Dr Sule hao makafiri lazma wapinge maneno yako.

  • @KitegeMaige
    @KitegeMaige 2 месяца назад

    Mimi mkrist vema
    Sana mtu wa mungu
    Fundixha wajue baba

  • @brownmwailunda1436
    @brownmwailunda1436 9 месяцев назад

    WEWE Sule uisilamu ni njia ya Imani tu,Wewe ni Mtumishi wa Mungu

    • @legendaction202
      @legendaction202 3 месяца назад

      Ww n kafiri

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      Uislamu ni njia ya ukweli na njia ya imani ya kweli fanya utafiti sio kupiga makelele hapa😂😂

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 4 месяца назад

    Yesu Kristo ndio njia kweli na uzima
    Mathayo 3
    2 Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
    Yohana 14
    6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @HadijaHsalehe-z4k
    @HadijaHsalehe-z4k 3 месяца назад +2

    Msingi wa Imani za Ukristo na Uislam asili yake ni Israeli...Musa alikuwa mwisrael na ndiye aliyepewa amri kumi za Mungu yaani (sheria-tourati).…..so 34:16 tukiwachukia Wayahudi au kuwapuuza tunakosea sana,kwani wao Mungu amejitambulisha sana kwao kuliko kabila au taifa lolote duniani..ndani ya Biblia na Qur'an wametajwa sana...Wayahudi,Uislam, Ukristo...zinaitwa dini za Ibrahim..mchanganyiko wa ukweli na uongo..daaa Mungu atusaidie.

    • @NicolausMayombe
      @NicolausMayombe 3 месяца назад

      mpingamizi hiwapa watu nguvu ili wamtukane mungu pasipo wao wnyewe kujua ila bilakukili kua Yesu ni mwana wa Mungu na ni Bwana namwokozi abila hiuo we piga kelele tu, Yesu analufi hivi kalibuni.

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 Год назад +1

    Hakuna jipya Yesu anakuja.

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 3 месяца назад

    Amiin

  • @Martin-x6g1q
    @Martin-x6g1q 6 месяцев назад +1

    Amen

  • @FrankTemba-c6g
    @FrankTemba-c6g 4 месяца назад

    Hao ni watu wa mungu

  • @KennedyOwiti-im3lj
    @KennedyOwiti-im3lj Год назад

    Nakuelewa saana Mzee wangu ila wanichanganya katika mengine

  • @muhindoabubaker7989
    @muhindoabubaker7989 9 месяцев назад

    Ndio hivo bro

  • @NgoshaJaphet-zo4sq
    @NgoshaJaphet-zo4sq 3 месяца назад

    YESU,ni MFALME wa Wafalme mtamjua tu ngojeni

  • @masoudymichael
    @masoudymichael Год назад +1

    Mungu mwema🎉

  • @TWAMEMASSO
    @TWAMEMASSO Год назад

    Safiiii sana shekhe

  • @zephaniamanembe6929
    @zephaniamanembe6929 3 месяца назад

    Hujui kitu kaa kimya,

  • @AlfaSejegwa
    @AlfaSejegwa 7 месяцев назад

    Jamaa uliaza vizuri sehem umechemka umesema yoshua alisimamisha juwa kuwa ilikuwa ijumaa ili jumamosi isifike kwakuwa wayahudi sabato hawafanyi kazi tena unauliza watu gani walingia gafla unasema waisilam.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 месяца назад +1

    Israeli anamlipua hezbola

  • @pendosamwel1682
    @pendosamwel1682 11 месяцев назад

    Usitafute urafiki kwa Wakristo. mungu wa Korani ndie asiyejulikana ila mnamtetea kwa jasho la ktosha

  • @evansmtalo9406
    @evansmtalo9406 Год назад +2

    Kumbe unajua kusali nje ya uislam ni bahati.YESU ANAKUPENDA SANA.

    • @hujatswai5798
      @hujatswai5798 Год назад

      Ni sehemu gani amesema kusali nje ya uislamu ni bahati?

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 3 месяца назад

      ​@@hujatswai5798unabishana na makafili

  • @saijize
    @saijize 3 месяца назад

    Dini ya haki ya uislamu ni maneno tu ya mtu na waliomfanya Muhammad awe mtu ni binadamu sio Mungu. Mungu alimleta Yesu na mamlaka yote ya duniani na mbinguni kampa Yesu hakuna kitu Muhammad kafanya kumzidi Yesu yaani Yesu kamaliza kila kitu na kapaa mbinguni na atakuja kuhukumu ulimwengu. Yesu ndiye njia kweli na uzima

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 месяца назад

    Dini ni shetani Mungu hakumumbia adamu dini shetani ndie aliemuingizia dini adamu akafarakana na Mungu , Dini ni chombo cha shetani cha kuwafalakanisha mataifa ,

  • @Fatmafaiz34
    @Fatmafaiz34 3 месяца назад

    Hebron iko karibu na jerusalem

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 3 месяца назад

    Allah anaweza kuwapelekea hata utitiri tu wakashika afabu wakarudi kwao

  • @twaliposalim8026
    @twaliposalim8026 Год назад

    Saa😊

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter 2 месяца назад

    Dr, sure ,soma kitabu cha nabii amosi sura ya 1:6-8 acha kupotosha watu uwe unasoma biblia vizuri kumbuka si wote unaowahubilia wako sawa kuwa makini acha kupotosha

  • @hujatswai5798
    @hujatswai5798 Год назад +2

    Kwa wanaoufahamu vyema uislamu wataelewa kuwa hii vita palestina watashinda pale tu watakapokuwa waislamu.... Amini kuwa kwa sasa bado hawajawa waislamu.

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 Год назад

      watashinda ila sio sasa hii vita itakuja kumalizwa na nabii issa mwenyewe

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 9 месяцев назад

      90% ya Wapalestina ni Waislamu sasa sijui hoja yako ni nini

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 месяцев назад

      ​@@tahirnephessalum3678Is atakuja kuvunja misalaba na kuuwa nguruwe

  • @jjtm164
    @jjtm164 Год назад +1

    1.Baba mwongo hadith za mtungo,--- elimi ya kibure-
    2.Ibrahim hakuoyeshwa ndoto,-
    3. Hajira ni mjakazi wa Sara aliyempa Ibrahim. Lakini inje ya ndoa likaitwa agano la kimwili, isack agano la kiriho

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Год назад

      Baba wa uongo ni huyu mwiisrael wa mchongo mnaemwani na atadanganya wengi,funguka macho kwenye alama ya bendera utajitambua,ila mkumbuke YESU alitahadharisha mapemaaa watakuja wengi wa uongo kwa jina lake ila mtawatambua kutokana na mienendo yao, waisraeli hawa wa mchongo wanatumia mwavuli wa ukristo kufanikisha malengo yao, wamejaa makanisani wakijificha na misaada, na xx wanaidhinisha na mapemzi ya jinzia Moja, je? MUNGU atuambia tuzae tuongezeke tuijaze dunia hapo tutakua tunaijaza dunia au kuipunguza Dunia? wanadamu musiwe na mihemko tafakarini mambo kwa ueledi mkubwa mkiwa mnamuomba MUNGU awaomgoze na kuwafunulia yaliyofichika.