ALICHOKISEMA HAJI MANARA BAADA YA ALI KAMWE KUTANGAZA KUJIUZULU/ HAKUNA ALIYETEGEMEA/ FIGISU KLABUNI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 107

  • @donaldmrema9120
    @donaldmrema9120 3 месяца назад

    Mbona amekuwa na maisha ya kujikweza tu, hanaga kazi. akichokwa atapata tabu sana. Too much pride

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 3 месяца назад +8

    Huyu jamaa ameanza kunichukia sasa hv Hakuna haja ya kurudi kwenye club ilikua akae na mke wake wafanye press chumban # ALI KAMWE ARUDI.

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 3 месяца назад +2

    Uungwana kati ya Haji na Ally, ni Tofauti kabisa.
    Inamaana Kifungo kikiisha unaparamia Ofisi, wakati kuna Mtu alipewa na Tasisi?
    Si unaripoti, halafu Uongozi ukupokee, na waandae Makabidhiano au Maelekezo kulingana Na Miongozo ya Tasisi husika.
    Mmm unaenda kuivaa Ofisi na Camera Lukuki bilabata kumtaarifu aliiye Pewa Jukumu lako ukiwa unatumikia Adhabu.
    Pia Tasisi inaweza ata kufanya Mabadiliko ya aina yoyote kutokana na mwenendo.

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 месяца назад +4

    Viongozi tunaomba tuachieni kijana wetu alikuwa ameisimamia nafasi yake vizuri tunampenda sana Ally

  • @alitante4279
    @alitante4279 3 месяца назад +7

    Aliemuona ali kamwe uchochoroni kule kanyongea agonge like😂😂😂

    • @fedrick1874
      @fedrick1874 3 месяца назад

      Hivi yule ndo yeye?😮

  • @CodeZiro
    @CodeZiro 3 месяца назад

    Dr cheki alivyo Lia aliy KAMWE BONYEZA LINK hapo

  • @HusseinMustapha-n2n
    @HusseinMustapha-n2n 3 месяца назад

    manara anafaa yanga na tunapenda san🎉

    • @yasinnyange6233
      @yasinnyange6233 3 месяца назад

      Hatoshi, atafungiwa tena hatoshi , hatoshi. Mdomo wake utamponza tu

  • @SaidLutema-st4om
    @SaidLutema-st4om 3 месяца назад +4

    Mpeni umakamu ally kamwe. anafanana kutoa hamasa na vijana wake wachezaji. Akitoka team itaharibika yanga bila kamwe haitang'aa

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 3 месяца назад

    Buga us back

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 3 месяца назад

    Ati afisa habari na msemaji mbona ni kitu hicho hicho. Unasema kitu gani? Afisa habari anahabarisha kitu gani? Huyu jamaa ni mgomvi na Kamwe ataanza kukonda na hatakuwa na tabasamu tena.
    Pole sana Ali Kamwe mtafute Bumbuli atakupa mbinu za kuishi na hicho kiumbe.
    Ushauri wangu Kamwe tafuta kazi ikiwezekana omba kurudi Azam Media.

  • @sahilyclassic3850
    @sahilyclassic3850 3 месяца назад +1

    Siku zote msaliti huwa anasaliti popote na kuna siku atatafuna tena na huku tena

  • @EliudFilipo
    @EliudFilipo 3 месяца назад +1

    Jamani hata manara ana familia Ile ni kazi yake na nimaisha yake acheni mahaba na watu pelekeni mahaba kwenye Tim yenu basi

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 3 месяца назад

    Manara umerudi sawa aliy kamwe nae pia awepo hatutaki mgogoro kwa kijana wetu tunampenda sana

  • @agustinoshechambo8122
    @agustinoshechambo8122 3 месяца назад

    Mwenye yanga yake karudi.

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 3 месяца назад

    Kama haji mzuri mchukue ukakae nae kwako yanga hatumtaki

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 3 месяца назад

    Hamumpendi manara kwasababu anajua kuwachamba

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 3 месяца назад

    Kama asingefungiwa angekuwa kwenye nafasi yake tuelewe hivo

  • @PILILEDIO
    @PILILEDIO 3 месяца назад +1

    Injinia Hers na GSM msimwache kijana wenu Ally Kamwe ana nafasi kubwa sana kwenye timu

  • @ProjetusRwiza
    @ProjetusRwiza 3 месяца назад +3

    Hatukutaki manara, tunamtaka kamwe

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 месяца назад

    Huyu ni kichaa asaidiwe akatibiwe, mwizi na mwongo!

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 3 месяца назад +1

    Wewe huna akili mwache ally kamwe mtu wa watu hamna anae kutaka wewe hatukutaki

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 3 месяца назад

    Manara ombea yanga waendlee kufany vizur ila siku mambo yakibadirika wataanza na wew

  • @D.P.O
    @D.P.O 3 месяца назад +1

    Hakawii kuchamba tena 2025 haiishi bila adhabu kwale😂

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 3 месяца назад

    Haji aludi zake Simba Kwanza yeye ni Simba aka ombre msamaha huku hatumtaki kamwe wetu abaki asituletee shida

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 3 месяца назад

    Kiuhalisia wote 2 wanafaa wala sioni ubaya wa manara wala alikamwe watu wasiwachonganishe jamani wote niwa Moja kikubwa ni timu kushinda kwa timu hapo kila mmoja arudi kwa nafasi yake

  • @benjamimantoniomangoni6765
    @benjamimantoniomangoni6765 3 месяца назад

    Jamani kwangu mimi ningeomba tu abaki huyu huyu Aliy, kwasababu Manara mara nyingi anatuletea migogoro kwenye timu yetu kwa maneno yake.

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 3 месяца назад +2

    Manara sikutaki!! Usijiseme wewe mwenyewe. Acha tukuseme sisi. Hutufai. Kwani lazima uwe msemaji ? Una maslahi gani?
    Injinia, huyu naye ni mwekezaji Yanga? Why are you forcing him on us?
    Twamtaka Ally Kamwe wetu. Kijana ana staha; ni mbunifu; anamkuna kila mdau wa soka.

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 месяца назад +1

    Manara anapenda kuwa mkubwa na mtoa maelekezo, uwezo wa kujichanganya na watu wa chini hana!
    Binafsi sioni kama atakuwa msaada

  • @MilamboKatenga-q8j
    @MilamboKatenga-q8j 3 месяца назад

    Kweni nyinyi viongozi huyu amjui kama sio MTU mzuri

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba4204 3 месяца назад

    Kirus

  • @edsonhiza8519
    @edsonhiza8519 3 месяца назад

    Huuu ni wakati wa gen Z bhnanaa😢

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 3 месяца назад

    Ulikosea unajua ofisi inamtu mwingine kwann we u n akuja kujaa umemstua aliy kaona nimevamiwa kajiuzulu ghafla we manara unawapa wanayanga presha kwa kamwe

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 месяца назад

    HAJI MANARA AKAYE MBALI NA YANGA HANA BAHATI AENDE SIMA HUYU HAFAI HATA KIDOGO

  • @JamesGiligita
    @JamesGiligita 3 месяца назад

    Bugatti simpend kabisa

  • @ManirakizaHashim
    @ManirakizaHashim 3 месяца назад

    Manara hakuna kitengo kisicho kuwa na kiongozi

  • @HappyClogShoes-hp9ho
    @HappyClogShoes-hp9ho 3 месяца назад

    Huyo jamaa anajua madunduka fanya yeny😂😂😂😂😂😂

  • @NeemamussaMaitale
    @NeemamussaMaitale 3 месяца назад

    Manara simpendi kwasababu anatabia za jabu

  • @SINTACLEMENSBYABATO
    @SINTACLEMENSBYABATO 3 месяца назад

    Kama kwer kamwe amejiuzuru hatuji tena hatuji

  • @MashakaJohn-vt4gx
    @MashakaJohn-vt4gx 3 месяца назад

    Nisomee barua umetisha

  • @PILILEDIO
    @PILILEDIO 3 месяца назад

    Yanga bila Ally Kamwe Haina mvuto tena

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 3 месяца назад

    Iyo ndoto kuchukua club bingwa .mnafikili champion kuna kudhamin team 6 uko .acha kudanganya umma

  • @kicmbermaestro3459
    @kicmbermaestro3459 3 месяца назад

    Tumeisha huyu ni kirus cha simba

  • @RahmaAbuubakar
    @RahmaAbuubakar 3 месяца назад

    Manara magoma wa 2050

  • @hassanbakari5607
    @hassanbakari5607 3 месяца назад

    Hawa yanga wanataka kujichanganya huyu mda wake ushaaisha

  • @kassongokittapa7762
    @kassongokittapa7762 3 месяца назад

    Mbona ameanza kwa Bumbuli! Vipi
    Mbona hasemi kuhusu Nugaz!!?

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 месяца назад +2

    Alipendeza sn na Vijana wezie hatutakii kutuvuruga

  • @NchangwaMairusya
    @NchangwaMairusya 3 месяца назад +3

    Binafsi namkubali sana kamwe kama vip manara asingerudi kabisa

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 3 месяца назад

    Kwanini hukusubiri Rais awatangazie umma kwamba manara amerudi kuondoa taharuki.haraka ilikuwa yanini.soma alama za nyakati .ni genz niwakati wao

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 3 месяца назад +1

    Fanyeni kazi kwa upendo jamani, wote mnafanya kazi vizuri

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 3 месяца назад

    Haiwezekani manara ktk kz lazima kiongozi awepo kiongozi wako wewe lzm awe Afisa habari lzm ulipoti kwake hiki unachokisema ni ujuuaji TU

  • @EmanuerKalori
    @EmanuerKalori 3 месяца назад

    Kwan jaman viongoz mko wap Kamwe asiondoke, aondoke Manara

    • @vicentvictor7516
      @vicentvictor7516 3 месяца назад

      Kama vpi ali aje tuanzishe yanga mpya,tuwasajir wakina feisal,na kibu

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 3 месяца назад

    Hatupendi kule kujiona we ndo wewe mwache kijana na vijana wenzie anafiti sana

  • @khalidsemka1652
    @khalidsemka1652 3 месяца назад

    Wewe haji wewe sio msemaji wa yanga wewe ni mwajiliwa wa GSM acha figisu ulimuondoa Nugaz,ukamuondoa Bumbuli sasa una jazi na Ally Kamwe wana yanga muwe macho na huyu Haji

  • @AnthonyBilia
    @AnthonyBilia 3 месяца назад +2

    Kwani Manara ana tatizo gani? tena ni mtu mwenye tasinia ya juu sana kwenye football zaidi ya Ally Kamwe

  • @mwanahidsimba
    @mwanahidsimba 3 месяца назад

    Huyu Mzee apumzike tuu achie dam changa afanye kazi yake atavishwa Tena vitait Sasa hivi mtu mzima kishet

  • @ItangoMsabila
    @ItangoMsabila 3 месяца назад

    haj dizain Yako ya uamasshaj wa kbnafus jarbu ku interact na watu kama kamwe uskarie tu kukaaa kweny kit ofsni alafu acha kua unapanik pale unapo fanyiw interview 😮

  • @AhmedSeif-p6w
    @AhmedSeif-p6w 3 месяца назад

    Kula chuma hicho mzee magoma

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 3 месяца назад +2

    Ali tulia usiondoke kuwa mvumilivu hizo ndo kazi jali malipo tu hilo ndo la msingi tulia chukua ushauri

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 3 месяца назад

    Hao wanaokuuliza maswali na hoja ya Jemedari Saidi wanauuelewa wa mambo. Mathalani imetokea bahati mbaya aliyepewa adhabu amekufa hata baada ya kuwa alilipa faini yake je hiyo pesa atarudishiwa marehemu?
    Wakati mwingine mnao uliza maswali muwe na uelewa wa mambo na maana ya adhabu.
    Kama mnakumbuka adhabu ya kifungo na viboko zinaendana pamoja. Hamkumbuki stori za Baba wa Taifa alivyokuwa anaongea kuwa unafungwa na mwisho inafuata adhabu ya viboko ukamsalimie mkeo.
    Hiyo ndivyo alivyomaanisha unafungiwa mwisho unalipa faini yako. Unawezaje kulipa faini wakati upo kwenye kifungo hiyo pesa ya kulipa fine unapata wapi?
    Wanyakyusa walisema "Amahala Ntengo" yaani "Akili ni Mali"
    1

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 3 месяца назад +5

    For sure simpendi huyu jamaa na kiukweli aliyemrudisha yanga na kumtoa ally Shaban kamwe amenihudhi Sana mood imeshuka sana

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 3 месяца назад +1

      Boss wenu gsm .wakulaaumiwa

    • @jumaally9709
      @jumaally9709 3 месяца назад

      Hajawahi kuondoka yanga ila alikuwa kafungiwa na TFF ila mshahara alikuwa anachukuwa kila mwezi

    • @Angelohernandez-i9c
      @Angelohernandez-i9c 3 месяца назад

      Sisi wana Yanga tunamkubali sana uyu jamaa hana baya kabisa nyie MAKOLO msitake kutuvuruga mdili na ya kwenu... kuku nyieee

    • @lutegomakoyeluhahula361
      @lutegomakoyeluhahula361 3 месяца назад

      Basi kumbe,usiempenda kaja.

  • @tumwitikemanda7601
    @tumwitikemanda7601 3 месяца назад +1

    Simpendi manara daaaaa yanga dai hatuji manara akirudi manara amerudi kuiharibu yanga

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 месяца назад +1

    Huyu muhuni hafai anajikomba tu pia ana dharau za kijinga sana

  • @SarahKaale
    @SarahKaale 3 месяца назад

    Haji n mzur kuliko kamwe

  • @AllyMikidad
    @AllyMikidad 3 месяца назад +1

    Waandishi wa habari wetu baazi ni wachonganishi awapendi maendeleo ya mpira wetu mkiwasikiliza sana hawana hoja za undishi

  • @HandwrittenMemories
    @HandwrittenMemories 3 месяца назад

    Huyuu Jamaa kila muda na mke wake 😂😂

  • @jonasnzemya7700
    @jonasnzemya7700 3 месяца назад

    Unataka kusababisha Ally kamwe kuachana na YANGA

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 3 месяца назад +1

    Ali ajiajiriwa kwa mkataba WA miaka miwili kushuka nafasi ya manara

  • @hajikhamis9497
    @hajikhamis9497 3 месяца назад +2

    mwenye mpira wake karudi mwacheni awakened ABU ALI ATAFANYA KAZI NYENGINE NDANI UA CLUB

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 3 месяца назад

    Nynyi c mlisema timu ya wananchi mbna mnaanza kutokupendana au huyu c mwnanch?

  • @HijiraHussein
    @HijiraHussein 3 месяца назад

    manara hafai hafai,hafai,hafai,hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kirusiiiii

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 месяца назад +2

    Huyu mzee anang'ang'ania usemaji wa vlub vikubwa tanzania badala ya kustaafu loh hana hata aibu

  • @kheirahmad4064
    @kheirahmad4064 3 месяца назад

    Kiki za kuitoa Simba kwenye mawazo ya Simba day. Tushawajua mmefeliiiii. Mbona kasha kula wino Ali Simba.

  • @SalumWazilly
    @SalumWazilly 3 месяца назад

    Siku ya kuja kuaribu yanga
    Huyu kiumbe atapata shida

  • @ClementKonda-uj1nj
    @ClementKonda-uj1nj 3 месяца назад

    Mtaelewa tu Hawa machawa mtaota ukurutu Ubaya ubwela

  • @Africanbeutefull
    @Africanbeutefull 3 месяца назад

    Msenge tu huyo ache vjana wafanye kazi

  • @Husseinupinde
    @Husseinupinde 3 месяца назад

    😂😂😂😂.manala.hatumutaki.wamuache.alliy.kamamwe.mbona.alikuwa.kafit

  • @Africanbeutefull
    @Africanbeutefull 3 месяца назад

    Kwa Simba tu hyo

  • @EliasHagai
    @EliasHagai 3 месяца назад

    Gugumaji lenu mnalo Domo umala

  • @Africanbeutefull
    @Africanbeutefull 3 месяца назад +1

    Atu ache huyo

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 3 месяца назад +2

    Sisi wote tunajenga nyumba 1 hakuna shida wote ni wetu

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 3 месяца назад

    Sasa mke wako hapo anahusika vipi

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 3 месяца назад

    Sisi yangaa tunampendaa

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 3 месяца назад

    Huyu ni kirusi pale Yanga.

  • @benjaminkilepo8489
    @benjaminkilepo8489 3 месяца назад

    Atachochea sana chuki kwa washabiki wa mpira

  • @davidgeorge9324
    @davidgeorge9324 3 месяца назад

    Tatizo munatoa komet hamujui chochote manara nimusemaj alifungiwa amelud shida nn

    • @jovinusmutabuzi4647
      @jovinusmutabuzi4647 3 месяца назад

      Tunajua hilo.timu ilikuwa South kwanini asisubiri rais arudi na kuwapa nafasi viongozi kupanga kumpokea.haraka ya nini?

  • @TisaSheyo
    @TisaSheyo 3 месяца назад

    Manara asirudi amwachie ali kamwe aendelee

  • @ProjetusRwiza
    @ProjetusRwiza 3 месяца назад

    Kama ni hvo manara asirudi tu tuendelee kukaa na kamwe wetu

  • @AhmedSeif-p6w
    @AhmedSeif-p6w 3 месяца назад

    Muongoo ulimfukuzisha

  • @DerevaBajaji
    @DerevaBajaji 3 месяца назад

    Kirusi hichi

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 3 месяца назад

    Unaongea sana hadi unaboa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 месяца назад

    NA NYIE VIONGOZI WA YANGA INAKUWAJE HUYU AWE MSEMAJI WA YANGA?HUYUNI MGOMVI

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 3 месяца назад

    Kaa na familia yako tuachie

  • @japharimtemi2571
    @japharimtemi2571 3 месяца назад

    Ila midia zingine zakikuma tu,

  • @JeremiahKiberenge
    @JeremiahKiberenge 3 месяца назад

    Ila wewe ni kilaza kweli caption yko na video aridhi na jua

  • @adalishaibu4433
    @adalishaibu4433 3 месяца назад

    Wewe shoga kumaamako msenge hatukutaki kuma wewe

  • @ShabanMohamed-ix3of
    @ShabanMohamed-ix3of 3 месяца назад

    Huyu sio chaguo letu yanga kamwe ndio kijana wa sasa