Mchungaji Mgogo. Nashukuru Baba Mungu kwa kukutumia katika kuifikia dunia na Neno lake la uzima. Mungu akujaze mno kwa Roho Mtaakatifu uendelee kubariki mioyo ya watu.AMINA
Na Marekani tunakufuata Mchungaji. Asante sana Mchungaji kwa Injili safi. Mungu wa mbingu akuzidishiye ngufu na anointment kwa ukweli unao uongea. Ukweli wa Injili umekosekana makanisani kwengi Injili zao ni mafanikio tu harafu kupona kwa roho hakuko.
I wish I can get such sermons where I am. May God show me a pastor like yourself. Otherwise I will worship internet church till I get such a pastor. Be blessed, your preaching style is unique, biblical and socially practical.
Sifuatilii wala sitaki kufuatiliwa ktk ndoa yangu maana siri ya ndoa ni yangu na mume wangu tuu.Utajikuta unatembea bila nguo barabarani bila kujijua.2,)Swala la watoto tunaowasimamia nu ngumu.Huwa wanawasikiliza wazazi au ndugu wa damu (tena baadhi)wewe msimamizi utaonekana mnafiki tuu.Ni ngumu kwa kweli.Mambo yamebadilika hasa mijini
Mchungaji nakuaminia kwa kuwapiga na mafumbo, 😁 kwa kua uko Live ungesema neno fulani lakini ndo umesha lisema hivyo. Ujumbe umefika. Asante mtumishi kwa kuto kuwaonea haya. MUNGU akubariki sana. Injili hii ni adimu sana watu wanahubiri mafanikio tuuuu wanasahau wajibu wao. Tunakuhitaji Mwanza huku. Aaamen🙏🙏🙏
Ni mimi muchungaji,,, mungu amisamehee nimerekebika
Really preaches gospel of wisdom may God add you with more years man of God so that we can be taught more in Jesus name amen.
Dozi umefika mtumishi barikiw
a
Muchungaji na wg nakushukuru sana kwa mafudisho
Mchungaji Mgogo. Nashukuru Baba Mungu kwa kukutumia katika kuifikia dunia na Neno lake la uzima. Mungu akujaze mno kwa Roho Mtaakatifu uendelee kubariki mioyo ya watu.AMINA
Y
haleluya mtumishi nakuelewa sana
Amen mchungaji mafunzo mazuri sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bwana Yesu asifiwe ! Mtumishi wa Mungu ubarikiwe milele Amina . Loice Khanali RUclips video from Bahrain
Na Marekani tunakufuata Mchungaji. Asante sana Mchungaji kwa Injili safi. Mungu wa mbingu akuzidishiye ngufu na anointment kwa ukweli unao uongea. Ukweli wa Injili umekosekana makanisani kwengi Injili zao ni mafanikio tu harafu kupona kwa roho hakuko.
Amina ssana Mchungaji, ukkweli mungu aendelee kutufungua vifungo tulivyonavyo kwajina la yesu kristo
Amen Amen
You tell people the truth
Asante sana PST Kwa mafunzo mazuri mno, Mungu a zidi kukuinnua katika huduma yake.
Amina mtumishi ni kweli watu hawana aibu hata mbele za Mungu, barikiwa kwa ujumbe mzuri
Amen🙏
Amen, mimi yananiusu.
I'm watching from Embu Kenya
Amina
Yanatuhusu Nairobi Amen
Naendelea kupata full dose. Amen pst
Amina mtumishi wa Mungu Ubarikiwe mpendwa
Toka marekani tunapokea na baraka tele. Barikiwa mchingaji kwa ujumbe halisi.
Amen baba Mchungaji. Tuambie baba tuponeee. Hallelujah
Ujumbe wangu huu .Amen
Amen imenigusa nikiwa hapa USA.
I wish I can get such sermons where I am. May God show me a pastor like yourself. Otherwise I will worship internet church till I get such a pastor. Be blessed, your preaching style is unique, biblical and socially practical.
www.zamg.ac.at/cms/de/wetter/wetter-oesterreich/niederoesterreich/heute_vormittag
Wetter für Niederösterreich - ZAMG
Ubarikiwe baba
Balikiwa mchungaji
Inachoma kama pasi
Barikiwa Mtumishi🙏🙏
Mshale umeingia ....🙏
Mungu akubariki sana mtumishi.tume barikiwa apa Belgique
Nataka niseme nawe mtumishi kuhusu ubatizo andiko gani ambalo linatutaka tubatize watoto wadogo?
Ameen
Sifuatilii wala sitaki kufuatiliwa ktk ndoa yangu maana siri ya ndoa ni yangu na mume wangu tuu.Utajikuta unatembea bila nguo barabarani bila kujijua.2,)Swala la watoto tunaowasimamia nu ngumu.Huwa wanawasikiliza wazazi au ndugu wa damu (tena baadhi)wewe msimamizi utaonekana mnafiki tuu.Ni ngumu kwa kweli.Mambo yamebadilika hasa mijini
Nimeguswa