UTU OFFICIAL MOVIE : STARLING MKOJANI,SAMOFI,SENGA,MUOGOMCHUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • #Utu #mkojanigang

Комментарии • 180

  • @TUnech7
    @TUnech7 2 года назад +15

    Camera man yuko vizuri sanaa asee noma sana

    • @wilsonkihanga8447
      @wilsonkihanga8447 2 года назад +1

      Kwa nin umemusifia cameraman?

    • @salvakey
      @salvakey 2 года назад

      @@wilsonkihanga8447 amefanya unyama saanaa

  • @alhmdulilah1187
    @alhmdulilah1187 2 года назад +15

    Inalilah wainahirajiuna Mzee kongoro alikua anamchango mkubwa Sana ktk sanaa 🥺🥺

  • @ismailkitundira1976
    @ismailkitundira1976 2 года назад +16

    I have never commented at any of actions of mkojani gang but for this one aah number 1

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 года назад +11

    Samofi mkojani Kazi nzuri sana utu ni kali mambo ni fire 🔥🔥🔥

  • @muqbilyusuf7739
    @muqbilyusuf7739 2 года назад +9

    Mkojani King mwenywe❤mi nakutambua nakuona kwenye ugai gai haupo sanaa nkajua wafanya mambo kwa mtambo kama rambo😅💯💯💥💫👍

  • @bbycandy3979
    @bbycandy3979 2 года назад +8

    Nilkua nasubiri kwa hamu from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to🇸🇦🇸🇦🇸🇦nawapenda sana

  • @abuudaaru4319
    @abuudaaru4319 2 года назад +1

    Nakubar can mkojan kazi nzuri can namuon mzee wet mzee korongo mungu amraze Mahal pema peponi Amin utu hiy ci move bali niuhalisia wa maisha yet

  • @ibrahimkhamis471
    @ibrahimkhamis471 2 года назад +17

    From Qatar wa kwanza likes zenu team mkojani

  • @soulegadaffy3615
    @soulegadaffy3615 2 года назад +7

    Mola amjalie kauli thabit InshaAllah biidhnillahi mzee wetu korongo, nangalia nkiwa Bahrain 🇧🇭..
    KAZI nzur Sana MashaAllah Aleyq

    • @salmakhamismohammed3663
      @salmakhamismohammed3663 2 года назад +1

      Amin

    • @mazrui1948
      @mazrui1948 2 года назад

      Allahuma ameen.Nakubal kaka Gadafy.Kumbe ww n mwenzangu shabiki kindakindaki wa Mkojani bin Darweish.

    • @soulegadaffy3615
      @soulegadaffy3615 2 года назад

      Eebanaeh..
      Mie shabiki yke tokea anatumia kipupwee..
      Yuko so talented bro Abdallah Muhammad.

  • @kusilatv4640
    @kusilatv4640 2 года назад +11

    Hii move inaviwango vya kuoneshwa Netflix kabisa in short mmeua mkojani gang for everyone ✊🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯

  • @ladyj5089
    @ladyj5089 2 года назад +25

    Assalam alykum mzee wetu mola ailaze roho yke pema peponi amiin

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад +6

    Mafunzo mazuri sana mwenye kuelewa ataelewa hongereni jmn👌👌🥰🥰🥰🔥🔥🔥mkojani na team yako nawakubali

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 года назад +4

    mashallah shukurani sana washilika mungu awajalie sana

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 2 года назад +4

    Mkojani gang hatupoi hatuboi...mambwende nampendaga sna😂😂😂

  • @BarakaGeorge-jc5kg
    @BarakaGeorge-jc5kg Год назад

    Nice movie nice movie!!!! Congore mkojani

  • @ayubruitere6802
    @ayubruitere6802 2 года назад +6

    From kenya mkojani keep it up good work .

  • @reymah1194
    @reymah1194 2 года назад +4

    Utu🥰leo nmewahi

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 2 года назад +2

    Hahahahah body gady samofiii hahahaha tishaaa Sana mkojani

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 2 года назад

    Hongera bin darueshi kwa kutufikishia ujumbe kweli hili jambo lipo ni serikali ikaingilia kati

  • @blessingdokotera7434
    @blessingdokotera7434 11 месяцев назад

    Nice maboy mmako alon from tanga to capetown south Africa I like that nice one

  • @shebynizedaudi336
    @shebynizedaudi336 2 года назад +4

    Samofi unaniretea wajane 🤣🤣🤣 mkojani noma Sana

  • @magrethnicholauss3944
    @magrethnicholauss3944 2 года назад +1

    ❤❤❤iko poa sanaaa mkojan gang

  • @v_v_brownliltwo5799
    @v_v_brownliltwo5799 2 года назад

    Nakubali iyi move Sana iyi kazi 🔥🔥 na tizama nikiwa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kidahancy5690
    @kidahancy5690 2 года назад +3

    Mkojani gang big up sana

  • @key.one_tz2767
    @key.one_tz2767 2 года назад +3

    Na mpigwaji ajulikani😂😂 namkubari sana Samofi

  • @abditari7998
    @abditari7998 Год назад

    mzee wa kazi mkojani hongera

  • @pendongubesi305
    @pendongubesi305 2 года назад +3

    Mambo moto moto 🔥🔥🤜 unyama sana

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 2 года назад +1

    🥰🥰😂😂😂😂😂 mkojan bhn et samofi ananiletea wajane 😂😂

  • @RamadhaniJumanne-y2t
    @RamadhaniJumanne-y2t Год назад

    Kwakweli hii move inafundisha sana hongereni

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 года назад +1

    Kiukweli hapa ni mmetisha hii kazi ni mambo ambao yapo

  • @kulthumally9066
    @kulthumally9066 2 года назад +3

    ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI, MZEE WETU MZEE KORONGO. AAAMIN.

  • @mansoolpapalah9537
    @mansoolpapalah9537 2 года назад +6

    Naicheki Move Hii Kwa Mala Ya Kwanza Nikiwa Pretoria South Africa🇿🇦 Tarehe 19/9/2022,
    Hakika Ina Ujumbe Mzito Eeeh Mw/Mungu Mlaze Mahara Pema Peponi Mzee Korongo Na Umjaalie Kauli Thaabit🙏

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 2 года назад +7

    *TAMU SANA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mouhamadbakri8655
    @mouhamadbakri8655 2 года назад +5

    Mambo moto 🙏😃🔥🔥 from french 🇨🇵

  • @ahmedalshaibany
    @ahmedalshaibany 2 года назад +1

    AiseYYY mposeli mposeli, munauzwa

  • @jumanneshabeni2009
    @jumanneshabeni2009 2 года назад +3

    unyama mwingi so kisenge🤪🤪yani🔥🔥🔥

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 года назад

    Dah hii kazi kiwango sana

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter 2 года назад +5

    Best Movies … Best ACTORS … aseee nimenyoosha mikono 🦾

  • @rehemakilungi2652
    @rehemakilungi2652 2 года назад +1

    Love 🇹🇿🇹🇿from 🇲🇿🇲🇿😍😍

  • @jabirhassan7000
    @jabirhassan7000 2 года назад +1

    Mpo vzr from united state of America 🇺🇸 👏

  • @alfacharless8812
    @alfacharless8812 2 года назад

    🇿🇦🇿🇦 nikiwa south Africa nawapata vizuri mkojani Mr samofi

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 года назад +30

    Shabiki sugu wa Mkojani Gang from Mombasa natazama nikiwa Qatar Doha, Sinema nzuri na yenye kusikitisha😞😟😥. Kwenye hio sehemu ya ulemavu inanikumbusha Kenya kuna ulanguzi wa biashara ya walemavu wa kujifanya na walemavu wenyewe wa kujifanya ni wakutoka Tanzania, kuna baadhi ya Wa-Tanzania wenye wanaijua vzuri miji ya Kenya (Nairobi na Mombasa) ndio wenye kuwatumia awa watu kwa kuwasafirisha ili kuja Kenya kujifanya walemavu kwa kuomba omba pesa ili nao wafaidike. Ila ningeomba serikali ya Tanzania iangazie hilo swala kwa sababu ni jambo la kusikitisha na lisilo na utu

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 2 года назад +3

      Pale Kariobangi kuna nyumba imewajaza walemavu kibao sana na wote ni watanzania..kazi yao ni kupelekwa town asubuhi wafany omba omba jioni warudishwe...so sad

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 года назад +1

    Mkojani hizo hon🔊🔊🔊🔉

  • @fatmamody9146
    @fatmamody9146 2 года назад +3

    🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦👣👣👣 nice job

  • @binaliy7034
    @binaliy7034 2 года назад

    Tishaaa sanaa mkojani,, nipo Zanzibar

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 2 года назад

    Hiiiii ngoma kaimba baruti bila shaka anajua sana jamaa

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад +7

    🔥❤️🔥

  • @ismailibrahim7845
    @ismailibrahim7845 2 года назад

    From Zenjibar good job brother mkojani

  • @gabrielferefere1417
    @gabrielferefere1417 2 года назад +2

    Best one.

  • @tirap6290
    @tirap6290 2 года назад +1

    Sijaona chuvi umu😮

  • @jacobkyamajabu316
    @jacobkyamajabu316 2 года назад +1

    Kila wakikutana samofi na mkojani lazimaaa wapigane 😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @Delomar3
    @Delomar3 2 года назад +11

    Show L ❤️VE kwa mkojani gang. Gonga like

  • @aljumaamadrassahtv4335
    @aljumaamadrassahtv4335 2 года назад +3

    Utu🔥🔥🔥

  • @leeabd9057
    @leeabd9057 2 года назад +1

    Mambwende on top 👊

  • @keiazizi5746
    @keiazizi5746 Год назад

    Much ❤️❤️❤️❤️ from+254

  • @watchme5678
    @watchme5678 2 года назад +3

    Mkojani 🙌 🔥🔥

  • @otallparecidoconstancio6369
    @otallparecidoconstancio6369 2 года назад

    Kazi Noma From🇲🇿

  • @dativadeogratius5852
    @dativadeogratius5852 2 года назад

    Aaaaah Mzee unatukosea wasukuma , 😂😂😂😂😂

  • @chudohans2447
    @chudohans2447 2 года назад +1

    Merehem mzee korongo

  • @daproomdangu5953
    @daproomdangu5953 2 года назад +4

    VIP ugai gai

  • @barakJonijo
    @barakJonijo 2 года назад +9

    Wakwanza hapa piga likes twende nalo

  • @constanciomarcos5484
    @constanciomarcos5484 2 года назад +4

    tunangalia kutoka mozambique🇲🇿

  • @BIGbone.9422
    @BIGbone.9422 2 года назад +5

    Interview hio kali, "ebu jitingishe" 😄

  • @abdulkabila787
    @abdulkabila787 2 года назад +2

    Nimemuona zuchu baby mke wangu

  • @maggiemapenz6887
    @maggiemapenz6887 2 года назад +3

    Love 🇹🇿🇹🇿 to 🇰🇪🇰🇪❤❤

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 2 года назад +3

    Mambwende unanikoshaga unavyopiga kiingereza 😂😂😂

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 2 года назад +1

      🤣🤣 harafu cha kuunga unga 🤣🤣

  • @khaashfarfarid4221
    @khaashfarfarid4221 2 года назад +1

    Mkojan ndo uvae herin alf utavaa mkufu alf vengne vnafata

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад

    Duuh kweli utu hmna hapo

  • @chrismahinga5854
    @chrismahinga5854 2 года назад +2

    Mkojani mjinga sana aise😂

  • @ayubruitere6802
    @ayubruitere6802 2 года назад +4

    Its really painful moves bt waiting for season 2

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 2 года назад +1

    nitanzibuaa mtu haaaaa n vituko

  • @Officialvplat
    @Officialvplat 2 года назад +1

    Mkojani ✌️✌️✌️

  • @alfredomatiascasimiro7087
    @alfredomatiascasimiro7087 2 года назад +1

    Nakubali from Moz 🇲🇿

  • @Westsidemose
    @Westsidemose 2 года назад +3

    Kila corner Niko area kaa bacteria 🦠, mkojani gen for everybody , Kenyan boy in Qatar is already in

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 2 года назад +2

    Mzee kongoro daah😭

  • @jayboy9552
    @jayboy9552 2 года назад +3

    Congratulations mkojani, good work 👏 you can do better than this 👍

  • @nasryseiph1845
    @nasryseiph1845 2 года назад

    Daaaah subhanallah

  • @aminaamina-xj6qs
    @aminaamina-xj6qs 2 года назад +1

    🤣🤣🤣😂😂😂😂hii kali

  • @janvieryenga1419
    @janvieryenga1419 2 года назад +2

    Mkojani wewe unaachiya Utu wakati uyu baba ameshatuacha

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 2 года назад +2

    Mzeee kolongoo 😭😭😢

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 2 года назад +1

    Rip mzee korongo😭😭

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 2 года назад +3

    Mkojani ww huwez kua Bos bora samof Awe bosi

  • @hemedikidungwe267
    @hemedikidungwe267 2 года назад

    najckia haja kubw vnakuj kw mpigo nan kackia iyoo😂😂😂😂

  • @amrimanugwa58
    @amrimanugwa58 2 года назад

    Pombe tamu mmeshindwa kuendeleza mnaleta nyingne mnatukosea sana

  • @SaumuNjama
    @SaumuNjama Год назад

    Chemistry ya mkojani na samofi haina mfano 💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @timothysirengo1
    @timothysirengo1 2 года назад

    Khamisi makongo mola ailaze kuzimu

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 Год назад

    good movie

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 2 года назад +1

    Mkojani kipajiiii

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 2 года назад

    Jimama la kamugishaaa haahaa😄😄🤣🤣

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 года назад

    kuna funzo kubwa sana hapa

  • @ngarembaruku1487
    @ngarembaruku1487 2 года назад

    Imeweza

  • @steveiginansi8586
    @steveiginansi8586 2 года назад

    Umezingua

  • @qudramasoud7030
    @qudramasoud7030 2 года назад +1

    Mtoto wa jamuhuri wa tz eti labda jamuhuri kiwelu

  • @habibajuma1716
    @habibajuma1716 11 месяцев назад

    MashaAllah

  • @officialsaddmfalme5381
    @officialsaddmfalme5381 2 года назад

    Sijui ata mkoje Yani imeanza na hamniambii

  • @barakafredy7726
    @barakafredy7726 2 года назад

    Mambwende unapenda hela

  • @jumanneshabeni2009
    @jumanneshabeni2009 2 года назад +1

    hapo kwenye wajane dah!🤪🤪🤪🤪

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 года назад

    Mkojani kubwa la maadui Amish Kapoor

  • @jumarashid5867
    @jumarashid5867 2 года назад +1

    Ntazama nikiwa 🇮🇪

  • @josephkatonkola
    @josephkatonkola 2 года назад

    Kazi Kali🤣🤣🤣🤣