HAIRUSIWI KWA WALIO CHINI YA 18, STERLING MKOJANI FULL BONGO MOVIE
HTML-код
- Опубликовано: 1 окт 2024
- Tin anamroga mtoto wa dada yake ili aweze kuuza nyumba, anaenda kwa mganga kupata dawa lakini inakuwa tofauti na mategemeo yake
Tin cursed his sister's child so that he could sell the house, and went to seek for help from a witch doctor but things got out of hand.
Tunapatikana kwenye mitandoa ya kijamii kama vile:
/ kingsofbongo
/ kingsofrealbongo
/ kingsofbongo
#RUclipsSwahiliMovie #SwahiliFullMovie2022 #LatestSwahiliMovie2021 #kingsofbongo - Кино
Duh mkojan unapendeza ukigiza kwa staili ya kipemba asee
Hairuhusiwi chini ya 18 nn maembe au pesa
Duh! Wanganga jamani!🤔 Tumrudie mungu tu kwake tiba ni bureeee kabisa.
Bora mkituambia mapemaaaa watoto waondoshwe maana
Nzuri sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye Kuva viatu Nimecheka
😂😂🤣🤣🤣🤣🙌
Nawapenda Sana kiukweli
❤❤Hii ni movie nzuri sana lakini mkojani alivyo igiza hivyo hajanoga😅😅😅
😀😀😀😀😀hapo mwishoni wanapo mwinua 🤣🤣,tinn bhana
Waganga sio watu wazuli daahkumbe unaweza kumgeuka mgonjwa malamoja kwasababu yapesa. Kojani naomba part2 Jmn
Basi sauti isiwe inazimazima ivo. Tunakosa kuskia wanayosema .naomba mjitahidi kurekebisha hilo.Muvi nzuri.
Da kumbe ndo wanavyotufanyia waganga
hahaha
"Unakufa tu Mwanangu, hakuna namna" 😃😃😃 mzee Msisiri katishs💥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣mganga mtamaa hyuu
*Mambo ya DHIKIRI tn KILINGENI😁😁😁 (Mashallah🥰🥰TAMUU)*
Unashindwa kuuza oxygen😂😂😂
Jamani jamani tini wewe
Nani ako huku 2024
Kali sana
😂😂watu wanaitaji fedha we wasema mikopo ya chooni😂😂😂
#Tinwhit na #mkojani nyieee nishidaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Tamaa mbaya🤔
Babu anataka kumuuua 😳😳😳😳
Tusikae kiboya bila kua karibu na Mungu
🤣🤣🤣🤣🤣 mkojan wee kibok
Chukua remote tuondokee na yy kababa vyatu ya dadake wooooooiiiii nimeipendaaa🔥
Nice movie but huyu jamaa mwanzon kabisa kakwama mahala yaan dada kadondoka then yeye reaction yake it's like yaan mtu alikuwa anajua kabsa kwamba atakufa, yaan unajua kabsa anaigiza
Mjomba ndo kanichekesha🤣🤣🤣
Mukojan munazingu kipande kikumbwa hakin saut munaferi san
Hhaaa hii group noma bana🔥🔥🔥🙏
Mzee msiriri umekuwa nabii issa
Kwa mganga kuna faida mtakula kuku ila hospital anameza panadol pekeake😂😂😂😂😂😂😂
Alipo aladini me sikos
🙆🙆🙆 mganga
Kali sana naomba pt 2
Nime ipenda sana
😂😂😂 haki nyinyi waTZ , ati huyu anasema mganga akiwaitisha kuku atachinja harafu awapatie mkakule mpate vitamin,,,,, 😅 huyu jamaa ni mkonk, anaongea vitu vipo
Ww watak kuku mkojan😂😂😂
Kiuu ya kisasasi
Malipo ya dhambi nto hayo mjomba
Safii Sana
1🤸🤸🤸
Movie nzr
Kikulacho kiko nguoni mwako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CHUKUA REMOTE TUONDOKE
Vb
@@najilealfan3985 wazii
Magaga uko na tamaa kweli kotekote upo hatari
Nimeipendaaaa
♥
Ahahaaa mjomba balaa
Kiloba cha ukiri😂😂😂😂
Hapo ni kupanda kwa dau mwenye dau kubwa ndio mshindi
Duh
😂😂😂😂😂😂mwisho balaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbn Saut mwakata vip
Kweli ndugu zako ndio adui zako duuuh mjomba kamuua duuuh😢
Nice movie ❤
Muvi nzur kwer hongera kwa waandaaji was muvi mmetuandalia muvi tamu
baga
Iyo ni single ausio Kaz Nzurii
🤣🤣🤣🤣🤣
Tz
Eeee mjomba jaman kwaio alitaka Kila akiomba ela apewe
Chukua remote tuondoke😅😅😅🤣
❤❤❤❤❤
Ina mafunzo
good movie
Ungetumia misemo yako yajakulii nangombr hunijui ingekuabomba Zaid.
Mamavb
Binadamu wabaya
Kkkkk Un féticheur qui risquent d'être corrompu.
Je vous aime depuis🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mjomb jmn 😅😅😅😅😅😅😅😅
Jamani
Hakuna mjomba hapa hahahahaha 😆 🤣 😂 😅 😄
Safi sana
Nice movie inamafunzo dunia inamambo
Zunde wewe namkojani nawakubali sana nawapenda eti kauze oxjen
Vb
Imetisha
Vipi mkojan
Binadamu
Kipupwe
Move nzuri sana inachekesha
Duuuh nomasan mganga 🤪🤪🤪🤪
Love it
Mganga tamaa
😆😆😆😆
😂😂😂😂😂ah ahah ctaki kupigwa nawew
Mganga kusikia milioni 5🏃🏃😂😂😂 jamani Mambo haya🔥🔥💥
Kali sana
Ila movie nzuri