BABA KIRUWASHA ALIVYOWAFUNDA WATARAJIWA WA NDOA 70 ZA AL-HIKMA. 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 50

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +3

    Bismillah Maasha Allah mmependeza sana maharusi wetu yashikeni na kuyafanyia kazi yote mliyoelezwa.Ila maharusi msiovaa niqab.Walahy mngevaa niqab kama kama walivyovaa wenzenu mngependeza zaidi.

  • @zainarashid1024
    @zainarashid1024 Год назад +6

    Mashaallah Mashaallah maneno ya hekma sheikh wetu. Wayazingatie maharusi watarajiwa.

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 Год назад +5

    Mansha Allah..sheikh wachane vijana wetu wa kislam wanapenda kulelewa..Allah awatanguli katika ndoa zao wawe na Mahabah

  • @NasraNasra-l9q
    @NasraNasra-l9q Год назад +13

    Alhikma foundation ALLAH akupeni ziada ya ELimu ,afya na mali duniani na malipo bila ya hesabu Akherah ❤ Aamiyn 🤲🤲🤲

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Год назад +6

    Ma sha allah
    Bb kiliwasha bb shehere
    Wafunde hao wstarajiwa

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад +12

    Kabisa الله amuhifadhi baba kiruwasha wa kimataifa na ummati muhammad yaa rabbi.

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +9

    Mashallah tabaraka llah 🥰 ALLAH awadumishie ndoa Zao Amiin 🤲🕋🕋❤️❤️❤️

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад +2

    Jazakhallahu kheiri InshaAllah na sisi titafutiye wachumba wenye hofu ya Allah,tupo wafiwa hapa tunatafuta wakutustiri,ila hatupo ma sugar mommy.

  • @rayhanrashid3928
    @rayhanrashid3928 Год назад +6

    Maashaa Allah Tabarakallah..Allah barik

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Год назад +2

    Mashallah kwakwel mabwana haruai na mabib harusi mnatakkiwa kuwaombea dua Team Alhikma Jaman mmepata bahat kubwa Sana sana sana au zais ya sana Allah awatilie barka katika safar yenu mpya kwakwel Alhikma naipenda mpaka mwisho wangu sitowah kuichoka hii channel jaman na watu wake Sheikh nurdiin Allah akujaze kher Inshaallah katika kila hatua yako Kaka 😍🤲🤲🤲

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Год назад +1

    Masha ALLAH Tabarakallah ❤mm pia nmejifunza mengi kutoka kwako sheikh,shukran. ALLAH akulipe kheir..🤲🤲

  • @mohamedswaleh6778
    @mohamedswaleh6778 Год назад +9

    Allah azid kutupa nguvu waislamu tuzid ufahamu n jitihada

  • @أنا-ر8ذ
    @أنا-ر8ذ Год назад +6

    Mashall baraka llwah

  • @nusrasadick3516
    @nusrasadick3516 Год назад +1

    Maashallah Allah awabarik watu waanzilishi wa Alhikima foundation hakika mnawaza mambo mazur ya kujenga msingi wa familia Bora za kiislamu haswaa baarakallah lakum

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Год назад +3

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU BAARIK ❤

  • @S.Mnguyu
    @S.Mnguyu Год назад +1

    Allah awalipe kher AL,HIKIMA FOUNDATION,kwa elimu mulioitoa kwa Wana ndoa wapya na wazamani

  • @AbacarAdremane
    @AbacarAdremane Год назад +7

    Mashaaallha

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Год назад +6

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚💯

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад +1

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 Год назад +5

    Salallahu Alaihi Wasalam 🤲🤲🤲

    • @fatmasaid4114
      @fatmasaid4114 Год назад

      Ishalla h m/ mungu awajaalie wake wema kama wake wa mtume muhammad (SAW)

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 Год назад +1

    Maashaallaah maneno ni mazuri ila shida kwenye utekerezaji

  • @swah555suhayl8
    @swah555suhayl8 Год назад +1

    MashaAllah watu wapwn Yasmin munazijua vyema watu wa bara taften wa pwan waalimu wawafunze

  • @iddykazungu4825
    @iddykazungu4825 Год назад +4

    Mash Allah tabaraka Allah ❤❤

  • @moanamessi1749
    @moanamessi1749 Год назад +4

    Mashaallah tabaraka llah

  • @WasilaOmary-ek6zg
    @WasilaOmary-ek6zg Год назад +6

    mashallah

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do Год назад +1

    Asalam alykum mada imetulia bara bara ndani ya mstari

  • @SafinaMshegheli
    @SafinaMshegheli Год назад

    Tukio adhwimu tukio la kihistoria Allah azismamie hiz ndoa daima na awape kher wasababishaji wote wa tukio hili😊

  • @kuruthumumkalawa2786
    @kuruthumumkalawa2786 Год назад

    Shehe kishik Allah akulipe kwa iko ulichokifanya wangetokea wengine wakaigaivyonwallah Allah angetupa shifaaa iliyo kubwa sana

  • @mornasaidtindwa3622
    @mornasaidtindwa3622 Год назад +1

    Mashallah jazakallah khaira

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 Год назад +1

    Mashallah mashallah barakallah fikhi🙏🙏

  • @HalfaniBongojo-eb1kh
    @HalfaniBongojo-eb1kh Год назад

    Haya ndo mambo yakufanya ya kheri zaidi na mengineyo mengi yaloizunguka jamii ya kiislam waanzilishi wote ALLAH awafanyie sahali na maharusi pia ALLAH awatunzie ndoa zao na awabariki vizazi vyema wallah watakua na historia nzuri kwa vizazi vyao na kwa waislam hawa maharusi Ewe ALLAH waangalie waja wako kwa jicho la rahma wanafanya kazi kubwa siyo hawa wanaolumbana kuhusu maulidi wanasahau mambo mhimu kama haya.

  • @mornasaidtindwa3622
    @mornasaidtindwa3622 Год назад +1

    Allah akazidumishe ndoa zenu

  • @swah555suhayl8
    @swah555suhayl8 Год назад +1

    Baaba kiruwasha big up sannah

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 Год назад

    Masha Allah darsa tamu lenye faida

  • @fatimaalhabsii1728
    @fatimaalhabsii1728 Год назад +1

    Maa shaa Allah

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад

    Mashaallah ❤️

  • @popobeka-rz2xj
    @popobeka-rz2xj Год назад +1

    Mashaallah

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Год назад +2

    Mbona mafunzo hayana kuhusu wazazi wa kiken na kiumen