NAY WA MITEGO : WEMA SEPETU/ NI NYOKA , ELFU 50 TU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 июл 2018
  • Producer : Jonijooo
    Directed By Highiness Derick & HenriMosu
    Edited By DearMant YGA

Комментарии • 554

  • @jacksonbrandan8678
    @jacksonbrandan8678 6 лет назад +286

    Nan ambaye anaxoma comment huku anaangalia video as like me

  • @vanbraiysee2858
    @vanbraiysee2858 6 лет назад +54

    Leo Ndo Leo Wazee Wa Kazi Twende Wote Tuwe Saw

  • @amani2555
    @amani2555 6 лет назад +494

    *Kama unamkubali jonijoo gonga like hapa* 🔥

  • @anoldbashube7746
    @anoldbashube7746 5 лет назад +18

    kama wamkubali ney gonga like apaaaaaaa

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 лет назад +23

    ujawai niangusha siku zote hupo 👌👌

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 6 лет назад +68

    aise kiatu kikizidi 50000/= sinunui bora umesema ukweli tu 😂😂😂😂😂😂

  • @kaskaziniansgang1288
    @kaskaziniansgang1288 6 лет назад +5

    Hongera nimeona tangazo, keep fighting wahuni tunatoboa!

  • @abduyusufu1876
    @abduyusufu1876 6 лет назад +11

    Kama unamkubali jonijoo gongA like twende sawa

  • @guccij3549
    @guccij3549 6 лет назад +1

    Muun hAogop kufA... Ila anAogopa aktanguliA ata WaachA wAnawe... 🔥 🔥 🔥

  • @masmosteve5213
    @masmosteve5213 6 лет назад +6

    jonijooo,, Safi kazi yako broo

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 лет назад +21

    Nay much love frm kenya😍😍

  • @emmaplat5187
    @emmaplat5187 6 лет назад +2

    *bonge la show namkubalii sana jonijooo kama unamkubali gonga like twende sawa*

  • @gracerichard969
    @gracerichard969 6 лет назад +2

    libahili sana hili liney hata gigy alimpa 20 kwa kua tu mwamke

  • @neemayamwenyezihawaafetlis1782
    @neemayamwenyezihawaafetlis1782 6 лет назад +22

    Muhuni haogopi kufa.. Anaogopa kutangulia atawamiss wanaweee😆😆😆😆😆😆jonijoo ooooh penda sana ❤ wewe

  • @cosbravotz4762
    @cosbravotz4762 6 лет назад +6

    Wahuni sio watu.... Weka like twende sawa

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 6 лет назад +19

    Love his confidence 💜💜💜

  • @hamisaratiph3043
    @hamisaratiph3043 6 лет назад +72

    daaah sema namkubali kama wampenda pia gonga like

  • @verohgershom550
    @verohgershom550 6 лет назад +5

    Safiiii jamon umenikosha jonijoo kumuoji uyo nay

  • @ntawurusigajaphet5335
    @ntawurusigajaphet5335 6 лет назад +39

    From +257,Burundi gonga like kama unamkubali Jonijooo

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 лет назад +20

    Huendi kanisani coz shetani kakukamata ndani ya imaya yako pole San Nay,mrudie mungu wako ww:::::

    • @amlynn4454
      @amlynn4454 3 года назад

      Sio shetan kamkamata kwenda kanisan Ni maamuz ya mty

    • @christonchristian7448
      @christonchristian7448 Год назад

      @@amlynn4454 maamuzi yapi ni shetani anakupa ujasiri

    • @user-fg5zi1ly3r
      @user-fg5zi1ly3r 22 дня назад

      Shetani anaishi kanisani sikuizi ndo mana Nay aendi kanisani.

  • @Biloicon
    @Biloicon 6 лет назад +24

    siku hizi hupendi kunyonya embe unapenda kunyonya nyuuuuu nyoko zako ney wa mitego jinga kweli hili😀😀😀😀😁😁😁😁

  • @rickydermz6751
    @rickydermz6751 6 лет назад +35

    Mkali wa interview

  • @jafaridossantos9306
    @jafaridossantos9306 6 лет назад +2

    you're the best Mr Jonijoo...
    nay freemason Walikugeuka!!

  • @imamrema9745
    @imamrema9745 6 лет назад +19

    +666💥💥true boy👍👍👍

  • @isackoscar228
    @isackoscar228 5 лет назад +2

    wahuni siyo wa2 wazuli

  • @nasmakapombe9121
    @nasmakapombe9121 6 лет назад +3

    Nampenda ney vibaya bro

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 6 лет назад +1

    Mzee baba unaswagisha kinoma🤘🏼🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 6 лет назад +1

    Omg hichi kingereza daaah nimecheka sana 😃😃😃😃😃 afu usiku

  • @mwambayt2818
    @mwambayt2818 6 лет назад +13

    Big up true boy

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 лет назад +7

    Imetulia!!! Ya pili kunivutia baada ya Roma.
    Haujaenda mbaal saana mzee baba, Umekosea es tu!!! Mercedes Benz.

  • @mudymsela5182
    @mudymsela5182 5 лет назад +1

    Noma noma xana mzebaba ufananixhwi na yeyote yule japo wanaiga tandale amna viatu va elfu 50 ww

  • @kizakadafiomar2067
    @kizakadafiomar2067 4 года назад +1

    Nakubal jonijooo naomba ututaftiye (YOUNG KILLER)Plzz bro

  • @ricardorichard8329
    @ricardorichard8329 6 лет назад +17

    Babakeeee leo umenitouch na ka nokia kangu daaaaah....

  • @frankgituwi5315
    @frankgituwi5315 6 лет назад +1

    mzeebaba introduction iko vzr sn big up xanaaa @jonijooo.

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 5 лет назад +10

    Muuni aogopi kufa anaogopa kutangulia atawa miss wanae 🙌 balaa iyo 😂😂😂😂🤣🤣

  • @AbedimobutuKunguruhafugi-wj1rc

    Muuni ahogopi kufa wew anaogopa akifa ata tangulia ata wa miss wenzie.

  • @jimmykimaro8163
    @jimmykimaro8163 6 лет назад +6

    Bro Jonijooo uko live sana bro,one day yes

  • @kelvinatormwakasege9548
    @kelvinatormwakasege9548 6 лет назад +2

    Upo vizur kwenye history

  • @tunguizengo5996
    @tunguizengo5996 6 лет назад +11

    Nilikua naisubiri sana hii interview

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 лет назад +23

    Dogo ameongea ukweli 👟 haizidi shilling elfu 50

  • @mukuchinotz
    @mukuchinotz 6 лет назад +2

    Kwenye via2 true boy nimekubali

  • @enosmchomvu6649
    @enosmchomvu6649 6 лет назад +1

    Sema tuu ulichedha tatu mdhuka😋😋😋😋😋😋😋

  • @gracerichard969
    @gracerichard969 6 лет назад +1

    ,😂😂😂ila jonijoo kusema ukweli nakupendaga

  • @hotcakerealcake5412
    @hotcakerealcake5412 6 лет назад +6

    Hajatumia Mercedes benz uongo mbaya..

  • @user-zw5zl4bt1e
    @user-zw5zl4bt1e 3 месяца назад

    Much love from kenya huna majigambo

  • @elizabethmelkiory9811
    @elizabethmelkiory9811 6 лет назад

    aiseee sijatoka kapa hapa hongera Jonijoooo

  • @helckasnondo1725
    @helckasnondo1725 6 лет назад +4

    yes i love brothe ney je t'aime mon frère
    Helckas from Congo Drc

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 лет назад +1

    Nakukubali saana bro kama unamkubali joni jooo gonga like

  • @neemaalphoinceneemaalohoin9304
    @neemaalphoinceneemaalohoin9304 6 лет назад +12

    Aaa jonijooo i love u

  • @afrikkasukari1290
    @afrikkasukari1290 5 лет назад +1

    Nay namkubali ..alikuja hku kwetu daaah jamaa haish kistaa kabisa yani yko peace kinoma

  • @kilabichalle3418
    @kilabichalle3418 4 года назад +1

    Sababu yakuto kwenda church daaaa ila nakubali Sana brother angu

  • @kenmusa3271
    @kenmusa3271 6 лет назад +1

    wauni ni waelewa sana hehehe umeaza vizuuri tu

  • @restymlale6003
    @restymlale6003 6 лет назад +24

    Kwa nini Nay wa Mitego haji kupiga MUZIKI ABROAD. ?"😃

  • @ayoubmngarishaji6031
    @ayoubmngarishaji6031 6 лет назад +1

    Dah!! We jamaa fundi sanaaaa

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 5 лет назад +7

    Nakukubali sana Mnyamwezi the true boy.
    Sema huja fail sana hapa kwenye iphone na gari iko hivi:
    1. Hey siri play Mikono juu video on RUclips
    2. Mercedes Benz

  • @ikoziboy4488
    @ikoziboy4488 4 года назад

    Mimi jonijooo unachonimaliza ni hayo maintro ya mwanzo kuhusu hawa watu

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 4 года назад

    Duuu/ kingerez Cha mazeseee kudadadeki kumbe Kuna tofauti kingereza Cha mazeseee na buguruni au posta au kinondoni

  • @thabitnasher111
    @thabitnasher111 6 лет назад +28

    Wakwanza kucomment n like. Kaa kitaalamu weweee

  • @MuhammadAli-wt4vm
    @MuhammadAli-wt4vm 6 лет назад

    Jonijooo nakukubali sanaa mwanaaa uko vizurii miaka mia nanee mzee babaa #Keep it real bro 👊

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 6 лет назад

    Safi sana mzee baba nakukubali kinoma #JONIJOOO

  • @amosmsafi3528
    @amosmsafi3528 6 лет назад +12

    Wahuni si watu wazuri

  • @mstafahassan3989
    @mstafahassan3989 5 лет назад +2

    eti diamond aliona apite uko uko

  • @youngrichtz4325
    @youngrichtz4325 6 лет назад +4

    Makinda kinda jonijoo nakubari sna Kaz yko

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 6 лет назад +2

    Ahsante sn

  • @mstafahassan3989
    @mstafahassan3989 5 лет назад

    nafanya mziki wa hela na dunia inajuwa hilo😀😀😀😅😂😁😁

  • @rinuscosmas6039
    @rinuscosmas6039 6 лет назад +4

    ney nakukubali sana

  • @georgeludakulo2118
    @georgeludakulo2118 6 лет назад +5

    Bro nakukubali xn hiki kipindi kipo vzr xn

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 лет назад +1

    Jonijoo Babako!!!! I Love Your Introdution Man 🙌🏽♥️🇰🇪♥️
    #Wahuni Sio Watu Wazuri.
    #PiGaLockiNene.

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 6 лет назад +1

    Hapo kwa 966 nimependa cz am watching from +966 saudia
    #Wahuni_sio_watu_wazuri

  • @sharbyjunior6510
    @sharbyjunior6510 6 лет назад +1

    NIMEKUELEWAAA

  • @rockjimmy3978
    @rockjimmy3978 6 лет назад +1

    Please Nay Wa mitego tunakungodja marekani kudja piga show true boy uko na ma fun wengi sanaaa

  • @francolazaro8646
    @francolazaro8646 6 лет назад +5

    Hatareeeeee Jonijoooo 🤘🏿🤘🏿🤘🏿

  • @prosperfrederick5678
    @prosperfrederick5678 2 года назад

    Hata leo narudi kusikiliza Hii show. Jonijoo #

  • @tembomnyama2310
    @tembomnyama2310 5 лет назад +2

    Salute Mzee 💥🔥🙌👊

  • @ellyfrank8953
    @ellyfrank8953 4 года назад

    Kizazi saana jonijoo Nakubali saana mzee baba

  • @yvannsengiyumva2143
    @yvannsengiyumva2143 6 лет назад

    Wema meigiza marehehu Steven kanumba siyo ameigiza nakanumba bcz kanumba haiko duniani kwasasaivi nima rehemu mzeh baba.

  • @dogodongo9835
    @dogodongo9835 6 лет назад +45

    hahahaa jonijoo bana mkali sanaa....leo umekuja na historia ya ringtone ya nokia..kwel wahuni sio watu wazuri hawaogopi kufa wanaogopa wakitangulia watawamiss wanae

  • @abasimageta7695
    @abasimageta7695 6 лет назад +6

    maick ziwe mbili broo kuna muda mnapishana maongezi na unaefanya nae interview

  • @mwasitiiddy7425
    @mwasitiiddy7425 6 лет назад +3

    Jonijo unyoe ndevu sikumoj utapendez san

  • @allexaletz4522
    @allexaletz4522 5 лет назад

    Jonijooo nakufatiliaa

  • @johnsonmoding2458
    @johnsonmoding2458 6 лет назад

    Kwan nan ajui kua jonijjo n baba aoo🔥🔥
    Gonga like 2tembee

  • @khbaamirysr3743
    @khbaamirysr3743 6 лет назад

    Hii hapa kali nyingine Jonijooo mtu mbaya

  • @joyceletee8711
    @joyceletee8711 5 лет назад +1

    nice broo

  • @saidymkariboymkariboy3330
    @saidymkariboymkariboy3330 5 лет назад +2

    pamoja ney

  • @nebrowntz9154
    @nebrowntz9154 5 лет назад +1

    Kaka nakukubaliiii sanaaaaa

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад

    Interview yakijanja sana true boy, good job *Jonijooo*

  • @hujatswai5798
    @hujatswai5798 4 года назад +2

    Nimeipenda Interview.... Mtangazaji anauliza maswali yenye akili na hekima mnoo.... BIG UP BRO.

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 5 лет назад +1

    Hapendi kunyonya embe

  • @salimbade3266
    @salimbade3266 6 лет назад

    jonijooooo😯nakubal mzee baba

  • @chibusound6814
    @chibusound6814 4 года назад

    Joni jooo unatsha mwamba

  • @umuania1833
    @umuania1833 5 лет назад

    Joni mwanangu wewe noma kbs wambie wandiki kweli kingereza hawajuwi kbs

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 6 лет назад +14

    Ez

  • @olasmuhindo5503
    @olasmuhindo5503 3 года назад

    Jonijooo uko mkali sana kwama swali

  • @barakasaningo9478
    @barakasaningo9478 6 лет назад

    Kama Kawa jonijooo.........wahuni sio watu wazuri bunduki kwenda rase sio

  • @nicholasshukuru4928
    @nicholasshukuru4928 4 года назад +1

    Nay hajavuta sigara Wala Bangi...

  • @oscarbenson6011
    @oscarbenson6011 6 лет назад

    Jonijooo tunawashaaa bg up boy

  • @abyhabibabiber8865
    @abyhabibabiber8865 5 лет назад

    wow kichina utajua tuu.

  • @godifreykavishe340
    @godifreykavishe340 4 года назад

    nmependa hyo kwamba ney unakula chochote kwel wew ni true boy

  • @maikoatufigwegemwakapoja8709
    @maikoatufigwegemwakapoja8709 4 года назад

    Hata ukimpost yesu watasema we boya tu

  • @rukwaonlinetv
    @rukwaonlinetv 5 лет назад +1

    Nimekusoma