Pole sana wazili mkuu angalia sana baba hao ndugu zako wanaowasha moto hawana hata. Uwezo wa kuuzima hawana wanawasumbua wananchi kila mahali wewe ufanye kazi ya kuwafaliji watakuzeesha mapema baba yangu waache wzime hiyo mioto wenyewe
Uyu mam nikienda kariakoo tamtoa hata lunch kiukwel serekalini kunamajinamizi yananyanyasa watu tena wanaotafuta pesa kihalali cjuw wanataka nchi nzima tuwe vibaka
hongera vunja bei umeongea pwenti bro,,,si wengine tunajianda kukusanya mitaji ili tuje kufanya biashala lkn nch yetu inamambo meusi sana mbaka tunakata tamaha kwa kweri
Appointment nice 👍 mama jasiri MashaAllah ❤❤❤ nakupenda Bure 🌹🌹
wangekuwa wengine utasikia assalam alaykumu walaykumu msalam utasikia akiwasifu tena bwana yesu asifiwe mama ongera kwa kujua din yakoo
Big up Vunja bei unakitu bro uwanakusukiliza sana wewe unakitu sijui kama unakiona bro
Nikiwa Rais wa Tanzania Namteua Fred Vinja bei kuwa Waziri wangu wa fedha na mipango, Excellent
Mmmmmmm akishajua ingia humo selikalini anabadilika na yy unadhani yy hutaki ulaji
Hawezi badilika maana mini ndiye rais hivyo hivyo nitamtoa nimweke mwingine mwadilifu
Kijana uposawa pia wazili mkuu ana busara Sana atalitatua na ni nchi nzima
watanzania wengi wamechoka sana na haya maisha 😂😂😂😂
😸😸😸😸
Pole sana wazili mkuu angalia sana baba hao ndugu zako wanaowasha moto hawana hata. Uwezo wa kuuzima hawana wanawasumbua wananchi kila mahali wewe ufanye kazi ya kuwafaliji watakuzeesha mapema baba yangu waache wzime hiyo mioto wenyewe
Nakupenda sana, wewe ni jasiri sema yote tra wamezoea vya bure hao waambie hao.
Vunja Bei nimepta elimu Hapa hongera Kwa point thankx
Vunja Bei Yuko vizuri uyu ndo anafaa kuwa waziri wa biashara
Uyu mam nikienda kariakoo tamtoa hata lunch kiukwel serekalini kunamajinamizi yananyanyasa watu tena wanaotafuta pesa kihalali cjuw wanataka nchi nzima tuwe vibaka
Nimajitu yasiyo fahamu kuwajibika kula na kunywa nakuchafua taifa rushwa kila kona
Waziri Mkuu toa namba na pointment
Jsman aisha mieeeeeeee nimechekaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Vunja bei umeongea point sana mwamba
Subhannah llah
Haha jaman hii Nchi imeharibika sana
Asante kaka fredy
hongera vunja bei umeongea pwenti bro,,,si wengine tunajianda kukusanya mitaji ili tuje kufanya biashala lkn nch yetu inamambo meusi sana mbaka tunakata tamaha kwa kweri
Katika walioongea nondo za maana fredi anaelimu aisee had waziri mkuu katulia
Ana ujasiri sn huyu mama
Huyu mama kiboko.waziri unalo hill😂😂😂😂😂😂😂
Khaaa mama huyu daaah
Kumbe vunja bei ana akili bhana
Chemba
Vunja bei kaongea kisomi zaid
Pointment😅😅😅😅
😂😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣
Mama uyu hatari
Vinja bei ameongea kisomi.
Nimecheka 🤣🤣🤣🤣
Hapa naona umuhimu wa kufanya biashara huku ukiwa na shule kichwani jamaa anaongea vyema. Elimu+Hela+Exposure.
Kwakweli wafanya biashara tunaumia wanatutishia kufunga biashara.
😂😂😂
Mazoezi dadangu
Mama yangu hapana etyii
Mama kayasema na bado dah
🎉
Mamaangu nidokeze unachokula tu nikale nipate kamwili Kidogo dadaangu😁dah!!!
😄😄😄😄 atakubeba nani
Duuuu Kaz ipo
😢tatizo lipo kwa mwigulu naabadilishiwe kitengo kingine ili tuona mabadiliko kidogo ya mfumo mpya
Tutamdangia nani jamani
Million ?hata elfu mbili wanaitaka
Katuni zetu
Mwamba nimekukubali
Utacheka utalia
Mama wa mashoka huyo
😀😃🤣