2010 (Form 1 ), saa 12 jioni KISS FM. Labda kwa album unaweza timiza haja yako ya kutukata kiu. Maana mpaka sasa tumeishia kurejea kumbukumbu na kuamsha kiu iliyo kuu. Lakini si HABA, hongera kwa kusimamia maneno yako uliyoyatoa kupitia interviews zako kadhaa za hivi karibuni ulizozifanya kupitia media kadha wa kadha. Maana utaambiwa kuna mawe, kisha hola. Mwanzo mzuri, naamini yajayo yanafurahisha (Album). Tupe Utaratibu, naamini wenye kununua tutakuwepo. Kama ilivyokua kwa mdogo wenu (#AFF). #Singasinga#TamaduniMusic#Mlab#Kilingeni#Vinega
Nngurai imbaaak inono #MaaTribe nguvu sana ulimwenguni. Stereo || Singa Singa || Maradona #KaaChonjo 🔥🔥🔥 Tuna familia,pesa mbele sala nyuma// Makanisa tutayakimbia. Hapo kwa makanisa ni mada yenye kuhitaji mjadala wa kitaifa.
Hii ni shule. Tunaona hata ngoma ya HipHop Kama hii inaweza kuwa na Video classic. Sio video ya aftatu kwenye jumba bovu au magereji na magari mabovu... Hii ni mwaka 2024 twendeni na Muda Rappers
Huyu Bin Laden kwenye beat za hip hop hajawahi kuniangusha kiukwel yani, hongera kwake. Singa singa umeubonda mwingi sana.
HUYU SASA NDIYO SINGASINGA
sikilizeni tu Ngoma zenu tuwacheni namikato yetu👊👊👊👊💥💥💥💥💥🔥🔥
Singasingaaaah 🔥🔥🔥🔥
Dah👊👊👊
Huyu ndie-stereo Chunda bad sio zile mbili
Sure 😂 😅
Nan kakudanganya majini hayauzwagi 😂😂😂😂Nilizimiss sana mistari concious 🖖
Hip hop is back 🔥🔥🔥
#Napendaga hiz ila wabongo hampeleki vitu venu asilia kama hv abroad😂
True hip hop ❤❤❤
Chundabadi Mujahidina 🚀🚀🚀
Yes yes yooh!!!?
Finally He's back 🔥🔥🔥
Welcome Back Brother,Mad Love From 🇰🇪
Singasinga #Komandoo🙌🔥
Hahahahhahaha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Asante brother
We jamaa umekuja na hasira za ajabu... Umetisha sana
kaja kumjibu roma😅😅
@@atenionesmo_A10 Jamaa anaandika sana huyu
@@reubenmaghembe9010 noma kakumbuka kipind wapo tamaduni na kina dizasta
Hip-hop stand up 🇹🇿
Kubwa hii Singa Singa
Mistari mingi mingine naiweka kwenye stooo ili wakuone hauna baya wape bangi
Happy to see u back uncle 🎉🎉🎉😂
❤ hujawahi yumba
Faza Singasinga 🔥🔥
✍️🏿💥💥💣
Kubabakeeee umeamua 💪🏾🔥
Kwa mtazamo wangu Stereo ndio msanii no. 1 kwa kuviheshimu VINA na kuvizingatia ipasavyo!
Humjui dizasta vina wewe bruh
@@ddaddytzSasa dizasta utamfananisha na stereo kwa vina na mizani? Dizasta vina ni jina tu hlo usipagawe labda kwa vitu vingne
@@ddaddytzDizasta ni mkali na wakali wapo wengi ila katika suala la VINA stereo ni habari nyingine.. unaweza fanya utafiti!
@@innocentmathias8668Upo sawa!
Chundaaa
Yule ninayemkubali amerudi mtanikomaje
Yes yes yooh😂😂😂
chundabad kwenye mojana mbili roma aje ajibu kafanya nn huyu
Stereo tisha sanaaaa
uyu sasa ndio singa singa mwenyewe kubababakeeee
Uwezo mkubwa TP
💯💥💥
We mzee........
Kata simu nipo site🇰🇪
Singa singa maradona
KAZI NZURI SANA 🔥nashauri toa remix mlete stamina kati na con boy nahisi itakuwa kali sana
Singasinga chundabad b Boy stereo soo maradona hii kubwa sana kaka shout out to u bigtime 🎉🎉🎉
Chundabad singasinga
I get it one 4ze money 2 4ze show🎉🎉🎉🎉🎉
Huna baya kaka
Ebana hii kali sanaaa
huu ni wimbo
Stereo ni Bonta aliyechangamka kwenye flows💥💥💥
😈🤔🔥💯
💥💥💥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii ndio midundo inatafunwa kama pilau
Wapi Unju
Yeah! Stereo is back.
Tulimis hz ngumu🔥🔥🔥
Watoto wa ghetoo maisha yetu kiMungu Mungu Kali sanaaa
""CHINI DUNDO KAMA KAWA""YEAH Thats whats up like swahili
✊🏿🔥🔥🔥🔥🔥
Nitabaki juuu
Nice one
Hii kaka imekwenda.
Umenifanya nianze kusikiliza rap ya bongo tena
Ukipata muda msikilizw Dizasta Vina
Ngoma kama hzi zilikuwa zimepotea jmn bola tukate kiu
2010 (Form 1 ), saa 12 jioni KISS FM.
Labda kwa album unaweza timiza haja yako ya kutukata kiu. Maana mpaka sasa tumeishia kurejea kumbukumbu na kuamsha kiu iliyo kuu.
Lakini si HABA, hongera kwa kusimamia maneno yako uliyoyatoa kupitia interviews zako kadhaa za hivi karibuni ulizozifanya kupitia media kadha wa kadha. Maana utaambiwa kuna mawe, kisha hola.
Mwanzo mzuri, naamini yajayo yanafurahisha (Album). Tupe Utaratibu, naamini wenye kununua tutakuwepo. Kama ilivyokua kwa mdogo wenu (#AFF).
#Singasinga#TamaduniMusic#Mlab#Kilingeni#Vinega
SINGASINGA MARADONA KOMANDOO
singa singa
SINGASINGA umeamua sasa twende kazi kaka
Noma sana
Mzee baba umeamua kutufanya Palestine unatuangushia mizinga, much love and blessings from KENYA
SINGASINGA HOT
Lets go🔥🔥🔥
The Singasinga i was waiting for #Komandoo
Mujahidina 🔥
umeme utasha usigus💥💥💥💥💥✊🏿
🔥
Bro video mbili siku moja?! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾
Mmmmhhhh singasinga maladona ✊✊✊
😂😂😂😂 nakuelewa sana kaka mkubwa mambo ya kubaniana pamba kuvaliana njaa Kali lakin bado wanazaliana 😂😂😂 doh nakuelewa kaka
🔥🔥🚀💿🎬📽️💪
Nngurai imbaaak inono #MaaTribe nguvu sana ulimwenguni.
Stereo || Singa Singa || Maradona #KaaChonjo 🔥🔥🔥
Tuna familia,pesa mbele sala nyuma//
Makanisa tutayakimbia.
Hapo kwa makanisa ni mada yenye kuhitaji mjadala wa kitaifa.
❤❤
barssss
2:30 bonge moja ya mkwaju sasaiv ni jiwe juu ya jiwe man
Strickly HIPHOP Mamae… Let’s Gooo 🙌🏾
Chundabady
Kwenye kideo tumeua sana mzee
Hii ni shule. Tunaona hata ngoma ya HipHop Kama hii inaweza kuwa na Video classic. Sio video ya aftatu kwenye jumba bovu au magereji na magari mabovu... Hii ni mwaka 2024 twendeni na Muda Rappers
#LEGEND
Oi Ooi naWANASAAna ChemCheee.....M 🌨️🌨️🌨️
"...Watasafisha SAAna nyota"... 🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾
Daaah huyu ndio Singa Singa wa tamaduni
Huyu ndio Stereo Sasa🔥🔥
Wape peremende ❤️🩹❤️🩹🔥🔥
Maarifa mengi stereo juhudi Gomz
Stereo huwa unafanya kazi ya uandishi wa HIPHOP uonekane mrahisi sana
This song took me back 12 years ago
Huyu ndio be boy stereo
Ohoooooooooo ohooooooooooooooo mjehidina wa Moto 🔥🔥🔥🔥
Huyu ndo singasinga mwenyewe sasa🔥
HAKIKA
Njaa Kali bado tunazid kuzaliana!
Nouma sana mkubwa 😂😂😂 wazazi wakikinja haupik wali nyama na wadwanzi wakiziba haufik mbali mwana doh eee hii Nouma sana nakuelewa
oyaaaa mwana we mtenda hakiii sahiihii ngoma zao na zetu
umetishaaa sana goma la kufungia mwaka🎉
Hip hop imepata mkunajii Stereo