Bony Mwaitege - TUTASHINDA(Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 15 апр 2024
- Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA. Видеоклипы
Mimi apa wa Saba kukometi naomba like jamani team Bony Mwaitege ❤❤❤
Napenda sana kufuatilia bonny mwaitege na nilianza kupenda nyimbo zake kama ningali mdogo sana,nakumbuka aliangusha wimbo ingine inaimba about mke mwema wapi like zangu please❤
Bonny we still love you hapa kenya 🇰🇪 nipee likes za bonny mwaitage❤❤
Wimbo mzuri sana🎉 barikiwa mtumishi
From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi kiongozi nipewe likes tukifuatana
Tutashinda Kwa imani like za wakenya please 🇰🇪🇰🇪
Tulitumie Jina la Yesu tutashinda, Glory be to God 🙏🏼
Jina jina la Yesu ni kila kitu kwetu
🍞🍞
Hii balaa ❤ hakika YESU WW MKUU SANA 💪💪💪
Kwa jina hilo tuu.....Mungu siku zoke
Mungu akupe mwisho muzuri kuliko Mwazo Mutumishi bony Siku moja tutaona kabusa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💐 Yesu joo guvu yetu
Tutashinda kwa Jina la yesu amina
Am proud of you bony from kenya .nakupenda sababu hauvaliangi Yale ma chains ma Pete ya vikundi .yanavaliangwa na wa sanii...your'e real and genuie hii ni moto kweli..
Amen Amen Amen 🙏 good job ❤
Sisi tunatumia jina la Yesu, ubarikiwe Mtumishi kwa ujumbe nzuri kuhusu kumtegemea Yesu
J'imagine layesu linashinda kweliile🙏
Ubalikiwe sana hakika tunalo jina la yesu
Naombeni like zenu kama unapenda gospel
Mungu akulinde na akubariki tena Mutumishi wa Mungu iko Yesu kabusa🇨🇩🇨🇩💐💐💐🔥🔥
🎉🎉baba baba Mungu akubariki sana sana kwa ujumbe mkuu na kwa staili ya mziki huu ni motomotomoto🎉🎉🎉🎉s😊 safi sana baba kazi ya aliyekuita unaifanya vyema💪
Kwa kweli twalitegemea jina la yesu. Wimbo mtamu Sana
Hatari sana Shemeji yangu umetisha🔥🔥🔥 sio kwa bakola hiyo.
Pongezi kwa Wimbo muzuri🎉🎉❤❤❤ Mungu akubariki
Nakupenda xna nkiwa Kenya 🇰🇪..your songs always keep me smiling m
Mungu ni mwema ni wakati wa kila mtu kujipa imani ya kuwa tutashinda kwa jina la yesu. ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Bony mwaitege
Tutashinda Barikiwa sana Baba
Kazi nzuri sana nipo nyuma yako hakika tutashinda
Napenda Sana uimbe nyimbo za mwanzo ulipoanza kuimba
Very nice song 🎉 ubunifu mzuri sana, melody nzuri, beat nzuri, video Kali, nmeipenda sana ❤
KWELI JINA LA YESU LINA NGUVU, UWEZA NA NAMKAKA. AMEN AND AMEN 🙏.
Jina lenye ushindi wa mambo yote ya ulimwengu more blessings bro❤
Mungu azidi kukupa afya ukuze watoto kiimani juu ya unyakuo wa wa kristo kwani u karibu
I always love the voice behind the scenes by MARTHA BARAKA kwa chorus 🎉🎉🎉
Hongera sana kaka
Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia Zaidi
Baraka tele, jina la Yesu pekee ndio ngome salama.💃💃💃💃🕺🕺🕺🔥🔥🔥🔥
Keep it up brother bony mwaitege wimbo nzuri sana 🇰🇪
As usual commenting from NYS TC Mombasa Kenya.. blessed with coast beats
Barikiwa baba yangu
Napenda Sana nyimbo za huyu mtumishi jmn Mungu azidi kumuinua
Wimbo mzuri Mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana.
Poa ebu niambie umetoa wimbo unaitaje
Nimebarikiwa sasa na video mtumishi ni nzuri sana
Amen indeed we shall defeat in jesus name 🇿🇲🇿🇲🇿🇲👏👏👏
Nimebarikiwa na video mtumishi ni nzuri sana
Kisingeli singel leo mzee ,chukua 🎉🎉🎉🎉 yako MTUMISHI.
Baba naisubiri
Ubarikiwe sana baba angu by Elias dotto Geita
Kazi nzuri mtumishi barikiwa sanaaa
Wimbo mzuri unanitia moyo ninapolemewa namtinzama yesu na ninaona ushindi
Bony umeshdwa kuimba bro
Asante kaka Boniphas umeleta mapinduzi katika muziki huu wakisasa wa singeli naona Mungu amekutumia kuponya kizazi hiki Mungu azidi kukupa maono makubwa nimefurahi video nzuri mfano wakuigwa
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏eeeeeeeeeeeeeehh Jina la Yesu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Ameeeeeeeeeeeen
Following bony always I use to watch his song each and everyday non stop much love you mtumishi wa mungu,Kenyans watching and listening
Tunalisubilia hadi litoke
🍞🍞
Hallelujah glory to GOD hakika tunatengemea njina la YESU 🙏
Barikiwa mwimbaji
Hakika yesu nijina orijino wow ya bony mungu akubariki sana nakupenda again
Naandika nafuta, naandika nafuta,,sijui nisemeje,,,,, Tunapata Radha jamani❤ Mungu azidi kukupaka mafuta,,, wabarikiwe wazazi waliokuzaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏,,
Hakika yesu.nijina.orijino.
Yesu nimshindi.wetu👍
Amina ❤
BAba pamoj Mimi mwanao nip nyuma yako
Hakika nahisi kubarikiwa nikisikia wimbo huuu hongera sana mtumishi wa MUNGU BONY MWAITEGE
Thank you bonny for the inspiration music.
BAba kazi nzuri sana barikiwa sana ❤❤🎉🎉🎉🎉
AMEN tunategemea jina la YESU Kristo.
Bonny umenilenga hakika, like yako sipati hata baada ya kupiga makofi kwa nguvu hapo juu...👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌Ameeeeen napenda imani ya Daudi
Ongera kubwa sana BABA Yangu!
🇰🇪 Jina ya yesu 🙏🙏🙏 Amina
Damu langu umenilandiaha na sauti yani nikimba wanasema mimi ni wewe haaa wewe ni baba la baba
Barikiwa sana mtumishi kazi nzuri🙏🙏
Hakika ni kina lipitalo majina yote barikiwa sana
Jina la yesu ushindi wetu
Nimebarikiwa na video mtumishi ni nzuri sana❤
Hongera Sana Mtumishi Nyimbo Safi Kabisa🙏🙏
💃💃💃💃💃💃🥁🥁🥁👏👏👏🙏🙏🙏Much ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪, Keep going Man of God ana be blessed in jesus name
Hapa mambo safi mtumishi wa mungu 🎉
Amen kushinda Lazima 💪💪💪💪
Kwel
Napenda nyimbo zako..endelea kunikuza kiimani..kutoka Kenya❤️
Kazi zako ni nzuri sana baba❤
Wimbo mzuri sana baba yangu🙏
Kwa Jina la Yesu tunashinda.
Ulianza kwa roo unataka maliza kwa mwili ndugu bonne auimbie tena yesu unaimbiya sasa juuu ya tumbo Yako sababu wimbaji yaku wana wake wana vaa vibaya
Ni kweli😢😢😢😢
Amen 🙏 jina layesu hushindi kwetu
Kaka uko vzr yesu akutunzee
Ahsante kua singel kali ❤ ya Yesu
Much love ❤from Kenya 🇰🇪 Papa!
hellow kakangu Bonny kazi zako ni nzuri sana....wewe ndiwe mentor wangu tangu niwe mdogo ... hiwa nacheza kama wewe na kuimba kama wewe wengi wananiita Bony mwaitege wa Kenya tafathali naomba collabo ya at wimbo Moja TU!!!
Nikiona Bony Mwaitege ninaona mjomba wangu, kwa obovu wa bahati amekwisha kuondoka Dunia.
Bony ni Kiboko kwa Jina la Yesu
Ubarikiwe Baba,🎉🎉 ,🇨🇩🇨🇩
Amina tutashinda Kwa jina la YESU.
Amina.
Tunashinda kwa jina la Yesu
Naskia sauti y Martha baraka very powerful chorus
Hakika tutashinda katka jina la Yesu kristo balikiwa
Jina la yesu ndo lila kitu kwetu jamani!!!!!!!
From ukambani,love songs zako, nipitieni
Naisikia sauti ya Martha Baraka
Nakuja Kwa Jina la Bwana Wa majeshi
Amen,ubarikiwe mtumishi
Nyimbo kubwa video mbovu sana too much
Nalitengemea jina la Yesu
kama Daudi alivyoshinda kwa jina la Yesu