Milima ya Wundanyi yawavutia watalii kaunti ya Taita Taveta

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 сен 2024
  • Msimu huu wa likizo umeendelea kuwavutia watalii maeneo mbalimbali nchini huku baadhi wanaozuru kaunti ya Taita Taveta wakipendezwa na milima iliyo kaunti hii. Kaunti hii ya Taita Taveta ni mojawapo ya maeneo yaliyo na mandhari ya kupendeza haswa maeneo ya Wundanyi ambayo milima mirefu zaidi imeendelea kuwavutia watalii.

Комментарии • 8

  • @janethmakori7942
    @janethmakori7942 9 месяцев назад +4

    Kenya is a paradise but our roads are real embarrassing plus wicked leaders taking loans doing nothing

  • @user-jy7ne3iw7y
    @user-jy7ne3iw7y 7 месяцев назад +1

    Taita my land lovee you

  • @_damagericon..
    @_damagericon.. 9 месяцев назад +1

    Historia ni muhimu kwetu inatupea nguvu

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai 9 месяцев назад +1

    Taita sio pwani and where not among nine mjikenda historia ya vitabu inadanganya eti taita ni pwani taita ni taita taveta not pwani na pwani na taita nimbali sana