Eneo la 'Ekeera Kianya-Kwana' laaminika kuwa hatari kwa watalii kutokana na maporomoko ya maji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 окт 2024
  • Katika Kaunti ya kisii, eneo la 'Ekeera Kianya-Kwana' linaaminika kuwa na uwezo wa kuwa kivutio cha utalii eneo hilo, licha ya kuwa limetelekezwa. Wakaazi wa eneo hili wanasema, eneo hilo lenye maporomoko ya maji limesalia kuwa hatari kwa wageni wanaofika, na hata wengine kupoteza uhai. Sasa wakitaka serikali ya kaunti kuingilia kuliimarisha

Комментарии • 2

  • @wicklif1
    @wicklif1 Год назад

    The county should come together and generate electricity from this site.
    It can serve a good number of people and business.

  • @destinymoraa1469
    @destinymoraa1469 Год назад

    i know this place ni hatari sana many people lost life